Assalaamu alaykum..ogopa kuhukumu jambo huna dalili nalo kutoka kwenye qur'an wa hadith. Usije ukaulizwa siku hiyo nzito umeyatowa wapi. Na usipati jibu. Weye una feni ya kasiwda ..kaitafute feni ya ilimu ya dini..kucanga haramu na halali ni haramu kwenye dini yetu ya uslam .ikiwa weye ni muislam
Ukhty umeongea kitu cha ukwel taarab na qaswda ni sawa saw ila tofaut ni 1 tuh waimb qaawda hawavai uchi waimba taarab wanavaa uchi ila na nyinyi waimba qasswda mupunguze kujipambaaaaaa😅
Rauhiya umekua ssa hv ni mama ❤❤❤❤ Tunakukubali sna zaid ya sna huna mbambamba Queen of Znz
❤❤❤❤Napendaa ulivo
Wamwazo leyo naomba like zenu jamani
Nakuongeza ukhty..Allaah akuongoze
Namuomba Allaah akuongoze.
Wew ukhty nlikuwa nakufatilia sana lakin kwa apo umefer muogope muumba wako kumba kunakiama acha kuomba taarabu wew mwanamke wew mmh
Ukhti Rauhiya Muogope Allah.
Da rau nakupenda kwa uchanga mfu wako
Hongera ❤❤❤
Nimuda wako sasa kuitafuta jannah..ukatubiye..itumiye qaswida kama tulivyo elekezwa na mtume wetu swala llahu alayhi wa sallam
Ndio nn kuzifyetua ..ulianza vzr
Assalaamu alaykum..ogopa kuhukumu jambo huna dalili nalo kutoka kwenye qur'an wa hadith. Usije ukaulizwa siku hiyo nzito umeyatowa wapi. Na usipati jibu. Weye una feni ya kasiwda ..kaitafute feni ya ilimu ya dini..kucanga haramu na halali ni haramu kwenye dini yetu ya uslam .ikiwa weye ni muislam
😂😂😂😂😂
Ukhty umeongea kitu cha ukwel taarab na qaswda ni sawa saw ila tofaut ni 1 tuh waimb qaawda hawavai uchi waimba taarab wanavaa uchi ila na nyinyi waimba qasswda mupunguze kujipambaaaaaa😅
Hapana mziki hauwezi kuwa na nasheed za kisheria tuogopeni mungu ktk matendo yetu
Namuomba Allaah akuongoze.
Namuomba Allaah akuongoze.