MAOMBI YA TOBA; KUMRUDIA MUNGU KWA KUOMBA MSAMAHA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • NENO+MAOMBI YA TOBA;KUMRUDIA MUNGU KWA KUOMBA MSAMAHA
    UJUMBE: WANADAMU TUNAPATANISHWA NA MUNGU ALIYE HAI,NA KUPATA UZIMA WA MILELE KWA MAUTI YA YESU KRISTO MWANAE,ALIYEKUFA NA KUFUFUKA KWA AJILI YETU
    Isaya 12:1
    Neno la Mungu linaseama:
    NA KATIKA SIKU HIYO UTASEMA,EE BWANA,
    NITAKUSHURU WEWE;KWA KUWA IJAPOKUWA ULINIKASIRIKIA,HASIRA YAKO IMEGEUKIA MBALI; TAZAMA MUNGU NDIYE WOKOVU WANGU NITATUMAINI SITAOGOPA
    =👆Dhambi inatutenga wanadamu na Mungu,lakini kwa kila moyo unaorudi kwa Mungu kwa unyenyekevu na kumaanisha,Mungu yupo tayari kusamehe na kughairi.
    kumbuka Warumi5:10-11👇
    Imeandikwa
    👂KWA MAANA IKIWA TULIPOKUWA ADUI TULIPATANISHWA NA MUNGU KWA MAUTI YA MWANA WAKE;ZAIDI SANA BAADA YA KUPATANISHWA TUTAOKOLEWA KATIKA UZIMA WAKE.👂WALA SI HIVYO TU, ILA PIA TWAJIFURAHISHA KATIKA MUNGU KWA BWANA WETU YESU KRISTO,AMBAYE KWA YEYE SASA TUMEPOKEA HUO UPATANISHO
    =👆hakuna msamaha wa dhambi,wala upatanisho na Mungu aliye hai bila DAMU YA YESU=kwahiyo lazima uamini Yesu Kristo alikuja kwa ajili yako;akafa na kufufuka kwa ajili yako na kukubali Damu yake ikusafishe..
    Facebook: / tasteofluxurytz
    Instagram: / tasteofluxurytz
    TH-cam : / tasteofluxury
    Tiktok. / tasteofluxury
    Pia tunapatika thread na Whatsapp @mediatanzania
    #MediaTanzaniaUpdatesb#safari #tanzania #utalii #pamoja #tunajengataifaletu #superbrand #brand #star #dodoma #arusha #media #news #mungu #god #kanisa #church #jesus #nameofjesus #zaburi #mwanzo #2024 #positive #people #sadaka #pray #mambi #semina

ความคิดเห็น • 1

  • @FaridaKessy
    @FaridaKessy 28 วันที่ผ่านมา

    Emeen mungu nisamehe yote nayo kukosea mm Kwan wewe ndio kimbilio langu kwa jina la yesu🙏🤲