KUMBAKUMBA EPISODE 5
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024
- KUMBAKUMBA ni igizo lenye muendelezo ambalo linaakisi tabia za wanaume waroho. Kama tunavyomfahamu KIDUNDO akijikita kutenda tabia fulani huitenda kwa kiwango chakutisha. Fuatilia kwa karibu igizo hili uone tabia ya uroho na udokozi. COMMENTS ZAKO NIMUHIMU SANA KATIKA KUBORESHA KAZI ZETU
Kidundo unajuwa mkuuu nikija nitakutafuta mimi nipo dubai nafatilia sana filam zako jogera
Nakuubaliii kaziiii hongerenii sanaa jamaa anguu kidundo wee ufundii Allah akufikishe mbalii uzidi kufanikiwaa
Move hizinizakutoa mastires wallah zinachekesha🤣😅
Aaaa vipende wenye vijifupi sanaaaa.......cjuw vp...
Asante nyota wa wingwi
Kulya Weye
hapa mm naona mmekosea kwenye hili jina la kumbakumba mn ninavojua nimtu asiyechagua kula au mlaji sana lkn kidundo samaki tuu na vt vizur
Endelea uifuatilia igizo hili bila shaka utakuja kugundua kuwa kweli Kindundo ni kumbakumba
Kidundo uache uroho ka
Hahaaaaa Anaelenga mawe na Uroho iko ck Atabainika
Keep it up brooo
Mbona hichi kifupi sana
Dakik 6 mmmh
Kidundo ndugu yangu mwatuchereshea sana jana usiku kila wakati naangalia huenda kitaongezeka kipande wapi nikajilalia tu
Kidunda hatari kwa kitooyo kama pake ningekuwa mkeo unge koma haaaaaa
Na weeee kesho
Asant kidundo twa furahi
Uyu mtwana
Mm nacheka t mana hatar
Basi haaya
Samaki weepo wala kikavu
😃😃😃
Unajitahidi
Kuongea na huyo kidundo ni ruhusa
Mashaallah
🔥⛽
Vze
🤣😂🤣🤣
😂😂😂😂
Nakuja kama mshauri hapa naomba uwongozi wa NEW STAR PRODUCTION uniruhusu niongeze dakika au mnasemaje wadau
Ndio mkuu dakika nikidogo sana angalau ziwe 15 hatakama ni episode
Au 20 sio mbaya
Kidundo bwan wewe jembe