Thresher Kutoka Agricom Africa
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 29 ม.ค. 2025
- Tafiti zinaonyesha kilo 30 hadi 40 katika kila kilo 100 za nafaka hupotea kutokana na upotevu wa mazao baada ya hatua ya mavuno (post harvest loss)
Upotevu huu unaweza kudhibitiwa kwa kutumia teknolojia sahihi za uchakataji na uhifadhi wa mazao baada ya mavuno.
Jipatie mult-crop thresher(Mashine ya kupiga mazao) yenye uwezo wa kupura, kupiga na kupembua mazao tofautitofauti kama
✅️mpunga
✅️Mahindi,
✅️ mtama,
✅uwele
✅️Maharage
✅Alizeti n.k
Kwa mawasiliano zaidi fika katika ofisi zetu au wasiliana nasi kupitia 0745350778