Dawah yashangaza wengi Dandora

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
  • Subscribe kwenye channel yetu ili usipitwe na mambo. Straight Path Dawah.
    Simu: +254722600533 / +254700716677
    Whatsapp: +254777600777

ความคิดเห็น • 205

  • @rukiamatano7764
    @rukiamatano7764 3 ปีที่แล้ว +10

    ""Mashaallah kazi nzuri, Allah awalinde mashekh wetu awafanyie wepesi kila penye uzito nanyi..Amiin

  • @alimasigasaleh8659
    @alimasigasaleh8659 3 ปีที่แล้ว +10

    First time to see this channel. Maa Shaa Allah. Very good approach in daa'wa. May Allah bless your work fi dunya wal akhera

    • @StraightPathDawah
      @StraightPathDawah  3 ปีที่แล้ว +2

      Welcome brother keep sharing and Allah will bless you.

  • @mutomubaya
    @mutomubaya 3 ปีที่แล้ว +4

    Shukran Sheikh Ramadhani. Natazama nikiwa Riyadh. Tafadhali nijibu kuhusu hili; Nadhani ni heri muwakaribishe kwa imaan kuanzia.kwa Tawhid kwa.kuwa mkiwakaribisha kuwa Waislamu wanajibu hee hiyo ni.ngumu. je wakifunzwa kuhusu kuamini kwamba kuna Mungu na kwamba Mungu huyo.ni mmoja na.(kuamini)'kwamba hakuna mungu mwengine ila Allah,, wakikubali muwakaribishe katika.kuamini Mitume wote na.manabii......hapo kuna elimu nyingi kama vile sifa za Allah ambazo wanadamu hawana. Kwa mfano kuona. Je.kuna.mwanadamu anaona kila kitu? Hata virusi bila usaidizi wa chombo...? Je kusikia? nk.....

  • @iddyally9754
    @iddyally9754 3 ปีที่แล้ว +6

    Allah awajalie sana mashekh wetu poleni sana kwa kazi zuri Allah awakinge na madui wa uislamu naona asikofu anahofu anahisi atakosa watu wa kuwaibia

  • @maxmaizer4631
    @maxmaizer4631 3 ปีที่แล้ว +4

    Kazi ngumu hii achen tu na awa watu tumeletewa wachache sana wenye jihadi km hii na allah akiamua kuwachukua anawachukua tunakosa watu wakupigana so tunaitaji sana kusoma ndg zangu islamic ukwl tena hii kitu aiitaji ujanja kabisa 😍 allah awazidishie mashekhe wetu asee mmeamua kumia kudharaulika mtaan ila mnachofanya allah atawalipa inshallah daa nasikia nakekelele ya pastor uko pemben nae anajibu

    • @StraightPathDawah
      @StraightPathDawah  3 ปีที่แล้ว +2

      😁Pastor maskini anatafuta unga, shukran kwa dua zako

    • @maxmaizer4631
      @maxmaizer4631 3 ปีที่แล้ว +2

      @@StraightPathDawah Pamj Sana ktk kuakikisha tunakufa na kalma ya llah illah khailallah muhamadan llasullurah

    • @StraightPathDawah
      @StraightPathDawah  3 ปีที่แล้ว +2

      Ameen

  • @yusufmwangichannel6692
    @yusufmwangichannel6692 3 ปีที่แล้ว +7

    Masha Allah, kazi nzuri, Allah awalipe kheir hapa duniani na kesho akhera na awazidishie elmu, Amiin

  • @mwajumamasumbuko2170
    @mwajumamasumbuko2170 3 ปีที่แล้ว +1

    Yesu ni Bwana na Mwokozi wa wote wenye mwili Yasua Almasihu

  • @salimhamis4415
    @salimhamis4415 3 ปีที่แล้ว +6

    Masha Allah KAZI nzur usthadh wafafanulie kabisa katika maandiko dini ya yesu Musa na manabii wote.

  • @AbdulmajidHyder
    @AbdulmajidHyder 3 ปีที่แล้ว +5

    Nimependa style ya hiyo kanzu imependeza kabisa(kenya flag)

  • @salmare2628
    @salmare2628 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah mleteni sheikh mazinge awasaidie wanaonesha wataka kuslim lkn hawafaham na wanawoga

  • @samuelchege2605
    @samuelchege2605 ปีที่แล้ว

    Ramadhan nakushukuru wewe salim Qasim Ali Yusuf wambugu tawhid da'awah salim da'awah mliniongoza nikawa muislamu mwenyezi mungu awabariki

  • @salimnazir6000
    @salimnazir6000 3 ปีที่แล้ว

    Kwa kweli kutoka nafs yangu wakikuyu ni watu wazuri sana na wana imani na islam in future coming in kenya headquarters au kitovu cha islam will be kikuyu land shudiani insha allah

  • @user-rc7oi2hp8l
    @user-rc7oi2hp8l 9 หลายเดือนก่อน

    Ma Sha Allah tabarakallah masheikh wetu Allah amlipe pepo kazi nzr mnayoifanya

  • @bnussrahlimsantah3730
    @bnussrahlimsantah3730 2 ปีที่แล้ว

    Mashallah kazi nzuri japo ngumu ila naimani Allah anawafurahia sana kupitia hii bidii yenu...hongereni sana

  • @abdul-majidndegwa6607
    @abdul-majidndegwa6607 3 ปีที่แล้ว

    Waafrika kabla ya Ukristo, walikuwa wanamuabudu Allah (SW) Mwenye- Enzi Mungu peke yake bila kumhusisha na Chochote. Uslamu unahimiza Kumuabudu Mwenye Enzi Mungu peke yake kama vile mababu zetu walikuwa wanaabudu Mungu mmoja..

  • @ayushiabubakar1930
    @ayushiabubakar1930 3 ปีที่แล้ว +4

    MashAllah tabaraka الله mungu awazidishieni elim

  • @siamabakwe4274
    @siamabakwe4274 3 ปีที่แล้ว +3

    Naam mualim powa asante kazi kabisa

  • @abedbin2794
    @abedbin2794 3 ปีที่แล้ว +2

    Jazakumullahu khairan Ustadh Ramadhan and his colluegue

  • @user-rc7oi2hp8l
    @user-rc7oi2hp8l 9 หลายเดือนก่อน

    Hogera n msomaji amewasomea vzr Allah amzidishie Amiin yarab

  • @khadijaangore4408
    @khadijaangore4408 3 ปีที่แล้ว +3

    Waalykum. Msaalam waramatulah wabarakatul. Masha Allah Lahwala walakuwatah illabilah.

  • @kawtharalbarwani1337
    @kawtharalbarwani1337 3 ปีที่แล้ว

    MashaAllah Allah akubarik sheikhe wetu Allah akufanyieni wepes pale palipo na pazito

  • @abujamalaalghammawiy7470
    @abujamalaalghammawiy7470 3 ปีที่แล้ว +2

    Maasha Allah Tabaaraka Allah, hongereni kwa kazi hiyo na Allah awabariki sanaaa.
    Katika maongezi yenu naomba Kwanza muanzie kuwaeleza kama hivyo Mungu ni mmoja, na Kisha aliwatuma Mitume mbalimbali
    Kwahiyo sio Kwamba kuwa muislam ilikuwa ni lazima usome Qur'an, walikuwepo waislam ambao hawakuifata Qur'an kama Yesu, Musa, Adam nk.
    Kwahiyo Uislam haukuanzia na Muhammad na Qur'an. Wengi naona wana notion kuwa Uislam ni Muhammad na Quran, kwahiyo ukimtaja Yesu alikuwa muislam, yeye a nahisi kuwa Yesu alisoma Qur'an nk
    Hapo muwe mnawafafanulia sanaaa

    • @StraightPathDawah
      @StraightPathDawah  3 ปีที่แล้ว

      Tayari tumeeleza lakini pia shukran kwa maoni yako?

    • @allyissalipawe7072
      @allyissalipawe7072 3 ปีที่แล้ว

      Ni kweli muanze kuwatambulisha na mwinge anataka kusilimu ila anasema imwachie ajifikilie na wanamwachia sasa akifa s anaenda motoni ampe uwakika wa maandiko na amsilimishe

  • @AbdulmajidHyder
    @AbdulmajidHyder 3 ปีที่แล้ว +5

    Ma Sha Allah tuko pamoja

  • @BushMankabum254
    @BushMankabum254 ปีที่แล้ว

    ramadhan leta dawah kikuyu tujadiliane waislamu na wajakoya

  • @alimussa5560
    @alimussa5560 3 ปีที่แล้ว +5

    Maanshallah, The Efforts are very Good. May Allah Bless you all. Kindly always explain concept of Islam. Our fellow Kenyans need to be educated on the truth about IsIam

    • @StraightPathDawah
      @StraightPathDawah  3 ปีที่แล้ว

      Shukran, what do you mean by concept of Islam?

    • @alimussa5560
      @alimussa5560 3 ปีที่แล้ว

      @@StraightPathDawah There are lots of misunderstanding of either ingronce or Man sourced information of the basics in Islam. Hence when approaching our fellow citzens it is good to clear the basics, The Importance of No association of Allah, The Covenant of Ibrahim, as to the relationship between the 2 sons of Ibrahim and the lineage of the prophets, The common domination of all the teachings of all prophets, the way all prayed etc. Aslo it helps that some times to explain in the vernacular or the local language that the person may quickly relate to. This does not mean that I understand or know better, but just Suggestions. I am really happy and thankful to the sheiks going to our fellow Kenyans and telling of Islam. Even the Basics in African Culture Support the truth in Islam once expressed or discussed. Hope just to say Thanks to all.

    • @StraightPathDawah
      @StraightPathDawah  3 ปีที่แล้ว

      Allah will make it easy for us

  • @jumahamisi5383
    @jumahamisi5383 3 ปีที่แล้ว +2

    MAA SHAA ALLAH BARAKAH LLAHU FII KUMAAH

  • @user-rc7oi2hp8l
    @user-rc7oi2hp8l 9 หลายเดือนก่อน

    Walkm mslm warahmtullah wabarakatuh Allah amfanyie wepesi in Sha Allah

  • @omar83ke
    @omar83ke 2 ปีที่แล้ว

    Barakallah fikum..kazuri nzuri sana mnafanya

  • @abdur-rahmanmuhammad2898
    @abdur-rahmanmuhammad2898 3 ปีที่แล้ว +2

    As-salaam Alaykum warahmatullah wabarakatuh
    Masha Allah
    Jazak'Allaahu khayran kwa kazi nzuri mnayofanya Allah awalipe khayr nyingi na awalinde na kila Shari mbaya

  • @saumuseif9189
    @saumuseif9189 3 ปีที่แล้ว +5

    Mashaallah mashaallah

  • @AliIbrahim-lv5cq
    @AliIbrahim-lv5cq 2 ปีที่แล้ว

    Ramadhan mashaAllah unajua kyuks hehehehe,Allah akujaalie hikma ndugiangu, wewe nimtu muhimu sana 🌹

    • @BJumah
      @BJumah 2 ปีที่แล้ว

      The guy is a kyuk. What do u expect. Ama ni maajabu.

  • @mussahaji905
    @mussahaji905 2 ปีที่แล้ว

    Sheikh Zangu Mimi nawapenda na nawaombea dua Allah awape nguvu

  • @swalehramadhan875
    @swalehramadhan875 3 ปีที่แล้ว

    Kazi Mzuri sana Msife moyo

  • @mohamedamin63
    @mohamedamin63 3 ปีที่แล้ว

    Ma sha Allah....maskini nimeona watu wengi hawajamjua mungu wa kweli , na wala hawana shida bora waelezewe kwa makini...waeleweshwe wakotayari wengi kupata uongofu,,, mola awaezeshe AMEEN

  • @abubakarhajjabubakarhajj1252
    @abubakarhajjabubakarhajj1252 3 ปีที่แล้ว +2

    ALLAH awalipe kwa kazi mzuri munayoifanya awape afya

  • @user-rc7oi2hp8l
    @user-rc7oi2hp8l 9 หลายเดือนก่อน

    Ustadh hawajui najis waelezee vzr

  • @esthermwanaidi3645
    @esthermwanaidi3645 2 ปีที่แล้ว

    Mumejawa namapepo nyinyi nyote nyinyi nimpinga yesu

  • @maymgaya4192
    @maymgaya4192 2 ปีที่แล้ว

    Allah awalinde Yaa Rabby ♥️

  • @ramadhaninyangasa7275
    @ramadhaninyangasa7275 3 ปีที่แล้ว

    Mashaallah nawatakia kila la kheri

  • @user-rc7oi2hp8l
    @user-rc7oi2hp8l 9 หลายเดือนก่อน

    Ak watu wanaogopa kwann subhna llah n hawajui kuhusu uislam siwawe free kuuliza

  • @mangeraalbert7982
    @mangeraalbert7982 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah anapendeza ako na nuru

  • @kihimbamushyaibrahim7284
    @kihimbamushyaibrahim7284 3 ปีที่แล้ว

    Barakallahu Fiikum nawaombea kila lakheri kwenye hio kazi kubwa karibuni uganda

  • @esthermwanaidi3645
    @esthermwanaidi3645 2 ปีที่แล้ว

    Yesu anastahili kuabudiwa uptake usitake kama unauchungu kajinyonge

  • @user-bi4um8cn2u
    @user-bi4um8cn2u 3 ปีที่แล้ว

    ALLAH. AWABARIKI. AMIN.

  • @fadhilshafi2947
    @fadhilshafi2947 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah kazi nzuri sana ...

  • @rachelevarist70
    @rachelevarist70 3 ปีที่แล้ว +2

    Mrudieni uyo mama mumlinganie anaweza akaiona
    haki

  • @user-ng1po1dh4z
    @user-ng1po1dh4z 7 หลายเดือนก่อน

    Kazi ya Dawaa ni kazi ngumu, lakini ni kazi ya kila Mwislamu kufikisha ujumbe wa Mwenyezi Mungu. Ili watu wamjue Mwenyezi Mungu mmoja tu. Wengi wamepotea, hadi wanamuita "Yesu ati ni Mungu au Mtoto wa Mungu".😂😂😂😂 Sijui hiyo Biblia yao waisoma nusu kipande😢

  • @swabraswarina7331
    @swabraswarina7331 3 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah TabarakaAllah

  • @omargbabaomar2004
    @omargbabaomar2004 3 ปีที่แล้ว +4

    Masha Allah sheikh

  • @ramadhaninyangasa7275
    @ramadhaninyangasa7275 3 ปีที่แล้ว

    Allah awalinde na kila baya

  • @mohammadalfani8004
    @mohammadalfani8004 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akupe umri uzidi... Ufanye daawah

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 3 ปีที่แล้ว +2

    Allah Akbar

  • @Binahmed1234
    @Binahmed1234 3 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah ammi

  • @esthermwanaidi3645
    @esthermwanaidi3645 2 ปีที่แล้ว

    We we mama wacha aende zake hatutaa budu sanamu ya muhamadi

  • @kareemalamoody6345
    @kareemalamoody6345 3 ปีที่แล้ว +1

    insha'a'Allah Allah amjalie aslimu

  • @abdallahdzuya6501
    @abdallahdzuya6501 3 ปีที่แล้ว

    Mashallah

  • @mussajuma9044
    @mussajuma9044 3 ปีที่แล้ว +1

    Masaha Allah nice work shiekh

  • @salimajuma5530
    @salimajuma5530 3 ปีที่แล้ว

    Allah awalipe fildausi

  • @alicemangat3165
    @alicemangat3165 2 ปีที่แล้ว

    Kanisa liingilie haya mambo!

  • @peacefmmatukio9686
    @peacefmmatukio9686 3 ปีที่แล้ว

    Ma Shaa ALLAH pongezi sana, ALLAH Akuongoze In Shaa ALLAH.

  • @TabuOdhiamboOmiya
    @TabuOdhiamboOmiya 9 หลายเดือนก่อน

    Mash Allah

  • @mapishiyetumazuri2312
    @mapishiyetumazuri2312 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah mungu anugoze

  • @salimmgwame9504
    @salimmgwame9504 2 ปีที่แล้ว

    Usiongee nawake zawatu

  • @jumamohammed5378
    @jumamohammed5378 3 ปีที่แล้ว

    MashaAllah

  • @saumuseif9189
    @saumuseif9189 3 ปีที่แล้ว +3

    Kazinzuri

  • @jumaamzee2041
    @jumaamzee2041 3 ปีที่แล้ว

    Allah awaongoze in SHA Allah

  • @munaelmimohamed9912
    @munaelmimohamed9912 3 ปีที่แล้ว

    May Alah reign high and low and from coast to coast Amin

  • @yusufathman2478
    @yusufathman2478 3 ปีที่แล้ว +2

    Vaeni simple next time

  • @esthermwanaidi3645
    @esthermwanaidi3645 2 ปีที่แล้ว

    Wacha kundanganya watu ambao hawana elimu yakutosha tukutane Mimi nawewe we we huwezi kunifanya niache mungu wangu

    • @shabansalee4924
      @shabansalee4924 2 ปีที่แล้ว

      Kwani apo ana soma maandiko ya kwenye magazeti ama

  • @halalwaithaka2573
    @halalwaithaka2573 3 ปีที่แล้ว +2

    Vile umecheka🤣🤣

  • @amenakenya7993
    @amenakenya7993 3 ปีที่แล้ว

    Allah awajaze kheri na Allah awaifadhi amiin

  • @andallaathman3856
    @andallaathman3856 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashaa llah

  • @khadijaallyissa5340
    @khadijaallyissa5340 3 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah

  • @abedbin2794
    @abedbin2794 3 ปีที่แล้ว +2

    Metabolism is going on from unguided or misguided kikuyus to islamic world , Allah guides who He wants Al hamdu lillahi for being muslim

  • @salamamohamed6762
    @salamamohamed6762 3 ปีที่แล้ว +1

    MA SHA ALLAH

  • @mohammadalfani8004
    @mohammadalfani8004 3 ปีที่แล้ว

    ❤️❤️💯💯

  • @annelisejohns5664
    @annelisejohns5664 3 ปีที่แล้ว +1

    Shukran sana sheikh

  • @jamilaomariomari8328
    @jamilaomariomari8328 3 ปีที่แล้ว

    MashaAllah sauti ya msomaji ni Safi sana.

  • @esthermwanaidi3645
    @esthermwanaidi3645 2 ปีที่แล้ว

    Majini yako msikitini wakingoja wamama watoe suruwale walale na majini kispirit

    • @user-rc7oi2hp8l
      @user-rc7oi2hp8l 9 หลายเดือนก่อน

      Umepata wapi maandiko hayo Wacha kuogea bila ushahidi huna elimu tafuta elimu

  • @esthermwanaidi3645
    @esthermwanaidi3645 2 ปีที่แล้ว

    Wacha unafiki

  • @jangombeboys4536
    @jangombeboys4536 3 ปีที่แล้ว +1

    jangombeboys1999

  • @esthermwanaidi3645
    @esthermwanaidi3645 2 ปีที่แล้ว

    Kama we we nimwanaume tafuta Danieli mwankemwa ndio kiboko yao wacha kutafuta wamama ambao hawajui hatakusoma wachauongo

  • @abedbin2794
    @abedbin2794 3 ปีที่แล้ว

    Al hurma damhaa khafif

  • @Asiyah2000
    @Asiyah2000 3 ปีที่แล้ว

    mashaAllah ☝️

  • @ashleypetertv5894
    @ashleypetertv5894 3 ปีที่แล้ว

    Napenda kazi yako sheikh. Ila pia mungekua mkiruhusu wakristu kuhubiria watu ka mnavyofanya bila ushambulizi wa watu ingekua poa.Ingekua ni mkristu hapo ahubiria muislamu angekua ashatolewa mbio au kupigwa pia apigwe.why?

    • @davismwamachi1145
      @davismwamachi1145 3 ปีที่แล้ว

      Tumsifu YESU mtumishi, ukiongozwa na Roho mtakatifu,hutapenda kazi ya mpinga kristo(mithali 9:6) mpendwa, Roho mtakatifu ndiye ufahamu...wakings ndio waliwao,,,( mithali 1:22)mpendwa,1john4:1-10 usipotoshwe Yesu ni mwana wa Mungu aliye hai, Nasi tukiwa na upendo,tunafanyika Wana wa Mungu aliye hai.. Amina mtumishi barikiwa Sana..

    • @ashleypetertv5894
      @ashleypetertv5894 3 ปีที่แล้ว

      @@davismwamachi1145 hukuekewa msg yangu pengine..mimi nasema waislamu pia waruhusu wakristo kuwahubiria kama hao wanavyofanya na sio kuwapiga au kuwatoa mbio.

    • @davismwamachi1145
      @davismwamachi1145 3 ปีที่แล้ว

      Amina mtumishi barikiwa Sana.

    • @StraightPathDawah
      @StraightPathDawah  3 ปีที่แล้ว

      Mashambulizi hufanywa na wasiojielewa

  • @heykids6792
    @heykids6792 3 ปีที่แล้ว

    MashaAllah ❤

  • @salimmgwame9504
    @salimmgwame9504 2 ปีที่แล้ว

    Huna haki yakusilimisha wake zawatu, wasilimishe waume zao halafu waume wataongea nawake zao halafu watawasilimisha

  • @esthermwanaidi3645
    @esthermwanaidi3645 2 ปีที่แล้ว

    We we siunikute Mimi siwezi kuku chekea Mimi nimkali masomo yenu yapelake kwa hao ambao hawajijui

    • @user-rc7oi2hp8l
      @user-rc7oi2hp8l 9 หลายเดือนก่อน

      Jitokeze wapee no yko Ili ujibu

    • @user-rc7oi2hp8l
      @user-rc7oi2hp8l 9 หลายเดือนก่อน

      Hawa husoma comments so wape apa no yko

  • @esthermwanaidi3645
    @esthermwanaidi3645 2 ปีที่แล้ว

    Wacha ujinga we we mama hiyo nidini ya majini namapepo nauchawi huyo shehe anakudanganya

  • @mwanaishahussein2635
    @mwanaishahussein2635 3 ปีที่แล้ว

    🤔🤔🤔, Balaa lkn in sha Allah kheir🤲🤲🤲🇰🇪

  • @mutomubaya
    @mutomubaya 3 ปีที่แล้ว +1

    Kennedy.anasema hajui Dini gani sawa na ipi sio sawa. Kwa hivyo, ni muhimu ikiwezekana muwe na kitabu kidogo ambacho kinafundisha tofauti iliyopo baina ya Uislamu na Ukristo au kuhusu ni.ipi Dini ya Haki. Ninacho hapa Riyadh kinauzwa riyal 4.

    • @StraightPathDawah
      @StraightPathDawah  3 ปีที่แล้ว

      Ukiweka mchango wako tutashukuru maana hatuna uwezo mkubwa na hatupendi kuomba.

    • @rahmaabid447
      @rahmaabid447 3 ปีที่แล้ว

      Ni vizuri ukachapisha hicho kitabu utoe kama sadaka .....utapata thawabu .....Inshallah

    • @StraightPathDawah
      @StraightPathDawah  3 ปีที่แล้ว

      Sina uwezo huo

    • @davismwamachi1145
      @davismwamachi1145 3 ปีที่แล้ว

      @@rahmaabid447 Tumsifu YESU mtumishi,, Mathayo 16:1-12,,,si lazima iShara kuutambua ukweli,, Roho mtakatifu peke yake ndiye kweli..ukimpokea Yesu Kristo, si lazima iShara kumtambua kuwa ni Mungu...(mathew16:12)inasema

  • @mohamedbojo2899
    @mohamedbojo2899 3 ปีที่แล้ว

    4;16luka ni mzr sn my suggestion

  • @omarabeid1363
    @omarabeid1363 3 ปีที่แล้ว

    Jazakalahu kheri

  • @rahmaabid447
    @rahmaabid447 3 ปีที่แล้ว +1

    Mimi kwa upande wangu naona hawajui ......kuwa vitabu vinne vilishushwa na kila kitabu kilikuwa na nabii wake kama....zaburi ...torati..injili...na quran ......wao walipoongezewa yasio husu kwenye injili wakaamini hio biblia.

    • @StraightPathDawah
      @StraightPathDawah  3 ปีที่แล้ว +1

      Wanasoma taratibu tu

    • @davismwamachi1145
      @davismwamachi1145 3 ปีที่แล้ว

      Tumsifu YESU mtumishi, msemo wa leo;;ukiwa unajua kuwa kuku ana manyoya,,mbona hutaki kusadiki kuwa,pia ana lucha,macho,pia,ulimi,, wanafiki hawataurithi ufalme wa mbinguni.. ikiwa mnaamuni hilo andiko (Mathayo 10:34-36)mbona Basi hamsadiki kuwa Yesu ni mwana wa Mungu? tusome pamoja hiyo hiyo(Mathayo 10:32-33) wapendwa Yesu anamtaja baba yake aliye mbinguni,,pia, Mathayo6:9,, inasema,salini hivi,, Baba yetu aliye mbinguni,,, wapendwa huyu mtumishi na Yesu Kristo,Nani mkweli?? ndugu zangu Kama zaburi 1:1 msikae Baraza la wenye mizaa..ukiwaona toroka wasikupotoshe,,,wanajifanya wanakufanya muongofu,kisha mwana wa jehanam Mara mbili Zaidi kuliko wao wenyewe(Mathayo 23:15)utapewa majini,ukidanganywa eti Kuna wazuri na wabaya...watakuzuia kuingia ufalme wa mbinguni ilhali wao hawaingii(mathew23:13) wapendwa chungeni msiiache nuru mkafuata Giza,,,Kila na fila havitangamani.. Amina mtumishi barikiwa Sana..

    • @shabansalee4924
      @shabansalee4924 2 ปีที่แล้ว

      @@davismwamachi1145 1wakolinto 15:18

    • @davismwamachi1145
      @davismwamachi1145 2 ปีที่แล้ว

      @@shabansalee4924 Bwana Yesu Kristo asifiwe ndugu,,mpendwa kiukweli,mtu akienda msibani, Lazma awe na utimamu wa akili na fikra..lazma uulize kama aliyefariki ni mtoto au mtu mzima,mzee au kijana,,kwasababu,unawezaenda msibani,ukaanza kupayuka bila ya kuuliza aliyefariki ni nani,,,ukaanza sema,eti aliyefartiki mlicheza naye mpira kumbe maskini,aliyefariki alikuwa kiwete tangu kuzaliwa kwake,,,je, utaeleweka??ama uanzesema aliyeaga mlikuwa mnafanya kazi naye,maskini kumbe aliyefariki,ni mchanga wa siku moja......kadhalika,Biblia mpendwa haisomwi kama gazeti,lazma uongozwe na roho mtakatifu ..hicho kifungu (wakorinto wa1 15:18)hujakitendea haki coz hujakielewa,,mpendwa,hujaanza mwanzo yaani 15:1, ukaelewa,,unadakia 15:18 pasipo ufahamu unanitumia 15:18(miss interpret):::::anzia 15:17,inasema kama kristo hakufufuka imani yenu ni bure;;;(hapo mpendwa elewa maana ya matumizi ya neno 'KAMA' kabl ya ku misinterpret 15:18::::tena soma 15:20,inasema ,,lakini sasa kristo amefufuka Katika wafu,limbuko la walio lala:::::'hiki kifungu 15:20 kimekuumbua coz Kristo amefufuka,,,,kabla KU judge kitu,, elewa mwanzo,,katikati na mwisho wa Jambo ndipo uongee kuhusu kitu,,,kinyume,ni uvumi au porojo maneno yasona maana(warumi 16:17//1timothy 6:20//tito3:9//.Barikiwa mpendwa.

    • @shabansalee4924
      @shabansalee4924 2 ปีที่แล้ว

      @@davismwamachi1145 2:21 luka 1timoteo 2:5:6 kurhani 112:1:3 kisha soma Kurhani 43:68 kisha tunamuuliza yesu yesu ww nani 8:40 yohana kisha soma 23:19 esabu kisha soma 40:40 kurhani 14:1 yohana 11:17 wakolinto 1 kisha 50:6 yeremia kisha tena 56:10 isaya kisha soma yoana 12:44 kisha yoana 4:25

  • @salminmnyasa5362
    @salminmnyasa5362 3 ปีที่แล้ว

    Assalamualaikum warahmatullahi wabarakatuh, ustadh ramadhan nilikuja nawazo mmoja, kuhusu watu Wakabila lako, ungeongea nao kinyumbani at least kama dakika tano, iliwapate kukuelewa zaidi, kuliko kuongea nao kwa sekunde chache.

    • @StraightPathDawah
      @StraightPathDawah  3 ปีที่แล้ว

      Shukran kwa maoni ila kinachoenda TH-cam ni kama 10% ya kazi inayoendelea.

    • @zohoraramadan4540
      @zohoraramadan4540 3 ปีที่แล้ว

      @@StraightPathDawah Bora yy 10 ww 0is 😝

  • @salimmgwame9504
    @salimmgwame9504 2 ปีที่แล้ว

    Je Sheikh nihaki kuongea namke wamtu nakutaka kuwasilimisha, wee make wamtu, iyo haifai.

    • @StraightPathDawah
      @StraightPathDawah  2 ปีที่แล้ว

      Wewe jifunze kwanza

    • @hamzagandara5071
      @hamzagandara5071 2 ปีที่แล้ว

      We una akili swali gani ilo broh

    • @user-rc7oi2hp8l
      @user-rc7oi2hp8l 9 หลายเดือนก่อน

      Hiyo n daawa kw Kila mtu aonyeshw njia ya haki akifa ataenda peke ake

  • @bonifaceirungu5594
    @bonifaceirungu5594 3 ปีที่แล้ว

    Kama mnaamini mtu huzaliwa akiwa mwislamu ? Ni uislamu gani huu mnatata wakue kwa sasa?

    • @StraightPathDawah
      @StraightPathDawah  3 ปีที่แล้ว

      Huzaliwa wakiwa Waislamu ila baadae huasi na kukufuru. Wengine hutolewa katika Uislamu kwa kubatizwa kama wewe.

  • @abdiudulahi1533
    @abdiudulahi1533 3 ปีที่แล้ว +1

    Asc

  • @official_.swash_.
    @official_.swash_. 2 ปีที่แล้ว

    Eti mtu ajiamulie mwenyewe shindwe na wewe hubanduki kwa pastor Ezekiel ukingoja waislamu kuwakataza wasiingie kanisani kwani huwa uwamuzi siniwao wenyewe huwa nini chakuwasha unapoteza wakati wako kuria nenda ufanye biashara zako kama akina kuria wenzako hupati kitu wanakufurahisha tu na kuku enjoy kuria gakuo umepotea Rudi kanisani kubali kataa YESU NI BWANA

  • @BJumah
    @BJumah 2 ปีที่แล้ว

    Stop spreading lies in the name of religion. Misinterpretation of the word to suit your mission.