Huyu mama anaongea kweli sheni kalal na bibi ndio maana hata bibi alivyo hojiwa studio alilia sana hivi ingekua Kiki angelia studio wale ni wapenzi jamani
Hawa.watu hawaeleweki but rose unasema kweli mara ilikuwa ni kiki sasa ni real life alikuwa Ana date naye siana pesa amejifanya kama kibibi cha kizungu
Huyu ni jirani mwema,tena ni dada wa kwelii,maana alisema kabisaa kabla halijatokea hili, Leo bibi /kinyanya ukosefu wake wa Adabu na ukware wake ndiyo uliomponza ,aseme na ngese zake😅😅😅😅
Kwa Mimi muislam naijua hukmu ya kiapo Yule kijana aliapa kwa Mwenye ezi Mungu kua shain alimfata kijana kua anataka bibibi afanye naye kiki kwa hio Mimi naamini Ivo tu
Kama aliweza kutuaminisha sisi wa mtandaoni kuwa ni wapenzi itakua jirani wanaoona hii ni kiki ambayo iliendana na ukweli Yule bibi kuigiza anaweza kweli mpaka kufanya watu mpaka sasa wanaamini ni kweli dah 😂
Nyie amjui tu yani mpaka apo bado muvi inaendelea yani ii ndio part 2 ikiishs mtawaona washiliki wote sema muve yao wamecheza vizuri wak siriyas kama wanaijeria
Tatizo hamukujuwa kumuhoji huyo jirani, kwenye video zake zazamani alisemaga huyo bibi nitajiri anamanyumba za kifahari na magari hilo ndoswali mungemuhuliza
Ypye tisa bibi kazingua sana tena sana kajidhalilisha sana tena sana ata kama ni kiki soyo ile yy ni mtu mzema amefundisha watoto nini bora ingekuwa ni kweli tungesema mapenzi haya chagui ika iyo kiki kazingua sana sana
Naamini bibi kalala na Shein na cyo kiki bibi alikua na tamaa za kimapenzi na watoto cc wenyee hao vijana twawaogopa bibi kajifedhehesha cheko lake bibi 😂😂😂
NYIE FOXE WACHENIII USHENZI WENU BABAAKE SHEIN KISHASEMA NI GAME NA BBI PIYA ANAIGIZA, WEWE UNAROHO MBAYA UTAFIKIRI SIO MWANAMKE MWENZIO MUNGU ANAKUONA MMI NASIMAMA NA BIBI NDIO MKWELIII 🙏🙏
Mpumbavu wewe unamcheka mwenzako unajiona wewe mtakatifu MALAYA TU WEWE na wewe ndio unatembea na Sheni kuku wee, mwandishi umehoji vizuri huyu ana bifu na Bibi, sikia mineno yake ya kimalaya nyoko huyu, kipini cha nn kama sio UMALAYA, KWENDA ZAKO
Ila uongo ni zambi kutafuta hera mpaka mnatengeneza uongo mnawalia watu uzuri hamfikagi mbali na tuchaneri hutu mlianza na aliegeuzwa miguu kuwa ya ng'ombe
Huyu jirani si jirani,naye kapewa pesa na shein.Mta ngazaji nenda nyumbani kabisa kwa jirani alafu akuoneshe nyumbanikwa bibi ujiakikishie km kweli ni jirani.Kawaida uwezi kuropoka maneno mengi hivi kwa jirani yako ambaye hujagombana naye.Bibi aliigiza vzr hadi tukaona ni ukweli yaani amekuwa best character kwa tuliopita vyuo vya sanaa tunajua.
Ur very right big up mummy karibu nairobi
Yule bibi muongo sana nawatt pia wahojiwe
Huyu mama anaongea kweli sheni kalal na bibi ndio maana hata bibi alivyo hojiwa studio alilia sana hivi ingekua Kiki angelia studio wale ni wapenzi jamani
Innalillah WA Innalillah Rajuun ndugu yangu Husna mungu Akulaze Mahala pema Peponi Amii.
Lakini kweli huyu jirani aliwahi kuongea kabla hakijanuka
Huyo bibi ni muongo, aache kuchezea watu akili..... Tamaa ya mwili ilikuponza, pole ya kwako bibi kizee😊😊😊
Hawa.watu hawaeleweki but rose unasema kweli mara ilikuwa ni kiki sasa ni real life alikuwa Ana date naye siana pesa amejifanya kama kibibi cha kizungu
Amna bibi kweli ni maskini huyu mama anataka kiki na yeye
Tena bibi ana adabu sana kutudhalilisha sana mshenzi tu
Af huyo bibi mbn mkubwa 60 tu apana
Ni kweli kabisa mama 👌👌
Kweli mama kabili unachosema ni kweli
Bib miak 60 anawezaj kuhimili mikik ya kijana wa miak 27😅😅😂😂😂 kama hatafuti kifooo huyu
Sie wenyewe mabint hatuwez
Njaa mbaya nanyinyi waandishi hebu tupumzisheni kwanza khaaaa
Huyu ni jirani mwema,tena ni dada wa kwelii,maana alisema kabisaa kabla halijatokea hili,
Leo bibi /kinyanya ukosefu wake wa Adabu na ukware wake ndiyo uliomponza ,aseme na ngese zake😅😅😅😅
Nimemlenda huyu bibi ana maneno 😅pambe😂😂😂
Umeongeya point💯✌🇧🇮🇧🇮
Kafungeni mkàaa muuze pesa haitengenezwi hivi umaarufu ni .mzuri sana ukikutafuta na ni mbaya sana ukiutafuta
Hongea mama mpe yak
This lady is true she once spoke about the relationship before kinuke
Nakukubali sana love you mama❤❤
Kwa Mimi muislam naijua hukmu ya kiapo Yule kijana aliapa kwa Mwenye ezi Mungu kua shain alimfata kijana kua anataka bibibi afanye naye kiki kwa hio Mimi naamini Ivo tu
Mbona kila siku jirani uyo uyo au Wana ugomvi binafsi?
@@اللهأكبر-ذ7ث3سnitakuwa shein amempanga
Na mm ni muislam lkn nimeamini yule kaka alieapa ni mkirsto lkn anajielewa na moja moja nimeamini yule shain ni muongo
Kwani uyo bibi anajilan mmoja tu
Kwakweli amezilalilishaaaaa😂😂😂😂😂😂
Mm nampa pole Bibi Kwa mzigo alojitwika halafu MTU ikifika eji ya 60 uheke upunguze 😬
Miaka ya nyuma 2009 alikuwa akiigiza
Hatumuamini mtu hapo, kama umepangwa na shein? Tutajuaje?
Uyo BB yuko sahihi anachokisema ni kweli bwana akome
Ww mama muongo sana umetumwa tokazako😏
Yule bibi alikua mpezi wake kweli. Shein anasem ukweli kalala nae.
Huyu naye mtu mzma ovyoooooi chefuuu sijui kapewa shiling ngapi
Ajapewa ata pesa uyu mama tokea mwanzo alimkanya
@@Rahima-v5j ww nae sasa hivo sivitu anapangwa unakuwa kama hajasoma cuba aya tuseme ndio kweli sasa yeye anashadadia nn
@@Rahima-v5j yule bibi anaigiza na n maskin hata ukimuangalia ty anaonyesha
Yule sio mke wake yule binti ni mnenguaji tu tafuta wimbo wa dulla makabila utamuona yule dada
Kama aliweza kutuaminisha sisi wa mtandaoni kuwa ni wapenzi itakua jirani wanaoona hii ni kiki ambayo iliendana na ukweli
Yule bibi kuigiza anaweza kweli mpaka kufanya watu mpaka sasa wanaamini ni kweli dah 😂
Uko sahh, huyu jirani mpumbavu mmoja hivi
Mwandishi ebu achana na huyo kahaba bwanaa, Kambili kambili mjinga tu
Hongera mama❤❤
Kama unajieshimu mbona unatumia mkorogo mtu mzima ovyoooo wewe mwenyewe unakidogodogo chako kinyemela
Huyu jirani mnafiki, na anaropoka kwa kua alikua hajui kilichokua kinaendelea, mwanamke anapenda shari
Hata mimi kila idara nina mvi😂
Nakupenda..sana..mama..yangu..utaki.upumbavu.kaa..na.msimamo..huohuo
Mama.Alex wewe mchawi Latifah alewa na mtoto wako ulimupovucha Latifah kwa nini kumusemea mwezako mzee mukoma
Heshima kitu cha bure ukiijiheshimu utaheshimiwa
Nikweli ashawahikuogea juma anasema ukwei
Muongo huyu. Wakati huo ilikua nyimbo ya Honey ya zuchu ilikua bado. Mie naona huyu amepanga na Shein kumdhalilisha bb wa miaka 60.
Wa TZ mumekuwa waogo siku hizi looo
Ujue ninyi foxe tv mnatuchechezea akili ,
Kweri,,mama❤
Mm namjua mpaka kwake anaitwa bb waida
Nyie amjui tu yani mpaka apo bado muvi inaendelea yani ii ndio part 2 ikiishs mtawaona washiliki wote sema muve yao wamecheza vizuri wak siriyas kama wanaijeria
😢kwa mtu mwenye akili timamu huyu bibi ametembea nahuyu
Km huyo jiran yake hapo hapo awapeleke apo kwa bib, mana bib si alisema pale wameomba tu nyumba
We mama auna utu, kwikiza kupo hiyo sio wakwanza kuwa na uruma.acha shobo utazibia na Mungu.
Tatizo hamukujuwa kumuhoji huyo jirani, kwenye video zake zazamani alisemaga huyo bibi nitajiri anamanyumba za kifahari na magari hilo ndoswali mungemuhuliza
Ypye tisa bibi kazingua sana tena sana kajidhalilisha sana tena sana ata kama ni kiki soyo ile yy ni mtu mzema amefundisha watoto nini bora ingekuwa ni kweli tungesema mapenzi haya chagui ika iyo kiki kazingua sana sana
Hana adabu yule bibi mashavu yamempolomoka Yani kuna mizee mingine visheti sio game bwama akili hana yule achana nae shame on her
😜🙉
Bigup shein
Chefuuuu mtu mzma ovyooooo
Kuhusu kisheriya uyobibi hanasheriyaaaaa😂😂😂😂😂
Mbona huyo shein mwenyewe kashaanza kusema alitaka kutoa nyimbo yake atamuona bibi kwa wakati wake
th-cam.com/video/-hFMFWoQQyo/w-d-xo.htmlsi=m2eQOrhDz23Eo2fs hii ni kali sana wapendwa 😂😂😂😂nyanya rukia mwenyewe😂😂🔥
Wote kwenye hii issue ni waongo na FOXE tv wanajua🙄🙄
Kweli
Bibi ndio mkweli Kwasababu lau Shaine angekuwa anampea pesa Bado kiki kingekuwa on
Alitaka achukuliwe yeye nyoko huyo, anajilegezaaa anataka kutongozwa na mwandish
🤣🤣🤣🤣kala za kichwa bibi wa watu duuuu
Jmn hii chaneli inanikera sana,mbona kma.mnatafuta kukuza chaneli ynu.
Huyo bibi ana zambi kambaka huyo. Kaka kwasadadu bado mtoto sana huyo kijana
Mmmh huyu bibi mkorofi na hawaelewani
Bibi wa 60 ni mwigizaji wewe mama pia unatafuta kiki juu ata icho kipini Kwa pua kinakuuza mambo ya watu achaneni shughulika na ya kwako
Uyu mama shetani muongo
Naamini bibi kalala na Shein na cyo kiki bibi alikua na tamaa za kimapenzi na watoto cc wenyee hao vijana twawaogopa bibi kajifedhehesha cheko lake bibi 😂😂😂
Huyu mwanamke muongo. Yule bb hajaelekea kua ana pesa.
Sema hawa wana tuchanganya mala bibi anayo pesa mana hana pesa wana zingua tu
Muna inadi Wana Habari tuko bizi na duwa warida arudi kwa mmke msituchoshe
Na huu mama anataka ajulikane. Sasa tuamini mwenye kazi yake. Afuu huu mama ashamuomba yule bibi msamah. Hii video ina mdaa San
Nyie wesenge tume wachoka muna tumalizia mb zetu
Uani bibi mjinga sana huyo mzalilishaji
Akome
Mbn km kweli Sasa
Ila hata mm naamini..kama ni kutao wimbo ndiyo kipindi chose kile na sehemu za gharama ikiwa Sheni hana hela
we mama acha uongo. mtu wa miaka 50 sio wewe wewe una zaidi ya 65 acha uongo
Hata mimi siamini ati ilikua kiki, alikua mpenzi tu
Ohoooo sasa tumuelewe nani?
Huyu mama kapangwa, acha kwangaika nae mwandishi.
Ni dhambi sana kama amepangiwa 😭😭
Huyo Bibi alikuwa msanii wa bongo
Huyu mama kama miye Mimi siwezi pia kudhalilika na vijana
Mama mi niko
Eti vipesi , gym😂😂😂😂😂bbbbb😂😂😂
Jirani wabibi mashavu. Makubwa
Hajui mana ya kuigiza ni nn na ana uhakika wamelala Pamoja au alikua anaigiza
Hiyo move iko wapi sasa
Mimi kwa upande wangu bibi apewe kiapo cha kama haja lala na shein basi alipwe hela yake
NYIE FOXE WACHENIII USHENZI WENU BABAAKE SHEIN KISHASEMA NI GAME NA BBI PIYA ANAIGIZA, WEWE UNAROHO MBAYA UTAFIKIRI SIO MWANAMKE MWENZIO MUNGU ANAKUONA MMI NASIMAMA NA BIBI NDIO MKWELIII 🙏🙏
Kwa kweli hawa wamepangwa ila Mungu anawaona ni dhambi kubwa sana 😭😭😭
Huyu mama kama anaongea ukweli jmni mm naona jiran hana baba
Jmn huyu mama hajielewi
❤❤❤❤❤❤
Hakuna majirani wengine??
🤣🤣🤣🤣
Kijana kakimbia na kumuibia 😂
Umeongeya pointed dada
🤣🤣🤣🤣kwakweli
Duuuuuuuu jaman dunia tambala bovu
Wewe mama wacha kusema unafik.utakufa kinywa wazi..shenzi
alipokuwa anamsugua ulikuwa kungwi
Huyu bibi uongo c wspenzi wale
Mnatafuta views tu nyie tumewastukia!!
Mama uliongea Sana
Ukifuatilia tangu mwanzo huyu ni hawara yake
😅😅😅😊
Mpumbavu wewe unamcheka mwenzako unajiona wewe mtakatifu MALAYA TU WEWE na wewe ndio unatembea na Sheni kuku wee, mwandishi umehoji vizuri huyu ana bifu na Bibi, sikia mineno yake ya kimalaya nyoko huyu, kipini cha nn kama sio UMALAYA, KWENDA ZAKO
Mtu mwenye pesa anajulikana yule bibi Hana pesa
Ila uongo ni zambi kutafuta hera mpaka mnatengeneza uongo mnawalia watu uzuri hamfikagi mbali na tuchaneri hutu mlianza na aliegeuzwa miguu kuwa ya ng'ombe
Hatujawai fanya ivo sisi tafadhali
Huyu jirani si jirani,naye kapewa pesa na shein.Mta ngazaji nenda nyumbani kabisa kwa jirani alafu akuoneshe nyumbanikwa bibi ujiakikishie km kweli ni jirani.Kawaida uwezi kuropoka maneno mengi hivi kwa jirani yako ambaye hujagombana naye.Bibi aliigiza vzr hadi tukaona ni ukweli yaani amekuwa best character kwa tuliopita vyuo vya sanaa tunajua.
😂😂😂😂hata kipofu naye
😂😂😂😂
Wewe. Nae hauna akili unaongereaje mamboyaliyopita ata wewe kunaunachokitafuta kama unabusala iwe mwisho kuona sulayako apo