🔴LIVE : KAHAMA NET- EVENT | YATOSHA JANGWANI - SIKU YA 02

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 31

  • @GraceMachibya-p1x
    @GraceMachibya-p1x 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nimebarikiwa sana nawimbo wa Imani ni ushindi

    • @GraceMachibya-p1x
      @GraceMachibya-p1x 8 หลายเดือนก่อน

      Nawapongeza sana Mungu awabariki sana tukutane mbinguni

  • @MercyMwinuka-p3s
    @MercyMwinuka-p3s 8 หลายเดือนก่อน +4

    Mama mwaka wa kwanza chuoni umeenda mbali😢😢 sikuhizi ni darasa la4. Ikiwa watu wote tunge fuata hatua hii ya uchumba na kanuni zake,, kusinge kuwa na ma jangwa ya watoto wa nje ya ndoa,,, taraka na mimba zote zisizo tarajiwa. Mungu atusaidie.

  • @PilliAndrew
    @PilliAndrew 7 หลายเดือนก่อน

    Bwana ni mwema ni sana tumebarikiw sana

  • @Joycem-wn9xw
    @Joycem-wn9xw 8 หลายเดือนก่อน +5

    Nabarikiwa na mafundisho ya yatosha jagwani nikiwa chalinze

  • @zefaniamarwa
    @zefaniamarwa 8 หลายเดือนก่อน

    Zefania marwa toka Kenya nabarikiwa sana niombee pia nami nitoke jangwani

  • @RehemaHassani-c3j
    @RehemaHassani-c3j 8 หลายเดือนก่อน +5

    Naitwa rehema, niko sua morogoro,, nabarikiwa saana na mahubiri haya, hasa somo la kaya na familia,, Mungu atubariki sote...

    • @suzankasile8093
      @suzankasile8093 8 หลายเดือนก่อน

      😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😅😮😅😮😅😮😅😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮

  • @WakyoKyanzi
    @WakyoKyanzi 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nabarikiwa sana sana na nafundisho yanayotolewaa

  • @eunicekitaringo
    @eunicekitaringo 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu awabariki sana tunawapata kutoka mtaa wa usangi Mwanga

  • @JanethKezza
    @JanethKezza 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nabarikiwa sana na mahubiri haya nipo mwanza nafatilia sana hakika jagwani yatosha

  • @EliyaMbilinyi-zm1nf
    @EliyaMbilinyi-zm1nf 8 หลายเดือนก่อน +1

    Naitwa Eliya nipo mbeya uyole nabarikiwa sana MUNGU awabariki sana

  • @helenankilijiwa1189
    @helenankilijiwa1189 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nabarikiwa sana na yatosha jangwani

  • @neematimo9283
    @neematimo9283 8 หลายเดือนก่อน

    Naitwa vestina, nipo chato nabarikiwa na kipindi cha kaya na familia barikiwa san watu wa mungu

  • @MercyMwinuka-p3s
    @MercyMwinuka-p3s 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu awabariki wapendwa.

  • @EuniceJoel-m9i
    @EuniceJoel-m9i 8 หลายเดือนก่อน

    hakika yatosha jangwani nazidi kubarikiwa,Eunice Joel kutoka kahama mbulu

  • @rabanphotostudionyakanazi_4115
    @rabanphotostudionyakanazi_4115 8 หลายเดือนก่อน +2

    Jamani jamani,nipo Nyakanazi Biharamulo nawapata Live

  • @OmarySamson-if4oi
    @OmarySamson-if4oi 8 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @LabanSimwinga-t1t
    @LabanSimwinga-t1t 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nimeuelewa ujumbe

  • @JUMAKAZUNGU-o4x
    @JUMAKAZUNGU-o4x 8 หลายเดือนก่อน +1

    nabarikiwa sana kutoka ubungo Dar es salaam

  • @yohanagabriel2705
    @yohanagabriel2705 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nimebarikiwa Sana na mahubiri ya leo ...hakika nimetoka jangwani

  • @Dorajulius-o6m
    @Dorajulius-o6m 8 หลายเดือนก่อน +1

    niko dubai nabarikiwa sana

  • @NeemaPetro-hk4wc
    @NeemaPetro-hk4wc 8 หลายเดือนก่อน

    Naitwa Neema nipo MATI TUMBI na barikiwa sana na mahubir

  • @DaudiBasilius
    @DaudiBasilius 8 หลายเดือนก่อน +1

    Naitwa Gabriel kahare Niko musoma nabarikiwa saaana na

  • @michaeljoshua3118
    @michaeljoshua3118 8 หลายเดือนก่อน +1

    Emen watu wa MUNGU endeleen kubarikiwaa

  • @limimayunga4708
    @limimayunga4708 8 หลายเดือนก่อน

    Nahitaji namba ya mama Debora urio

  • @AnnyAdonai
    @AnnyAdonai 8 หลายเดือนก่อน +1

    Niko hostel Arusha nabarikiwa sana

  • @AdelinaSeneda
    @AdelinaSeneda 8 หลายเดือนก่อน

    Anaetoa neno anaitwa nani

  • @GoodluckLameck-xm7zw
    @GoodluckLameck-xm7zw 8 หลายเดือนก่อน

    Idadi inaonyesha watoto wa njee ni wengi kuliko walioko ndani ya ndoa

  • @zefaniamarwa
    @zefaniamarwa 8 หลายเดือนก่อน +1

    Zefania marwa toka Kenya nabarikiwa sana niombee pia nami nitoke jangwani

  • @rosesalugole4979
    @rosesalugole4979 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu awabariki kwa huduma hii mnayoitoa, mnatubariki sana