Hv nyie viongozi mnavyosema nimetumwa na rais kuwasaidia wananchi hv ni mnatusaidia au mnatumia kod zetu kuleta maendeleo???? Mbona mnaongeaga ujinga sana na uchawa mwingi hv ni mnatoaga hela zenu mfukoni au pungezen uchawa alafu hamtusaidii ni kod zetu
Uyuuuu anafaaaa kuaaa mkuuuu waaaaa mkoaaa sioooo wilayaaaa
MAGOTI JEMBE.❤❤❤❤❤❤
WATU WANAWEKWA WEKWA TU YAN MTU KUJIELEZA SHIDA
😀😀😀😀😀
Magoti hajielewiii kata kumsikiliza sitaki
Magoti safi sana hivyo hivyo kama makonda changuzi yako mama hayakosea piga kazi kaka mheshimiwa 😊
Na visegese uwanda wa.viwanda kuna shida sana ya maji
Magoti tunamtaka wilaya ya kinondoni
Yaani huweziamini serikali imebaki yakihuni kabisa yani
MAGOTI AKILI KUBWA✌️