SHEIKH KISHK-ATOA SOMO SWALA YA SAFAR

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 41

  • @assumaneomar-x9m
    @assumaneomar-x9m วันที่ผ่านมา

    Asante shekh kishk kwa dar saa

  • @MochammdHadija-pn7nn
    @MochammdHadija-pn7nn 2 วันที่ผ่านมา

    Mashaallah tabarak Allah ❤

  • @SalumMusafiri
    @SalumMusafiri 2 วันที่ผ่านมา

    Shukran kwa mafundisho haya umetufunza kitu

  • @kondomiraji2834
    @kondomiraji2834 วันที่ผ่านมา

    Je unaweza kuwasha swala ya said ya siku

  • @Mrschid958
    @Mrschid958 2 วันที่ผ่านมา

    Mashallah ❤

  • @halimaa9367
    @halimaa9367 วันที่ผ่านมา

    Na wetr ujasema shekha

  • @bakariabrahaman818
    @bakariabrahaman818 2 วันที่ผ่านมา

    Mashallah Allah akubark zaid 🙏🙏

  • @MohamedMeja
    @MohamedMeja 3 วันที่ผ่านมา

    MASHA ALLAH

  • @AsmaMbarak-c2j
    @AsmaMbarak-c2j 2 วันที่ผ่านมา

    Kweli sheikh mashaallah

  • @zainabudotto
    @zainabudotto 3 วันที่ผ่านมา +6

    Na sisi tulikua nje ya nchi kwenye kazi mkataba wa miaka 2 inakuaje

    • @mohammedalishamis9405
      @mohammedalishamis9405 3 วันที่ผ่านมา +2

      Nimelipenda swali lako ni muhimu kujua
      Ngoja tusubiri aweza kujibu hapa Shekh tukapata faida sote

    • @sabahbakari5155
      @sabahbakari5155 3 วันที่ผ่านมา +2

      Hata mm nataka kujua pia

    • @qwerqasd8597
      @qwerqasd8597 3 วันที่ผ่านมา +1

      Hata na mimi natamani kujua kuhusu sisi tuko inchi za kiarabu

    • @SaidHassan-ot3un
      @SaidHassan-ot3un 2 วันที่ผ่านมา

      Alla haitambuwi ibada ya mtu asiokua na elimunayo,hilo suali lako ulitakiwa ulijue kabla ya hiyo safari yako ili ujuwe unafanyaje,alla atusaidie

    • @UMMA_TV1
      @UMMA_TV1 2 วันที่ผ่านมา +3

      Umeenda inje ya inchi na unajua utakaa huko mda kadhaa unaswali rakaaa zote bila mapungufu

  • @Kuruthumumakalawa
    @Kuruthumumakalawa วันที่ผ่านมา

    Shehe tuweke sawa na sisi tulio nchi za watu zaid ya miakoa 2. Ila mm kama mm ninaswari kawaida tuu sipunguz ebu tuweke sawa shehee

  • @Yu-jr9uf
    @Yu-jr9uf 2 วันที่ผ่านมา

    Assalaam alykum shekh, ukishafika huko safarini hauruhusiwi kukusanya swala??

  • @omanmct135
    @omanmct135 2 วันที่ผ่านมา

    Mashalllah

  • @qwerqasd8597
    @qwerqasd8597 3 วันที่ผ่านมา +1

    Wangine tuna myaka 5 warabuni na sisi tusali safar?

    • @SaidHassan-ot3un
      @SaidHassan-ot3un 3 วันที่ผ่านมา

      Kwani kabla ya sheikh kujibu muda wote huo munasali vipi?

  • @aminahamza5386
    @aminahamza5386 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sijaelewa kabisa magharibi tatu ishaa mbili yaani unaswali mara mbili isha na magharibi mara tatu

    • @abuunabil1090
      @abuunabil1090 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @aminahamza5386 magharibi unasali rakaa mbili na insha una sal rakaa mbili

  • @saumuothman3588
    @saumuothman3588 2 วันที่ผ่านมา +1

    Me swal moja kwa sheikh kishki samahan me nilikuwa nauliza hivi je ikitokea safr yako imekutana na swala zaidi ya mbili unafanyaje ?? Kwa mfano alfajir upo safarini na ukafika safar yako magharibi unafanyaje?? Hapa kdg kuna khitilaf alaf pia umeenda safarini kimasomo let say dodoma na ikafikia siku mnafanya mtihni may be swala ya alasir ikakutana na magharibi upo kweny mtihan unafanyaje????? Msaada please

    • @j4amas5
      @j4amas5 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Km upo safarini ni ruksa pia kuswali kwenye gari. Kwahiyo km alfajir ulikuwa bado hujaswali ukawa umepanda gari basi utatayamamu km huna udhu kisha utaswali hapohapo katika siti yako. Kisha ikifika adhuhur utaswali km alivyoelekeza sheikh ima kwa kuunganisha na alasir(jamu'a takdimu) au utasubir alasir ifike kisha uswali adhuhur na alasir(jamu'a taakhir), vivyohivyo km magharib itakukuta kwa gari.

  • @binseif2216
    @binseif2216 2 วันที่ผ่านมา

    Sheikh hili limekaaje navyojua safar inaanzia km 13 mpka 15

  • @9119-r4t
    @9119-r4t 2 วันที่ผ่านมา

    Rudi usome shekh unakosea sana

    • @binfarhan879
      @binfarhan879 2 วันที่ผ่านมา

      Kosa lake lipi hebu ainishi.
      Usionishi Chuki had apa.

    • @hassanmohdally5217
      @hassanmohdally5217 2 วันที่ผ่านมา

      Naombaa utuelekezee shekhee kakoseaa wapi tupate elimu na ss

    • @9119-r4t
      @9119-r4t 2 วันที่ผ่านมา

      Hiyo kusema safari ni kilometres ngapi wapi dalili

    • @AsmaAli-je2zz
      @AsmaAli-je2zz วันที่ผ่านมา

      Asome hadithi za swala ya safari asitoe maelezo

  • @KhajimuloKhajimulomashaury
    @KhajimuloKhajimulomashaury 2 วันที่ผ่านมา

    Shekhe hapo cjapaelewa kwani siwezi kutayamamu nikiwa kwenye gar nikaswali

    • @j4amas5
      @j4amas5 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Unaweza. Pengine alisahau tu kuweka bayana hiyo nukta lakin hana maana kwamba kwenye gari hairuhusiwi kuswali ukiwa safarini

  • @abuubakarmzee
    @abuubakarmzee 2 วันที่ผ่านมา

    Twambiye wewe ulosoma inakuwaje