Baba Mtangazaji usi danganywe hakuna lolote ambalo M23 wame fanya na pia habari hiyo sio ya kweli. Kwa sasa Frdc iko pale pamoja na wazalendo.una pandisha hawa wauni sana kuliko serkali
Serekali ya Congo ni ya wapumbavu, sababu ni myaka ngapi serekali haifanye chochote kisha wananyamazishwa musipigane na wanaitika tu... Tshisekedi anajuwa vyenye iko hemo, haibu kubwa sana...
Inchi imeenda kiulaini😊na hilo ndio lengo la umoja wa kitaifa.askari wa kongo ni zaifu eti wameweka bunduki kwa UN wakati UN ndio inajukumu la kuweka amani😢
sasa nyinyi mnakili kweli ivi toka muaze kuongeya hakun suluisho mujuwe mnazidi ku wasababishiya aiya wenu kui ngiya kwenye matatizo adui kwenye nchi yako aafu unasu ri kuongey kuongeya nini
Uo ni uongo wa wazungu ni siasa ya kuuza inchi. Hivo mbona watu hamuelewi siasa kwa nini mukubali kauli za wazungu mbona munakuwa Kama watoto? Munafikiri M23 itakubali kutoka ikiingiya? Mbona tunakuwa Kama watu wasio elewa hali. Wakongomani yaani hatuelewi kitu kabisa
njala sasa felix walimwambiya munisiko itoke walikatala.waasi waingiye goma wafanye mixing.warundiye nibongo felix asemekweli walipatana nini kabila wakati balipatana
Wacongomani hawana adabu muntu ukifika rengo ra kura nyama ya mutu mwenzako isitoshe ni jirani yako utashindwa kuiba mufuko wa unga au mafuta. wachana nao wameraaniwa
Jambo sana ina sikitisha sana abdulldjamal nikiwa south africa 🇿🇦 Asante kwa taarifa
Ndugu zangu wa Goma hawa aminikagi ndugu mtangazaji
Goma aija kamatwa nugu journaliste, mimi hvi niko nafata ma infos za Rwanda, niko naona gisi wako nakimbia Rubavu Rwanda
Baba Mtangazaji usi danganywe hakuna lolote ambalo M23 wame fanya na pia habari hiyo sio ya kweli.
Kwa sasa Frdc iko pale pamoja na wazalendo.una pandisha hawa wauni sana kuliko serkali
Serekali ya Congo ni ya wapumbavu, sababu ni myaka ngapi serekali haifanye chochote kisha wananyamazishwa musipigane na wanaitika tu...
Tshisekedi anajuwa vyenye iko hemo, haibu kubwa sana...
Nakupata vyema kutoka Nchini sweden ndugu Mtangazaji
Rahisi alikataa kufukuza monisco ndio wanaleta sida
Nasikiya kama nitukane has hasira ina nimaliza ninge kuwa raisi kama nilisha choma kigali
Dogo wa baraka 1tv msilahumu rahiya yapo serikali ndo mbovu.
President Tchisekedi ajuwi siasa . Raia wa goma awana shida . gvment ya congo imeishindwa.
I wander how de government iz am crying
Inchi imeenda kiulaini😊na hilo ndio lengo la umoja wa kitaifa.askari wa kongo ni zaifu eti wameweka bunduki kwa UN wakati UN ndio inajukumu la kuweka amani😢
Monusco hawa aminiki ndugu mtangazaji 😮
Bele nibaongo unacacha Sila wapi soda alicha sila muliacha Sila kwa monusco mbona bote nibamoya
Akuna cha raia kuzalilisha serekali mbali serekali inajizalilisha wenyewe.
Akuna serikali ya Congo inatu zalisha
Wewe hujui wananchi walikua wameichoka seeikali
Monusco wakiondoka congo wananchi na wazalendo wataketa amani
Tunaitaji habari ya Goma
Nileo njo bilianzaka bya étant uni bana uzisha inchi thisekedi akuna politique kabisa
Felix alisha uzisha Est kwa rwanda.
sasa nyinyi mnakili kweli ivi toka muaze kuongeya hakun
suluisho mujuwe mnazidi ku
wasababishiya aiya wenu kui
ngiya kwenye matatizo adui
kwenye nchi yako aafu unasu
ri kuongey kuongeya nini
Wewe ndo hujuwi kinacho endelea Acha wale unga
Uo ni uongo wa wazungu ni siasa ya kuuza inchi. Hivo mbona watu hamuelewi siasa kwa nini mukubali kauli za wazungu mbona munakuwa Kama watoto? Munafikiri M23 itakubali kutoka ikiingiya? Mbona tunakuwa Kama watu wasio elewa hali. Wakongomani yaani hatuelewi kitu kabisa
DUNIANI HAKUNA MTU MPUMBAVU NA MJINGA KAMA MKONGOMANI!! MONUSCO IWADANGANYE MUACHIE INCHI YENU KWA ADUI NA MUNA KUBALI!!
Kwanini denge zakivita hazitumiki?
Hamna nguvu acananawazungu myaka yote ni kuliya tumecoka Kila siku rwanda
🙏🙏🙏🙏ug
Tuna waelewa sababu kuishi kwa muda wa vita kuisshi si rahisi
hiyo ndio matokeo ya huyo bumbafu marehem chirimwami, ndivyo aliacha goma imeisha zingirwa.
Huo ni unga wa kampuni ya wazungu Acha wachukuwe
Serkali yetu himeonyesha albu kubwa sana
Sikiya monisiko nimahaduyiyenu iyonawezekana kwer hamujaona menwari yarwanda imefabyaaje nahao wankotanyi??munazizaririsha mwenyewe
serekali congo niyawabufu wanaruusu jeshi la rwanda
Kuingiya mpaka kweny nchi
yenu majecheshi wacongo
awana nguvu
😭 😢 😭 ,haute trahison mon Dieu!
njala sasa felix walimwambiya munisiko itoke walikatala.waasi waingiye goma wafanye mixing.warundiye nibongo felix asemekweli walipatana nini kabila wakati balipatana
Munaaminiya aje hayo mambo alakini ujinga iyo kbs watarudi aje wakati wako siku wako nataka kuingiya
Kama Mamadou ali weza pima kumaliza vita nikwasababu akuongozwa na na bale ba tertre ya monusco
Basi nibongo banakimbiya
Ibitu ilisa onesha aya kuba ongozi abiko tayari ku saidia innji ruchwa ina pita na ku zarau aki ya wa population
Acha bongo siye atuami American
Wacongomani hawana adabu muntu ukifika rengo ra kura nyama ya mutu mwenzako isitoshe ni jirani yako utashindwa kuiba mufuko wa unga au mafuta. wachana nao wameraaniwa
Muffanye moburiz wavijanawote wajitokeze wapiganiye injiyao lukowengi nyinyiote muungane mukono lufukuze wafransa monisiko nyiewote musimame mupiganiye injiyenu
Hsiwezakani tunyanyaswe tena na wanyarwanda
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
My brother journalist why are this people doing this to is on brother's?
Acha vaende kule viko njala vafanye Nini hakuna l'ETA ita lipa.?😢😢😢
Rwande tika makelele
Mushi ni mushi tu
Fake news