Bwana mdogo, sikuzotee pambanaa kuwa mbunifu, umeona jamaa yako gude anaimbaga vina na mizani ndy mashair anapangiliaa, apa naona una hasira sanaaa piaa kuwa mvumilivu, pia kuimba unajuaa cha kufanyaa ombaa mungu upate udhamini mzuri tafuta wachezaji kamaa 20, alf wew uwe tofauti nao. kwa kiitikio upo sawa katika nyimbo zako alf kitu kingine nikudokezee kwenye kutungaa wimbo mwanzo wa wimbo uwe unaanza kasi dk ya kwanza, kuanziaa dk ya 2, anza kushuka taratibu mpakaa dk 5, Dk ya 6 uwe unaitikiaaa kwa speed ukiitafuta korasi , kuanziaa dk ya 8, piga koras huku ukiongea vimisemo adimu, alf nyimbo zako zipeleke mpaka dk16, alf kwenye koras unaipiga speeed huku unatajaa watuu, baadae unaachiaaa xx. ushauri wangu ni huo kuimba unajuaaa sanaa, alf ukishuti video itoke na Quality nzr, alf imba vina ili iwe kirahis kwa msikilizaj.
Dunia haina baya ila walimwengu,,mungu akuzidishie upande zaidi,❤❤ unatisha sana kanda ya ziwa, niite kulwa henry nikiwa morogoro wilaya ya kilosa kata ya kimamba
Pole sana brother usijal make ukwel ni kwamba anakuogopa hivyo ni vitisho 2 kak
Uhakika
nimefatiliaa nyimbo zako unamuimba sanaa gude, ebu niambiee shda nn, maana kuimba kidogo unakipaj
Kaniombea Malaya kisa mashabiki sikupenda segese mungunimwema sinachuki na musani kaka sema nasema ukweri wa kazi😭😭😭😭🙏🙏🙏
@@wachachesanapole
Mmmh
Hihhh.nivita.sielawi.itaishajeee.goja.tuone😮haw
Mungu nimwema ila mm naaamini sijui ww
Saww sawa
Uhakika huyu jamaaa segese alitisha muno ila gude alimuonea wivu sana walikosea muno mpka mwananengo akamuonea wivu wakati kamuita yeye
Amina kwakuerewa ujumbe lafiki
na huyu katokeq segese??
Kazi iendelee tu
Hii nyimbo nikiisikia naumia sana 😢
😭😭Pole yetu
Ubarikiwe kaka Amos ❤❤❤❤
Yaaani wakwenye musalaba mumewangu mukimua kisa wivu aya sawa ww shemu gude nakueshimu sana kweri mwenzio umemufanyia hivyo dah wivu mbaya sanq
Uhakika
❤️🔥❤️🔥❤️🔥🙏🙏
Uhakika
Amosi nakubali kaka asili yetu kanda yaziwa hakika tunawakilisha vyema fanya kazi nakazi zako tunaziona ziko poa sana ❤❤❤❤❤😂
Usijali bwana mudogo pambana umalufu kazi kubwa sana❤❤❤. By. MA NG'OMBE TZ
Amani lafiki tuombetu uzima
Wamefanya ushamba lakn wap hai kundi na maganga pmoj sana
Hkika unapiga kaz bro 🎉🎉🎉🎉
Kalibu W S
Bwana mdogo, sikuzotee pambanaa kuwa mbunifu, umeona jamaa yako gude anaimbaga vina na mizani ndy mashair anapangiliaa, apa naona una hasira sanaaa piaa kuwa mvumilivu, pia kuimba unajuaa cha kufanyaa ombaa mungu upate udhamini mzuri tafuta wachezaji kamaa 20, alf wew uwe tofauti nao. kwa kiitikio upo sawa katika nyimbo zako alf kitu kingine nikudokezee kwenye kutungaa wimbo mwanzo wa wimbo uwe unaanza kasi dk ya kwanza, kuanziaa dk ya 2, anza kushuka taratibu mpakaa dk 5, Dk ya 6 uwe unaitikiaaa kwa speed ukiitafuta korasi , kuanziaa dk ya 8, piga koras huku ukiongea vimisemo adimu, alf nyimbo zako zipeleke mpaka dk16, alf kwenye koras unaipiga speeed huku unatajaa watuu, baadae unaachiaaa xx. ushauri wangu ni huo kuimba unajuaaa sanaa, alf ukishuti video itoke na Quality nzr, alf imba vina ili iwe kirahis kwa msikilizaj.
Uhakika kizulisikipingi 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Kwenye kazi kk majungu lazims😂😂
Uhakika lafiki ngoja tuone mwishowake
Polee Amos japo cjajuwa tatzo nini Hadi aseme nayeye ntajuwa ukwer. Amosi sawaa
Amina
Amina
Poponte pale wakiisikiliza hiyo Ngoma watajisikiliza lakini inasikitisha sana❤❤❤❤🎉🎉🎉
Uhakika
Amos nipo namba sita ya matinje igunga fanya uje mwaka hata mmoja maana nyimbo zako nasambaza sana
Nitakuja
Nitakuja
Upo sawa kijanaaaa
Mungu anasaidia
😭😭😭😭 Dah Noooma Sana
Hakuna Uganda nduyangu watu wanatumia nafasi zao kunyanyasa wenzao ila mungu yupo🙏🙏🙏🙏
Good jobu
Sisi tupo tuanasibilia ahadi Yao kisa mashabiki
hiii kazi nimoto sana kakola tumeumia sana huyu jamaaa wamemuonea akina ngwana nengo dah
Ila mda utaogea kaka @@wachachesana
@@Lugatayonalugatayona-tp4sfkweli kabisa😊
mpewa hapokonyeki, sisi mashabiki wako tutaendelea kukuombea amos malingita.
Japo hatuelewi kiundani nini walikufanyia
Amina
Amina
Sawa nyanda 😢🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Shukula
Tuombeane
Kaka nakukubali sana❤❤❤❤❤❤
Nakubali Sana pia mashili
Mungu atakusaidia ❤❤❤❤❤❤❤❤
Dunia haina baya ila walimwengu,,mungu akuzidishie upande zaidi,❤❤ unatisha sana kanda ya ziwa, niite kulwa henry nikiwa morogoro wilaya ya kilosa kata ya kimamba
Amani sana tuombeane changamoto hiii iliyopo niivuke
Pole Sana malingita mungu atakusaidia
Kua uyaona ukubwa jalala
Tupambanetu jamani namaisha ila kama nitavuka nahii mungu anatuona WS😭😭😭😭
🎉
❤❤❤❤❤❤
Kazi kubwa
Kweli sana brother @@wachachesana
Kuna tatzo gan Amos? Lkn uko mzma au vp?
Uzima upo ila ilikuwa jamu kubwa sana sikawai kuona wivu dizaini kamahiyo
Jina ndo linakuwa na vita zinakuwa amosi @@wachachesana
Kwenye ugum kuna dhahabu pga hivy hvy amos wataelewa tu mzee baba mungu ndo anaejua
@@wachachesanaukiona Ivo jua kuwa unataka kupindua meza😂😂 ko pambana tu mkurugenzi wa ws.
❤❤❤❤❤❤
Asante sana shabikizangu no1
❤❤❤❤❤
Amina kaka