Raisi Félix Tshisekedi avunja jeshi fardc ateua wapya

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 16

  • @alexmusambya5612
    @alexmusambya5612 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Tafsiri ya vita vya inchi yangu ,Narudi nyuma sana kwayale maneno aliyo sema hayati kabila kwamba vita ya Congo nindefu sana, naelewa alikuwa namaanisha kwamba inchi nyingi jirani ndio adui wa wa congomani , na hawa wanyarwanda nikundi la wauwaji wanao supportiwa na Tanzania 🇹🇿 ,UGANDA🇺🇬RWANDA🇷🇼USUDAN 🇸🇸ERITRIA 🇪🇷na SOMALIA🇸🇴, wa congomani tusipo funguwa macho tutavamiwa na tutakuja juta maishayetu yote istoshe itakuwa haibu sana kwetu, siri nimoja tu tupiganiye inchi yetu natuwe wazalendo maana wanyarwanda niwabaya sana tena wauwaji, uliza waganda na wahutu watawaambiya

  • @jean-pierremsambya6429
    @jean-pierremsambya6429 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kuwekwa kwa masunzu iyo mikoa mitatu inaenda Rwanda

  • @UwamariyaDusabe
    @UwamariyaDusabe ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hello fatafaka Turanbiweagasunzuguro kisegeti 😂😂😂😂😂

  • @OmarRwamakuba
    @OmarRwamakuba ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wewemongo sana. .historiya. Yawanyarwanda kuwepo congo. Mukoloni alivyokata mipaka. Apozamasisi rucyuro lubero. Palikuwa Rwanda. Namadjina yahapo yote nimajina ya kinyarwanda kamahamtaki awowatu wanazungumza kinyarwanda muwape udongowawo bila Ivo. Vitaitaendeleya naukweli utaonekana

  • @laurellmoses8322
    @laurellmoses8322 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Safi sana

  • @mwajumasakina9599
    @mwajumasakina9599 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Distraction ya tchisekedi kuba kongomani, wewe unasema masunzu ni mtoto wa sud kivu, huyu jamaa ni munywaranda pure

  • @christopherkanyalakc8941
    @christopherkanyalakc8941 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Leo nime kuelewa sana Mungu ni mwema sana

  • @KashindiMauridi-v7n
    @KashindiMauridi-v7n 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    live toka marekani

  • @KashindiMauridi-v7n
    @KashindiMauridi-v7n 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nataka tuhongeye

  • @MuseveniSteven
    @MuseveniSteven 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mubembe nikuulize masunzu nimubembe hhhh mutoto munyamulenge baba wewe nimutangazaji muongo sana

  • @kulevyavuwa6673
    @kulevyavuwa6673 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    kule vyavuwa kutoka butembo wangeleta edikapende

  • @reface6780
    @reface6780 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Jambo ndugu mtangazaji Rajabu kwa jina naitwa kiza salumu niko USA, nakufuata 5/5 niko na swali hivi uyo Masunzu sio wa asili ya Rwanda 🇷🇼?

  • @OmarRwamakuba
    @OmarRwamakuba ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mufanye kilamunataka. Republic Kivu. Ikojyiyani. Inakujya namkitizamavibaya. Panakujya. Republic Katanga.

  • @atumbeilangi4946
    @atumbeilangi4946 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Bado tatizo hipo bwana mtagazaji huyu masuzu ni mnyarwanda tatizo niele ele

  • @BasakaMacara
    @BasakaMacara 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Jambo ndugu mtangazaji! Sasa askari akishushwa pete anakuwanani?

  • @KASONGOMATHIE
    @KASONGOMATHIE 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Unasema uwongo bwana , maneno yako yote ni uzushi na chuki ya ukabila : Bwana Kisasi Ngandu hakuwa Munyarwanda ama Mututsi ,wewe unapotosha watu, haujuwi historia ya congo , wewe siyo mtangazaji una hisiya zako za upotofu na chuki ya ukabila., Sasa huyu Masunzu yeye ni Munyamulenge !!!! mutamukubali basi ????