La pili Empompo Deese alifariki siku sita tu baada ya kifo cha Mpongo January 21, 1990. Franco alifariki Oktoba 12 1989, hivyo mwaka mmoja baadae Oktoba 1990, Empompo asingeweza hudhuria onesho la OK Jazz alikuwa amekufa tayari. Sijui unatoa wapi historia hizi. Nakushauri nunua mtandaoni kitabu kinachoitwa Rhumba on The River cha Gary Stewart ambacho ni Encyclopedia ya Muziki wote wa Congo toka 1930s mpaka 2000. Kuna historia kamili aliyofanya na wadau na wanamuziki wote wa Congo. Kuna hatari tukawapotosha Vijana wanaokuja baadae tusipokuwa makini
Empompo Deese alifariki siku sita tu baada ya Mpongo January 15 1990. Franco alikufa Oktoba 12 1990, mwaka mmoja baadae Oktoba 1990. Empompo Deese asingeweza hudhuria onesho la OK Jazz alikuwa amekufa tayari. Kuwa makini kuna hatari tukawapotosha Vijana wanaokuja baadae tusipokuwa makini
Huyu mtu kava is fani empompo lowai anaita empopo na franco hakuwa anaitwa lukanga bali ni lokanga lwanjupene lwambo makiadi hata stori ana potosha baadhi ya sehemu
Wow nawapenda kwa ufanisi wenu malkia mpongo love bado tunamuenzi
Legend never die. Love u mama
Dah nilikuwa mdogo Sana wimbo Mauri kama alivyo mwenyewe na Saudi nzuri
Great work when I hear this song I remember a lot of things
Still fresh until today
Mpongo love una sauti nzuri sana na itabakia kuwa hai daima. kaka salama peponi. amina
Beautiful soul 💖
Great work, bro
Wimbo Ndaya pia hakutunga Mpongo na sio wake. Mtunzi ni Mayaula Mayoni
I looooove this song very much
Naikubali sana hii nyimbo
Sir,you got it wrong, that song, “ ndaya “ was composed by Mayaula Mayoni,do a bit of research about it
Inapendeza Sana !!
look alike na Angela chibalonza are they sisters continue resting in peace mama
Great work
😭😭😭😭😭😭kumbe Alisha kufa jamani😥😥😥😥
For me Lata mpongo love still alife love u mama
I admire the lady.
🙏❤️🙏
Beautiful lady ❤️❤️💓💞❤️💕💋
Rest in peace 🕊️🕊️⛈️⛈️⛈️
Jimmy hujafanya utafiti wa kina. Mpongo alizaliwa Agosti 27,1956 na sio 1960 na kufariki January 15,1990
La pili Empompo Deese alifariki siku sita tu baada ya kifo cha Mpongo January 21, 1990. Franco alifariki Oktoba 12 1989, hivyo mwaka mmoja baadae Oktoba 1990, Empompo asingeweza hudhuria onesho la OK Jazz alikuwa amekufa tayari. Sijui unatoa wapi historia hizi. Nakushauri nunua mtandaoni kitabu kinachoitwa Rhumba on The River cha Gary Stewart ambacho ni Encyclopedia ya Muziki wote wa Congo toka 1930s mpaka 2000. Kuna historia kamili aliyofanya na wadau na wanamuziki wote wa Congo. Kuna hatari tukawapotosha Vijana wanaokuja baadae tusipokuwa makini
Alikuwa mgonjwa?
May her soul continue to RIP, loved ones will never be forgotten, they remain in our hearts forever
Wimbo huu nausikiliza zaidi ya mara 8 kwa siku lkn bado hauishi utamu daah vipaji vilikuwapo zamani!
Kado na uu wimbo uu, aliimba nyimbo igine gani
Kaka maman mpongo love kazaliwa1956 sio 1960 no
I Love your show from Kenya, Do you have an online radio too?
jumapili ..kuanzia sangapi
Long live mpongo love
😭 RIP
Words of wisdom
Empompo Deese alifariki siku sita tu baada ya Mpongo January 15 1990. Franco alikufa Oktoba 12 1990, mwaka mmoja baadae Oktoba 1990. Empompo Deese asingeweza hudhuria onesho la OK Jazz alikuwa amekufa tayari. Kuwa makini kuna hatari tukawapotosha Vijana wanaokuja baadae tusipokuwa makini
Luambo alifariki oktoba, 12,1989 sio 90
Huyu mtu kava is fani empompo lowai anaita empopo na franco hakuwa anaitwa lukanga bali ni lokanga lwanjupene lwambo makiadi hata stori ana potosha baadhi ya sehemu
RIP mpongo Love
RIP
R. I. P MPONGO LOVE
nyimbo hi nzuri asilimia zote
Continue resting in peace mamaaa
Waw, rip legend
Ukimwi ulianjia humo Drc ni kama
Empompo alifariki January 21 1990
Hay, don't address to Tanzanian only,include even us Kenyan ,Sisi ni Wana Africa mashariki
Here is not our home.
Maisha hakika ni muda
Kwani was she from Tanzania?
No DRC
Inapendeza Sana !!