MAUZA UAZA - SIMULIZI MPYA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 302

  • @priscillahsirya6544
    @priscillahsirya6544 7 หลายเดือนก่อน +39

    Wakwanzaaaa wangapi tumemiss lissa😢😢😢

  • @merycevictor1885
    @merycevictor1885 7 หลายเดือนก่อน +48

    Mbn unatufanyia kuxudi Lissa mbn utuletei😭😭😭

  • @ftimaramadan4748
    @ftimaramadan4748 7 หลายเดือนก่อน +139

    Hatuitaki twataka lisa au mwasaje wana anko j

  • @victorwesamba2520
    @victorwesamba2520 7 หลายเดือนก่อน +6

    😂😂😂😂😂tulio olewa na simulizi kuna mukutano tent ya blue ❤️❤️❤️❤️❤️

  • @Shadia544
    @Shadia544 7 หลายเดือนก่อน +102

    Haya MAUZAUZA tujuwe hayo MAUZAUZA wangapi WAMEBOEKA kumkosa LISA LIKE 10 KUBOEKA TU ✌️✌️✌️✌️

    • @josephineuwizeye8250
      @josephineuwizeye8250 7 หลายเดือนก่อน +2

      Atuleteye bana Binti Lisa part 50 tunaboeka sana kwa kweli!

    • @LillyCyprian
      @LillyCyprian 7 หลายเดือนก่อน +1

      Atufanyia kusudi jmn na lissa afu et analeta mauza uza, mauza uza ya zuchu au😂😂

    • @SophiaHuseni-py4kf
      @SophiaHuseni-py4kf 7 หลายเดือนก่อน

      Mimi stak hay mauzauza nahic kuumwa Kwa kumkosa Lisa jaman anko ustufanyie hivo 🙏🙏🙏

    • @hidayamanda-gk7nf
      @hidayamanda-gk7nf 7 หลายเดือนก่อน

      ,😂😂😂😂​@@LillyCyprian

    • @Shadia544
      @Shadia544 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@josephineuwizeye8250kwa kweli tumeboeka kumkosa LISA wetu jamaniii 😢😢

  • @FdcJbg
    @FdcJbg 7 หลายเดือนก่อน +1

    Habari yk kk Anko Jey pole na kz.na Asante Kwa kz yk nzuri.ika kk tunaomba tuletee Lisa

  • @MatuaminiNgloriya-qm9jp
    @MatuaminiNgloriya-qm9jp 7 หลายเดือนก่อน +9

    Wakwanza jamani.pole Sana ankojay wetu Mungu ni mwema kipenzi❤

  • @zainabumsigala
    @zainabumsigala 7 หลายเดือนก่อน +4

    Tumetuacha na kimhemko Cha Lisa watu tunakesha kuchungulia ,mungu akupe uzima na afya siku zote uendelee kutuletea burudani

  • @NeemaLugoye
    @NeemaLugoye 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hakuna kill, hatimay komba wajo kaleta kitu kipyaa ❤❤❤

    • @NeemaLugoye
      @NeemaLugoye 7 หลายเดือนก่อน

      Angetuletea Lissa tuhangaike nae tumalize, make najua hadi sehemu ya 210😂😂😂😂

  • @salmakim557
    @salmakim557 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera Anko wetu mzuri kwa vitu vitamu . Haya tujue mauzauza yana nini🎉🎉🇰🇪🇰🇪

  • @emilyadhiambo4540
    @emilyadhiambo4540 7 หลายเดือนก่อน +11

    Anko Jay Asante sana kwa simulizi mpya ila tunaomba mwendelezo wa binti Lisa tafadhali tafadhali Anko Jay 🙏🙏

    • @NeemaSamwel-oj4zf
      @NeemaSamwel-oj4zf 7 หลายเดือนก่อน

      😂😂ankojay anataka mpaka tusahau utamu wa simulizi ya lisa duuh anko jay mwee lisaaaa😢

  • @Merrylukas-uz6sr
    @Merrylukas-uz6sr 7 หลายเดือนก่อน +3

    Jamani maombi nimuhimu sana tue watu wakusali sana dunia inambo yaajabu sana

  • @victoriangasa
    @victoriangasa 7 หลายเดือนก่อน +3

    Daaah nmekuwa wa mwisho jmn bas tuungane pamoj kuisikiliza hii simulizi ya mauza uza ila sis tunataka binti lisa kama na wew upo unay taka lisa bas usipite bila kulike😂😂😂❤❤🎉🎉🎉

  • @lisazainabu3626
    @lisazainabu3626 7 หลายเดือนก่อน +22

    Eeehhhh chezea kuwa wakwanza nipeni like zangu 🎉🎉🎉🎉

  • @JamilaFarijala
    @JamilaFarijala 7 หลายเดือนก่อน +8

    Unafanya mpaka tunarudia simulizi jmn tuletee Lisa Kila saa nakuja kuchungulia kama imetoka😂Ankojay wetu tunakupenda😘

    • @khadijaomar6936
      @khadijaomar6936 7 หลายเดือนก่อน

      🤣🤣🤣🤣🤣😅😅😅anatutia uchizi huyu nimeweka bando kwa ajili yake tuu naliheshimu situmii ovyo nasubiri lisa

    • @FatumaHamisi-sr6yj
      @FatumaHamisi-sr6yj 7 หลายเดือนก่อน

      Eeeee hii tushaiskiza sema to kabadilisha jina 😅😅😅😅 hataki kutuletea Lisa wetu 🥰🥰🥰🥰🥰

  • @MoshiMoshi-qy8dq
    @MoshiMoshi-qy8dq 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ashukuriwe mungu kama unaendelea vizur ankojay wetu na asante kwakutujali🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @asmajamani2967
    @asmajamani2967 7 หลายเดือนก่อน +1

    Daaah!nilitamani ingekuwa Lisa lkn ndio Ivo

  • @Ivyagua
    @Ivyagua 7 หลายเดือนก่อน +2

    Anko upone n mungu akurinde😊😊

  • @konde_gang_familly.5107
    @konde_gang_familly.5107 7 หลายเดือนก่อน +4

    Sasa tutagomaa,natutaaandamanaaa,anko unazinguwaaaaaa😂😂😂,hatunahamuuu ya hiziiiii,saivii,mpaka,lisaaa,isheee,

  • @FatmaHassankhamisi
    @FatmaHassankhamisi 7 หลายเดือนก่อน +1

    Asante anko jey haya kunani Tena ndani ya mauza uza 🎉🎉🎉🎉mauwa yake 🌹🌹🌹 jomba wajo na familia ya anko jey ❤️❤️❤️❤️

  • @JaneSanga-b5n
    @JaneSanga-b5n 7 หลายเดือนก่อน

    Woo leo cjacherewa jamn❤❤❤❤❤

  • @Bint.hussein
    @Bint.hussein 7 หลายเดือนก่อน +3

    Lisaaaaaaaa kwanzaaaaa plzzzzzzzzzz hadi roho ina umaaa

  • @lilianeerica3318
    @lilianeerica3318 7 หลายเดือนก่อน +2

    Aaah Asante Mungu kwakumponya ANKOJAY wetu❤❤❤ endelea kutuburudisha mcheshi wetu❤❤❤❤❤❤

  • @Salma-id4yl
    @Salma-id4yl 7 หลายเดือนก่อน +1

    Asante.sana.kwa.simuli.hii.nzuri.acha.ni.injoy.tu.🥰🥰🥰🥰

  • @JulianaFabian-w5h
    @JulianaFabian-w5h 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ninachojuwaga naenjoy na simulizi naskia raha sauti yako nzuri sana upo romantic sana ❤❤

  • @LilianOsimo
    @LilianOsimo 7 หลายเดือนก่อน +14

    ❤️❤️❤️🎉🎉🎉 Tunaomba Lisa ep 50 tumeimic sanaaa

    • @MesagoMesago
      @MesagoMesago 7 หลายเดือนก่อน

      Ndiyoooooolisaaaaa

  • @yalalakashindi4594
    @yalalakashindi4594 7 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani tumwelewe anko naye nibinadam anamwili kama sisi tena ana fanya kazi ngumu sana , Anko tunomba utuelewe tu, na pole sana kwa kuhunguwa.

  • @sephrinewarenga2745
    @sephrinewarenga2745 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi nzuri kaka,listening from Kenya Much love.🎉🎉🎉

  • @RosestellahMdee-k7f
    @RosestellahMdee-k7f 7 หลายเดือนก่อน +9

    Mbna binti lissah huleti😢 au imeisha nijue kila time nachungulia notification za anko j lakin wapi 😪😪😭we anko j mpka nikatamani Niku DM😂🤣ila sijaelewa nakupatia wapi hebu plz help us 😩🧐tunaweweseka kukosa binti lissah 🥲😌

  • @aminarama1633
    @aminarama1633 7 หลายเดือนก่อน +1

    Pole Sanaa ALLAH akujalie shiffa inshaAllah, Allah akulinde, c Siri ,tulikumiss sanaaa

  • @mourine-o3
    @mourine-o3 7 หลายเดือนก่อน +1

    Jomba wajo huku tena,hope ni moto kama alvilisa❤

  • @PhoebeWafula-d6c
    @PhoebeWafula-d6c 7 หลายเดือนก่อน +1

    Part 2 plzzzzzz ankojoy hii tamu kweli ukweli ni mauzauza tamu hii

  • @jellyagustino
    @jellyagustino 7 หลายเดือนก่อน

    Nilitalajia nitakutana na Lisa mtokeoyake mauzauza tokea ijumaa anko ukwel tuna❤❤❤❤lakin unatusaliti wazizi

  • @antiakamala
    @antiakamala 7 หลายเดือนก่อน +6

    Tunamtaka Lisa wetu jmniiiiiiiiii

  • @aishasidi6673
    @aishasidi6673 7 หลายเดือนก่อน +8

    Jmn huy sini Amaya ni macho yangu ama niuzee unanismbua you 😂😂 mm alfu pole ankooo wetu twakupnda bure❤❤❤❤❤

    • @marymlongojoseph
      @marymlongojoseph 7 หลายเดือนก่อน

      Hata mm nilikua najiuliz hivo

    • @VinithaPauline
      @VinithaPauline 7 หลายเดือนก่อน

      Ndo yeye dr

    • @agnesagnes5288
      @agnesagnes5288 7 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂tena hiii simulizi alisimulianga nakumbuka 😂😂

    • @salmazwallo5920
      @salmazwallo5920 7 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂 ni yy ilaa huyu amekunywa maji mengi😂😂😂😂😂 ilaa watu mnakalili sura daah

    • @jacyusuph
      @jacyusuph 7 หลายเดือนก่อน

      Amaya kabadili nguo tu apo😂

  • @WwEe-qc7tc
    @WwEe-qc7tc 7 หลายเดือนก่อน +3

    Ila anko sisi wakungojea viporo vipi bado hutufikirii kweli tuwahitaji Alvilisa kuwajulia hali

  • @WinniePretty-t1v
    @WinniePretty-t1v 6 หลายเดือนก่อน

    Duuuh 🔥🔥 huo ni mjengo umeingia mlango wa nyuma Jooo heee baba anataka damu mwana anataka mapenzi 😢😢😢

  • @JozeFeeen
    @JozeFeeen 7 หลายเดือนก่อน +3

    Naomba kesho ulete lisa😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @saodashabani2652
    @saodashabani2652 7 หลายเดือนก่อน +3

    Ukowapi lisaa nakutafuta lisaa❤❤❤😂😂

  • @roselambert6700
    @roselambert6700 7 หลายเดือนก่อน +1

    Tulijuwa leo umetususa uncle J

  • @RoseMbuya-cn5dg
    @RoseMbuya-cn5dg 7 หลายเดือนก่อน +3

    Kweli anko jay umechoka tusimulia bint Lisa part 50mbona umeamza kutesa mashabiki wako

  • @aminah9557
    @aminah9557 7 หลายเดือนก่อน +4

    Mbona Anko unatuonea mashabiki zako😢😢😢😢 tunamtaka Lisa Anko😢😢

  • @MaryamOthman-i5y
    @MaryamOthman-i5y 7 หลายเดือนก่อน +3

    Ankojay tunaomba bint lisa episode 50 usitufanyie ivo jmn 😢😢😢 kwani ndo imeishia apo jmn VIP tupeni umbea huko imekuaje kuhusu lisa na Alvin

  • @LilianCornel-x6y
    @LilianCornel-x6y 7 หลายเดือนก่อน +15

    Daah sisikilizi mpaka mwana Sheria wangu aje Alvin kimaro na Lissa Jonas massawe najua hawajawahi kupoteza kesi😂😂 hiyo mauza uza hapana bana ank jay

    • @nurianaramadhan
      @nurianaramadhan 7 หลายเดือนก่อน

      Unasema mgomo baridi unahusu😂😂😂😂😂😂sio

  • @Nuru9568
    @Nuru9568 7 หลายเดือนก่อน +2

    Ugua pole Anko jay inshallah allah aziku kkupa shifaah❤

  • @nadrakharith9301
    @nadrakharith9301 7 หลายเดือนก่อน +4

    Ankoo lisaa😂😂😂😂 ustufanyiye hivoo

  • @husnalalu008
    @husnalalu008 7 หลายเดือนก่อน +7

    Ankoo mbona wajua ku2tesa ivyo kuchungulia acaunt Yako Kila muda ni azabu tosha 2pe 2 iyo Binti Lisa 😢😢😢

  • @racheluwda6552
    @racheluwda6552 7 หลายเดือนก่อน +1

    Tunateka lisa jamani 😢😢Ankojay

  • @elizabethfrank271
    @elizabethfrank271 7 หลายเดือนก่อน +7

    Loooo!!!yaani ungejua ungeleta Lisa jamn hii nin tena sasa😢😢😢😢

    • @magrethjilya7663
      @magrethjilya7663 7 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂 et hii nn tena

  • @innocentnshimiye8468
    @innocentnshimiye8468 7 หลายเดือนก่อน +3

    Ankojay please naomba Binti Lisa kama inawezekana❤❤😢😢

  • @marthajims6597
    @marthajims6597 7 หลายเดือนก่อน +3

    Anko wewe watutesa kiukweli na hatutaki hatutaki!!!leta binti lisa 😢😢

  • @hafsaibrahim6675
    @hafsaibrahim6675 7 หลายเดือนก่อน +4

    😭😭😭😢😢😢anko jay paka nimepugua kilo kwa kukosa lissa

  • @saadamohammed7431
    @saadamohammed7431 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ancojay wewe mtundu kweli ❤❤❤❤🎉🎉

  • @nyamvulafatuma5383
    @nyamvulafatuma5383 7 หลายเดือนก่อน +3

    Lisa jamani tumemmiss Sana 😢

  • @GhazanffarsamDollah
    @GhazanffarsamDollah 7 หลายเดือนก่อน +1

    Thanks anko jay for this👆👆👆👆🙏🙏🙏,binti lisa part 50 acha nisikilizehii😊

  • @MaryamKhamis-w9s
    @MaryamKhamis-w9s 7 หลายเดือนก่อน +6

    Nimewah leo like zenu tafadhal😊😊😊lakin Ankojay mbona unatufanyia hivyo kuhusu bint lisa tangu juz tunasubiria tuuu tafadhali tunaomba bint lisa 🙏🙏🙏🙏

    • @tuually4989
      @tuually4989 7 หลายเดือนก่อน

      Ndio tunaombaaa😢😢

  • @EdithaJoseph-zt2xu
    @EdithaJoseph-zt2xu 7 หลายเดือนก่อน +3

    Lisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa tunataka 😮

  • @NanahBrown
    @NanahBrown 7 หลายเดือนก่อน +14

    Haki Toka Jana sikuon ata online nikawa naichungulia akaunt mpaka 😢nikawa kanyongee anko jay japo nilikua namuwazia LISA ila hata kusikia saut yako2 nimekua na aman❤🎉❤❤

    • @NurahMummy
      @NurahMummy 7 หลายเดือนก่อน

      Toka wengi jaman Lisa anatuchanganya

    • @MesagoMesago
      @MesagoMesago 7 หลายเดือนก่อน

      Weeeeeee

    • @LillyCyprian
      @LillyCyprian 7 หลายเดือนก่อน

      We hauko serious bhan Lisa bhna😂😂

    • @ghanimamohammed5305
      @ghanimamohammed5305 7 หลายเดือนก่อน

      Kwa kwel Hali hiyo imetukuta wengi mm mpk saa 6 usiku sijaamini kama haija postiwa 😢😢😢kwa kweli ni huzuni kubwa @ANKOJAY please skiya kilio 😭😭😭chetu please

    • @alisalim2145
      @alisalim2145 7 หลายเดือนก่อน

      Hhhhhhh

  • @FatumaHamisi-sr6yj
    @FatumaHamisi-sr6yj 7 หลายเดือนก่อน +3

    Jamani kwaiyo lisa ndio imeishia vile anko....... 😢😢😢😢

  • @matihassanmwachigutu-hq7ei
    @matihassanmwachigutu-hq7ei 7 หลายเดือนก่อน +3

    Jaman anko jay mbona hutuletei bint lisa😢

  • @NuruAbdullah-h7g
    @NuruAbdullah-h7g 7 หลายเดือนก่อน +3

    Kwani ankojay bint lissah ndio hutuletei jaman

  • @nahimanahawa
    @nahimanahawa 7 หลายเดือนก่อน +4

    Siku ya inne sasa lisa hajitoka ao watu wa v.i.p zowo hazija isha ila mi nakumbuka km part 50 tayari washaiyona hebu achiya iyo ngoma

  • @glorygabriel5451
    @glorygabriel5451 7 หลายเดือนก่อน +6

    🎉🎉🎉Wakwanza leo

  • @aumuelly2909
    @aumuelly2909 7 หลายเดือนก่อน +1

    Allwah akupe afya njema siha nauzima

  • @نظيفهخالد
    @نظيفهخالد 7 หลายเดือนก่อน +6

    Sawa ankoo jay ila sawa tu

  • @stacyjames6676
    @stacyjames6676 7 หลายเดือนก่อน +12

    kwan binti Lisa imeisha Anko 😊

  • @esternashon4706
    @esternashon4706 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ila anko siyo vizur imagine siku mbili bila lisa daaah ni huzuni😢😢😢😮

  • @naomibonareri3618
    @naomibonareri3618 7 หลายเดือนก่อน

    Much love from kenya 🇰🇪🇰🇪❤😂😂😂

  • @aishabakari7362
    @aishabakari7362 7 หลายเดือนก่อน +4

    Mm naumwa mwezenu lissa 😢😢😢

  • @SarahAntony-f3j
    @SarahAntony-f3j 7 หลายเดือนก่อน +1

    Jaman maisha bila simulizi za anko j hayaendi kabisa

  • @marthaigandu8385
    @marthaigandu8385 7 หลายเดือนก่อน +2

    Tuletee Lisa tunamiss Sana 😮

  • @GloriaMduma
    @GloriaMduma 7 หลายเดือนก่อน +3

    Nimelia Sana nimesubir bint lisa mpaka bas

  • @fetreshazKhamisi
    @fetreshazKhamisi 7 หลายเดือนก่อน

    Ahasante sana anko jay na jomba wajo kwakuzidi kutuletea vitu vitamu mambo 🔥🔥🇴🇲🇴🇲

    • @LillyCyprian
      @LillyCyprian 7 หลายเดือนก่อน

      Jamn kwani jomba wajo hajui kama amempea anko j simlizi ya Binti Lissa 😂ebu watuache bhn 😢

  • @bilovelaizar
    @bilovelaizar 7 หลายเดือนก่อน +2

    Yan ank jamn Lisa tumemis❤❤

  • @Nawmi-p9b
    @Nawmi-p9b 7 หลายเดือนก่อน +6

    Anko usiwe hivyo bhana😂😂😂😂lissa

  • @agnesagnes5288
    @agnesagnes5288 7 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤❤❤Anko nakuombea uponyaji wa haraka

  • @dianadiana2958
    @dianadiana2958 7 หลายเดือนก่อน +6

    Binti anafanana na Amaya kabisa

  • @sabinamasangwa293
    @sabinamasangwa293 7 หลายเดือนก่อน

    Hayaaaa Sasa our ankoooh 🙏🙏

  • @loyc6306
    @loyc6306 7 หลายเดือนก่อน +3

    Nimerudi tena jamani maana naona nitaumwa kwa kukosa kusikiliza lisa na sijui ank j unapanga nini na haya maisha yetu tunaumia tukikosa lisa jamani au wataka kutupq part tatu kwa siku moja nn nakuomba utuhurumie please hata usingizi hauji ni kuchungulia tu kila dakika na hakuna kitu

  • @mwajumasimai2165
    @mwajumasimai2165 7 หลายเดือนก่อน +3

    Anko jamani lisa tuonee huruma mawazo tushalewa kwa liza

  • @omerrashed9080
    @omerrashed9080 7 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤ankojay mauwa yako jamani 🎉🎉

  • @Lucyjusto-wn3mv
    @Lucyjusto-wn3mv 7 หลายเดือนก่อน +2

    Naona anko humekausha kabisaa n alivlisa

  • @mariamathman3572
    @mariamathman3572 7 หลายเดือนก่อน +3

    Anko j umzima kweli umetutia wasiwasi ,alafu simulizi ya lisa ni ndefu na waikazia itashia leo kweli jamani ,tunataka tuimalize tuanze mpya

  • @zawadimsigala
    @zawadimsigala 7 หลายเดือนก่อน +3

    hivi anko lisa mbona hatusikiii au Sara kamuuua nn wadau sasa wanao mpenda lisa watqkavo paniki hahahahah

  • @SmAlbovi
    @SmAlbovi 7 หลายเดือนก่อน +2

    Yes ankojy npee Lisa nmeboeka.san

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 7 หลายเดือนก่อน

    😁😁😁 Mungu ni mwema kila wakati ❤❤❤💐💐💐🥀🥀🥀🪴🪴🪴waoooo

  • @naomikijangwa278
    @naomikijangwa278 7 หลายเดือนก่อน +8

    Twataka bint lisaa

  • @SophieHak
    @SophieHak 7 หลายเดือนก่อน +4

    Thx Anko ila tunataka lisa

  • @LonahKeziah
    @LonahKeziah 7 หลายเดือนก่อน +2

    Ankol nn sasa watutoa kwa mood hivi😢😢

  • @AsnatMswaki
    @AsnatMswaki 7 หลายเดือนก่อน +1

    Anko jey nazipenda sana simuliz zako zinanifundish na kunielimisha py

  • @Mwanjaa
    @Mwanjaa 7 หลายเดือนก่อน +3

    Tuleteeni lisa anko jay mbna watuboesha 😅😅you

  • @happyalberto8903
    @happyalberto8903 7 หลายเดือนก่อน +6

    Anko j ,tunaomba alvilisa jaman

  • @AyshaTanzania-b2s
    @AyshaTanzania-b2s 7 หลายเดือนก่อน

    Pole kijana mauzauza😭

  • @fatumakama8760
    @fatumakama8760 7 หลายเดือนก่อน

    Umeona u2panguxe machozi 😢😢😢 na i xw ingawa 2xhaixikiliza wengine

  • @VailethMowo
    @VailethMowo 7 หลายเดือนก่อน

    Ank vp mauzauza ya nin tena jaman

  • @EstherJoram-gt4lt
    @EstherJoram-gt4lt 7 หลายเดือนก่อน +1

    Jaman tumemic Allvilissa 😢😢

  • @susansamira8137
    @susansamira8137 7 หลายเดือนก่อน +3

    Tumemiss Binti Lisa Ankojay plz? Alafu huyu msichana anafanana na Binti amaya

  • @Salma-zi6hn
    @Salma-zi6hn 7 หลายเดือนก่อน +6

    Venye nikilala naota lisaaa kumbe leo hakna pia nahisi ata kupagawaaa

  • @NeemaSamwel-oj4zf
    @NeemaSamwel-oj4zf 7 หลายเดือนก่อน

    Ankojay mweee jamani lisa duuuh😢😢😢

  • @khadijaomar6936
    @khadijaomar6936 7 หลายเดือนก่อน +8

    anko tunataka lisa jamani lisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa jamani wa binti lisa gather here tuandamane

    • @elizajoseph7209
      @elizajoseph7209 7 หลายเดือนก่อน

      Anko jay tunamtaka lisa wetu jamaniiii mbona unatufanyia hivyo jamaniii😢😢😢😢😢