Hello. Eric Omond... Shabiki ako namba2 toka 🇹🇿. All the tym umekuwa ukionesha #how to be........ & #how to do....... Ss safari hii fanya kitu kimoja ili tuappreciate zaid talent YAKO... Ww mwenyewe show us #How to be Eric Omond... Imagine you are someone else (not Omond) but act as Omond... Ok go on..bro.. #Supporters may like this idea.🔥🔥🔥
Hahahahahahahahahaha......Thanx Eric & Butita.......You've just made my day.Conceptualization and talent illustrated...I LOVE KENYA.KEEP IT UP.YOU HAVE JUST DEMYSTIFIED AND SIMPLIFIED EVERYTHING.
Eriko mwanzoni ulisema we only need five things to become Joho but kwenye tamatisho unasema three things...anyways pia hiyo ni part of commedy, thanx bro nimecheka yangu yote.
Aaa this was a nice one... shida huyo Uhunye ako down bana anakaa sijui kitu gani Plus si part ya James Bond waliplay soundtrack ya mission impossible...ama walidhani hatungeshikanisha...
ahhahahahaha joha hana lolote hana E wala A ali kimbiya school joho so joha hakumaniza school dgy ya kuhonga yake ahhahahahahah so funny Eric omondi love you somch Eric omondi
How to be Mohamed Ali Wa jicho pevu
Naomba support yenu ndugu zangu
Nipe malike nyingi
Sawa.
Please Eric Omondi, wanted you to be Turkana Governor Hr Josphat Nanok..Thank you.
surelllyyy
That bicycle scene 🤣🤣🤣
Nani amekuja hapa kucheka kama Mimi😂😂😂 waiting for how to be khaligraft Jones,Aden duale
Verafridah Kay
nakwambia unacheka ht b4 uanze kuwatch
Verafridah Kay ✋
Verafridah Kay
Good old days when Eric was actually funny
Butita nailed Uhunye's version 😂😂😂👏👏
Hello. Eric Omond... Shabiki ako namba2 toka 🇹🇿.
All the tym umekuwa ukionesha #how to be........ & #how to do.......
Ss safari hii fanya kitu kimoja ili tuappreciate zaid talent YAKO...
Ww mwenyewe show us #How to be Eric Omond... Imagine you are someone else (not Omond) but act as Omond... Ok go on..bro..
#Supporters may like this idea.🔥🔥🔥
NEXT...HOW TO BE MIGUNA MIGUNA.Who else supports me?
me
Its already out
Hahahahahahahahahaha......Thanx Eric & Butita.......You've just made my day.Conceptualization and talent illustrated...I LOVE KENYA.KEEP IT UP.YOU HAVE JUST DEMYSTIFIED AND SIMPLIFIED EVERYTHING.
kwani hizo ndevu zote alikua nazo mpaka primary school😂😂😂
😂😂😂
it means something
he went late yani
😀😀
That comparison btwn the two governors though😂😂😂😂
ujinga yalipa wallah 😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
Eddie Butita killed it. Great job!
Wangapi wanaona hii video 2019 gonga like apa
Hahahahahah..we here
😂😂😂😂😂😂😂acha twende basi Octopizzo n8, swagger balaaa kweli kweli
The 7 dislikes thought it's a download button😄😄😄
Everlyn Wanjiru damn it..you're another Eric ommodi
T - shirt governor!LMAO.Eric my night is made . Thanks to you
finally 😂 now tunataka rayvanny! jameni nipeeni likes maana ile kuitisha niliitisha....😂
hahaha wewe iko wapi mie niko Oman
mm iko Saudi tunashuhudia😂
mysh lysh Wapi
Stacy Karimi Riyadh yarmuk exit 9
mysh lysh Haha pokea
Eeh,hiyo ni kali sana.hapo kwa bike ni Mtwapa maze,so talented man
hihihi 😂😂😂 Butita "kwani mimi ni bibi yako?"
Krystynah Adhiambo hehe
Hehehehe umempatia unaweza Erik omondi 2022 for president mungu akipenda ausio...!!
Eric why u always killing me😂😂
Hahahaha Ericko unaweza sana msee....congratulations !!!!!!!!!
This is soo hilarious, u should change your name from Eric to Epic Omondi
23SavageSolo epic omondi indeed haha
23SavageSolo jo
It's 5yrs, just had to come to this masterpiece 😂
hapo kwa bike 😂😂😂😂😂😂
haha I know right!
😂😂😂 Eric!!😂😂😂😂Ur something else!😂😂Uhuru and Joho should watch this!!😂😂😂
😂😂😂😂😂 And that's how to became like joho
😂😂😂😂😂😂 erico wewe ni mnoma Walai 😂😂😂😂😂Butita Ndio President😂😂😂😂😂
Pastor ng'ang'a lavish😂
😁😁😁😂😂😂 the bicycle part & eddie butitas part. Nice one.
hahaha this is so nyc.do how to be orie logo manduli pliiiz
Simbavu pekee hata mifupa mtatuvunja na hizi comedy zenu😂😂😂😂😂
😂 😂 Fanya ya How To be Senator Hassan Omar 😂 😂
Ya ya Yuh, how to be Tibim.!
nasema uwache kunifwata kwasababu tuta pambana hhhhhh kali sana
the UK imitation is spot on 😂😂
Hapo kwa baiskeli mwanangu unnimaliza!, But I'm happy you chose Mtwapa, I'm very happy.
pwaha aki erick na butita mtaniuwa na ujinga
At first nilidhani Butita ni Uhuru halafu mwisho mwisho nikamuona Ruto. This is d best, wacha Hollywood, Nollywood or any Mollyyyywoodz.
haha,at duale unafanya nini na simu ya ruto
Eriko mwanzoni ulisema we only need five things to become Joho but kwenye tamatisho unasema three things...anyways pia hiyo ni part of commedy, thanx bro nimecheka yangu yote.
Great respect to you my virtual friend. True hustler.
hahahahahahaha.......Erico aliyekuza naye alikuwa na kazi ngumu.
I just can't stop laughing.... 😂😂😂😂😂
hahaha,had to take several commercial breaks watching this!. Erico nipatiwe hiyo kitu unapewa!
Next should be HOW TO BE THE MAN WITH THE SAME NAME TWICE...MIGUNA MIGUNA
i totally agree
Nipeni likes for GOVERNOR MIGUNA MIGUNA pleaaaaaase
Hapo sawa!
hii itakuwa kali sana!
YASSS!!
i like that part of joho erick omondi says, ati u need to have a back up, even in the things that u do. hahahahahahah
😂😂😂😂.....plz do how to be Duale aka "hii pesa si ya mamako"
hahahhaha siwezi MIND ya kutoa tint lol .....PAPA PARAGRAPH ..LOVED the fight scene aha butita erico
Hahaha how to be Churchill
hahaa...apo kwa nishike nisiende kule imenimaliza walai 😂😂😂😂😂😂😂😂eriko ulichizi kitambooooo..neteni likes
Ahahahaha siku izi ujinga na bhangi Ni course....
Hahaha Eric yawa
Butita rais mwenye hahaaa nyce . NXT size 8
Erico. tebu Fanya "How to be erick omondi"
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 ukikaa chini do you watch these videos and laugh??
Please erric this was amazing would love to see how to be kaligragh Jones
Huyo Uhunye ameweza😂😂😂😂😂😂😂
NEXT
HOW TO BE OCTOPIZZO
This will be 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
I laughed, laughed, and laughed!
Hahaha nngekua kenya ningekununulia biscuit ya mapera ,,,,anyway timu marekani tukuseeee u act how to be sonko
Cliff Ombaye apo
hehehe..
You killed it Erick.. next should be how to be Erick Omondi..
How to be Aden Bare Duale please Erico😂😂
Killed it with the Joho hand gestures, lmao
Erickoooo, kwani joho alianza kua na beards akiwa shule hhhh lol
Aaa this was a nice one...
shida huyo Uhunye ako down bana anakaa sijui kitu gani
Plus si part ya James Bond waliplay soundtrack ya mission impossible...ama walidhani hatungeshikanisha...
i will sub to any kenyan youtube for sure
Ahmed Mohammed me too
swt gal fati yap natamani nione kenyan vloggers
Ahmed Mohammed look out for a Lady called Rikkie
look for Elodie Zone
Everlyn Wanjiru ubaya wa rikkie anafanya weekly
😅😂😂😂 Erick hapo umenimaliza
how to be RAILA like if uh agree
Hahaha Hahaha Hahaha omondi u made my day hebu leta rao
Fanya how to be Prophet Owuor..... inaweza shika sana
hahahahaha i want to know how to be duale adan
officialmasai hehehe
You only need to recite one phrase, "Hii pesa sii ya mama yako bwana!" And you'll be good to go...:P
Hahahaha...This was insanely funny..Keep up the great work n involve Butita more coz amemadaaa...
nani ameona hyo part joho akiride baiskeli, anafanya anything he wants? hahaahahahhahahahahahhahahahhah waaah
Brian Mudwasi hahahhhha
Mambo ,Eric omondi, naomba ya Amina Mohamed na wema from T,z
how to be khaligraph
Marrie Mbatiah definitely how to be khaligraph
Tokyo Sounds yah
Marrie Mbatiah hapo sawa
Marrie Mbatiah hahhhahhhaaa wewe
Marrie Mbatiah nakuona sana
hahaa,Erick is making my ribs to crack...aaaaaaiiii hahaaaa,this is the best ikifuatwa na ile ya how to be MAGUFULI
how to be Duale leader of the majority nNational Assembly
yaani ni moto juu ya faya#001
How to be Kuria.
Asee omond mindevu imekutoa 😂😂😂 🇹🇿
😂😂😂😂Oooh my!!!amazing
hehehe...#Butita u nailed the Uhunye part. Kali erico
Haaaaaaaaaaaa! Ukija kwangu subiri nikufungulie mlango.
loooove your shows soooo much
I will be really glad to see Duale next
Hahahahah aki ericoo weni funny sana
at 1:15 just remembered ayeya! oh no! anyway thanks erico
mysh lysh 😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
mysh lysh niko naona horror movie nikakutana na hii😂😂😂😂😂😂
+mysh lysh 😂😂😂😂😂
😂😂😂
I think this is the best #Howtobe so far, mbavu si zangu!
Who's here 2020 pandemic
hahaha FALA SANA WEWE!!!
uyo Butita anakaa Kaligraph Jones haha amefanya mableaching
HOW TO BE MIGUNA MIGUNA
How to be Larry Madowo😂😂😂 issgonna be 🔥🇰🇪
Kulipa rent Nairobi c mchezo
Ann Kassa 😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂waiting on how to be #Mzaziwillymtuva ~ hii ya Joho imeweza Jo✅✅✅✅✅✅✅
team 001....he is the king of mombasa.....simba
simply stunning team uhuruto 00KENYA C. I. C, HEAD OF STATE
how to be niko ndaaaaniiii...ndaaaaniiii...kabisa
How to be Jimmy Gait 😅
ahhahahahaha joha hana lolote hana E wala A ali kimbiya school joho so joha hakumaniza school dgy ya kuhonga yake ahhahahahahah so funny Eric omondi love you somch Eric omondi
How to be William Ruto the DP
THE BEST IVE WATCHED SO FAR
how to be Eric omondi
WAH! Omondi you are the king in the industry and kenyans are great of yuo..lete sasa how to be Alfred Mutua
how to be Wema Sepetu.... pliz
Krystynah Adhiambo ww ndo ujifanye wema mwanamke mwenzio
donti touch me.... erico 😂😂😂😂
CHECKOUT THIS---> THE BEAUTY OF KENYA #1
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂.. this is awesome