ni mchezaji mzuri ila niwaambie yanga waache tabia kubania wachezaji pindi wanapo pata sehemu nyingine ya kwenda kupambana wamwache aende wydad athletic club
Fettie asilimia kubwa ya wanaotaka mzize aondoke ni mashabiki wa upinzani, aende wydad timu haina uhakika ata wa kucheza shirikisho msimu ujao, na Sisi Yanga tupo kwenye mapambano ya kuifanya timu yetu iwe tishio Africa alafu tuuze wachezaji wetu bora,
Ahsante sana Mbwaduke. Kuna wachambuzi wanachambua umri wake,wanaacha kuchambuwa mafanikio yake.
Mr. Mbwaduke upo vizuri mnoo keep it up bro kutujuza ya mpira kitaalamu hivi hivi
Nimefrah sna Mzize ni balaa,asante mbwaduke kwa taarifa nzuri
Mzize kawamalize Alihilali uwe kinara Tena
Jamani Mzize upo juu ulitifua tifua wachezaji wa mazembe ukanikumbusha ulivomnyooshaga Mohamed husseni
Makolo mmemwona Mzizeee ni nani vile, MCHEZAJI BORA BARANI AFRICAAAAA🎉🎉🎉
Mungu mbariki Kijana wetu Mzize aendelee MBELE na mafanikio zaidi
Safi sana Mwaduke mzee wa data na hongera sana kwa kijana wetu Mzize.
CLEMENT 🎉🎉🎉🎉🎉 SAFI YANGAAA OYEEEEEE
Mungu aibariki kazi yako upo vzr sana mkuu
Hongera mzize Kijana wetu🎉🎉🎉🎉💛💛💛💛💚💚💚
Babangu mbwaduke ww n mchambuzi na mwalimu haswa vitu vinatoka kichwani vya uhakika mashallah mungu akupe maisha marefu na ufanisi zaidi insha'Allah
Namkubali sana Mbwaduke wengine wajifunze kwake🎉
Kuna watu watasema GSM katoa bahasha😂😂😂😂😂
Aisee safi sana
Safi kabisa
Mungu azidi kumpa akili ,weledi, utulivu , busara na ubunifu mkubwa Clement Mzize
Mema zaidi kwake yapo mbele yanakuja, muhimu ajaliwe kuwa na mwendelezo mzuri zaidi.
Good job
Mm mzize hateri adono tulia
Safiiiiiiiiiiii😂😂😂😂😂😂
.mzize hatali sana 😢😢😢😊
Clemente mzize. Nakutakia fulaha njema kwako adono
Good performance
Yanga Bingwa
Haipigwi kaka
Tupe vitu mbwanduke
Uchambuzi wa Kisayansi
🎉
ni mchezaji mzuri ila niwaambie yanga waache tabia kubania wachezaji pindi wanapo pata sehemu nyingine ya kwenda kupambana wamwache aende wydad athletic club
Kwa hyo ww uliona widad ndo sehemu sahihi ya mzize kwenda au mradi tu nje ya nchi??
@fettiemaganza1484 sina cha kukujibu kwa sababu huwa naangalia wa kumjibu kama ni cha maana
@@TriciaSambovizuri ila hersi anajua anachokifanya huwezi kuuza tu na hujui kwako kuna hali gani
Fettie asilimia kubwa ya wanaotaka mzize aondoke ni mashabiki wa upinzani, aende wydad timu haina uhakika ata wa kucheza shirikisho msimu ujao, na Sisi Yanga tupo kwenye mapambano ya kuifanya timu yetu iwe tishio Africa alafu tuuze wachezaji wetu bora,
Labda ungeshauri Yanga tufanye mpango wa kumuongezea mkataba wenye maslai manono lakini sio kwa kulaumu eti hatutaki kumuuza
Safi kabisa