YEMEN WAISSHAMBULIA ISRAEL(TEL AVIV)KWA MAKOMBORA MAWILI YA BALISTIKI LA HYPERSONIC WANAJESHI WAUAWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 9

  • @muhamedmsomally4175
    @muhamedmsomally4175 24 วันที่ผ่านมา +2

    Wohoooo
    Wanaume awoo
    Tuonane uwanja wa vita netanyahu ucijigambe kwa kuuwa watoto sisi tunapgana na watu wazima
    Kaz iendelee

  • @sultanmohammed8634
    @sultanmohammed8634 24 วันที่ผ่านมา

    Yes absolutely yes yes

  • @MathayoCharles-z2u
    @MathayoCharles-z2u 24 วันที่ผ่านมา

    Jaman kaen tu kimya mutasikia tunaomba misaada sis waalabu tunaonewa israel ua ajali atakuja uko kuweka magof na makabuli shaur yenu wenyewe

    • @williamsimusanga6605
      @williamsimusanga6605 24 วันที่ผ่านมา

      Israeli hajui kupigana vita badala ya kuua watu wasio na hatia

    • @eliyampesa4352
      @eliyampesa4352 24 วันที่ผ่านมา

      Kuna watu wanadai Israeli hajui vita lakini anashinda vita Kila siku.
      Vitani wanawake na watoto ndio nini?
      1. Tabia za waarabu wanawake ni kuvaa hijabu na majuba. maadui nao huvaa hivyo hivo Ili kumzingu israel vitani nayeye anabutua tu.
      2. Maadui wagaza wanajikinga kwenye mahospital na mashuleni Huku wakilusha makombora israel.
      Lakini wajinga wanadai ikiwa ni hivyo israel aache tu Ili yeye aendelee kupigwa.
      Hata ningekuwa mimi ningeswaga wote Kwa makombora maana ikiwa wenye watoto hawawahurumii israel nae ni nani hata awahurumie.?
      Piga wakomeeee😂😂😂😂

  • @SabriAlly-m9e
    @SabriAlly-m9e 24 วันที่ผ่านมา

    Hawa wahuth wanamchokoza masih dajal anae ua waislam dunia mzima,, dajal hatumuezi waislam,tusidanganyane,, ataturarua sana mpaka atakapo kuja imam mahd kupambana nae

    • @eliyampesa4352
      @eliyampesa4352 24 วันที่ผ่านมา

      Una akili kubwa kuliko wakubwa wako😂😂😂

    • @Awatee
      @Awatee 24 วันที่ผ่านมา

      Sasa weye usisome ukapata elimu halafu wape nguvu makafiri sijawahi kuona muislam kukata tamaa kwa iyo weye unafurahia kuuliwa watoto wanawake wazee wasio na hatia? Kifo ni lzm kwa kila binaadam nani wakuwatetea wapalestina uyo masihi dajjal atawararua nyie musio taka kusoma na woga 😂😂😂😂fitna zaidi ya kinyama ni juja wamajuja huwezi kua huru bila ya kujitetea kama weye unaogopa masihi dajjal jipige kisu utangulie kbs ili usije raruriwa na uyo dajjal 😂😂😂😂😂😂hapa kupambana hadi ndugu zetu wapate uhuru

    • @RamadhanMiyimba
      @RamadhanMiyimba 23 วันที่ผ่านมา

      ​@@eliyampesa4352hakuna lolote hapo