Mbosso - Umechelewa (Official Lyrics Video)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 18 ม.ค. 2024
- Get Umechelewa mbosso.lnk.to/umechelewa
/ @mbossokhan
For Bookings: mbosso@wcbwasafi.com
Follow Mbosso On:
Instagram: / mbosso_
Twitter: / mbossokhan
Facebook: / mbossoofficial
#wasafi #mbosso - เพลง
Kutoka Kenya tumekubali, Mbosso ni mfalme. Nifikishieni mia tano tu 🙏
Subscription sio kitu ya kunyima mtu, pokea yangu
@@user-kp8lv2ho7imkmmmmooooookoooookomkokkoooomkmmommmomooooomoomommomomomkomoomokkkookomok
@@user-kp8lv2ho7imkmmmmooooookoooookomkokkoooomkmmommmomooooomoomommomomomkomoomokkkookomokkk
Najua nimechelewa lakini
Kwa huruma za mwenyezi mungu naombeni likes jameni😢
😂😂😂😂😂😂😂😂
Huyu jamaa ni Moto wa kuotea mbali, ila ile miuno ya mduara umetisha Muhindi wa kusini 🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼
Mtanzania wa halali mwenye chembechembe za India hiki kipaji kikubwa sana mkali wa kuitwa Mbosso 💪
Tanzanian 🇹🇿, South Africans🇿🇦,Zambians🇿🇲,ugandans🇿🇼, Americans🇺🇸, Rwandans🇷🇼,Zimbabweans 🇺🇬,UK🇬🇧, Kenyans🇰🇪, Jamaicans🇯🇲, burundians🇧🇮, Brazilians 🇧🇷, Canadians 🇨🇭, nigerians 🇳🇬,cogolese🇨🇩, my wicked landlord and I approve this song as our unite anthem
Kenya😢😢😢❤❤❤
Suriname🎉❤
Burundi ❤❤❤
🇿🇲🇿🇲🇿🇲
ZIGI BRIDGE MOMBASA ROAD IN AMBONI TANGA
We Mbosso Umepigaje Hapo Kwa Kijiti , Weka Likes Hap Kam Wew Shabiki Wa Mbosso
Pure good music 🇰🇪wapi likes za 254 mbosso waaah hatariii
Talanta kweli Mola kakubariki nayo,,waswahili wapi likes za Mbosso❤
Jamani "kijiti" mob love from Kenya 🇰🇪🇰🇪kama unampenda mbosso gonga like❤️
I generally love this Tanzanian... Happened Kiki, mtulivu na kazi yake yaridhisha... Hello kwake
Humjui tu
Kenyaaaaaaaans kijiti kimechoma mtu asema Mbosso,Let's come together with likes and views for this one..Shua shia Bro Mbosso.
Namkubali sana Mbosso,wakenya wenzangu wapi likes?
Nimekua wa Kwanza jamani nipeni likes zangu basi hata tano tuh ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😢😢😢😢😢😂😂😂❤❤❤❤❤
Mbona ume mbosso song 😅
@@officialdabby6334 🤣🤣🤣🤣
mbona umecerea
@@SimbaTiger-qp4ssYan noma sn😂😂😂😂
😂😂😂
Huyu hapa naye Ni mfalme kwenye utunzi Wa nyimbo za mapenzi 😅❤❤❤❤❤❤
I don't think there's anyone out there who can coin swahili lyrics like this guy. Dude is a brilliant poet, and a heavily gifted vocalist! ♪♪↑↑ .. 🇰🇪..♡
Mwambie uyo😅🔥💯🐯
Sory dude,swahili is a tanzanian national languagu and culture, and this artist is a tanzanian under diamond platnumz
Kenya has never done all this wonders THANK U
It's like he is narrating a story calmly to 3 year old kids
Indeed he is much lovee
I can we are kenyas
Daktari wa mapenzi mbosso mwenyewe,,nakutambua sana much love from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Atatuua huyu
Hongera sana Kenya kwa sapoti yenu kwenye muziki wa East Afrika bila upendeleo wo wote!📌📌📌🔥🔥🔥🔥❤❤❤❤❤
Haya sasa 😂😂 wangapi tushawachoma na vijitiii😅😅 like hapa kwa king khan mbosoooooo 😂😂
Huyu Mwamba hatari sana, uandishi wake upo juu sana alafu hivo vinanda vimeuwa❤️🔥🔥🔥
Mashallah ❤❤❤❤❤ nipe likes ka fan wa mbosso
Moçambicanos, tanzanianos, Quenianos , Burundeses e Ruandeses peço likes aqui 🇲🇿🇲🇿.
Asili Ya KIHINDI ila Mtanzania Wa Halali🇹🇿...Nyimbo Kali Tena Yenye Ubora Wake Ndani Mdundiko
My fellow Kenyans where are you drop a👍nikutambue ❤🔥🔥
Hi
tuko hapa BnB😂
@@DesEntertainment 😂😂chunga usifanywe kitoweo 😹
@@mariamjocey8175 sai tuko rada kila mahali😂😂😂
Tunakosekana vip
I think I’m the only Ghanaian 🇬🇭 that love mbosso songs
SEE YOU I AM YOUR BOSS I DEY LOVE HIS SONGS PASS YOU MENUA
Why say so mbosso is one of the best in East Africa ❤❤
greet shatta wale for me am his big fan from kenya
@@wafulamuliro9005right away i am sending him your greetings mandem
Nyimbo zuri sana kama nawey una kubali tiy like
Niko hapa mbosso sijachelewa jamani❤🇰🇪🇰🇪
Leo wa kwanza likes zangu. Basiii😢😢😢
LucEz
Haki si huwa mnaninyima likes jameni😂😂😂
Asanteni
Nyimbo zako hunituliza roho mbosso ningekuwa na uwezo ningefika Tanzania niimbie moja nijisikie tu kupendwa kwa Wimbo moja tu Moka akupe miaka mingi uzidi kunituliza roho # sending love from kenya
😂nikulipie nauli uje😅
Je km ni dume
Kama wewe nishabiki wa mbosso khan piga kelele🎉😂😂😂
Weeeee
From Kenya 🇰🇪 we approve this Banger
Wapi likes ✅
Mbosso never disappoint ni mkali na mtu mkali apewe heshima zake🙌🏾❤
amearibu kutingisha kama dem
Mbosso Ni Mshairi Mkali, Yani Kuandika Sio Wengi Wanakutosha Kaka 🔥🔥🔥.
Aloooooo amazing bro Mbosso Khan ❤❤❤❤. Likes ziweeeee nyingiiiii
th-cam.com/video/QcVIrDkLKrY/w-d-xo.htmlsi=6Qa3AcfEs_4ikgcc
Friends of Mbosso kama kawaida. Nipeni likes angalau kumi za 2024 kama wakubaliana na uyu staa
Kutoka Rwanda mbosso tumemkubari ni king nifikishie mia ine naomba🙏🤲
Baada ya kusikiliza na kuiacha mara kadhaa sasa nacomment hii nyimbo ni Kali sana ,,, mbosso ni 🔥🔥🔥
Wapi wa Congo, munipe like zenu kwaku support this song to high level🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Ila tunawatu wenye vipaji mboso WCB tunakupa big up more love broo 😍 😍 😍
Habari yako napenda wimbo wako hivyo unahitaji msaada wako tafadhali 🙏🙏🙏
Umechelewa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉mbosso your the boss in our Tanzania music industry
Uswahili mwingi sana wapi like za mombasani kenya
Wakwanza like zangu
Wanaosema verse ya kwanza Kali kuliko ya pili gonga like hapa
Tunayoikubali tanga weka like apa
Everybody gather here let’s show Mbosso love more especially my fellow Ghanaians❤
Daaah nimekuwa wa kwanza kwa khan leo sema bonge la ngomaaaaaaa wanangu nipe likes zenu all the way from UK
😍😍😍Team gulf tume bonyeza atuchelewi 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
noma
Another blessed song to motivate all invited guest's, due to there public late demand, hereby informing them that being late you'll find your chance already replaced by someone else ✍️✍️📌📌📌, love you so much mbosso from the capital city of Africa 💚💚🇰🇪KENYA 🇰🇪 ❤️❤️🤣🤣🤣🤣
respect kubwa kwa producer kaua sana pale anabadili beat 1:42 ... yani kaua mno huu ubunifu ni kiwango cha juu sana Always Mbosso never disapoint
Diamond platnumz must be proud 2 have Mbosso in his record. Adonay bless Diamond platnumz ✝️ 🙏
Kwel mboso unasaut kaflan kazurii ata uimbe vp nyimbo ni nzr tu soo cute sound ❤❤🎉
Am from +254🇰🇪 but ilike this kid mbosso Khan mshedede ❤❤❤❤
Mbosso mkombozi wa WCB yaani ni hatari🎉🎉🎉 unastahili kupewa mauwa Yako💐💐🌼🌼🌻🏵️🌺🌷🥀🌹🌹🌸🌸🌸🌸
Mbosso never disappoint 🥺😢love this song ❤️🔥🔥🔥wakenya mko wapi
nakubal mwamba
An sio pw aisee nimerudia Zaid ya Mara 3 naomben like zangu
Ngoma pendwa kwangu! Asante Kirungi wangu!🔥🔥🔥
Burundian fans of Mbosso gather here and gimme a like 🇧🇮
🔥🔥this is guy is soo talented 🇰🇪🇰🇪nampenda bure
❤🇰🇪
Nenda uumpe
@@josephnamuna nonsense style up
th-cam.com/video/QcVIrDkLKrY/w-d-xo.htmlsi=6Qa3AcfEs_4ikgcc
Wakenya tumejaza comment section😂😂❤❤❤I love this
❤❤ jamani mbosso anatumaliza Na romantic song ...mapenzi jamani
Never disapoint 🇰🇪 ❤ mbosso
So smart
kijana aneipa heshima taifa na label yake.
Naomba mnipokee kwa likes tafazali natoka team kiba uzalendo umenishinda naomba likes ili nijiskiye kwamba nafika nyumbani hakika kijana anajuwa
Ulikuwa my love Joe? Mbona umechelewa??? Asante Mbosso kwa burudani Murua
This is the vibe we want... amapiano free!❤❤❤❤
From Kenya
Wa kwanza leo naomben likes zanguu
Tanzania 🇹🇿 kitivo cha muziki. Kila kukicha inashushwa hit. 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Kabisa yn❤❤❤
Sawa mboss Sina mengi mshkaji wangu❤❤❤❤ kijiti kakishika shika😂😂😂
Shar khan wa Est African mboss khan. Ulikuwa wap mbona umechewa, asante
Kilungi mshedede umetisha mzawaaa mambo ya pwani maua ndio mengi kwako 🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺
sawa mme mpandishia ngoma vanillah ila wote mnajua bhn😂🙏
❤❤❤what can I say,umebobea kikweli Mbosso hakuna wa kulinganishwa nawe kaka. Nakupenda bureeee❤❤❤❤❤
Umetish San kk nakuombey kwa Allah akup maisha malef na akulind nakila kibay ishaallah
Mbosso is taking bongo music to next level🔥🔥
Sasa huyu ndie mbosso khan kakake Salman Khan wakiwa watoto wa mzee aga khan 😂😂😂😂 from Kenya ❤❤❤
Ngoma Kali na kukubali sana mwamba disappoint Love from Drc Congo Lubumbashi ❤❤❤❤
Kenyans musicians we must wake up and start singing like our fellow Tanzanians. Nyimbo ziko na content si tabia tupu.
Dear Rwandans,
On behalf of you all 😂 I declare that MBOSO is number one in Bongo ❤❤❤❤❤
Am a Kenyan and I agree with you Rwandans😂😂
😂😂
Yesssssss
machallah, Ma chanson préférée est enfin là, je surkiffe la chanson car la trompette 🎺est mise vraiment à l'honneur 🎉, mon instrument préféré 😊😊❤. J'adore, c'est écouter en boucle🙏🔃🔄🇾🇹🇰🇲
les paroles sont aussi cool
Puis-je avoir la traduction car je ne connais pas trop la langue s'il vous plaît.
Watu wa Rwanda 🇷🇼 mupo wapi jamani
Wimbo mzuri na umeimba ukiwa umevaa pear moja ya nguo mwanzo mwisho sipati kama ungevaa pear zaidi ya moja ingekuwa ni 🔥 🔥 🔥
Mbosso never disappoints 💯💯💯💯💯 nipeni likes 20 za king Khan tukisonga 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
FUNDI wa WASAFI 🎆🎆 Limenitoka 🙌🙌
Mbosso utakuja niuwa na mashairi jamani ❤❤much love from 254 We love you for free❤❤
Hongela sana kaka kwa hii nyimbo nzuri kabisa , 🇧🇮🇧🇮
hongeRA hongela ndio nini sasa...halafu mjigambe mwajua kiswahili
KING KHAN MSHEDEDE NEVER DISAPPOINT, MUCH LOVE FROM 🇰🇪💥
Odo wangu odo, jmn jmn nlitaman kaendelee jmn daaah respect bro❤
Mbosso kwa wimbo wake lazima iwe na taarab👌👌
Burundi fans like ni hapa
Protect Our Legend Mbosso At All Cost✌🏾🙏🏾🏆🏅🏆
kama umeipenda hii ngoma gonga likes za kutosha much love for mbosso❤
Guru staaaadh MBOßO ĶHAN Unatunga kwali. Elimu ya Lugha
❤❤❤❤❤baba we bas tu ni uko mbele yni unajua mpka unajua tena ..😊😊😂mamae unajua kuchombza. Jmn nkupnd bur❤❤
😂😂😂ila wewe mbosso wewe sele mbona wajuanga sana umenifurahisha hapo pa kijiti maskini mie❤
Wimbo unavyoelekea kumalizika, ndio utamu unaongezeka.
Saf sana
Toutes mes félicitations vraiment à toi fan wako 100% depuis Congo 🇨🇩 Kinshasa
Mboso never disappoints all the way from Congo if you LOve Congoles show some Love like so I no😅😅😅😅
Wakenya wametutawala sasa embu tuwaoneshe this is our own family member in 🇹🇿🇹🇿not in 🇰🇪🇰🇪 ❤❤❤❤
Embu ndio kusema nini
@@saumsaeed8968 sijui
Wanatamani kujidanganya na kudanganya wengine wa nje na mibendera yao 😂
Mboso kupendwa popote pale duniani sio vibaya kwani hata Michael Jackson alipendwa dunia nzima, muziki hauna mpaka wala uraia wala ukabila Kwa hiyo wakenya kumpenda sio mbaya. Watanzania tuache roho mbaya. East Africa ni moja.
I won't force my children to love mbosso's songs, they will either love them or go to rent their own apartment
😂😂😂😂😂
😂❤😂😂😂😂
Really!
😢Jamaniii
😂😂😂
chapa sana mdg wng mboso mpaka wokome eakubali unajua music upo juu sana.
Le Trésor de la Tanzanie , depuis la Côte d'Ivoire 🇨🇮🇨🇮🇨🇮🇨🇮🇨🇮🇨🇮🇨🇮🇨🇮🇨🇮