Most of the people were like to underrate this interview with speshoz including myself but it has turned out to be one of the best interview, i did not know if this man is very smart like this. Congrats salama to bring this man on your show.
One of the best interview ever...alivyo mu appreciate mke wake its so real i loved dat na alivyoongea kuhusu diamond dah adi unaona umuhimu wa ku appreciate watu wanaokutoa...salama thank you alot madam...siku akija mond naona una maswali mengi kwake..salama you are de best🤗
Katika interview zote nlzoziangalia za yahstonetown this is one of the best interview ever..big time..jeff ana inspire sana...kachangamka mno,watu kama hawa ndo tunawahitaji kwenye taifa letu..they have a story to tell...this guy is really spesho....salama alkuwa hana kaz leo
Jeffrey Jesse a Seminary Dropout.. Proud you made a difference.. Finally a Rector to your own kinda Institute.. the highest human act is to inspire! Jeffrey is One of the Fashion-Industry Moguls to have "it" while young.. to ma men I dedicate #A_Million_while_you_young *from* #Nipsey_Hussle. Blessings tapa blessings fi real
Brother Jeff, indeed every journey begins with a single step. Keep doing the great stuff you are doing. We are learning a lot. Powerful, impactful. Hakika unatuonyesha njia vyema katika kuunga maisha. Nafwata Ndoto yangu.
I didn’t think I was gonna finish the interview but this turned to be one of the very Tanzanian interviews that have woken me up a lot more than I’ve ever been. I dunno the guy apart hearing his name but I was please to have watched the whole interview. As an entrepreneur that I am , indeed 100 x 1 = 100 and 1 x 100 = 100 too. Am very inspired Speshoz
Salama dada angu ujawahi kuniangusha ilo fuvu lako la kichwa lina ubongo timamu ndani yake, Jeff thanks for inspirations mzee wng... #Yahstonetown my channel 4vr
2:23 imenikosha! Lugha ni muhimu sana haswa kwa karne hii. Watanzania tuweke bidii kujifunza kingereza atleast tuwe bilingual kama majirani zetu ili tuwe kiinternational not just at national level. Naweza kuwasaidia kupitia www.italki.com karibuni. Speshoz nimependa unavyojikubali. I saw your work first on Feb 2016 from my friend's wedding, the grooms walipendeza mno ndo nilipokujua first kwa Victor. Hongera sana! Nice interview!
Sema this life is so unfair! Connection muhimu. So Cesy tumepishana nae sana Maabara CONAS kumbe alishawekewa pande TRA 🤔🤔🤔. All in all I have learnt something aisee.
Jaman huyu kaka mungu amuweke nimecheka kwa sauti nimtu poa sana dah yani nimempenda bureeeee nimejifuza vingi kwa Huyo kaka duh kwanza ujasiri na vitu vingine hongera.sana uko poa sana hahahahahahahahahhah

Muda mwingine usmart sio muhim sn🤣🤣ujanja ujanja na kujiongeza ni muhim sn👌
Ktk interview nilizowahi kutazama hii ni superb kwangu jamaa 💪💪💪
Hii ni bonge moja la interview aise...the guy is so open, straight and sure to the answers he replied...big up sana kwake...
YAANI TOKA NITAZAME SALAMA NA... HII NDO THE BEST INTERVIEW HUYU JAMAA NIMEMKUBAL SANAA YUPO REAL ALAF NIMEJIFUNZA
yaan jamaa wa ukwel sana anai inspire sanaa
,real hii was special interview kuwahi kufanywa na salama was fantastic
Mchizi ni bonge la mwana, open minded, appreciative and hardworking ... big up to Salama, nimecheka sanaaaaa
1. Jeff
2. Idriss
3. FA
Binafsi nime funguka sana kuwasikiliza hawa jamaa. Salama asante
Na Madee
Katika interview zote nlzoziangalia za yahstonetown this is one of the best interview ever..big time..jeff ana inspire sana...kachangamka mno,watu kama hawa ndo tunawahitaji kwenye taifa letu..they have a story to tell...this guy is really spesho....salama alkuwa hana kaz leo
Asante kwa kuleta vchwa kama hivi,,bado tunamuhitaji alikaribia kunipa njia yakutokea,dada salama mpe part3
Hii interview haikutakiwa iishe, Jeff ana madini sana
Sijawah kuangalia interview yoyote ya salama nikashindwa kujifuza kitu, asante salama na team yako
nimeipenda sana hii coz Speshoz is so really
Jeffrey Jesse a Seminary Dropout.. Proud you made a difference.. Finally a Rector to your own kinda Institute.. the highest human act is to inspire! Jeffrey is One of the Fashion-Industry Moguls to have "it" while young.. to ma men I dedicate #A_Million_while_you_young *from* #Nipsey_Hussle. Blessings tapa blessings fi real
One of the realiest dude to ever do it.
for real✊🏽
Support u Dr daah aise salute to this mwamba
Hii interview is worth every second.learnt soo much I’m indeed inspired
Salama naona mgeni wa leo amekuhoji Sana wewe nahisi kuna maswali yako umebaki nayo maana alikuwa anatiririka Sana Safi Sana kazi nzuri
Brother Jeff, indeed every journey begins with a single step. Keep doing the great stuff you are doing. We are learning a lot. Powerful, impactful. Hakika unatuonyesha njia vyema katika kuunga maisha. Nafwata Ndoto yangu.
Yaani uyo jamaa hataki mchezo na nyam 😀 god bless him
Wow!!! After this interview najiona kama nimechezea mda wngu
I didn’t think I was gonna finish the interview but this turned to be one of the very Tanzanian interviews that have woken me up a lot more than I’ve ever been. I dunno the guy apart hearing his name but I was please to have watched the whole interview. As an entrepreneur that I am , indeed 100 x 1 = 100 and 1 x 100 = 100 too. Am very inspired Speshoz
Watu wanamshangaa sana huyu jamaa kisa anakula mbele ya kamera wanaume wa kweli huwa hawajivungi
HAPO KWA DIAMOND JAMAA AMENIMALIZA AISEE...AMEONGEA BONGE LA POINT!!!
Huyu kaka ninamwelewa nimerudia tena coment , yupo smart kichwani Na mkewake inaonekana ni mamilionea wa baadaye
anko wangu aliye muoaga shangazi yangu that's epic 🤣🤣😂😂
hawa watu 10 walio dislike hii video watakuwa ni washkaji waliosoma na Jeffy kwenye shule aliofukuzwa 🤣🤣
goshhhh .... the interview had so much lifeeee ... phenomenal!!!
One of the best interviews kwa salama na...
Salama dada angu ujawahi kuniangusha ilo fuvu lako la kichwa lina ubongo timamu ndani yake, Jeff thanks for inspirations mzee wng... #Yahstonetown my channel 4vr
2:23 imenikosha! Lugha ni muhimu sana haswa kwa karne hii. Watanzania tuweke bidii kujifunza kingereza atleast tuwe bilingual kama majirani zetu ili tuwe kiinternational not just at national level. Naweza kuwasaidia kupitia www.italki.com karibuni. Speshoz nimependa unavyojikubali. I saw your work first on Feb 2016 from my friend's wedding, the grooms walipendeza mno ndo nilipokujua first kwa Victor. Hongera sana! Nice interview!
Jeff is appreciative of his wife and diamond who’ve moved him from point A to B
This is the best interview 👏👏👏
Sema this life is so unfair! Connection muhimu. So Cesy tumepishana nae sana Maabara CONAS kumbe alishawekewa pande TRA 🤔🤔🤔. All in all I have learnt something aisee.
Dear GOD bless all responsible parents, little right things we do to our kids brings lots of difference in there LIFE.
after Idris,then this is another perfect one,that dude is truly something else,my big inspiration too...
Da safi sana tanzania ina watu wa maana sana
One among the best interview
Mlete Tena anamengi yakutuelezaa bigup salama
Kazi na dawa. Tonge ! Nyama!😂
Chiiii💥💥💥 huyu kaka nmempenda burr
I'm doing GIS and Geospatial Technology in general, I real admire your attitude, focus, and every thing I think we can do something brother.
Achana na hiyo kitu tafuta cherehani 🤣😂
@@MichaelPaulTZ 😀😀😀
Aseeh I learned a lot from him. Hata sijajua imeisha saa ngapi.😂😂😂
Salama. I love this guy too. Nimechelewa Kuona buti fikisha salam zangu
Very nice inspirational interview
The best one interview.
Jamaa kafanya kitu kizuri, great interview kudos
The real guy no pretence 😂😂😂
He is smart, very smart......😍 glory to God
Nimeangalia enterview hiz nyingi tu Kati ya mtu aliekula msosi vizuri uyu wa kwanza
Huyu jamaa sio wa umwalika home kwako mida ya msosi, atakutia hasara! 😂
Kujiongeza Best Example BlessUp For the Show
One of the realest dude.. 👏🏼👏🏼👏🏼
one of my favorite interviews
This interview is very inspirational Thank you Salama
Thanks salama, it was inspiring interview.
Greatest interview so far
Huyu jamaa ameongea vizuri sana bravo, ila amekula kama hajawahi kuona chakula.
Jaman huyu kaka mungu amuweke nimecheka kwa sauti nimtu poa sana dah yani nimempenda bureeeee nimejifuza vingi kwa Huyo kaka duh kwanza ujasiri na vitu vingine hongera.sana uko poa sana hahahahahahahahahhah
Best Inspiration Interview 🙌🏾
Salama i have been pursuing your programs and projects since way back . You're really dope and i enjoy watching your sessions.
100 x 1 or 1 × 100 !! Thanxs jeff and salama
Yan nmeipenda hadi nikataman isiishe jaman
Best interview ever..
Salama unawatoaga wapi hao 😅😂😅😂😂hatuliiiiiiiiiiiiiii
Broo una shukran sana kwa mkeo mungu akubariki sana💋❤
huyu jamaa amenifurahisha sana kwenye msosi hakutaka kulemba wengine huwa wanadokoadokoa tu nakuacha hapo ila kijana ameonesha umaridadi
U've really inspired me ndugu Speshoz. Keep it up.
Salama nakuona unataka kucheka lakin unajibana 🤣🤣🤣
Dah! Ndo imeisha......
Nimechek jmn huy jeff, arud tena jmn maan han habar yy kwenye menu🤣🤣🤣
Jamaa hajifungi kabisa kwenye kula
Best interview
Namkubali sana heshima kwake nimefurai kumsikiliza
Tunashukuru tunaomba mzidi kuleta wapambanaji zaidiii
I love this dude...
Big up kwa diamond ulivo muongelea
I'm glad I watched
Wooow ncy interview it's really impressive 😘
Best interview ever
intelligent,clever interview big up salama ❤
yooooh, super inspired
Salama ure best
Jamaa anakula mpaka salama anaona noma
this is dope💥
A very nice interview!
nimejifunza kitu kwa Jeff, asante salama
Salama huyu jeff tuletee tena jamani tunajifunza vingi
😂😂😂Eti we boya hahahahaha
Hahaha salama ww,,et unantia mateke mgen wa Leo nouma sana
Bonge la interview
Hii interview kiboko...
Jamaa ni halisi sana
pop corn za buku 10 zimekata na hili bundle kama niunge tena hivi sema huyu mwana mtamu sana yani.
Sijawahi kupenda interview kama hii
Ya kizazi sana hii
good work done
Kali sana
Good inspiration
Unantia mateke🤣🤣🤣
This dude aisee I lyk him kwakwel..