"MIMI SIVUTI BANGI, POMBE SILI NYAMA /SAMAKI | TANZANIA INA AKILI | WAKENYA WANALIA " WAJACKOYAH

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 64

  • @nyanchokachacha9954
    @nyanchokachacha9954 ปีที่แล้ว +17

    Niite Wajackoyah sipendi majina ya kizungu.Nimeipenda sana hiyo Prof.

  • @likimaro6
    @likimaro6 ปีที่แล้ว +6

    Shida sasa watangazaji hawaelewi yanayosemwa...muwe mnasomasoma.

  • @abdulally2764
    @abdulally2764 ปีที่แล้ว +2

    Huyu jamaa asemacho ni kweli kuhusu wana wa israel na bangi

  • @1961nungwi
    @1961nungwi ปีที่แล้ว +1

    Mwal. Julius Nyerere, Baba Wa Taifa la Tanzania, na Afrika kwa Ujumla!

  • @talents7934
    @talents7934 ปีที่แล้ว

    As Tanzanian hawa jamaa wa Kenya nawakubali sana maana they have no fear wakiamua wameamua💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿

  • @moseswechuli189
    @moseswechuli189 ปีที่แล้ว

    east African youths lets listen to wajakoya he is telling us the truth

  • @mropeamadeus54
    @mropeamadeus54 ปีที่แล้ว +29

    Mahojiano kama hayo jitahidini wakati mwingine, muwe na mic 🎤 hata 3 nyie Brand kubwa mwatuangusha hivyo

    • @sammymdemeka7937
      @sammymdemeka7937 ปีที่แล้ว +2

      True brother wametia aibu

    • @winnifridaashery4449
      @winnifridaashery4449 ปีที่แล้ว +1

      @@sammymdemeka7937 Sana mi nimeshangaa sana kweli daaaah

    • @onlygame5110
      @onlygame5110 ปีที่แล้ว

      Uyo anae hojiwa hapo ni kiongozi wa kisiasa jua hivyo

  • @Ndetanaa
    @Ndetanaa ปีที่แล้ว +3

    Kuna haja ya Serjkali ya Tanzania kufanya tafiti juu ya mmea wa bangi na namna nchi inweza kuurasimisha ma kuoingizia serikali mapato. Nimemuelewa sana Professor. Ameongea point sana

  • @tomshiii485
    @tomshiii485 ปีที่แล้ว +4

    Daah! Hii sound ya video ya leo ni kama tumo ndani ya maji 🌊 🤣 🌊

  • @prosperulungi2998
    @prosperulungi2998 ปีที่แล้ว

    Kaongea point sana

  • @bentutsibensamale7520
    @bentutsibensamale7520 ปีที่แล้ว

    Bright mind kabisa,
    Huyu angekuwa marekani angechaguliwa kuliko ruto

  • @bryanmagee5681
    @bryanmagee5681 ปีที่แล้ว +4

    Watanzania wenzangu mumeona wenzetu wanavyo iamini tanzania na kuna watanzania wakipanda kwenye meza zao za mikutano wanatuambia tizameni kenya. Leo hii mkenya aniongea vizuri tanzania kuliko kenya. Chadema jifunzeni tutoka huyu mkenya.

    • @1961nungwi
      @1961nungwi ปีที่แล้ว

      Anamuongelea Baba Wa Taifa, Mwal JK Nyerere. Tudumishe Legacy ya Mwalimu

    • @mpendakiswahili3053
      @mpendakiswahili3053 ปีที่แล้ว

      Tanzania mpo vizuri, sijui mbona hamjiamini....alaf mme barikiwa na kila kitu

  • @shamsayahaya3888
    @shamsayahaya3888 ปีที่แล้ว

    Mtafute maiki aiseees hachen izoooo

  • @samwelcharles74
    @samwelcharles74 ปีที่แล้ว

    Clouds hapo mmetuangusha.....Mnaturudisha analogy...Mic moja kwa nini

  • @deodathsilayo3639
    @deodathsilayo3639 ปีที่แล้ว +3

    Huyu jamaa anaakili ming sana kumbe

  • @philipngeso8883
    @philipngeso8883 ปีที่แล้ว

    Hii ni mzigo yetu wa Kenya tafadhali msimsumbuwe arudishwe mzigo yetu

  • @abhambomihambo6754
    @abhambomihambo6754 ปีที่แล้ว

    Someone should start somewhere,though big up brother I do understand you exactly what you mean,it shall take sometime for some people to understand you and liberated themselves from mental slaves.

  • @mshikamanojames7610
    @mshikamanojames7610 ปีที่แล้ว +1

    Duh kichwa sana

  • @damsonwilson5202
    @damsonwilson5202 ปีที่แล้ว

    Mmefanya majojiano makubwa Hila kizembe mnazungusha mike ya Nini

  • @ericksonmuhulo1570
    @ericksonmuhulo1570 ปีที่แล้ว +1

    Kweli clouds mnatumia 🎤 moja???

  • @Kidia-yt3bm
    @Kidia-yt3bm ปีที่แล้ว +2

    Huyu jamaa anaakili sana alijaribu kutafuta kitu ambacho kitampa kiki kwa kasi akaamua atembee na Bangi ikampa umaarufu sana East Africa

    • @abbiecox1
      @abbiecox1 ปีที่แล้ว

      AKILI AU LAANA TU

  • @jumarajab5316
    @jumarajab5316 ปีที่แล้ว +2

    kipindi kinaendeshwa na walevi

  • @modernfarming5938
    @modernfarming5938 ปีที่แล้ว

    Huyu jamaa kweli kila kitu ni Mwalimu Nyerere kamu inspire au kwasababu yupo Tz so inabidi awe na hayo maneno

    • @arsenalic23
      @arsenalic23 ปีที่แล้ว

      😂😂😂

    • @mabugamussa2860
      @mabugamussa2860 ปีที่แล้ว

      Hapana hata kenya wajakoyah huwa anaongelea sana kuhusu Nyerere

    • @1961nungwi
      @1961nungwi ปีที่แล้ว

      Ameongelea lectures alizotoa Mwalimu Uingereza. Amekuwa inspired na akili kubwa na ushupavu wa Mwalimu!

  • @collinmhema5443
    @collinmhema5443 ปีที่แล้ว

    Yaan clouds mmekosa kabisa mic zingine

  • @abbiecox1
    @abbiecox1 ปีที่แล้ว

    AKILI YAKO NI ZAIDI YA BANGI

  • @Filexwawa
    @Filexwawa ปีที่แล้ว +1

    Hebu tujaribu lutumia hiyo bingo za wajakoja ila nashauri utafiti ufanyike kwanza

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 ปีที่แล้ว

    Jakoya anamaanisha aliibiwa kura sio?

  • @gwantadibusta
    @gwantadibusta ปีที่แล้ว +1

    WaJAH-KaYa

  • @mangmodile38
    @mangmodile38 ปีที่แล้ว +3

    Viongozi Kama hao ndo tunaitaji Africa tatizo ya umaskini ndo ugonjwa mkubwa turiribaki nalo africa

  • @yayananajota5838
    @yayananajota5838 ปีที่แล้ว

    Africa wapiga kura n kama mzezeta, wanalia nakucheka😏😏

  • @ireneassey2022
    @ireneassey2022 ปีที่แล้ว

    Kipind kizur ila sijui mnasikikaje kwakwel

  • @janeoduor8975
    @janeoduor8975 ปีที่แล้ว

    Hallo there

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw ปีที่แล้ว

    Sisi waafrica tumedanganywa mnoo ndio maana tutakuwa nyuma Sisi tunawaza vingine na west wanawaza kivingine sijui lini tuwe na mawazo yenye maono mazuri kiuchumi

  • @johnnonyarungwa255
    @johnnonyarungwa255 ปีที่แล้ว

    Huyu Mwamba Anakii Mingi. Wajakoya Karibu Tanzania Nitaongea Na Mama Uwe Mshauri Wake Wa Karibu. Mama Yuko Vzur Hasa Akipata Mshauri Kama Huyu.

  • @TarimoTarimo-pf5lo
    @TarimoTarimo-pf5lo 6 หลายเดือนก่อน

    Kumbe ulikuwa chokora, ndiyo maana unatukana hadharani, hapana bwana wewe umevuta hata sasa hv ipo kichwa

  • @ambokileasheengai1140
    @ambokileasheengai1140 ปีที่แล้ว +2

    Hivi mnashindwa kuwa na microfone nyingi mpaka mpokezane mate

  • @abhambomihambo6754
    @abhambomihambo6754 ปีที่แล้ว

    Black people rise up and be wise..... There's more to come,I believe in the future more things will be rejected,not just a churches but religion as a whole,we should go back to the roots and will start to believe humanity as our true religion no matter what colour you are.... Peace&One love.

    • @obijoha2877
      @obijoha2877 ปีที่แล้ว

      Nyerere alianzisha wareen university?

  • @Shaflivictor3780
    @Shaflivictor3780 ปีที่แล้ว

    WAJACKOYA THE SIXTH

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 ปีที่แล้ว

    Haya mawazo ya Wajackoya kuhusu kulima bangi kama zao la biashara kwaajili ya tiba na mazao ya viwanda ni maarifa makubwa ambayo yatainua mataifa masikini tusitegemee tena misaada yenye masharti k.m ya ushoga nk. Cha msingi ni kuweka ulinzi mkali na kutunga sheria kali juu ya matumizi tofauti ya zao hili badala ya kudanganywa na mataifa kuwa ni zao haramu wakati wao wananufaika kibiashara ktk viwanda nchini mwao! Ruto akidanganyika na GMO ataachia fursa hii kama nchi zingine za Afrika tukiwemo Tanzania.

  • @drvaxminja2133
    @drvaxminja2133 ปีที่แล้ว

    Mbona unalichukia kanisa?

    • @gideon546
      @gideon546 ปีที่แล้ว

      @Dr. Vax Minja - 🇹🇿 Bana we Hakuna mahali Wajackoyah amesema ya kwamba hampendi "MUNGU" ("GOD") kwa majibu yake. Usimuekelee Wajackoyah mambo Bana.🇰🇪

    • @lushidulajidanda2321
      @lushidulajidanda2321 ปีที่แล้ว

      Yuko sawaa

    • @lushidulajidanda2321
      @lushidulajidanda2321 ปีที่แล้ว

      Yuko sawa kabisa

    • @lushidulajidanda2321
      @lushidulajidanda2321 ปีที่แล้ว

      Uhuru jamaa anafaa anafaa kuwania kiongozi wa Afrika nzima sikenya pekeyake maana anamaono kama yamagufuli

    • @mpendakiswahili3053
      @mpendakiswahili3053 ปีที่แล้ว

      ​@@lushidulajidanda2321 shida wahuni hawawezi kubali apate hiyo fursa ..

  • @salehsimba5306
    @salehsimba5306 ปีที่แล้ว

    Kutumia mic moja katika kipindi kikubwa kama ichi cha JAHAZI sio vzr Inaweza kushusha brand, hii interview haiangaliwi Tz tu, Ata Kenya wanaiangalia kupitia TH-cam. Kwa ukubwa wa Media kama Clouds si jambo zuri

  • @gracemima5234
    @gracemima5234 ปีที่แล้ว

    Watanzania hawasomi vitabu. Unavyoelezea hawaelewi. Kwa Tundu Lissu umekosea. Tundu Lissu ni puppet. Anaona wazungu ndiyo Mungu. Kama kuna watu wana mawazo ya kikoloni ni huyu puppet Tundu Lissu.

    • @likimaro6
      @likimaro6 ปีที่แล้ว +1

      We ndiyo puppet! Hujielewi kabisa

    • @hadjihadji197
      @hadjihadji197 ปีที่แล้ว

      Anahangaishwa na Bangi tu huyu.

    • @mpendakiswahili3053
      @mpendakiswahili3053 ปีที่แล้ว

      Mimi pia siwezi Tundu lissu siwez mkubali....