Kwa Wasanii wote wanyimbo za asili yangu ngelela namba moja kwa kuimba vizuri nakukubali sana!!!!Nyimbo asilia kweli za kusikiliza kwenye mazingira yoyote wakati wowote
Yaani huyu jamaaa mm namkubali sana katika waimba wote wa asili kiukweli am very proud to be sukuma tribe nipo Liberia lakin nazipata sana nyimbo zako kamanda
Huwa napenda sana uimbaji wako mwamba,,, ila fanya uje utoe ngoma na kaka yako richard shilunguja japo mfanye kumpa pongezi NG'WANA RUSI maana bado anaishi kwenye mioyo yetu huyo na anafahamika kuzidi hata mtoto wake ntambi utazani bado anaishi.
Kwa Wasanii wote wanyimbo za asili yangu ngelela namba moja kwa kuimba vizuri
nakukubali sana!!!!Nyimbo asilia kweli za kusikiliza kwenye mazingira yoyote wakati wowote
Safi sana brooo
Namkubali sana kwani bado azalea usukuma ipasavyo
Yaani huyu jamaaa mm namkubali sana katika waimba wote wa asili kiukweli am very proud to be sukuma tribe nipo Liberia lakin nazipata sana nyimbo zako kamanda
Dah kitambo sana yaan Bado nipo SHINYANGA kwenye harusi huu wimbo ulikuwa unapigwa sana cku hio ya harusi hongera umenikumbusha mbaliii ❤❤❤❤❤❤❤
Kitambo ya lini siyo huu ni wimbo mpya huu haujamaliza mwaka wewe
Mm namkubali sana nataka aje afanye uzindunzi wa geita najuwa itasimama kabisa.
Kazi nzur sana sana endelea kupambana ng'wana samoja utafikia malengo yako
Hongera sana msukuma mwezang na kupata Niko oman
Huu wimba ni noma sana,na Ngoma zinavyolia vinanisisimua sana.
Kazi nzuri🎉🎉
Unajua sana. songa mbele tupo pamoja nawe
Ni kweli ngelela , mwanamalale ashushe chuki.❤
Nazikubali sana nyimbo zako kaka maana huwa zina ujumbe mzuri na wa kufundisha
Director kaz nzr
Nice song keep it up
oya Mambo vp
Da Alie mpgia hii nyimbo makin sn ❤
Huwa napenda sana uimbaji wako mwamba,,, ila fanya uje utoe ngoma na kaka yako richard shilunguja japo mfanye kumpa pongezi NG'WANA RUSI maana bado anaishi kwenye mioyo yetu huyo na anafahamika kuzidi hata mtoto wake ntambi utazani bado anaishi.
Yani huu wimbo kwangu ndo penyewe.
Hii sjaielewa kabisa ata kidogo
Msimuimbishe na sauti za mashine huyu jamaa,sauti yake ni nzuri inatosha kabisa. maneno yake hayasikiki vizuri sababu ya mashine.
Bigap saana kaka uko vizur
safi Sana
Safi sana
Songesha mwinikili magulwa tuna kukubali
Mwambasha
Saf ngalu one
Leo wakwaz🎉🎉🎉🎉🎉
saf san ngerela
Ngalu💯
Hogera sana kaka unajitum 4:03 4:12 4:15
Karibu sana manzese tiptop tena mwanasamo
Jitahidini kuwa mnazitoa video zake kwa mda mwafaka wimbo unamiak miwili Leo ndo unapigiwa video keep up lkn jidagu
Kwakweli
na wimbo wa suhnuhna utolee video mapema niko dar msukuma nakusapot
Nani kama Ngelela
Ndiyo ndiyo
Oke
🌎🌎🌎🌎🌎🌎
Shilunguja
Inaga aache chuki navijana
He tbh y
Nyimbo nzuri sana hiyo