HUYO HAPO MW/ PIRINGU ALIVYOFAFANUA MJADALA BAINA YA MTUME NA MAKAFIRI ZAMA ZAKE WASABATO WAPAGAWA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 24

  • @yohanamukali3997
    @yohanamukali3997 3 ปีที่แล้ว

    Mdahalo safi sana unahamasisha kusoma zaidi ili kuwa na uhakika katika kujieleza

  • @kijanahodari2080
    @kijanahodari2080 3 ปีที่แล้ว +3

    Maa Shaa Allah walio vaa uniform ni wanafunzi kama kawaida

  • @benjaminlijongwa3715
    @benjaminlijongwa3715 3 ปีที่แล้ว

    Pilingu kajipilinguaaaa uuuuwi

  • @alllyrics4835
    @alllyrics4835 3 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah 👍

  • @jamilshisia5929
    @jamilshisia5929 3 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah

  • @omarshee7501
    @omarshee7501 3 ปีที่แล้ว +2

    Uslamu kama jua shining everywhere

    • @omarshee7501
      @omarshee7501 3 ปีที่แล้ว +1

      Hakuna mahali injili n y wakristo

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 3 ปีที่แล้ว +1

    Hawa Wakristo bhana wanapigana vikofi bila kuzingatia, ndio maana wana mioyo migumu

  • @11master67
    @11master67 2 ปีที่แล้ว

    .

  • @salwamana4638
    @salwamana4638 3 ปีที่แล้ว

    9

  • @uthmanihimbawe5244
    @uthmanihimbawe5244 3 ปีที่แล้ว

    🈵🈯

  • @benjaminlijongwa3715
    @benjaminlijongwa3715 3 ปีที่แล้ว

    Myahudi anaabudu ng'ombe? Kweli waislamu mbugilambugila

    • @AliOmar-bx2oz
      @AliOmar-bx2oz 3 ปีที่แล้ว +2

      Soma kwanza usikurupuke. Mayahudi waliabududu ngombe pale Nabii Musa alipowaacha na yeye musa kwenda mlimani kupokea amri kumi ten commandment. ngombe huyo mpaka leo anaabudiwa katika nchi za ulaya anaitwa golden calf

    • @firo0ozdawah378
      @firo0ozdawah378 3 ปีที่แล้ว +1

      Brother Ali hao wakristo kukurupika ndio sifa Yao hata kwenye huo mdahalo si umewaona ni kuwaombea wapo gizani alaf hawajijui inaskitisha sana

  • @issamohd8310
    @issamohd8310 3 ปีที่แล้ว +1

    Shehe umekosea kumjibu masuali yake kwasababu wao wanafurahia kua Quran inawatambua kama wakiristo kumbe sokweli ila tafsiri yawanao itafsiri Quran ndo wanao Weka hilo neno kristo Quran inaita ahlul kitabu sasa ninani ahlul kitabu ahlul kitabu ni wislamu enzi ya nabii Musa wislamu enzi ya nabii Daudi waislamu enzi ya nabii Issa nasisi ni waislamu katika enzi ya mtume Muhammad swalla llahu alayhi wasallam

    • @georgekimasaofficial1629
      @georgekimasaofficial1629 3 ปีที่แล้ว +1

      Acha uongo wewe Muhammad ndiye mwislam wa kwanza nasiyo manabii walio mtangulia au nikepe Aya 😂😂😂

    • @hhlkll9160
      @hhlkll9160 2 ปีที่แล้ว

      Kutaja ukristo sio kutaja Dini kwani ATA shetwani alitajwa

    • @hhlkll9160
      @hhlkll9160 2 ปีที่แล้ว

      @@georgekimasaofficial1629 Una laaanawewe

    • @georgekimasaofficial1629
      @georgekimasaofficial1629 2 ปีที่แล้ว

      @@hhlkll9160 shetwan mwenyewe sini mwislam alisilimishwa na bwana mund au nikupen ushahidi 🤣🤣🤣🤣

    • @georgekimasaofficial1629
      @georgekimasaofficial1629 2 ปีที่แล้ว

      @@hhlkll9160 endeleeni kudanganyana ila niwazi muhammad ndiyo mwislam wa kwanza MUHAMAD NDIYE MWISILAMU WA KWANZA.
      Quran 39:12 muhammad ndiye mwislam wa kwanza.
      Quran 6:14 Muhammad anasema yeye ndiye kaamrishwa kuwa mwislam wa kwanza.

  • @abdulrazakhassanor498
    @abdulrazakhassanor498 3 ปีที่แล้ว

    Hili kongamano lini had lini