Mungu amewapea thahabu. Kasichana kanaimbia mungu, kijana anaongea na mtu anasikia vile ako katoto kijana kanasema. Shukuru mungu sababu challenge ya hao watoto ni kidogo sana. Kuna wazazi wanatafuta hata mtoto Moja na hapati aki. Those children are beautiful and may God cover them and open there doors widely. Amen
may GOD BLESS THIS CHILD THROUGH JESUS CHRIST GIVE HER STRENGTH, OUR GOD IS GREAT MIRIAM FAMILY GOD IS WORKING WITH YOU ALL I PERSONAL ISAY AMEN TO OUR GOD.
Duh watoto wazuri sana jamani obadia handsome na miriam mrembo mno mungu awasimamie OBADIA naamini atapona kabsa na Yesu hufanya yasiyowekana kwa wanadamu kwake yote yanawezekan atapona kwa jina la yesu
mungu awape upendo zaidi kwa yote mlio potea kusema kweli dunia tuna pitia mingi yngu ni makubwa hasimuliki lkn nilimueka mbeli mungu akanisaidia nanyi pia mungu awe nanyi daima

Mungu asante kwa yote utupayo
Dah ulipitia magum mengi dada. Lakini Mungu ni mwema sana ...Mungu ataendelea kuonyesha ukuu wake katika familia hii🙏🙏
may GOD BLESS THIS CHILD THROUGH JESUS CHRIST GIVE HER STRENGTH, OUR GOD IS GREAT MIRIAM FAMILY GOD IS WORKING WITH YOU ALL I PERSONAL ISAY AMEN TO OUR GOD.
Duh watoto wazuri sana jamani obadia handsome na miriam mrembo mno mungu awasimamie OBADIA naamini atapona kabsa na Yesu hufanya yasiyowekana kwa wanadamu kwake yote yanawezekan atapona kwa jina la yesu
MAY God continue to strengthen you girl..Hadi natamani kuimba na wewe worship song
Mungu isimamie hii familia na upendo uzidi kudumu Amiin
Njia za Mungu hazichunguziki🙏🙏
Recho. Mungu awape nguvu NA bidii ya kufanya kazi ya mungu
Mungu awabariki familia hii mungu ni muweza wa yote
Beautiful my friend
Mungu azidi kuwafanikisha katika yote kama familia. Lakini Miriam nakuombea ufike mbali zaidi a zaidi.
Mungu awatangulie hii family
mungu bariki iyi famillia,inatiya huruma sana,😭😭😭😭
mungu awazidsh8e
Mungu atawakumbuka Familly ya Thomas
mungu awatetee mpaka machoz
yamenitoka
Chldren first
Mungu Asante kwa yote
Mungu azidi kuwabariki nyote you are a blessing and encouragement keep up the good works of the Lord.
Zany
God bless you mum Miriam and your family
very painful mum but thank god for their life
Envie por favor o vídeo mais recente de Mimi
mungu awape upendo zaidi kwa yote mlio potea kusema kweli dunia tuna pitia mingi yngu ni makubwa hasimuliki lkn nilimueka mbeli mungu akanisaidia nanyi pia mungu awe nanyi daima
mungu aisimamie family hii mungu nimweza
Sawa Dada
Nakuinua yesu kwa kupitia familia hi ee mungu usiwapungukie
Yaaan sisi tumepewa Kila kitu tunashindwa kumtumikia mungu yesu naomba usitupite
Ao enviar vídeo mais recente, favor traduzir para o português. Obrigada 😘
May God bless the family of Miriam, can I have contacted number
mungu aisimamie family hii mungu nimweza