Pande Zote Twadhikika - mapigano Ulyankulu choir

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 28

  • @Mosetigichana
    @Mosetigichana 2 หลายเดือนก่อน +2

    Na wimbo wao wa SISI NI BARUA!!....MWENYE MAMLAKA AND MANY MORE Hii kwaya ilikuwa Moto wa kuotea mbali. Nawapenda bure.Hongera sana bwana Helphazi Habona na team yako. Ningependa sana kupata historia ya hii kwaya jameni.

  • @CareneChepkemoi
    @CareneChepkemoi หลายเดือนก่อน +3

    Huu wimbo umenikumbusha mbali sana😢

  • @aminimalisa7373
    @aminimalisa7373 4 หลายเดือนก่อน +3

    SAFI SANA WEKA NA ULE WA JINA LA YESU

  • @veronicanyamsusa4974
    @veronicanyamsusa4974 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nawaombea nanyi msibadilke mkaavutwa na uimbaji wa kisasa wa kucheza maana nyimbo na
    Uimbaji huu Ndiyo unaogusa mioyo ya watu na Zina upako

  • @user-zc2ms4wl6r
    @user-zc2ms4wl6r 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mmmh hizi ulikua wimbaji wamaana

  • @williamdetto3354
    @williamdetto3354 13 วันที่ผ่านมา +1

    Mbalikiwe saaana, tumebalikiwa pia

  • @user-yp7gh2ve2m
    @user-yp7gh2ve2m 4 หลายเดือนก่อน +1

    Asifiwe Mungu aliyefunuwa huu ujuzi

    • @emmanuelpetertruegospelcha3331
      @emmanuelpetertruegospelcha3331  4 หลายเดือนก่อน

      Daima milele yeye ukaa ndani ya watu wote wanao mtafuta kwa bidii na uwapa maarifa na ujuzi kwa kadiri ya inavyompasa kutukuzwa

  • @emmanueltowett8991
    @emmanueltowett8991 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kubarikiwa siku zote 🎉🎉🎉🎉

  • @BujumburaBurundi-ii3vm
    @BujumburaBurundi-ii3vm 3 หลายเดือนก่อน +1

    Amina ❤❤❤❤

  • @JamesMoshi-xz8zk
    @JamesMoshi-xz8zk 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nafurahi natamani nitoe sadaka jamani😢

  • @EmanuelStart-jd1vr
    @EmanuelStart-jd1vr 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mbarikiwe nyimbo zina upako na nguvu ya Mungu I juu yao hazichuji ,tunaomba mtutumie zingine wapendwa

  • @cadeaumahuridi7054
    @cadeaumahuridi7054 4 หลายเดือนก่อน +1

    hakika mulimwimbia Mungu wa mbinguni tunazidi kubarikiwa siku sote

    • @emmanuelpetertruegospelcha3331
      @emmanuelpetertruegospelcha3331  4 หลายเดือนก่อน

      Naam *ELPHAZI HABONA* na wale wadada waimbaji walikua Na Roho mtakatifu ambaye utusaidiya sisi jinsi ya kumpendeza Mungu kwa ibada na sifa ya kweli

    • @cadeaumahuridi7054
      @cadeaumahuridi7054 4 หลายเดือนก่อน

      Ni Kweli mutumishi

    • @nkhun8360
      @nkhun8360 4 หลายเดือนก่อน

      ⁠@@emmanuelpetertruegospelcha3331
      Anaitwa ELIPHAZ HABONA.
      Apana MAHOBA

    • @emmanuelpetertruegospelcha3331
      @emmanuelpetertruegospelcha3331  4 หลายเดือนก่อน

      Keyboard error ila ni sawasawa tu

    • @nkhun8360
      @nkhun8360 4 หลายเดือนก่อน

      @@emmanuelpetertruegospelcha3331
      Sawa sawa Kaka hamna shida.

  • @user-yp7gh2ve2m
    @user-yp7gh2ve2m 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ehhhhhh Mungu asifiwe ongeza engine ubarikiweee Mungu akujazie

  • @veronicanyamsusa4974
    @veronicanyamsusa4974 2 หลายเดือนก่อน

    Hongereni sana Bado kwaya hii ipo

    • @emmanuelpetertruegospelcha3331
      @emmanuelpetertruegospelcha3331  2 หลายเดือนก่อน

      Hipo tena sana ila kwa sasa Bwana aliwaasa kupitia mchungaji elphazi habona kwamba watulie kwani wamekwisha kuwa mfano mzuri hivyo sauti zao zitadumu milele kwani tupo kwenye nyakati za dhiaka na mchukizo ya kila namna

  • @JamesMushi-f2k
    @JamesMushi-f2k หลายเดือนก่อน

    Inatupasa tukuwe kiroho embu mtuonyeshe ladha ya huu wimbo jamani