JINA EPISODE 8 | MTU | Benroyal Pictures |

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 396

  • @ImaniBandiko
    @ImaniBandiko ปีที่แล้ว +3

    Daaaah wanangu m.t.u n benroyal mnatisha sana kweny hii move

  • @munirabedi-wg9jl
    @munirabedi-wg9jl ปีที่แล้ว +2

    Sema mnatuzingua Sana ms
    ipende kurudi nyuma songeni mbele tujuwe mmoja mnaka Sana

  • @davidmpepo9298
    @davidmpepo9298 ปีที่แล้ว +4

    Kimyaaaa mala gafla iyo nimefurahi kuniona tena ❤

  • @naomychavala-py2xq
    @naomychavala-py2xq ปีที่แล้ว +4

    Qali sana....hii ......muendelezo tunaomba mapama wandewa......

  • @shalifumwakalukwa1317
    @shalifumwakalukwa1317 ปีที่แล้ว +3

    Daaa kitambo adi nilisahaau kabisa😢😢🎉🎉😂

  • @asmatabdallah1368
    @asmatabdallah1368 ปีที่แล้ว +4

    Mlikuwa wapi jaman 😢tuli wa misiiii❤❤❤

  • @mayaashassan3918
    @mayaashassan3918 ปีที่แล้ว +3

    Nilisubria adi cmu ikaniaribikia😢😢😢 ahsanteni sna 🎉🎉🎉

  • @selemanisozi936
    @selemanisozi936 ปีที่แล้ว +2

    🎉 dah mnatufanya tunasahau tuliko ishia na NGOMA ni Kali sana mnatuangusha kinyama

  • @fatmahmed5647
    @fatmahmed5647 ปีที่แล้ว +4

    Movi ninzur ila mnakaa san hadi tunasahau tulipo ishia ❤❤

  • @rachealkitsao259
    @rachealkitsao259 ปีที่แล้ว +4

    Waaah niliisubiri sana❤❤❤

  • @daddyarfaksadi
    @daddyarfaksadi ปีที่แล้ว +4

    Duuuuh nyinyi nooma❤❤

  • @MuhammadMbamba
    @MuhammadMbamba ปีที่แล้ว +16

    Jamani tumesubiri Kwaham sana mashabiki zenu tunaipenda kazi zenu naamini mtapiga hatua kwa lengo mnalo hitaji God bless you guys..🙏🙏

  • @estherkemunto
    @estherkemunto ปีที่แล้ว +3

    Wow finally benroyal media ilove you from kenya❤❤ nawapenda sn

  • @ThomasBenedicto-p5d
    @ThomasBenedicto-p5d ปีที่แล้ว +3

    WAnangu mnajitahidi sana,hatujui n changamoto zipi mnazipitia lakin Mungu atahwayangulia

  • @bonventrychevai5183
    @bonventrychevai5183 ปีที่แล้ว +3

    Subira kwa muda ila asante kwa kurudi tena wakuu👏🇰🇪

  • @carsoncarter53
    @carsoncarter53 ปีที่แล้ว +4

    Yoooh yoooh to be honest I'mso happy to see this one wow

  • @kimwerjumaa5190
    @kimwerjumaa5190 ปีที่แล้ว +3

    Movie nzur yenye mafundisho mazuri niliimis Sana yani

  • @mcbartonkesh3664
    @mcbartonkesh3664 ปีที่แล้ว +2

    Froma Kasulu Kihoma,Mapigo na Mwendo.MTU

  • @elibarakaadam1050
    @elibarakaadam1050 ปีที่แล้ว +3

    Sa msikae sana maana paka tunachukia kitu kizuri aiseee jitahidini

  • @omarykimamure7656
    @omarykimamure7656 ปีที่แล้ว +4

    Kaz nzur benroyal🔥🔥🔥

  • @eliudlegnald4565
    @eliudlegnald4565 ปีที่แล้ว +2

    ❤❤ da aisee tulikaa linyonge sana mpaka nilikata tamaa yani ila nashukuru imerejea na furaha imerudi

  • @athmanmushi4283
    @athmanmushi4283 ปีที่แล้ว +4

    Dah um ndan kuna unyama mwingi sana wa Action mixer masong ya kwenda asee,swal je kuna mwendelezo au ndo tusubil sana

  • @sureonelinetv3934
    @sureonelinetv3934 ปีที่แล้ว +3

    nili subiri sana kazi ya ben nakubari sani ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @fihimmohd5432
    @fihimmohd5432 ปีที่แล้ว +2

    Ohh hongereni mumerudi TENA. Tuambieni bas Mulikuwa wapi mbn kimya kirefu sana

  • @liberiolushita6481
    @liberiolushita6481 ปีที่แล้ว +3

    Oya we mtuuu❤

  • @brightonvictorkimsehyeon7892
    @brightonvictorkimsehyeon7892 ปีที่แล้ว +3

    Niliisubiri kwa ham sana ❤❤❤ nawakubali xana hawa jama

  • @wasafi_charts1771
    @wasafi_charts1771 ปีที่แล้ว +2

    Benroyal uko vizuri kaka hongera

  • @paulmwaikole771
    @paulmwaikole771 ปีที่แล้ว +13

    Mungu awabariki kwa kutuletea series yetu pendwa yenye mafundisho....
    Hakika mmejua kunifurahisha🙏🙏🐥

  • @johnmajiulaya
    @johnmajiulaya ปีที่แล้ว +2

    Nawakubari sana, yani Mnajuwa kufanya kazi mpka basi yani

  • @EdibiliSalum
    @EdibiliSalum ปีที่แล้ว +5

    Kwaheshima ya hii muv naaza kuangalia sehem ya 7 kwanza ndio niendere
    Nimeisubili sanaaaa

  • @calvenycachelu9778
    @calvenycachelu9778 ปีที่แล้ว +2

    Nawapenda wote mnajua coz nawakubali sana

  • @meckytossy9160
    @meckytossy9160 ปีที่แล้ว +4

    Abel bhana ety huyu si mkristo uoni anavyovaaa

  • @danielhalimenshi4649
    @danielhalimenshi4649 ปีที่แล้ว +2

    Nawakubali sanaa benroyal ila msiwe mnachelewesha series jamn mtatupoteza kama hii sikujua kama imetoka kwel

  • @PascoSingogo
    @PascoSingogo ปีที่แล้ว +7

    🔥🔥🔥🔥🔥 sana nzuri sana naagaria kutoka Zambia

  • @hamismbura2544
    @hamismbura2544 ปีที่แล้ว +3

    Mnachelewesha sanah mzigo huuu

  • @ashamwanganzi6400
    @ashamwanganzi6400 ปีที่แล้ว +2

    Jmn tumewamiss san
    Mashallah so much amazing ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @emmanuelmmasi7283
    @emmanuelmmasi7283 ปีที่แล้ว +4

    Nimeusubr kwa nguvu zote and wao it's amazing hii kitu bro ❤❤❤

  • @madarakaempire4744
    @madarakaempire4744 ปีที่แล้ว +2

    Kaka nmesubil Sanaa hii mtuu ngoja nikae kwa kutulia nichek mzgoo
    Sinawaswas na kaz yako
    Hiii n fire tu

  • @abdrazackhashim6549
    @abdrazackhashim6549 ปีที่แล้ว +3

    😍😍😍 nakubali wanangu

  • @tuyajengeyaishe-vq5pq
    @tuyajengeyaishe-vq5pq ปีที่แล้ว +5

    Inatakiwa kuwahisha kipande kingine maan me nawapenda sana jamaa zang nyie nahata me ni MTU

  • @hajimpoto1560
    @hajimpoto1560 ปีที่แล้ว +2

    Dah mnajua sana jamaa

  • @ishaniramadhani8710
    @ishaniramadhani8710 ปีที่แล้ว +5

    Hakuna kukumbatiana mnakumbatiana Nini 😂😂😂 bonge la movie hongereni wote mlio shiriki

  • @thobiasmpiluka5653
    @thobiasmpiluka5653 ปีที่แล้ว +2

    Mmetisha sana😂😂😂 hakuna kukumbatiana dadeki😂😂😂

  • @JastineFidolin
    @JastineFidolin ปีที่แล้ว +5

    Nakubali sana kazi zenu naombeni like Tano jamani

  • @clichytraveller6897
    @clichytraveller6897 ปีที่แล้ว +1

    Oya weeh benroyal namba one tunasubiri Jungwa sasa

  • @RebeccaSaidi-i3g
    @RebeccaSaidi-i3g ปีที่แล้ว +3

    Kichoyoo na juice nakupenda San ben

  • @ThatAfricanDudeWithDrone
    @ThatAfricanDudeWithDrone ปีที่แล้ว +6

    Finaly Brother Siwila

  • @Alpizo
    @Alpizo ปีที่แล้ว +5

    Froma South Africa 🇿🇦 nimemuona mbanga

  • @ommykibona8026
    @ommykibona8026 ปีที่แล้ว +2

    Mnajua Sana mungu awabariki sana

  • @Mrboom720
    @Mrboom720 ปีที่แล้ว +2

    Oyaaaa waambie maji yameloana weweeee

  • @KarimAbdallah-ee1nc
    @KarimAbdallah-ee1nc ปีที่แล้ว +1

    Moja ya mwezi Nitakua na fraa bc ni huu ujao mahan moja ya move zangu za mwaka ni hii hapa alafu inafata sisu

  • @abuusalim2898
    @abuusalim2898 ปีที่แล้ว +5

    Saf San 😅😅😅😅sema mlipotea

  • @bensonlameck6348
    @bensonlameck6348 ปีที่แล้ว +3

    Beat ina panchii kisenge,mwamba kaflow kama bao la chizi😆

  • @ringstone5388
    @ringstone5388 ปีที่แล้ว +2

    Bila shaka najua hamtatukwamisha tena wajomba

  • @Sam-hela-k4x
    @Sam-hela-k4x ปีที่แล้ว +2

    💪nakubali. Ni full respect benroyal family

  • @qaseemayoub6758
    @qaseemayoub6758 ปีที่แล้ว +1

    Duh mi nshasahau yaliyopita ktk epsod zilizopota dah jamaa jau sn wanachelew sana

  • @solandimbo6205
    @solandimbo6205 ปีที่แล้ว +2

    kazi nzur sanaaa goood

  • @podinkonline8639
    @podinkonline8639 ปีที่แล้ว +1

    Booonge moja la series mamae
    Afu cheleweshen tena sehem ya 9 tuna mwambia makonda kama mnatunyanyasa

  • @HassanMakelele-lt4cu
    @HassanMakelele-lt4cu ปีที่แล้ว +3

    Movie kali sana japo imesimama na dini nyengine lakn nzur sana hongera sana kikosi kwa ubunifu

  • @dmack255
    @dmack255 ปีที่แล้ว +3

    Wanachelewa sana hawa

  • @extraextra3324
    @extraextra3324 ปีที่แล้ว +5

    Wow much love from Kenya ❤❤,,nataka hii njungwa pia

  • @yvesninezereza
    @yvesninezereza ปีที่แล้ว +6

    movie ni nzuri kuliko ,japo mnachelewa kutupatia zifuatazo❤respect sana

  • @ngomekatana6301
    @ngomekatana6301 ปีที่แล้ว +3

    Asante Benrayal lakn umsikawie tena sana tupate mwendelezo kila siku🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @Bm_Mwakalobo
    @Bm_Mwakalobo ปีที่แล้ว +1

    Natamn sana baraka amuoe mtoto wa mchubgaji ili uyu fala akione

  • @youtube.mwosatv
    @youtube.mwosatv ปีที่แล้ว +4

    Muendelezo ❤❤❤

  • @MECKSONSANGA-t7p
    @MECKSONSANGA-t7p ปีที่แล้ว +2

    Bila samahani jamani ❤❤

  • @EmilyKiomela-on7hn
    @EmilyKiomela-on7hn ปีที่แล้ว +2

    kijamaaa kichoyo san kwao🤣🤣🤣🤣🤣

  • @omegasauly-vn3ex
    @omegasauly-vn3ex ปีที่แล้ว +1

    Mzigo huu unanikosha haxa napo fatilia halakati za kikosi oya we fanyen kweli maana tayale mxhanivuluga ubongo

  • @Bushiri-u4l
    @Bushiri-u4l ปีที่แล้ว +1

    Mnachelewesha sana movie nzurikama ihi

  • @Suleylmwakalinga
    @Suleylmwakalinga ปีที่แล้ว +7

    Hii ngoma imenikamata benroyal ametisha sana naisubiri ye 9

  • @liston6819
    @liston6819 ปีที่แล้ว +6

    Dah wanangu mnajua,,,,director ametulia Sana. Big IQ ✊

  • @lameckkilowoko
    @lameckkilowoko 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kubali wanangu sanaaah

  • @eliariro5514
    @eliariro5514 ปีที่แล้ว +2

    Muda ndio huyu.
    Jamani eeeh episode nifupi sna ongezeni dkk kadhaa

  • @benardmukani902
    @benardmukani902 ปีที่แล้ว +2

    Aki sio kutuweka ivi❤❤❤🇰🇪🇰🇪

  • @princejafarai4393
    @princejafarai4393 ปีที่แล้ว +1

    ouyaaaaa weee huu mzgo weka mbare na watoto enewei jina Linatokea nani

  • @swahiliandculture6599
    @swahiliandculture6599 ปีที่แล้ว +3

    Wow kazi nzuri Tuliisubiri sana... ❤❤

  • @hasnajuma5567
    @hasnajuma5567 ปีที่แล้ว +3

    Hapo mwisho ni fire 🔥 😂😂😂

  • @TeenBreezy-360
    @TeenBreezy-360 ปีที่แล้ว

    Noma sana wazee wazee Wang yan kibongo bongo akuna wa kuwapnga

  • @YVNG-G254
    @YVNG-G254 ปีที่แล้ว +6

    MTU finally,,abeli unafurahisha na uo wimbo kazi safi sana,, pia baraka safii Sana na kuihigiza🔥🔥🔥🔥

  • @samwelyisaya2492
    @samwelyisaya2492 ปีที่แล้ว +5

    nimesubili sanaa kwa muda mlefu episode 8. mim ni mshabiki wa seris zenu zote.
    lakin kwanini mnachelewesha ep zinazofuata kiasikwamba mnatukatisha tamaa mashabiki wenu. SAM FROM TABORA TOWN

  • @ringstone5388
    @ringstone5388 ปีที่แล้ว +1

    Dah!!! Niliisubili sana

  • @hadidjahassan7305
    @hadidjahassan7305 ปีที่แล้ว +2

    Mbonamurikuwa mumeikawiza❤❤

  • @kakaommy
    @kakaommy ปีที่แล้ว +6

    Watu wangu much love from Kenya

  • @RebeccaSaidi-i3g
    @RebeccaSaidi-i3g ปีที่แล้ว +2

    M T U geng nakubal san

  • @2kizzzy650
    @2kizzzy650 ปีที่แล้ว +1

    mnatasha sana wanangu wa mbeya 🙌🏻🙌🏻🙌🏻

  • @nalamzalendoo
    @nalamzalendoo ปีที่แล้ว +74

    Nani aliisubiri Episode 8 kama mimi?

  • @iam_loyo
    @iam_loyo ปีที่แล้ว +4

    mtu 🔥🔥🥳

  • @howardbillionaire
    @howardbillionaire ปีที่แล้ว +3

    such amazing ting alaaaa

  • @missdee25463
    @missdee25463 ปีที่แล้ว +10

    Amanda I love you ❤❤❤ This is on fire 🔥

  • @Eliacytz
    @Eliacytz ปีที่แล้ว +2

    Jama huwa tunasubil sn hd tunasahau tunapo ishia anyway we are together here from Mozambique 🇲🇿

  • @SappyLemi
    @SappyLemi ปีที่แล้ว +3

    Huu mzigo hautakiwi kupoa kama hivi takribani miezi mi3 tumekua tunaisubiria fanyeni itoke mapema ndugu zangu mtu ni bonge la dudee yaan dudee kubwaa

  • @BUSINESS13895
    @BUSINESS13895 ปีที่แล้ว +3

    Tafadhali msipotee tena. Mafans wenu kutoka Kenya tuliwamiss

  • @EmmanuelMwaipopo-i8z
    @EmmanuelMwaipopo-i8z ปีที่แล้ว +5

    Ubarikiwe sana kaka mkubwa benroyal

  • @elizabethmulupirapando9774
    @elizabethmulupirapando9774 ปีที่แล้ว +6

    Baraka nakuaminia sana bro much love from Kenya 🇰🇪

  • @EinsteinFromEastern-vh6lo
    @EinsteinFromEastern-vh6lo ปีที่แล้ว +6

    Jungwa 🎉

  • @pancrancekarisa5220
    @pancrancekarisa5220 ปีที่แล้ว +3

    Hivi mlikua wapi jamani niliwamiss sana❤

  • @amanistudio6612
    @amanistudio6612 ปีที่แล้ว +3

    Nili subira sana mwendelezo. Aksanteni sana kwaku Rudi tena ... Courage mes acteurs préférés. Je vous suis depuis la RDC

  • @ockweezmaster2753
    @ockweezmaster2753 ปีที่แล้ว +1

    Safi mazee nimesubilia kitambo✊

  • @voiceridertz
    @voiceridertz ปีที่แล้ว +3

    wakuu hiki nichuma hadi chuma tena 😅😅😅😅🔥🔥🔥🔥🔥🔥 aise kazi nzuri sana hongeren

  • @RUKONGE.R.SUMUNI-id5iq
    @RUKONGE.R.SUMUNI-id5iq ปีที่แล้ว +1

    Kikubwa kazinziri the best movies