jamani bulyanhulu mbarikiwe kwa wimbo mzuri sana, na huu wimbo nimeutafta sana maana niliuona siku ya mwisho mnaimba na ulinibariki sanaaa na nimeupata daaah amina sana
Wanakwaya wote wamekuwa Waimbishaji.Ila kwa kweli!!!.Angekuwepo hapa Past.Mwasomola angeua mtu. Yaani,Hampendezi wala Utukufu wa Mungu haupo hapo na Mapasta Machekelea sijui!!!.
amina sana mtumishi,mungu awabariki sana kwa juhudi zote mnazofanya kwaajil ya injili ya nyimbo nzuri mkapate kufanikiwa zaidi. pia nilkuwa na ombi kama hutojali mpatie email yangu huyo mtumishi alieonekana kuanza kuimba wimbo huu.msisitize asiache kunitafuta kupitia hii email.mungu awe nanyi!
mko vizuri ila natoa ushauri punguza speed ya kutoa nyimbo,unajua unaweza kutoa kila siku nyingi zinakosa uzuri wa muziki pamoja na uzito wa ujumbe unapungua, jikite hata kwa muda fulani kutengeneza kitu kizuri kilicho tulia na chenye kuvutia wasikilizaji- mbarikiwe sana kakola karibu na irogi na buyange.
jamani bulyanhulu mbarikiwe kwa wimbo mzuri sana, na huu wimbo nimeutafta sana maana niliuona siku ya mwisho mnaimba na ulinibariki sanaaa na nimeupata daaah amina sana
Nicee mko vizuli kiukweli tnabalikiw n uwepo wenu katika kambi la ilala 2024
Amen hakika yatosha kuishi jangwani,mbarikiwe sana sana waimbaji.tunausubiri sana mkutano huo. Kutoka kenya.
Yatosha jangwani. Nina barikiwa na wimbo huu Sana nikiwa Nyanda za juu Kusini Njombe Tanzania. Songeni mbele watu wa Mungu.🙏
Ni wimbo mzuri sana Yan sana ujumbe mzuri sana
Mwenyewe nimebarikiwa sana🙏🏻
Amina tubarikiwe sote
Wanakwaya wote wamekuwa Waimbishaji.Ila kwa kweli!!!.Angekuwepo hapa Past.Mwasomola angeua mtu.
Yaani,Hampendezi wala Utukufu wa Mungu haupo hapo na Mapasta Machekelea sijui!!!.
Mungu awabariki Sana bulyanhulu sda msalala
Mungu awabariki watumishi
Ujumbe makini kabisa,Mungu atukuzwe.YATOSHA JANGWANI
Vocal 💯🔥🔥
Tunzi imejawa Roho wa Bwana 💯🙌🙌🔥🔥
Music 🎶💯🔥
Ubunifu ni Umejawa Moto wa Mbinguni 💯💯🔥
Mungu AWAPE BARAKA KATIKA FAMILIA ZENU 🙌🙌🔥🇹🇿🇹🇿
tunashukuru sana kwamaonbi yenu tunawapenda wote endeleeni kutuweka kwenyemaombi tunakazi kubwa sana yautume kwanguvu zamngu tutashinda
Amen Bwana azidi kututumia kama vyombo vyenye meno
amina sana mtumishi,mungu awabariki sana kwa juhudi zote mnazofanya kwaajil ya injili ya nyimbo nzuri mkapate kufanikiwa zaidi. pia nilkuwa na ombi kama hutojali mpatie email yangu huyo mtumishi alieonekana kuanza kuimba wimbo huu.msisitize asiache kunitafuta kupitia hii email.mungu awe nanyi!
Hongereni sana kwa wimbowenu mzur wayatosha kuishi jangwani ❤❤❤ hakika hadi watu waokolewe awamu hii
Nawapenda sana japo mi sio msabato ila kwa sim yangu nmewajaza nyinyi barikiwen sana mungu azidi kuwatetea nas tukiwaombea
Hakika nimebarikiwa sana na wimbo huu,Mungu azidi kuwabariki waimbaji hawa
Barikiwa sana
Wimbo mzuri sana, Hakika yatosha jangwani, nasubiri kwa hamu sana huu mkutano🙏
Wimbo mzuri Sana MUNGU awatunze Yatosha jangwani 🙏
Ameni tubarikiwe sote
Amen, wimbo mzuri sana sana. Kwa hakika yatosha kuishi jangwani Mungu awabariki sana waimbaji.
God bless you
AMEN YATOSHA KUISHI JANGWANI. WIMBO NZURI SANA TUPO TAYARI
Nawafuatilia ktoka Nairobi Kenya./ Kilimani near Mararo Avenue.
Wimbo mzuri sana....❤ mbarikiwe sana
wa nyumbani haooo!
Mubalikie sana watu wa Mungu
Mungu awabariki sana 🙏🙏🙏
Mungu awabariki sana watumishi wa BWANA
Ameen
Mbarikiwe sana wajoli wa Bwana
amina sana
❤Amina
Amina Mbarikiwe sana
Hakika yatoisha jangwani
Ombamungu tv tunakufatilia kwa ukaribu kwaya Nyimbo zinabariki
Amina
Amen Amen
naomba no NAMI nihusike pls
Razaro mko vizuri
amina sana
Bwana awabariki sana
Mbarikiwe watu wa Mungu huko NGBF wenu katika ushirika kwa waumini Kahama mjini SDA ni Joshua Wilson
mko vizuri ila natoa ushauri punguza speed ya kutoa nyimbo,unajua unaweza kutoa kila siku nyingi zinakosa uzuri wa muziki pamoja na uzito wa ujumbe unapungua, jikite hata kwa muda fulani kutengeneza kitu kizuri kilicho tulia na chenye kuvutia wasikilizaji- mbarikiwe sana kakola karibu na irogi na buyange.
Ujumbe wa Mungu lazima uende spidi usiseme wapunguze m nawaombea was once zaidi
AMINA
Asanteni sana!!!
🙏🙏🙏🙏
Huyo mdada alieanza kuimaba nampa hongera yake mungu akuongezee kipaji cha kuimba hakika uumenivutia san unavyoimba
Amen barikiwe
Kwaya mko vizuri sana mfike mbali
asante kunipongeza maombiyako yatanifanya nifanye vzuri zaid
Amen
Amen hakika yatosha kuishi jangwani,mbarikiwe sana sana waimbaji.tunausubiri sana mkutano huo. Kutoka kenya.
Mungu awabariki watumishi
Mbarikiwe watu wa Mungu huko NGBF wenu katika ushirika kwa waumini Kahama mjini SDA ni Joshua Wilson
Amina
Amen
Amen hakika yatosha kuishi jangwani,mbarikiwe sana sana waimbaji.tunausubiri sana mkutano huo. Kutoka kenya.
Mungu awabariki sana watumishi wa mungu