MSANGANO WA BABONDO IDAHO 2019
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 21 ม.ค. 2019
- KILA MWAKA EMO YA MBONDO WAMEKUWA WAKISHIRIKIANA KWA PAMOJA KWENYE SHEREHE KAMA HIZI ILI KUDUMISHA UPENDO NA KUTAMBULISHANA WAPYA KWA WALIOTANGULIA. NA HII IMEKUWA IKIWASAIDIA SANA KUKABILIANA NA CHANGAMOTO MBALI MBALI ZA NCHI HII YA KIGENI ILIYO NA TAMADUNI TOFAUTI NA TULIZOLELEWA. RED PRO RECORDS IMEKUWA IKIUNGANA NAO KILA WANAPOHITAJI VIDEO YENYE UBORA KAMA HUU, MAANA PIA TUNAAMINI KATIKA KUTANGANZA TAMADUNI ZETU SISI WAKONGOMANI NI MOJA YA JAMBO MUHIMU TUNALOTAKIWA KUFANYA SOTE.
- บันเทิง
Msahu Mila za kwao ni mtumwa wa Mila za kigeni, hapo poa kabisa ndugu zangu ,fier fier fier fier fier fier ,bisous bisous , mwakole manga
Nipe jina la mwimbo huo
Abedi Abekas upi tafadhali
Jina mwibo huu 1.58.07
wabembe marekani
Mimi tu ndo nimeona pale juhu eti Vicky na mvuta bangi wake😂😂😂😂😂
Tausi Ak 🤣🤣😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣
Tausi Ak Niko live 🏃🏃🏃🏃
Yakobo OR lol kila fasi uko 🙆♀️🙆♀️🙆♀️
Yes iam konki konki Oregon
Tausi Ak macho yako banaaaa
Unapendeza sana wambebe na Mimi no mbembe lakini nahishi USA Columbia Missouri
Abedi Abekas salamu Sana Missouri ulipo.
Abedi Abekas hata uhishi china m'mbembe hapoteyaki
💗💗💖💖💖💟
IDAHO TUPO PAMOJA sana.
Idaho juuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Boise nalikoloooooooooooooo.
Tiba Ramadhan kbs
Naweza pata wapi izo nyimbo zakibembe?
Hadji Abassi imepigwa nyimbo nyingi . So sijui tuanzie wapi au zipi ulizovutiwa nazo ili tukusaidie Ndugu.