Mmh yaani laiti kama mi ndo ngekua mufut nisingelikubar upuuzi kama huu sas icho ndo nn apo kuna dua inasema ivi NA SHUKHULI ISIOKUA KWA AJILI YA ALLAH HIYO NI BATIRI sas apo na wao wanajikuta wapo kabsa kwa ajiri ya ALLAH na wanataraj malipo kabsa dah
Astaghafiru ndio nn hivi jaman daaah,kweli Mtume Muhammad alitabiri mwisho wa dunia waliowajinga ndio wataoneka wajua na Zama za wajinga zimefika ndio hivi kasida hii au Ukafir mkubwa kiama kimefika daaah, aliyekuwa Asi arudi kwa allah
Kazi nzuri msisikie ya kukatshwa tamaa imani ni mpyoni na mungu ndo anae jua zaidi
MashaaAllah hongera...zai❤
Zai kipini for me is best...anajua anajua anajua Tena... Anakitu atafika mbali
Mashaa Allah Zay Kipini anaumbwa na sauti❤❤❤❤
Mashallah
Mash'Allah ❤
Zai Barakallahu fyiki
Zai una bahati .kidogo tu ushindwe kuingia kwenye key but maaashalah keep it up
Mashallah mashallah ❤❤
Mtihani.....
Style ya kyimba kwaya hii, mrudi ktk style yetu ya asili
❤❤❤❤❤❤❤
Raheem Ramzee genius dogo
Mmh yaani laiti kama mi ndo ngekua mufut nisingelikubar upuuzi kama huu sas icho ndo nn apo kuna dua inasema ivi NA SHUKHULI ISIOKUA KWA AJILI YA ALLAH HIYO NI BATIRI sas apo na wao wanajikuta wapo kabsa kwa ajiri ya ALLAH na wanataraj malipo kabsa dah
Hao back vocalist wamekosea kuwavalisha, muandaaji asiingize umagharibi ktk tafrija km hizi
Yaan imechuja voo km wapo sjui waap😂😂😂
Hajakosea....kwani hii na bongo fleva Ina utofouti gani
Uislam upo mbali na huu upuuzi wenu
Mnawatoa watu katika niia ya haki
Astaghafiru ndio nn hivi jaman daaah,kweli Mtume Muhammad alitabiri mwisho wa dunia waliowajinga ndio wataoneka wajua na Zama za wajinga zimefika ndio hivi kasida hii au Ukafir mkubwa kiama kimefika daaah, aliyekuwa Asi arudi kwa allah
Tusiwaige makafari bana
Kaolewa 😂
Yani kwa jinsi walivo vaa ni PURe Waimba taarabu.....😢😢😢
😭😭😭
Hku Sasa ni kumtovukia adabu kipenzi chetu mtume Muhammad
Joka unampa sana signal
Mtihn
❤❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤❤