Nakukubali sheikh ibrahim wewe ndio unamjua sasa na tena hata hujafanya nae debate ndio mwanzo huyo mimi nimesema ni mrongo hajui kufundisha kabisa na ikiwa hujui kufundisha atampata wapi muislamu kumtia kwake hana hoja kabisa
Ndacha anajigamba bure, Nivizuri atoe andiko kwenye bibilia Yesu akiwaamrisha wanafunzi wake waiandike bibila, au kumtaja Paulo, au akiwaeleza kuhusu Ukristo.
Yani wewe ibra kweli unaskitisha sjui ninani alikuroga ukawa mwislamu ndacha hana asara yoyote hasara unayo wewe uliemuacha yesu ukijiona uko sehem sahihi ivi hukujazwa hata roho mtakatifu kweli akakuongoza mbona weunatia uruma jamani omba sana mungu akusaidie
Eti huyu ndie amemsoma ndacha , inalilahi...Hata biblia yenyewe haielewi ,kwamba Yesu hakufilia watu dhambi!!! Huyu Ibrahim alisilimu tu ilimradi apate UNGA, "wainalilahi rajiun"
Huyo ex-pst harlewi maandiko .Bibilia ni neno la rohoni hauwezi kuelewa na akili ya kibinadamu mpaka Roho wa Mungu akupe ufunuo.Ndacha anaongea ukweli mtupu
MASHA ALLAH kazi nzuri Masheikh wetu ALLAH awatangulie kwa kila atua🤲🤲
Pasta Ndacha wewe ni balaaa sana mwenyezi Mungu akuongezee elimu
Mashallah tabaraka Allah. Allah akuziadiye dunya na akhira
Tabaraka Rahman kazi nzuri ALLAH awazidishie ilmu
Mashallah sheikh wetu x.pastor sheikh Ibrahim mungu ukulinde akujaalie uzidi kuwafundisha
Allah.azidi kukuongoza Kaka yetu ibrahim.na.Ukaione pepo
Good job masheikh
Wao wavute bangi, yesu abebe mazambi yao
Maashallah shekh wetu ubarikiwe
Maashaaallah kazi nzuri
Mash,aallah shehelechu
Mashaallah tabarakarahman uko sawa sheikh ibrahim wafundishe mafundisho ikiwa ni ndacha yeye kazi yake nikurukaruka maandiko
Masha Allah 🙏🙏🙏
Uko vizuri sanaa namuona mazinge
Ex-pastor hamumuwezi. We ndacha umechanganyikiwa Paulo ni Mtume wa uongo wenu nyinyi wenyewe
MaashaAllah Ibrahim
mashaallah sh ibrahim
Nakukubali sheikh ibrahim wewe ndio unamjua sasa na tena hata hujafanya nae debate ndio mwanzo huyo mimi nimesema ni mrongo hajui kufundisha kabisa na ikiwa hujui kufundisha atampata wapi muislamu kumtia kwake hana hoja kabisa
Mashaallaah mashekh wetu mola awahifadh na mabaya yote amiin yaarabaliaalaamiin
Ndacha anajigamba bure, Nivizuri atoe andiko kwenye bibilia Yesu akiwaamrisha wanafunzi wake waiandike bibila, au kumtaja Paulo, au akiwaeleza kuhusu Ukristo.
Ndacha umeumbuka wachungaji wenu nyinyi sio wale waliotajwa kwenye qur-an. Huko ni kuishiwa kuishiwa points
Wee mwenyewe unachanganya mada kibao hujastick kwenye mada
Wape maandiko paster Ndacha wachanganyikiwe
X P bure kabisa
Yani wewe ibra kweli unaskitisha sjui ninani alikuroga ukawa mwislamu ndacha hana asara yoyote hasara unayo wewe uliemuacha yesu ukijiona uko sehem sahihi ivi hukujazwa hata roho mtakatifu kweli akakuongoza mbona weunatia uruma jamani omba sana mungu akusaidie
Unassema deedat unakosea huy maalim ni umeme.....
Ex paster hawezani kabiza😂 maneno mengi ya bure
Hivyo we murtadi siku Hi yo utamwambia nn mzzee subuhanahu wataala kafilimkubwa we
Eti huyu ndie amemsoma ndacha , inalilahi...Hata biblia yenyewe haielewi ,kwamba Yesu hakufilia watu dhambi!!! Huyu Ibrahim alisilimu tu ilimradi apate UNGA, "wainalilahi rajiun"
ww ndio kiazi
Ila aujuwi fundisha, unajuwa tukana
Unakata kitabu cha walio kutangulia kwenye dini
Ex-Pastor hajui kiarabu?? Wewe ndacha unakijua. Makelele tu. Ala ndio nini ya muzuki?
Ndacha hana hekma.. hana elimu
X p kasome tena
Mi ndacha sikuelewi na Silvia kelele tu makinika uelemishe watu waelewe sacha kelele sacha kelele
Unaikalia kusema sana uwa na maandiko aujuwi
wewe tumiya akiri usome maandiko vizuri ukifa na iyo imani ya ukristo utakuwa mwenye hasara kubwa na uyo mwarimu wako wakisabato
Maskini huyu xpst ...Hata maandiko anayakata(baruani) yaani wanazuoni waliobobea kwenye uislamu anawakana .namsikitikia
umemskia akikwaambia baruani side sheikh ama amesema ndacha anapenda kuruka ruka ktika vitabu vya masheikh akina baruani na ibn kathiir
Wewe humuwezi Ndacha amesoma Biblia na vitabu vyenu usiseme na hofu hauna kitu
Kwani kusoma kunashidagani??
Unaeza Soma nausielewe MAANA kama msomi huwezi amini Yesu aliyetokea njia yamkojo awemungu
@@abuuhassani497 Bibilia iko waazi
Ww p x hujui kitu
huyu mshenzi is pointless to the totaly
Huyo ex-pst harlewi maandiko .Bibilia ni neno la rohoni hauwezi kuelewa na akili ya kibinadamu mpaka Roho wa Mungu akupe ufunuo.Ndacha anaongea ukweli mtupu
huyo roho anakupaje Ufunuo? nambie anapoishi tumuulize unawapaje Mafala kama ww Ufunuo!??
MAANA Ufunuo hupewa Manabii
ww na BABAYAKO ni Manabii
Hauwezi kuelewa
@@abuuhassani497 Kuelewa Mambo hauwezi kuelewa
Ex pastor you are a joker haujui maandiko vizuru na wewe ndacha uko na ukweli ila hasira nyingi funza mada polepole