SIRI NZITO TOKA VITABU VYA WAYAHUDI WENYEWE KUWAUWA WAPALESTINA PROFESAR HAMZA NJOZI AISIMULIA .

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 พ.ย. 2023
  • Saimu Gwao Online Tv ni chanell inayojihusisha sana na vipindi vya dini vyenye mafunzo kwa jamii na matukio tofauti yenye manufaa Tunapatikana Masjid Mtoro Jijini Dar Es salaam. Kwa mawasiliano zaidi 0713471090

ความคิดเห็น • 175

  • @husseinshaaban3518
    @husseinshaaban3518 9 หลายเดือนก่อน +13

    Hizi nondo ni adhimu sana lakini hatuzipati kabisaaaa Allah akulipe kheri Prof

    • @mustafamatata3795
      @mustafamatata3795 8 หลายเดือนก่อน

      Unazipata vipi kwa mifumo hiiii tuliowekewa akili ndogo kutawala akili kubwa

    • @SelemaniMajengo-dk1hb
      @SelemaniMajengo-dk1hb 8 หลายเดือนก่อน

      @@mustafamatata3795 r

  • @user-tf5yt5pt4p
    @user-tf5yt5pt4p 7 หลายเดือนก่อน +1

    Allah akubariki profesa

  • @chalokalunde9429
    @chalokalunde9429 9 หลายเดือนก่อน +7

    Yaani dunia nzima watakubali Wayahudi Nawa power Nauli Influence hicho nikiwa kipawa inaonyesha wamebarikiwa na Mungu.

    • @user-mf4km2gi9l
      @user-mf4km2gi9l 8 หลายเดือนก่อน +6

      Hata ibilisi ana kipawa lakini Cha motoni milele SI kuweza hayo ndio kubarikiwa shetani anaweza kua msaidizi wao na MATENDO yao yanajidhihirisha ni wafuasi lusifa

    • @user-fu7mw3jo6r
      @user-fu7mw3jo6r 8 หลายเดือนก่อน

      Wamebarikiwa kufanya mauaji bila hatia😏😏

    • @user-fu7mw3jo6r
      @user-fu7mw3jo6r 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@user-mf4km2gi9lkabisaa bro

    • @raymondjohn3798
      @raymondjohn3798 8 หลายเดือนก่อน +2

      Ha wapi!Wale nimatajiri Tu pia Na support ya ndugu zao wa Marekani,Na Ndio wanaongoza kiubaguzi duniani.

    • @HakizimanaZainab
      @HakizimanaZainab 8 หลายเดือนก่อน +1

      Najifunza mungu akupe afia n'a maisha mazuri uko wa maana kwenye jamii

  • @hamisijuma3276
    @hamisijuma3276 8 หลายเดือนก่อน +3

    Yesu alikuwa myahudi????
    Musa alikuwa muisilamu au myahudii???
    Hao wote wote wawili ktk Koran inasemaje?? Wanatokea wapi???? Ulaya ? Makka au wapi? Tupe ukweli?

  • @zenassylvester125
    @zenassylvester125 8 หลายเดือนก่อน +1

    Watu wanashindana na Taifa teule na Taifa Barikiwa la Mungu,
    Hapo ni sawa na kumwambia Mungu ulikosea kuwabariki wayahudi....
    Aliyebarikiwa kabarikiwa tu hakuna kingine.....vilivyobakia ni kelele tu.

    • @ayshasaid1547
      @ayshasaid1547 8 หลายเดือนก่อน

      Mungu alisema awauwe Palestine au ndio uzuzu wenyewe

    • @zulekhaa6817
      @zulekhaa6817 8 หลายเดือนก่อน +1

      Huyu ni ktk wake wanaoamini ujinga, eti mayahudi ni taifa teule. Mnadanganywa n mnadanganyika basi hata hamna akili y kufikiria

    • @user-tf5yt5pt4p
      @user-tf5yt5pt4p 7 หลายเดือนก่อน

      Wewe mbumbu ndomana umekuwa mkristo yesu ndio alitaka kupigwa nahao wayahudi musa alisumbuliwa nahao wanaosapoti ushoga ndo kundi moja nayahudi wewe mbumbu kutoka wapi hujui chochote na ukiristo huo namapapa washaanza kuwatangazia ushoga hiyo sio dani banana!!!badilika

  • @mtae5504
    @mtae5504 8 หลายเดือนก่อน +1

    Izarieli haiwezi vita mpaka wasaidiwe na wamagharib.wasimame wenyewe waone bila msaada wa marekani au nchi za ulaya waone

  • @eliaskangabo779
    @eliaskangabo779 8 หลายเดือนก่อน +1

    Profesa Mungu akubariki kweli malezi ya watoto ni ya wazazi na si vinginevyo

  • @user-lt1bi5nr1x
    @user-lt1bi5nr1x 7 หลายเดือนก่อน +1

    Wazee hadimu sana hawa Allah akutunze

  • @WestonMbuba-ff4jk
    @WestonMbuba-ff4jk 8 หลายเดือนก่อน +1

    Profesa wangu chuo kikuu cha dar es salaam 1997/2000

  • @abdulgwelo7150
    @abdulgwelo7150 9 หลายเดือนก่อน +1

    Baarakallaah fiyka shekh

  • @FadhiliMrutu-uj2ef
    @FadhiliMrutu-uj2ef 8 หลายเดือนก่อน

    Hata yanafanywa Sana na wanasiasa wahuni,hata Tanzania yapo

  • @user-lt1bi5nr1x
    @user-lt1bi5nr1x 7 หลายเดือนก่อน

    Barkallahu fiiq

  • @Amina-rr8ve
    @Amina-rr8ve 9 หลายเดือนก่อน +2

    Maashallah ahsante kwa elimu prof

  • @JafarHussein-qe6ly
    @JafarHussein-qe6ly 8 หลายเดือนก่อน +2

    Wengine kweli ni mazuzu hawajui mchezo mchafu wanao cheza jeshi la Israel na Hamas kuwauwa waparestina lkn wengine wanajua ila wanajitoa ufaham.

  • @rajabjuma277
    @rajabjuma277 8 หลายเดือนก่อน +2

    semeni basi waengereza wameisababishia zanzibar kutawaliwa na watanganyika

  • @NgengeMkeni-uo5hq
    @NgengeMkeni-uo5hq 8 หลายเดือนก่อน

    Hakika Wayahudi wamebarikiwa na Mungu. Taifa dogo namna hii lakini linaendesha dunia.. alhamdulillah🤲🏿

    • @Umsuleym4378
      @Umsuleym4378 8 หลายเดือนก่อน +1

      Wamebarikiwa kukataliwa au wewe hutakikuelewa?

    • @NgengeMkeni-uo5hq
      @NgengeMkeni-uo5hq 8 หลายเดือนก่อน

      @@Umsuleym4378 Jibu unalo mwenyewe

  • @jamesraphaelmdima4729
    @jamesraphaelmdima4729 9 หลายเดือนก่อน +2

    Taifa la Islael ni ahadi ya Mungu kwao na walipomkosea Mungu alisema atawatawanya kwenye mataifa na aliahodi kuwarudisha na kuanzisha Taifa lao.

    • @abuubilal2646
      @abuubilal2646 9 หลายเดือนก่อน

      We huna ulijualo

    • @mohammedamour4930
      @mohammedamour4930 9 หลายเดือนก่อน +2

      Taifa la mungu linaunga mkono ushoga?

    • @venancembwaga-uw6kb
      @venancembwaga-uw6kb 9 หลายเดือนก่อน

      😂😂 unabii lazm utimie si mayahud wote ni mashoga ni saw na waisilam wengine ni mashoga iyo ni dhambi ya mtu mmoja mmoja sio nchi nzim

    • @TabuOdhiamboOmiya
      @TabuOdhiamboOmiya 9 หลายเดือนก่อน +1

      Unapoongea pia tupe andiko si maneno ya kichwa tu hapa si kanisani kaka ambako mmezoea kuuambia watu maneno ya kichwani hapa ukiongea unafuatanisha na andiko kama hauna funga mdomo

    • @mohammedamour4930
      @mohammedamour4930 9 หลายเดือนก่อน +2

      @@venancembwaga-uw6kb mbona huelewi nch gani ya kiislamu iliunga mkono ushoga?israel inaunga mkono ushoga na nusu ya baraza la mawaziri ni mashoga

  • @user-jc4dy1xe1p
    @user-jc4dy1xe1p 8 หลายเดือนก่อน

    Mtihani duniani

  • @hafidhnzota2142
    @hafidhnzota2142 9 หลายเดือนก่อน +1

    History hiyo PROF inajulikana okay the Way forward Nini KUHUSU Dola la kiislaam na Waparestina?Wanauwawa wanachinjwa nk

  • @clarencehilary5588
    @clarencehilary5588 8 หลายเดือนก่อน +2

    Kabla ya wayahudi kuamuliwa😮 kuuwawa na adolph hitra walikuwa wanaishi nchi gani

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 8 หลายเดือนก่อน

      MAYAHUDI WALIKUWA WAKIISHI UJERUMANI NA NCHI MBALIMBALI ZA ULAYA. KIUFUPI MARA BAADA YA KUPANGA MAUAJI YA YESU KRISTO WAKUSHIRIKIAA NA WAZUNGU (WARUMI), MAYAHUDI WALIPIGWA LAANA YA KUTANGATANGA DUNIANI NA MWENYEZIMUNGU, NA HATA UTEULE WAO ULIISHIA HAPO MARA BAADA YA KULAANIWA, WAZUNGU KWA MASLAHI YAO WAKATENGEZA KIMAANDIKO DHANA KWA WAKRISTO IONEKANE BADO WAISRAELI NI WATAKATIFU ILI WASIPATE UPINZANI TOKA KWA WAKRISTO KWA KUSHIRIKI KWAO KUFANYA MAUAJI YA YESU KRISTO MSALABANI. WAZUNGU WALIWAKUSANYA MWAKA 1945 NA KUANZISHA TAIFA LA ISRAEL NDANI YA MASHARIKI YA KATI (UARABUNI), HALI AMBAYO INAONEKANA SI YA KUDUMU KWANI UKWELI UKIFAHAMIKA WANAWEZA KUNG'OLEWA MAHALA HAPO MUDA WOWOTE, NA NDIYO MAANA WANATUMIA NGUVU KUBWA KUSAMBAZA PROPAGANDA CHAFU ILI KUFICHA UNYAMA WAO WANAOTUMIA KUJILINDA.

    • @shabbymakapane
      @shabbymakapane 8 หลายเดือนก่อน

      UJERUMANI

    • @user-ij9te1ck9p
      @user-ij9te1ck9p หลายเดือนก่อน

      Waezrael wametapakaa Dunia nzima kiufupi Kila taifa Duniani wapo labda Africa baadhi ya nchi km Ethiopia eritria Morocco lkn kwa wingi wapo nchi za kiarabu middle east na ulaya.

    • @user-ij9te1ck9p
      @user-ij9te1ck9p หลายเดือนก่อน

      Hawakuwa na taifa sababu ya laana ya Mungu waliletewa mitume mingi iliyotoka ktk koo zao lkn waliwapinga na wengine kuwauwa km Nabii Zacharia a.s nabii yahya a.s mnamwita yohana.kiasilia nabii Ibrahim alitokea Iraq Kisha kuhamia Palestine na mkewe Bi Sara na kukuta wenyeji baada kutopata mtoto wakiwa wazee bi Sara alimwambia amuoe kijakazi wao Hajra na kupata mtoto WA kwanza Ismail kwa miaka kumi na mbili ndipo kuzaliwa nabii is,haraka a.s bi Sara alipozaa wivu ukapelekea Hajra kuhama Palestine na kuhamia Saudi Arabia na mwanawe Ismaili huko akaishi na jamii nyengine nabii Ibrahim huenda kumtembelea na kwa umri huo WA Ismail miaka kumi na mbili aliweza kumsimamisha nguzo ya Alkaba na baba ake nabii Ibrahim km muendelezo tu WA nabii Adam A.s na ndipo waislam wote Duniani uwelekeo WA ibada zao.

  • @abuukhorboshy3308
    @abuukhorboshy3308 7 หลายเดือนก่อน

    Sisi waislam tunacho kitabu kisicho shaka ndani yake tumeelezwa hila za wayahudi vizuri2

  • @chrisostomruta-cw3zf
    @chrisostomruta-cw3zf 8 หลายเดือนก่อน

    Profesa kaitetee Congo

    • @ramadhanimtetu3656
      @ramadhanimtetu3656 8 หลายเดือนก่อน

      Kongo inateswa na Uhutu na utusi watusi wengi wao ni zao la Kiyahudi
      Waliitaka yuganda pia

  • @guillaumebambea7938
    @guillaumebambea7938 9 หลายเดือนก่อน +3

    Mashkeik wote kazi yao kutetea waislam tu.

    • @FeisalDoctor
      @FeisalDoctor 9 หลายเดือนก่อน

      Unatak watetee nn

    • @HamisAbdallah-cj2sc
      @HamisAbdallah-cj2sc 9 หลายเดือนก่อน

      Kicheko sasa wewe unataka sheikh amtetee NANI? Muisilamu NDUGU YAKE muisilamu

    • @khatibal-zinjibari6956
      @khatibal-zinjibari6956 9 หลายเดือนก่อน

      @guillaumebambea7938.
      Na Maskofu wote kazi yao kutetea Wakiristo tu. Hata Baba wa Kanisa Rais Mkatoliki Nyerere, alikuwa Kiongozi wa kwanzo Duniani kuwatetea Makatoliki wenzake wa Biafra kujitenga na Shirikisho la Serikali ya Nigeria chini ya Uongozi wa Jenerali Yaqoub. Alifuatiwa na Mkatoliki Rais wa Zambia, Mkatoliki Rais wa Gabon na Mkatoliki Rais wa Ivory Coast. Ili kuwatetea
      Wakiristo, Nyerere, alimpidua Rais Muislam wa Uganda Idd Amin, baada ya kumwita NDULI na kumrejesha Madarakani Mkiristo Mwenzake Milton Obote. Kuwatetea Wakiristo wenzake, Nyerere alishirikiana na Mkiristo John Okello, Askari wa kukodiwa wa Uganda kuvamia Serikali Halali ya Zanzibar kwa sababu Mawaziri wote walikuwa ni Waislam na Wazanzibari.😂

    • @JafariAbdallah-ot9gp
      @JafariAbdallah-ot9gp 8 หลายเดือนก่อน +1

      Ndio na we kemea ndoa za jinsia Moja kanisani sawa?

    • @user-tf5yt5pt4p
      @user-tf5yt5pt4p 7 หลายเดือนก่อน

      Wewe kafiri ndo bla bla nakwaya zenu yesu hakuwahi kuwa nakanisa wala kuwafundisha kwaya acheni bla bla makafiri

  • @jamesraphaelmdima4729
    @jamesraphaelmdima4729 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ukitaka kuelewa soma Ezekiel 16,38,39

    • @FestoSungura-rr1uc
      @FestoSungura-rr1uc 8 หลายเดือนก่อน

      Ama kweli neno la Mungu ni unabii wa kweli halikuacha ata kitu kimoja, Wengi maandiko hawayasomi

  • @rajabjuma277
    @rajabjuma277 8 หลายเดือนก่อน +1

    Muengereza ndio alomkabizi nyerere zanzibar hata hao wazanzibar hawana mamlaka na nchi yao akishirikiana na mmarekan ndo mjuwe wazanzibar wakipiga kelele hofu yao ndio hiyo

    • @shabbymakapane
      @shabbymakapane 8 หลายเดือนก่อน

      Kwani Zanzibar ilitwaliwa na UINGEREZA na MAEKANI ???

  • @agustinohizza1395
    @agustinohizza1395 9 หลายเดือนก่อน

    Kwani Yesu walimuwa

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 8 หลายเดือนก่อน

      LENGO LA MAYAHUDI LILIKUWA HILO

  • @saidiyusufumuhode3159
    @saidiyusufumuhode3159 8 หลายเดือนก่อน

    Kweli shida inaanzia kwa waislam wenyewe wengi nivibaraka

  • @ShemsaKiobya
    @ShemsaKiobya หลายเดือนก่อน

    Palestine hakuna vita ila kuna mauaji wao nia yao kuwatoa wapalestina,

  • @allychengula3511
    @allychengula3511 8 หลายเดือนก่อน +1

    Profesa ahah et historia yake ni ndefu, tena unafupisha duu na watu hawauliiz, wale wapalestina ni mayahudi, ndio maana hamas, is na al qaeda wanawaua ndugu zao, na et leo mnashanga, je mnakumbuka apartheid policy south africa, elewa ndicho kinachoendelea mashariki ya kati profesa waafrika wanauliwa congo, sudan, somali land

  • @jamesraphaelmdima4729
    @jamesraphaelmdima4729 9 หลายเดือนก่อน +2

    Na kuna Muungano utafanyika kwa Mataifa mengi yakiongozwa na Urusi zidi ya Islael,haya yote yalitabiliwa na nabii Ezekiel.

  • @mabubakar1076
    @mabubakar1076 9 หลายเดือนก่อน +1

    Salamu aleikum, mbona Quran inasema Ardhi yote wamerithishwa Mayahudi? Magharibi ya Ardhi na Mashariki yake. Vp hapo?

    • @coyancodavao4004
      @coyancodavao4004 8 หลายเดือนก่อน +1

      Maelezo hayo umeyatoa aya gani?

    • @haidarsalum9228
      @haidarsalum9228 8 หลายเดือนก่อน

      ?

    • @ramadhanimtetu3656
      @ramadhanimtetu3656 8 หลายเดือนก่อน

      Mabubakar
      WEWE ni Msomi wa Kiislam ?
      Unajua Tafsiri ya Quran vizuri
      Umesoma wapi maneno hayo kuwa Ardhi yote ni wamerithishwa hao majamaa

    • @mabubakar1076
      @mabubakar1076 8 หลายเดือนก่อน

      QURAN Surah A'raf 7:137. Rudini kwa mola wenu awaongoze.
      Kwa uelewa wenu nyinyi, Bani Israeli ni mayahudi. Mimi sielewi hivyo.
      Kwa uelewa wenu nyinyi, ARDHI ni hii tunayoikanyaga, Mimi sielewi hivyo.
      Sasa nipe somo, hiyo ARDH iliotajwa hapo ni Ipi? Misri? Au Palestina? Na hao Bani Israeli ndio hawa Mayahudi tulionao? Naomba Jibu la Elimu tafadhali.
      @@ramadhanimtetu3656

    • @zulekhaa6817
      @zulekhaa6817 8 หลายเดือนก่อน

      Lete hiyo aya iliyosema

  • @user-mg6hn6os6y
    @user-mg6hn6os6y 9 หลายเดือนก่อน

    @sharomdguda..
    Record clip yako utueleze unavyojuwa wewe,comment yako haitoshi.

  • @bernardndemba2253
    @bernardndemba2253 8 หลายเดือนก่อน

    Wewe professor mwongo sana .peleka ujinga wako huko mwongo mkubwa

  • @doramtenga796
    @doramtenga796 8 หลายเดือนก่อน

    Tusichocheee bali tumuombe mwenyezi alete upatanisho ama ni tuombei na sio kuleta midahalo haisaidii hadithi nyingi sio utatusi

  • @pendosamwel1682
    @pendosamwel1682 8 หลายเดือนก่อน +1

    Si huwa mnapoga kelele kuw nanabii wote ni waislamu, wayahudi ni waislamu na kwamba Yesu alilingana Uislamu? Sasa ndo dunia inajua mbivu na mbichi...uongo wenu utajulukana tu!

    • @SaadabdulNgonyani
      @SaadabdulNgonyani 8 หลายเดือนก่อน

      Wewe ni myahudi, au mkristo?

    • @user-zd2kg6cc8g
      @user-zd2kg6cc8g 8 หลายเดือนก่อน

      Huyu ni mzushi TU, eti wakaenda nchi ya kiislamu, hajui lolote, Israel ipo kabla hata uislamu,

    • @shabbymakapane
      @shabbymakapane 8 หลายเดือนก่อน

      @@user-zd2kg6cc8g KANAAN ni Jina La Wapi Hivi Sasa ? Au Kwa Jina La Sasa Linaitwaje???

    • @mtae5504
      @mtae5504 8 หลายเดือนก่อน

      Acha chuki

    • @user-tf5yt5pt4p
      @user-tf5yt5pt4p 7 หลายเดือนก่อน

      Wewe hujuwi kitu ukihoji nahauna kitabu chakukueleza ukweri zaidi unaimbaimba kwaya nayesu hakuacha kwaya hakuna unacho jua musa alizaliwaje misri ama ibrahim baba wa mataifa alivyomzaa ismail walienda wapi acha ujinga kafiri

  • @khatibal-zinjibari6956
    @khatibal-zinjibari6956 9 หลายเดือนก่อน +1

    KILA UCHAGUZI WA ZANZIBAR
    😂TUUWE ZANZIBAR TUUWE
    MUUGANO UWE DAIMA😂

  • @babazungu3180
    @babazungu3180 9 หลายเดือนก่อน +1

    Wale makafir wakisikia haya maneno haya utaona mapofu yao midomoni

    • @nicksonlyimo1562
      @nicksonlyimo1562 6 หลายเดือนก่อน

      Sasa makafiri wanawapiga waislaamu mnaojiita watu wa Allah na watu wa dini ya hakhi inakuaje huyo Mungu wenu anawaacha mpigwe,na muwe na hofu kuingilia vita,? Matokeo yake mnashangilia mahakama ya kimataifa na kulaumu nchi zisizo saidia kwa wazi kijeshi ,mbo ni mambo ya aibu kushindwa na kafiri? Inakuaje?, Hakuna namna yeyote professor utaacha kuishi chini ya mwavuli wa wazungu hata koti lako tuu linaeleza kua Bado unaeneza utamaduni wao pia viatu ,hata Kama wewe ni mshabiki wa mpira Bado wameahakushinda kiakili tayari ,huwezi aminika katka Dunia ya Leo kama hujajulikana na wazungu na kua na elimu ya msingi wao ,nchi zenyewe za Kiarabu zinategemea wazungu asilimia 85 ya maisha Yao na bila hivyo mambo hayaendi Sasa haku afrika ndio usiseme wasomi wanatafuta nafasi za maisha kwa wazungu na viongozi wa afrika Kila kukicha wanaamkia kwa wazungu unadhani bila wao Nini kitaendelea ? Tukubaliane tuu kua Yule ambae Mungu amemtukuza duniani Ili awe kiongozi wa wengine hatuwezi kumshusha kwa maneno Wala elimu Wala kijeshi kwani Dunia inakamilishwa na utawala na uongozi Bora na nguvu imara na hekima ya uwezo wa kuamua mambo kwa wengine ,na hiyo ni kanuni ya Kiroho au ya Mungu kua ktk wanadamu Kila mtu anae mkubwa anae mfanya awe mnyenyekevu au ajishushe na kinyume na hapo njaa itakufanya usujudu ,Hao wapalestina mnao watetea wanasaidiwa na wazungu asilimia 90 kwa Kila kitu haswa ukizingatia nchi za Kiarabu Huwa za mwisho kusaidia mahali popote wazungu ndio wanawafanya palestina na waarabu wengine kusonga mbele haswa kwa kua wazungu wanaendesha biashara kubwa na waarabu na ukizingatia pia mafuta Hadi kesho yanachimbwa na wazungu kwa mkataba au hisa

  • @isaacnewtonmmary3377
    @isaacnewtonmmary3377 8 หลายเดือนก่อน

    Shee Unadanganya Mimi naijua Historia Kuliko wewe Aiseeee sio Kweli......

    • @abdallahdullah8642
      @abdallahdullah8642 7 หลายเดือนก่อน

      Wayahudi hawakuwa na makazi maalum walienea Duniani ktk nchi tofauti tofauti, hata Tz walikuwepo ingawa walikuwa kdg,
      South Africa wapo hadi Sasa lkn hawakuwa na taifa hadi mwaka 1947 kwa msaada wa uengereza ndo wakajikusanya Palestina kutoka ulaya mashariki na kuunda taifa Lao.

    • @user-ij9te1ck9p
      @user-ij9te1ck9p หลายเดือนก่อน

      Ata zuchu anayo historia

  • @zenassylvester125
    @zenassylvester125 8 หลายเดือนก่อน

    Swali dogo nchi ya ahadi waliyopewa wayahudi na Mungu katika quran ni ipi?

  • @pendosamwel1682
    @pendosamwel1682 8 หลายเดือนก่อน

    Kama mgogoro unawahusu, kwa nn hamjaenda kuwasaidia? Mnaogopa kupigwa?

    • @mussammanga7791
      @mussammanga7791 8 หลายเดือนก่อน +2

      Wewe mwenyewe unatafutwa na Wayahudi.Hawataki ata kukuona.

    • @yassinhamza1969
      @yassinhamza1969 8 หลายเดือนก่อน

      Ww ulienda ngorongoro kutetea wamasai ktk nchi yako

    • @user-ij9te1ck9p
      @user-ij9te1ck9p หลายเดือนก่อน

      Kweli kichwa maji

  • @zenassylvester125
    @zenassylvester125 8 หลายเดือนก่อน

    Power sio kua na watu wengi professor Power ni kua na watu wenye hekima na uelewa ndio maana wayahudi wapo wachache lakini wanawazidi waislam billions kwa akili zao na vipawa walivyopewa na Muumba.

    • @omalijohn-il9xe
      @omalijohn-il9xe 7 หลายเดือนก่อน

      Hawana paw yoyte wayahud Bal wansaidwa na mataif a yenye nguvu ya kikafr

  • @user-zd2kg6cc8g
    @user-zd2kg6cc8g 8 หลายเดือนก่อน +1

    Shekh usijifanganye wala usidanganye watu, eti ninyi ni wengi? Swali mbwa anaezaa watoto wengi mara mbili kwa mwaka, tena bila kuchinjwa, na ngombe anaezaa mtoto mmoja kwa mwaka, nani wengi?

    • @user-tf5yt5pt4p
      @user-tf5yt5pt4p 7 หลายเดือนก่อน

      Nyie makafiri ndio hamjielewi

  • @doramtenga796
    @doramtenga796 8 หลายเดือนก่อน

    Muwe na ufahamu mzuri israel na hamas hawapiganii dini bali ni ardhi tusichanganye mada

    • @abdulkatalango2890
      @abdulkatalango2890 8 หลายเดือนก่อน

      Nani kasema wanapigania dini?

    • @user-tf5yt5pt4p
      @user-tf5yt5pt4p 7 หลายเดือนก่อน

      Wewe ndo hujui wanacho pigania wewe munatangaziwa ushoga namaskofu mapapa na marekani muingeleza waafrika msio jielewa kanisa linawapeleka wapi

  • @sammynyalleKe
    @sammynyalleKe 9 หลายเดือนก่อน

    Uongo!
    Mbona Wapalestina waanze huu uvamizi sasa!? Acha wapate adhabu yao. Israel cant relent

    • @JafarHussein-qe6ly
      @JafarHussein-qe6ly 8 หลายเดือนก่อน

      Wewe ni wakawaida sana huwezi jua mchezo wanao ucheza Israel ili kupata sababu ya kuwauwa waparestina.

    • @ladislausngoyinde4384
      @ladislausngoyinde4384 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@JafarHussein-qe6lykwa hiyo unataka kutuambia kuwa waisrael waliwaambia Hamas wavamie Israel na kuua watu ili Israel ianze kuua wapalestina??! Yaani kwa fikra kama hizo ndo maana kila palipo na mwarabu hakuna amani

    • @JafarHussein-qe6ly
      @JafarHussein-qe6ly 8 หลายเดือนก่อน

      @@ladislausngoyinde4384 kwanini Israel haiwaadhibu Hamas kama ndio walio wachokoza badala yake wanashughulika na kuangamiza watoto na wanawake wa Gaza ambao hawajahusika ktk huo uchokozi wakati wana MOSAD na IDF?

  • @balusilunganyi1387
    @balusilunganyi1387 9 หลายเดือนก่อน +2

    Ajabu moja iliopo ni kwamba Qoran inaruhusu muislam kudanganya ili kuitetea dini. Mbona iwe hivyo!!!

    • @mohammednassor3614
      @mohammednassor3614 8 หลายเดือนก่อน +1

      Mjinga wewe quran haisemi uongo wala hairuhusu kusema uongo

  • @alexalute6712
    @alexalute6712 8 หลายเดือนก่อน

    Baba yangu Mambo ya wayahudi na wapalestina ni Jambo gumu saaana; ni ndugu wanaogombania maeneo matakatifu. Soma Mwanzo 25:5-6 pia Soma Zab 76:1-3

  • @clarencehilary5588
    @clarencehilary5588 8 หลายเดือนก่อน

    Kwanini mashehe watu wenu wanafanya uharifu halafu mnawakalia huo ni ujinga

  • @jolinkimaro9939
    @jolinkimaro9939 7 หลายเดือนก่อน

    Yani unaweza kuwa professor lakini ukivaa ulevi unaitwa dini, fikra zinaondoka. na akili zako kama mtu mzima yaani siri iwekwe kwenye kitabu alfu wewe upate hicho kitabu? Yaani umeuvaa uislam mpaka unatetea vitu hata havina mashiko. uislam wenyewe hadithi zinasema KIAMA HAKITASIMAMA MPAKA TUWAUWE WAYAHUDI WOTE". Sasa we nilisikiliza nikafikiri umeelimika lakini naona udini tu.

  • @pendosamwel1682
    @pendosamwel1682 8 หลายเดือนก่อน

    Tatizo lenu mnasoma kile Allah anawambua katika Quran na hamtaki kusoma kile Yahweh anasema katika Biblia. Mnafiniri Wayahudi hawana nchi. Hata kama Waislamu wote mtaungana, hamuwawezi. Mtapigwa sana tu

    • @SaadabdulNgonyani
      @SaadabdulNgonyani 8 หลายเดือนก่อน +1

      Huo sio ukweli. Ghaza ni sehemu ndogo sana kama Israel ina nguvu hizo mbona limeenda jeshi la marekani na silaha za Kila Aina kwa ajili ya kuwasaidia mayahudi? Na bado wanawaza kutumia nyuklia

    • @mohammednassor3614
      @mohammednassor3614 8 หลายเดือนก่อน +1

      Subiri utaona

  • @HassanJambia
    @HassanJambia 9 หลายเดือนก่อน

    Na ww hakuna taifa la izrael Kuna taifA la kaanani

    • @BinHakim
      @BinHakim 9 หลายเดือนก่อน

      Netanyahu ni waziri mkuu wa Kaanani au Israeli?

  • @wallacesalimu5754
    @wallacesalimu5754 9 หลายเดือนก่อน

    Mze wewe hujui historia nenda kasome.BIBLIA . Kwa maoni yangu vita hii ilianza tangu David na Goliath
    David ni wa MUNGU, na goliath ni mphilisti (mpalestina,)

    • @coyancodavao4004
      @coyancodavao4004 8 หลายเดือนก่อน +1

      Hao waliopigana na Daudi siyo hawa njoo tukufundishe, wale ni majabari ambao waliondoshwa kabisa ktk ardhi hiyo, Nahuyo Daudi ni mtume wa Allah na ni muislamu.

  • @zenassylvester125
    @zenassylvester125 8 หลายเดือนก่อน

    th-cam.com/video/YTwQh72XUZo/w-d-xo.htmlsi=Q8fcL0wzJOZxrSFG
    Somo kidogo kuhusu akili kubwa

  • @MichaelShedrackRubai-kg3hg
    @MichaelShedrackRubai-kg3hg 9 หลายเดือนก่อน +1

    Hakuna profesa hapa ni bla bla tuu

  • @ladislausngoyinde4384
    @ladislausngoyinde4384 8 หลายเดือนก่อน

    Mbona hamuwaongelei mauaji yanayofanywa na waarabu darfur dhidi ya waafrika weus, mnatetea waarabu kuliko ndugu zenu waafrika wanaouliwa na haohao waarabu darfur, utumwa wa akili ni mzigo kweli

  • @sharomdguda
    @sharomdguda 9 หลายเดือนก่อน +1

    Nyinyi masheikh hacheni nyongo zenu kwa wayahudi, history ya wayahudi hatutaki kusikia habari za Balfour ya mwaka 1917, historia ya wayahudi tunaanzia kwenye Biblia na qurani. Uongo wenu ilivyo. Kwanza hakuna kitu kinaitwa wapelestina, Hawa ni waarabu hakuna kitu kinaitwa palestinians. Hao wapelestina wanazunguza lugha gani?! Hawa ni waarabu wapototoshe hao wanaokusikiliza km kawaida Yao hawajui kufuatilia Bali kusikiliza

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 9 หลายเดือนก่อน +2

      Huna adabu unabishana na pro. Humpati kwa lolote kwa elimu kwa imani huyu ana imani nzuri kuliko yako..!

    • @TabuOdhiamboOmiya
      @TabuOdhiamboOmiya 9 หลายเดือนก่อน +1

      Kuwa na nidhamu huyu ni shekhe

    • @abdiidi2494
      @abdiidi2494 9 หลายเดือนก่อน +2

      Wewe Hadi Leo umekaririshwa yesu ni mingu na miungu ni mitatu kwaulivokua hufatilii kitu

    • @azizimasenga3893
      @azizimasenga3893 9 หลายเดือนก่อน

      Mbona mapovu sna wewe mwanadamu.

    • @FeisalDoctor
      @FeisalDoctor 9 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂We mpumbav t hujijui at unpotok n unpokwenda

  • @aishathabit3732
    @aishathabit3732 9 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu njozi sio ndoto ameshindwa kujua mauaji ya Palastina sio sawa na ya wanazi na hapa ameonesha uduni wake wa kufikiri
    Wanazi sawa walitengeneza mauaji hayo
    Lakini suala la mayahudi ni uvamizi tangu mwaka 1948 na hiyo Ghaza wamesha chinjwa zaidi ya mara 10
    Sasa tukio hili kusema wamefanya mayahudi wenyewe lengo lako ni kuonesha kwamba kinacho wapata waislamu wa Ghaza wameyataka wenyewe

  • @pascal2415
    @pascal2415 9 หลายเดือนก่อน +1

    Tatizo ni pale waislamu wanapojipa umuhimu saana, kwani Palestinian wote ni waislamu? Tetea haki sio Udini .... Wewe ni mweusi na uliuzwa kama mbuzi na waarabu ambao ni waislam wenzako sasahivi unawaona kama ndugu nyooo

    • @khatibal-zinjibari6956
      @khatibal-zinjibari6956 9 หลายเดือนก่อน

      😂PALESTINE NA ZANZIBAR😂
      Chama Cha Mazaonism (CCM) na Chama Cha Mapinduzi (CCM).

    • @mamlomamlo9064
      @mamlomamlo9064 9 หลายเดือนก่อน

      Uislamu mbali na uarabu mbali sisi sote ni umati Muhammad hata wewe pia

    • @khatibal-zinjibari6956
      @khatibal-zinjibari6956 9 หลายเดือนก่อน

      @pascal2415.Islam ndio Dini pekee inayopinga Ubaguzi Duniani. Wakati wa Mtume Muhammad (SAW) Swahaba (Companion) wake Abdullah Salam (RA) alikuwa Muyahudi na Mshauri wake. Jee Wakiristo ni Mayahudi kwa sababu Yesu Kristo (AS) alikuwa Muyahudi?

    • @ladislausngoyinde4384
      @ladislausngoyinde4384 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@khatibal-zinjibari6956ni kichekesho, eti ni dini inayopinga ubaguz 😂

    • @khatibal-zinjibari6956
      @khatibal-zinjibari6956 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@ladislausngoyinde4384Baada ya kichekesho chako tupe ushahidi kuwa Uislam haipingi Ubaguzi.

  • @sharomdguda
    @sharomdguda 9 หลายเดือนก่อน +1

    Waongo wakubwa, mlijitia kumtishia na dola zenu hafifu mara Iran, mara uturuki wanatoa mapofu tuuuu hawana lolote. Mkatoe msikiti wenu bandia

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 9 หลายเดือนก่อน +3

      Muongo wewe na viongozi wako wanaokuongopea kuwa yesu mungu wakati yesu mwenyewe anasema ili upate uzima wa milele umjue yesu ni mtume tu yupo mungu wa pekee 17:3

    • @mwawekomiuda9779
      @mwawekomiuda9779 9 หลายเดือนก่อน +1

      Koma we mshenzi mkubwa. Akili yako sio sawa kwa sababu unamuabudu Binaadam. Msikiti bandia ni ule unaokwenda kuabudu wewe usiejitambua .

    • @SaidRojo-zt6kn
      @SaidRojo-zt6kn 9 หลายเดือนก่อน +2

      We ni mjinga Kama hao wajinga wenzako mayahudi.

    • @JafariAbdallah-ot9gp
      @JafariAbdallah-ot9gp 8 หลายเดือนก่อน

      Umemeza sumu ya kiyahud kenge wew

    • @muddymuzungu4357
      @muddymuzungu4357 8 หลายเดือนก่อน +1

      Inna lillahi Wainna Ilayhi Rajioun

  • @joejohn8115
    @joejohn8115 8 หลายเดือนก่อน

    Mseme ukweli nyinyi Waislam. Je ule Msikiti pale Jerusalem ni kweli ndiyo hapo Mtume Mohammad alipopaa kwenda mbinguni. Inakuwaje Mtume alikufa 632, na calipher Omary na majeshi yake waliiteka Jerusalem mwaka 638 na hatimaye kuanzia ujenzi wa Msikiti huo 682 mpaka 705
    SWALI je Mtume alipaiya kwenye eneo Gani? Maana miaka ya uhai wa Mtume Mohammad palikuwapo mabaki ya Hekalu la Daudi?
    Na je Waarabu walijiitaje Palestinian wakati ktk kiarabu hamna letter P?
    ACHENI HILA ZENU ZA KIDINI. SOMENI HAMAS CHARTER 1988 KIFUNGU 7, 11 na 13

    • @fadhilshafi2947
      @fadhilshafi2947 8 หลายเดือนก่อน +1

      usiandike tu kwasababu ulipelekwa shule ukajua kuandika.. fanya research katika sources sahihi ndio uje hapa kuandika nakuleta maswali yenye tija na hoja... usijiaibishe huku bure

    • @WestonMbuba-ff4jk
      @WestonMbuba-ff4jk 8 หลายเดือนก่อน

      @fadhilshafi2947
      Leta fact wewe unayeujua ukweli

    • @joejohn8115
      @joejohn8115 7 หลายเดือนก่อน

      Mm au wewe ndyo unajiaibisha!! Mmeja hila tu mbaka zinafanya msiyaangalie mambo ya Dunia kwa uhalisia wake?
      Soma kwanza sahih Al- bukhari 4950 ndiyo utajua hujui kuwa kumbe Allah mnayemuabudu ni Shetani mwenyewe

    • @abdallahdullah8642
      @abdallahdullah8642 7 หลายเดือนก่อน

      Palestina kwa kiarabu inatamkwa falastin, afu Ile sehem aliopaa mtume Muhammad s.a.w. ipo toka Enzi hizo kabla mtume unachosema ww ni maboresho tu.
      Ni km Alkaaba ya makka ipo kabla Muhammad ktk wkt wa Ibrahim lkn iliboeshwa tu.

    • @abdallahdullah8642
      @abdallahdullah8642 7 หลายเดือนก่อน

      Kuna watu wanadhani wayahudi ni wakristo na wanadhani kuwaunga mkono na kuwatetea ndio kuwa pamoja kiimani, ktk oparesheni zao wayahudi wanawahujumu Wapalestina awe muislam, awe mkristo au myahudi asili madhal wote ndio wenyeji wenye mitizamo ya kizalendo kwao huwa adui.
      Lkn tukumbukeni wayahudi wenye shida ni wayahudi wahamiaji toka ulaya mashariki na Amerika na sio wayahudi wa kazi halisi wa Palestina.

  • @aishathabit3732
    @aishathabit3732 9 หลายเดือนก่อน

    Hawa sio wasomi wenye kuwa na suluhisho bali wasomi makasuku yaani kuwa na msomi kama huyu ni sawa kuwa na vitabu mkononi tu,
    Msomi lazima aeleze tatizo Kisha atoe suluhisho
    Kuhadithia tu ni sawa na kitabu cha sauti

  • @allychengula3511
    @allychengula3511 8 หลายเดือนก่อน

    Hitla alikuwa myahudi asili, alitoa kafara wenzake

  • @sammynyalleKe
    @sammynyalleKe 9 หลายเดือนก่อน

    Uongo!
    Mbona Wapalestina waanze huu uvamizi sasa!? Acha wapate adhabu yao. Israel cant relent

    • @aishaarusha894
      @aishaarusha894 9 หลายเดือนก่อน

      Na wewe pia utaipata soon inshallah 😊

    • @sammynyalleKe
      @sammynyalleKe 7 หลายเดือนก่อน

      @@aishaarusha894 kaskie vbaya Huko.

    • @aishaarusha894
      @aishaarusha894 7 หลายเดือนก่อน

      @@sammynyalleKe koma

  • @user-lt1bi5nr1x
    @user-lt1bi5nr1x 7 หลายเดือนก่อน

    Alafu kuna wajinga wengi wanakwambia ni nchi ya Ahadi.