Mtoto wa Mama Ntilie alieuza Mihogo mpaka kumiliki Shule inayoongoza Tanzania

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2024
  • AyoTV imefanya mahojiano na Ndelle Mwaselela mmiliki wa Shule ya St. Patrick ambaye anatueleza historia yake alivyoanza mpaka kumiliki Shule mojawapo zinazoongoza Tanzania

ความคิดเห็น • 42

  • @joasitz9559
    @joasitz9559 5 ปีที่แล้ว +4

    Du nimeipenda sana hiyo shule, imenikumbusha mbali sana nikiwa Swilla secondary school.

  • @augustinomwakanyamale9887
    @augustinomwakanyamale9887 5 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akupe nguvu na moyo wa kuendelea kusaidia watanzania # mdau wa maendeleo Ndele mwaselela.

  • @alristv3599
    @alristv3599 4 ปีที่แล้ว

    Blessed sana Dad. Nina Mengi sana hayatoshi kusemwa. Ubarikiwe sana mie mwanao Rodrick Saimon Ghatty licha ya kutarajia kumaliza chuo mwaka huu mtoto wako mie na shusha viazi toka Geita mpaka T. A. Blessed sana kwa uliyo nifunza kabla ya kuwa kiongozi Wa wanafunzi, na wakati nikiwa kiongozi na baada ya kuwa kiongozi. Ubarikiwe.

  • @chuggastudio4112
    @chuggastudio4112 5 ปีที่แล้ว +3

    Mr ndele mwaselela
    Anakuamini this is Patrick mission

  • @mengicacoconut8144
    @mengicacoconut8144 5 ปีที่แล้ว +1

    Maneno kuntuuuu brother, nimekupenda mnooo, kitu fursaaa

  • @justinejoseph1701
    @justinejoseph1701 5 ปีที่แล้ว +7

    Hahahahahah Maisha bana aga yana furahisha sana, siku zote Baba angu alikuwa ana nambia kila mara na siku zote mtu anaefanikisha maisha hata kwa kusaidiwa aga akipewa nafasi ya kusema nini kimemfanya kufika hapo alipo, utamsikia akisema mimi nimeangaika sana ila kitu cha msingi ni kujibidisha na kufanya kazi kwa malengo hata kama alitumia njia mbadala au kutoka katika familia zenye kujiweza kidogo.
    Pia hawa watu ujiona kama wao Mungu kawapa nafasi kubwa sana ya kufanikiwa na ujiona kama wamebarikiwa sana ila ukweli ni kwamba mshukuruni tuh Mungu kwa kila jambo msijione suprior sana kuliko watu ambao hawajafanikiwa kwan the trend of life is dynamic

  • @salamalwamba5680
    @salamalwamba5680 2 ปีที่แล้ว

    My teacher Ndele Mwaselela! St Patrick Mission High School!

  • @jonasmwita1837
    @jonasmwita1837 5 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akutangulie katika malengo yako

  • @mosesjnr8436
    @mosesjnr8436 5 ปีที่แล้ว

    Point ziko mwishoni,umetisha

  • @zabibumwashitete777
    @zabibumwashitete777 5 ปีที่แล้ว

    Hongera sana mkurugenzi

  • @ambakisyemwanjemba6501
    @ambakisyemwanjemba6501 5 ปีที่แล้ว +1

    safi sana

  • @jonasmwita1837
    @jonasmwita1837 5 ปีที่แล้ว +1

    Umenitia sana moyo kaka angu nimejifunza mengi kutoka kwako

  • @tinafrenk5540
    @tinafrenk5540 5 ปีที่แล้ว

    Dah kweli

  • @gablesladyfashionanddesign1409
    @gablesladyfashionanddesign1409 5 ปีที่แล้ว

    Your gorgeous brother

  • @suphytz0750
    @suphytz0750 5 ปีที่แล้ว +1

    Good

  • @msumbamdesa8538
    @msumbamdesa8538 5 ปีที่แล้ว +1

    Leo ndio nimekuekewa kwa mara ya kwanza ndele i see something big in your future keep this name in mind

  • @trophainamagogwa9590
    @trophainamagogwa9590 5 ปีที่แล้ว

    Safi saana

  • @sakinaomar301
    @sakinaomar301 5 ปีที่แล้ว

    I like man

  • @faridasaid8724
    @faridasaid8724 5 ปีที่แล้ว

    safi sana kaka

  • @mafinamaizez2514
    @mafinamaizez2514 5 ปีที่แล้ว

    jamani naomba nifahamishe hiyo shule iko wapi na yaitwaje na nitawapata vipi hawa wahusika?

  • @israelsiame1508
    @israelsiame1508 5 ปีที่แล้ว

    good

  • @swahibasaswa2677
    @swahibasaswa2677 5 ปีที่แล้ว

    Siku zote Ukiwa na msimamizi wa Elimu na Maadili na Majukumu ya walimu pia maadili lazima shule yako lazima itafanya vizuri na matokeo yake yatakuwa mazuri na hii ndio Fursa wanayoitumia wamiliki wa shule za binafsi ambapo walikaa na kugundua matatizo ya kimfumo ya shule ya serikali. Huko watu wanajengwa Kimaadili na Kielimu. Kila la Kheri katika hilo unalofanya kwa kugundua matatizo na mapungufu ya kimfumo katika shule zetu za Kayumba.....

  • @danielulomi8994
    @danielulomi8994 5 ปีที่แล้ว

    nimekukubali kaka

  • @moseswanjara3408
    @moseswanjara3408 5 ปีที่แล้ว

    Endeleeni eti mnatiwa mioyo jamani maisha ya utafutaji nisiri ya MTU mm ua naangalia nawaacha jinsi walivyo

  • @richardyusuphmsongolomakat2049
    @richardyusuphmsongolomakat2049 5 ปีที่แล้ว

    No FUCKING Role Model...

  • @mafinamaizez2514
    @mafinamaizez2514 5 ปีที่แล้ว

    Namba zangu ni 971558463745

  • @Subscribe_plz-445
    @Subscribe_plz-445 5 ปีที่แล้ว +2

    Shule enzi nzetu tulikua tunafundishwa viboko tu.

  • @ananiamkongosa5438
    @ananiamkongosa5438 5 ปีที่แล้ว +2

    Millard Ayo unajitahidi sana kutuletea habari nzuri na za kutujenga vijana endelea kututafutia watu kama hawa Mungu akubariki

  • @munnawwaryaqoob3414
    @munnawwaryaqoob3414 5 ปีที่แล้ว +2

    Hakuna kitu cha msigi km kua na maengo,

  • @smwansasu8605
    @smwansasu8605 5 ปีที่แล้ว +1

    Mnasikia viongozi wetu anachofanya Ndele kwa walimu wake!!!!!

  • @kassimibrahim4776
    @kassimibrahim4776 5 ปีที่แล้ว +1

    Very good interview, page yako inajitofautisha na wengine sana

  • @laxc-lyonofficial6990
    @laxc-lyonofficial6990 5 ปีที่แล้ว

    th-cam.com/video/aMmGDC1jXHE/w-d-xo.html
    Angalia video hii👆👆 nipeni support guys

  • @wamburajohanes952
    @wamburajohanes952 5 ปีที่แล้ว +1

    Vema sana

  • @ashurathomas482
    @ashurathomas482 5 ปีที่แล้ว +1

    Naombeni namba yenu

  • @zabibumwashitete9203
    @zabibumwashitete9203 5 ปีที่แล้ว

    Wewe ni kichwa kaka hakuna kama wewe

  • @2003silla
    @2003silla 5 ปีที่แล้ว

    Live long ndele

  • @leverimlaki5667
    @leverimlaki5667 5 ปีที่แล้ว

    Kaka upo na Mungu

  • @faridasaid8724
    @faridasaid8724 5 ปีที่แล้ว

    Naomba namba kaka