Thank you so much our Sheiks and also the Christian brothers and sisters. They, the Christians, are humble as Quran states. The Christian brother appears so close to Islam because of his passion. He will make a Good Muslim, God Willing. These sheikhs are working hard to save their brothers from the hell fire. They love their Christian brothers and sisters. They have good intentions, so please listen to them with an open heart. I am from Canada and your lectures strike lessons fairly deep into the heart. Your examples are sweet, and make one think of our short and GHAFLA { deceptive} lives on earth. Bless you my brother. Your knowledge amazes us! May our Christian brothers search for their Creator and accept the One who created them. It is the same God of Christians and Muslims and all humans and everything created. Let us not fight for the sake of holding on to our bias. The Truth stands alone, differences are many. Regards from Ray in Canada
Nakupenda bur shekh wetu mng akuzidishie nguvu ya kutetea wiislam insha Allah.ila Kuna pahali yesu kwambia mimi si Mngu ni mtu kuwa unawaambia ilo andiko Siku nyingi sn sijakuskia kulitoowa
Hayo maswali Ni magumu sana hawana mistar yakujibia hayo maswali mnajaza maji gunian in sha Allah ipo siku watayajibu endapo watakapo ijua hak na bathil
Masha Allah Allah awalipe kheir Insha Allah kwa mafundisho mazuri na hao mapasta wanapotosha wenzao kwa sababu wanahuburi kutoka kichwani hawasomi maandiko kwani hayo yote wanayo huburi hayana kichwa wala miguu wana mungunya midomo tu
Wachungaji acheni uongo nakupotosha bibla yenyeweb inaonyesha shetani ndio kaandika aya papa mnaemtegea yupo flimasoni mnategemea awapelke wap wakati hawapendi au naww ndio mfwasi wake
Assalam Alaykum was it not made appeared to them that he was dead instead of someone else crucified instead of Issa Alayhi Salaam? When you take it word by word from Arabic it means (appeared to them) not exchanged or substitute.
I understand but it we make a wrong tafsir we loose the meaning. Allah is just to all his creation would he put someone else on the cross (innocent man) to die? The reason I'm asking is because Bani Israel were notorious in killing the prophets of Allah and they succeed but not with Issa Alayhi Salaam Allah raised him to himself I'm convinced with Sheikh Imran Nazar Hosein tafsir of this particular ayah and Allah Knows best. Jazzak Allahu Khairan for your Dawah may Allah reward you tremendously in Dunia and Akhira.
That’s why i say always. Christianity. Is round about. No exit . The problem of belive. Without proof has a lot of contradictions. Is god is prophet is son of god . Circle ⭕️
Tumsifu YESU mtumishi,hata pia Quran ziko zinaazo tofautiana,,, halafu Biblia haisomwi Kama Quran ama gazeti lazma uongozwe na Roho mtakatifu kusoma.. anaisoma Ufunuo 2;12 huyu hatafuti ufahamu katika biblia Bali anatafuta njia ya kuikana,,ni kweli kabisa hilo andiko kumetajwa kiti Cha enzi Cha shetani,but hakuanzia Mwanzo na pia hakumalizia ili aelewe ujumbe ndani ya Ufunuo 2 yote... ndugu,usiamini kusomewa maandiko nawe pia,iga mfano katika (Acts17:10-11) wanafunzi wa Paulo huko Beroya hawakuamini kwa kusomewa tu Bali hata wao walichunguza maandiko..na walipogundua kuwa kilichoandikwa ndicho,walizidi kumuamini Paulo na wanafunzi walizidi kuongezwka kwa kuamini... mpendwa, haya makanisa saba,yanasimamia makanisa yote duniani(seven continents)na yalikuwa yanaonywa Kama yanaenenda kwa njia isiyonyoka,waache njia mabaya na watubu(Ufunuo 12:17)hata Sasa Kuna makanisa yanafuata baalam(sanamu)yameacha Imani(hebrews11:1)wanatumia sanamu katika ibada zao,,wanatumia chumvi yakuonekana kwa macho kinyume na imani(Mathayo 5:13)wahubiri ndio chumvi,,wengine wanatumia mafuta kinyume na imani (1john2:26)mafuta ni Roho mtakatifu.. mpendwa miujiza hainunuliwi huwa Ni bure kutoka kwa Yesu,,,hayo mafuta huwa yanashuka kutoka mbinguni ama yajanynuliwa??ibada Kama hizo Ni za kishirikina kimbia,toroka hapo,, Ufunuo 2;12 inawaonya wale ambao wamekaribisha kitu Cha enzi Cha shetani makanisani mwao,wavingoe(waache na kutubu 2:17)mpendwa nakuuliza je hakuna wafadhili Wanaojenga misikiti na wakimaliza hufuga mashetani hump???huko kufuga ndio kitu Cha enzi Cha shetani..(Warumi2:1) tukubali kuongozwa na Roho mtakatifu kusoma maandiko,hatutapotoshwa na waakala wa ibilisi,maana waakala wako makanisani na hata misikitini(ufunuo2:9)sinagogi la shetani... barikiwa Sana,Amina.
Mashekhe wakeni kikao cha kuwafundisha namna ya kuzungumza mapasta, Pasta hilo fujo analo fanya utafikiri ni mtangazaji wa mpira imagine watu wako karibu yake duuuh hana nidhamu pia ya kuzungumza. Ana tumia Mabavuuu ya rugby
dah hii shida sana mana naona mwisho pasto kapagawa sema ndio dalili kuwa kashafahamu anaona aibu kukubali mbele ya kamera na mbele ya wafuasi wake allah buyuk
Pastor stop confusing and complicating yourself,Jesus never claimed to be God Almighty and indeed he is not,read st.mark 2:10 ,son of man ,Jesus Mathew 16:27 son of man Jesus John 8:40 Jesus a man Numbers 23:19 God is not a man Hosea 11:9 God not is not a man God does not change Malachi 3:6 Luke 2:21 Jesus was circumcised ETC ETC God is God Mr pastor and Jesus is jesus
kwa hivo kufa kwa yesu ilikua mpango ya ashetani maana alishinda siku ya tatu na kama ni hivo swali langu ni kifo aliloandikiwa na mungu ilifanyika lini?
Tumsifu YESU mtumishi,hapa duniani hakuna ajuaye maandiko;ni Roho mtakatifu ndiye hutusaidia kuelewa Biblia (,John14:26)sio tu biblia pekee,hata pia kuomba hatujui(Romans 8:26)huyu Roho mtakatifu ndiye pia hutusaidia kuomba,,, hujakosea kusema kuwa pastor hajui maandiko,, Roho mtakatifu aliye ndani yetu ndiye ajuaye maandiko...tazama unafiki hiyo Aya ya Quran3:55 huyo shehe mzima anavyoipindua,,kwani wewe huelewi,,, Inasema"ewe Isa,Mimi nitakufisha na nitakunyanyua kwangu na nitakutakasa na wale waliokufuru.. Kama nyie mwafahamu maandiko,mbona mwashindwa kuzielewa Aya zenu(mpinga Kristo namba moja),, ni takufisha(kufa)...kunyanuka(kufufuka)malizia mwisho inasema kuwa Kuna wale wanao hitalifiana na tukio hilo la Yesu kufa na kufufuka..naona pia kuna hukumu kea Hilo.. mpendwa ukimpokea Yesu Kristo kuwa mwokozi wa maisha yako,na umruhusu Roho wake mtakatifu akufundishe,,ndugu yangu utaongoka,,jehanam utaiambia bye bye forever,,,. Amina mtumishi barikiwa Sana..
@@StraightPathDawah wajina wangu mpole Sana ingawa kampa mawe yamaana nahuyu ostadh nimeipenda style yake hii Sadi kwawabishi nawenye maneno mengi Kama Hawa 😂😂 Masha Allah. Rama from tz.
Asalaam Aleikum Warahmatulilah Wabarakatuh, Kwakweli huyu Pastor Kashindwa maswali Hana lolote kama jibu nikelele tu, anajikaanga Kwa mafuta yake Tu naona hawana haya wana muuliza maswali anajibu vitumbua, ndizi, mkate Hooo huruma saaaana.
The pastor is just talking without quoting his bible while the muslim priest keeps opening the bible and proving his point.The muslim sheikh is more of a pastor than the pastor himself.
Duuuuuuuuh wallah cjui hawa ndg zetu vichwa vyao vikoje,na unaweza kuona anatokeza mkristo anawapongeza pastors kwa kaz nzr🤣🤣🤣🤣🤣jmn tuwe wakwel waislam wako vzr ndio maana mm nilitoka huko
Tumsifu YESU mtumishi,,ni kweli ni maswali mazito,lakini anayeyauliza,anaulizwa kwa njia ya unafiki..(Luka 11:53-53),,,coz hilo swali kutoka wakorinto (1cor14:34),anaulizwa hilo swali kupigwa Vita wanawake halisia kuwakataza wasihubiri,,but hakueleza Paulo alikuwa Rohoni..na hakuwa anamaanisha mwanamke halisia,, Biblia Ni mafumbo (Mathayo 13;10-16),,kwa Yule ambaye macho yake yanaona Mambo ya Rohoni,,ataelewa anayeambiwa anyamaze hapa,si mwanamke mwenye nyonyo,Bali ni kanisa kuwa jumla..Mimi nikiwa mwanamume humuita YESU wangu(Bwana Yesu) vilevile hata wamama humuita (Bwana Yesu)inamaana Yesu ni Bwana wetu sote(mume na mke) mpendwa,Mimi Kama mume nikiwa kanisani,akiteuliwa mtu kuhubiri,Mimi Kama nilikuwa natarajia kuteuliwa,,inanipasa kunyamaza,,ama nikiteuliwa kuongozwa sifa,yoyote ambaye,alitarajia kuongozwa na hakuteuliwa anapaswa kunyamaza.. mpendwa tukishindania karama kwa kiburi tutaleta machafuko (1cori14:32-33),,, mpendwa, ukitaka kufaamu Zaidi maana ya mwanamke hapo,soma hiyo (1cor14:1-34)..hebu tier wepesi wa kuelewa,,, wakorinto (1cor11;5) inasema, mwanamke anapohutubu,je, unaweza kuhutubu kibubu?!(warumi 16:1-3) huyohuyo Paulo aliyesema kuwa Wanawake wanyamaze katika kanisa, ndiye pia anatutajia wahudumu wanawake priska na akila, je,walikuwa wanahutubu vipi wakiwa wamenyamaza??? katika (1timothy2:9-12)hapa Sasa,kuwa Rohoni mpendwa,,,Paulo anamaanisha mwanamke halisia,,,akiwa Nyumbani si kanisani..Yani wanawake wasiwe na kiburi Cha kuwafundisha waume zao,,, kiburi/kiburi.Amina mtumishi barikiwa Sana.
Masha Allah maustadh huyu pastor Hana point kila point anaruka
Nawashagaa mara n Mungu n mmja mara n watatu
Aki si watu wote tu wakue waislamu InshAllah
dahh
ma sha llah shekh wangu umemporomoshea mchungaji maswali mchungaji hata swali 1 hakujibu
halikuwa anajikanyagakanyaga
shukran
jazakum Allah khrayran waahadhir wa kiislamu
Ni hatari sana
Ungekuw mpir tungesem Uslam umechukuw Wld Cup Ustadh Mungu akuongeze Dunia na Akher
Ameen, shukran jazeelan
@@StraightPathDawah Youneedand
Wana macho hawaoni, Wana masikio hawasikii, lna lilahi waina ilahi rajiuun
Allah awaongoze
@@StraightPathDawah Amiin
Asante sn sheikh kwa kumuuliza pastor maswali ya he hekma na kwa mankini , na yenye kuelewa , ALLAH awazidishie Elmu zaidi
Very enjoyable for sure barraka Allah fiiq sheikh wewe ni asadu llah.
Mama ukiongea kwa asira utachanganyikiwa mn utajifunga funga mwenyewe , maswali haya jibiwa kwa asira
Mashallah Allah awabariki masheikh wetu mapastot niwabishi wamefahamu kabisa ukweli kua yeso sio mungu
Mapastor wengi hawajui kujadili wamezoea kulisha watu maneno makavu.
Thank you so much our Sheiks and also the Christian brothers and sisters. They, the Christians, are humble as Quran states. The Christian brother appears so close to Islam because of his passion. He will make a Good Muslim, God Willing. These sheikhs are working hard to save their brothers from the hell fire. They love their Christian brothers and sisters. They have good intentions, so please listen to them with an open heart. I am from Canada and your lectures strike lessons fairly deep into the heart. Your examples are sweet, and make one think of our short and GHAFLA { deceptive} lives on earth. Bless you my brother. Your knowledge amazes us! May our Christian brothers search for their Creator and accept the One who created them. It is the same God of Christians and Muslims and all humans and everything created. Let us not fight for the sake of holding on to our bias. The Truth stands alone, differences are many. Regards from Ray in Canada
Mansha’Allah 🤣🤣🤣🤣🤣menichekesha shekhe Mungu akupe Afya 👌👍 mungu akulipe kwa kazi yako jazakallah kheri
Ameen
Maashalla sheikh Ramadhani naiona busara yako Allah akujifadhi na husda na Hila maadui wa uislam.
Ramadhana Karim Allah awabarik muadele na dawah na Allah awazidishia mpaka aherh
Nakupenda bur shekh wetu mng akuzidishie nguvu ya kutetea wiislam insha Allah.ila Kuna pahali yesu kwambia mimi si Mngu ni mtu kuwa unawaambia ilo andiko Siku nyingi sn sijakuskia kulitoowa
MashaAllah maisha ya ukristo ni udanganyifu na uongo kwa sababu hawayajui maandishi
Hayo maswali Ni magumu sana hawana mistar yakujibia hayo maswali mnajaza maji gunian in sha Allah ipo siku watayajibu endapo watakapo ijua hak na bathil
Ni hatari sana
Mashaallah wisilam 🤝 hawa wenzetu wagum kuelewa usichoke kuwaelekeza mngu atawafanyiaeni wepes 🙏 ustadh mungu awalipe kheri na baraka ❤️
Allahuma ameen
MASHAA ALLAH STRAIGHT PATH
🤣🤣🤣🤣 straight PATH. CONTINUE WITH YOUR GOOD DAWAH ALLAH BARIK
Masha Allah Allah awalipe kheir Insha Allah kwa mafundisho mazuri na hao mapasta wanapotosha wenzao kwa sababu wanahuburi kutoka kichwani hawasomi maandiko kwani hayo yote wanayo huburi hayana kichwa wala miguu wana mungunya midomo tu
Ameen, Shukran
Mashallah shekhe Allah akupiganie inshallah tupo pamoja wafumbue hao
Allahuma ameen
Allahuma ameen
Allah akulipe kila lakheri shehe wetu
Mara yesu ni mungu mara yesu kafa msalabani
hatari sana, tumuombee sana pastor na wafuasi wake
Simple but rery tough philosophical questions Ustadh. Our brothers from another faith have nowhere to support there claims. Big up Sheikh.
Massoudi kutoka tz
Mashallah Shekh nimekukubali
Uko vizuri asielewa kwa hilo somo
Bas hatoelewa tena
Shukran sana Masoudi
Kwa nn huyu pasta hatoi maandiko yy anaongea tu kutoka kichwani mwake
MashaAllah you are doing a nice job my brother, kudos
Shukran jazeelan Sister
Wachungaji acheni uongo nakupotosha bibla yenyeweb inaonyesha shetani ndio kaandika aya papa mnaemtegea yupo flimasoni mnategemea awapelke wap wakati hawapendi au naww ndio mfwasi wake
Mchungaji nimekubali uko vizuri sana unanena Neno kuliko kweli kabisa
Mashwali mazuri Sana mashehk wangu
Shukran sana
Cheih Allah akupe umri mlefu
Allah awalipe mashehe wetu
Hayo pastor at hajui anachokionge .
Huyo pastor hawezi kubali juu hapo ndipo apatapo hela
Pastor ungekuwa unatoa andiko kwa maneno unasema...ingekuwa sawa kabisa...maneno ya kichwa ndo huwa mnapotesha nao watu kabisaa
Mashallah good work
Ustadh Ramadhani waambie hao waache maubiri sisi tunataka majibu kwenye vitabu vya MUNGU na sio maelezo
Hapa kazi ipo
Sheikh unakazi kubwa Sana haowatu hawato elewa
Amna kitu hapo kwa pastor , Sheikh wng Ramadhani huyu pastor ebu msilimishe na hilo kanisa ulifanye msikiti faster ,
Ni pastor Moses kutoka Bungoma, naomba turudie hiyo matter Mimi na wewe tafadhali
Pastor wacha ushuuda, wa mate
Sheikh huyu pastor anahitaji elim.hana lolote.
Tutamuelimisha polepole tu inshaAllah
Shetani alitumika kutimiza mipango ya Mungu au alishindwa kwa sababu alikuwa na mipango ya kuwaangamiza wanadamu?
Assalam Alaykum was it not made appeared to them that he was dead instead of someone else crucified instead of Issa Alayhi Salaam? When you take it word by word from Arabic it means (appeared to them) not exchanged or substitute.
It depends with your translations
I understand but it we make a wrong tafsir we loose the meaning. Allah is just to all his creation would he put someone else on the cross (innocent man) to die? The reason I'm asking is because Bani Israel were notorious in killing the prophets of Allah and they succeed but not with Issa Alayhi Salaam Allah raised him to himself I'm convinced with Sheikh Imran Nazar Hosein tafsir of this particular ayah and Allah Knows best. Jazzak Allahu Khairan for your Dawah may Allah reward you tremendously in Dunia and Akhira.
We invite for a debate inshaAllah
That’s why i say always. Christianity. Is round about. No exit . The problem of belive. Without proof has a lot of contradictions. Is god is prophet is son of god . Circle ⭕️
Alafu mungu can not go soo law kuonekana kama mungu ndie anaeitaji sanaa manadamu wala si mwanadamu anaeitaji mungu...
Hao watu n wabichi Ina lilahi waina ilahi rajiun
Hii ni aibu kwa wakristo wote hawanaga hoja kabisa
Tazama hiyo nyingine mpya ujionee
Mashallah
Alhamdulillah
Bin kaguo mchungaji itabidi uvumilie sauti yake manake mimi kwenye earphone naumia akiongea
Hiyo inaitwa sauti ya kazi. Inakemea mapepo
@@StraightPathDawah 😂😂
🤣🤣🤣🤣
Masha Allah
Tabarak Allah
Mapastor utumia janja janja na kuepa hoja
Asante Asante nyiiiiingi 😅😅😅😅😅
Hao bila mandiko hamufuwi dafu
Maandiko ni muhimu
Mashaallah
Asante I mashehk wangu
Shukran
Pastor kiti kimoto🤣
Wallahi Hawa wasema Kwa vichwa vyao wababaika vibaya!!
Wamnyang'anyia kama paka na kiteweyo🤣
yes banna
Utenzi kazi jmni
Bibilia ziko tofaut Sasa anaetofautisha Nan na Kwann zisiwe zakufanana? Na ndio Maana zimejazwa Uongo, Alhamdulillah Allah kunijaalia Kua muislamu
Alhamdulillah
Tumsifu YESU mtumishi,hata pia Quran ziko zinaazo tofautiana,,, halafu Biblia haisomwi Kama Quran ama gazeti lazma uongozwe na Roho mtakatifu kusoma.. anaisoma Ufunuo 2;12 huyu hatafuti ufahamu katika biblia Bali anatafuta njia ya kuikana,,ni kweli kabisa hilo andiko kumetajwa kiti Cha enzi Cha shetani,but hakuanzia Mwanzo na pia hakumalizia ili aelewe ujumbe ndani ya Ufunuo 2 yote... ndugu,usiamini kusomewa maandiko nawe pia,iga mfano katika (Acts17:10-11) wanafunzi wa Paulo huko Beroya hawakuamini kwa kusomewa tu Bali hata wao walichunguza maandiko..na walipogundua kuwa kilichoandikwa ndicho,walizidi kumuamini Paulo na wanafunzi walizidi kuongezwka kwa kuamini... mpendwa, haya makanisa saba,yanasimamia makanisa yote duniani(seven continents)na yalikuwa yanaonywa Kama yanaenenda kwa njia isiyonyoka,waache njia mabaya na watubu(Ufunuo 12:17)hata Sasa Kuna makanisa yanafuata baalam(sanamu)yameacha Imani(hebrews11:1)wanatumia sanamu katika ibada zao,,wanatumia chumvi yakuonekana kwa macho kinyume na imani(Mathayo 5:13)wahubiri ndio chumvi,,wengine wanatumia mafuta kinyume na imani (1john2:26)mafuta ni Roho mtakatifu.. mpendwa miujiza hainunuliwi huwa Ni bure kutoka kwa Yesu,,,hayo mafuta huwa yanashuka kutoka mbinguni ama yajanynuliwa??ibada Kama hizo Ni za kishirikina kimbia,toroka hapo,, Ufunuo 2;12 inawaonya wale ambao wamekaribisha kitu Cha enzi Cha shetani makanisani mwao,wavingoe(waache na kutubu 2:17)mpendwa nakuuliza je hakuna wafadhili Wanaojenga misikiti na wakimaliza hufuga mashetani hump???huko kufuga ndio kitu Cha enzi Cha shetani..(Warumi2:1) tukubali kuongozwa na Roho mtakatifu kusoma maandiko,hatutapotoshwa na waakala wa ibilisi,maana waakala wako makanisani na hata misikitini(ufunuo2:9)sinagogi la shetani... barikiwa Sana,Amina.
Pasta anachemka kwa maswali
Mchungaji atapa tapa inabidii volume juu
Kawaida yao sauti lazima itishe
Mashallah, ila wenzetu wanatumia nguvu sana kuongea
Mchungaji anatetea anapobanwa😁😀😂
amekula kibano pole pole
Maswali ndani ya bibilia yao na majibu hawana yao n maelezo ya kichwan
Ukweli kbsa
Naam
Porojo miingi, pastor wacha
Pastor ameng'ang'ania utenzi kazi km ndio kinga yake
Hayo ni maneno ya kupanga yasiyo na ushahidi
Wakristo awanaga hoja kuusu ukristo
Wengi hawajielewi
Ninyi ndo mnajielewa?
Lete hoja yako Remigi
Hawana majibu Hao wakiristo
Ustadh Ramadan Kuria bin Kaguo I almost thought utaumizwa na vidole vya pastor🤣🤣🤣
Niko chonjo
Hivi mbona hawatumii maandiko wana toa kichwani tuu
Noma sana
Pastor ametiwa chuoni dah!
Hahahahaa... ameona mambo mapya
Pastor waongopea ..bibilia inapinga na maandiko unayokubali ni ya paulo tu hufuati ya injili.
umeona hayo eeh?
Kitu sijapenda na pastor anategemea akili zake na bibilia iko wazi
Maandiko hana
Assalam alaikum
Wa aleikum salaam warahmatullahi wabarakatuhu
Ww postor kiboko yaan hata shetan mnamuamini hii nihatar
Mashekhe wakeni kikao cha kuwafundisha namna ya kuzungumza mapasta, Pasta hilo fujo analo fanya utafikiri ni mtangazaji wa mpira imagine watu wako karibu yake duuuh hana nidhamu pia ya kuzungumza. Ana tumia Mabavuuu ya rugby
InshaAllah, shukran sana
🤣🤣🤣😂😂baraka mpenja
How can God die to save his people from sins
Astaghfirullah
This is pathetic
Hahaahaa duu kwa hali hii ni msiba mkubwa Sana kwa ndugu zetu katika Adam
Ni hatari
Mbona hawa pastor wakizungumza lazima wapige fujo kelele 🤣😂😂😂😂
Sauti lazima ikwaruze kidogo😂
🤣🤣🤣🤣🤣 aki nilikuwa najiuliza hilo suala !!
Mbona ma pasta wote wanafujo wakati wote ?? 😂😂😂
Wanaongea kwa kulalama ili wafuasi waogope
Wanatumikia laana hawo
🤣😂😂 baraka mpenja
Angekua mwenye kiti ingekua
Ingependeza sana
dah hii shida sana mana naona mwisho pasto kapagawa sema ndio dalili kuwa kashafahamu anaona aibu kukubali mbele ya kamera na mbele ya wafuasi wake allah buyuk
Sindano imeingia itambidi avumilie
Mashaallah* lkn sauti ya kapasta anaongea km sheikh Abu qatadah Wa mbsa mwenye ameizingatia hilo ainue mikono juu nimuone km kweli;:
😁
yaani nimefatilia kua pastor hakutoa andiko kweny quran ila ustadh ametoa maandiko mengi kweny bibilia nikuonyesha quran imekamilika
Aliyekufa msalabani ni nani? Pastor kashikilia utenzi Kazi mara utatu duh! Mtihani wallah'hi!
Ni hatari sana
Mtajaribu kupinga injili ya msalaba mtaangamia. Tuko nyakati za mwisho. Yesu yuwarudi. Mathew 24:6...Isaiah 6:9
Yesu hakufundisha mambo ya msalaba dada usiongee kwa hisia toa maandiko
Soma maandiko sio kuishi kwa kukariri.
@@StraightPathDawah Shekh una mapepo ww
Pastor stop confusing and complicating yourself,Jesus never claimed to be God Almighty and indeed he is not,read st.mark 2:10 ,son of man ,Jesus
Mathew 16:27 son of man Jesus
John 8:40 Jesus a man
Numbers 23:19 God is not a man
Hosea 11:9 God not is not a man
God does not change Malachi 3:6
Luke 2:21 Jesus was circumcised
ETC ETC God is God Mr pastor and Jesus is jesus
Thank you
Asante
Karibu sana
Mbaka upinge Bible ndio utakuwa mKristo mzuri
Ukristo hauna nguzo katika Biblia ila mafundisho ya ya kanisani
@@StraightPathDawah Tumsifu YESU mtumishi,kweli unajua unachokiongelea?1corinthians3:15(Yesu Kristo ndiye nguzo.
Kwanini mnaalika chukizo makanisani,,,,,
kwa hivo kufa kwa yesu ilikua mpango ya ashetani maana alishinda siku ya tatu na kama ni hivo swali langu ni kifo aliloandikiwa na mungu ilifanyika lini?
Ulikuwa mpango wa shetani lakini ulifeli
pasta laelewa ila anatetea ugali
Duh!
Inaonesha Hawa hawajui maandiko pastor mzima pia hajui 🤣🤣🤣🤣
Atajifunza Uislamu sasa
Tumsifu YESU mtumishi,hapa duniani hakuna ajuaye maandiko;ni Roho mtakatifu ndiye hutusaidia kuelewa Biblia (,John14:26)sio tu biblia pekee,hata pia kuomba hatujui(Romans 8:26)huyu Roho mtakatifu ndiye pia hutusaidia kuomba,,, hujakosea kusema kuwa pastor hajui maandiko,, Roho mtakatifu aliye ndani yetu ndiye ajuaye maandiko...tazama unafiki hiyo Aya ya Quran3:55 huyo shehe mzima anavyoipindua,,kwani wewe huelewi,,, Inasema"ewe Isa,Mimi nitakufisha na nitakunyanyua kwangu na nitakutakasa na wale waliokufuru.. Kama nyie mwafahamu maandiko,mbona mwashindwa kuzielewa Aya zenu(mpinga Kristo namba moja),, ni takufisha(kufa)...kunyanuka(kufufuka)malizia mwisho inasema kuwa Kuna wale wanao hitalifiana na tukio hilo la Yesu kufa na kufufuka..naona pia kuna hukumu kea Hilo.. mpendwa ukimpokea Yesu Kristo kuwa mwokozi wa maisha yako,na umruhusu Roho wake mtakatifu akufundishe,,ndugu yangu utaongoka,,jehanam utaiambia bye bye forever,,,. Amina mtumishi barikiwa Sana..
Ila jamani shekhe anaongea kwakujiamini mashaallah
Huyu paster anamfaa yusufu wambugu
Kwa hivyo Ustadh Ramadhan hafai kwake?
@@StraightPathDawah wajina wangu mpole Sana ingawa kampa mawe yamaana nahuyu ostadh nimeipenda style yake hii Sadi kwawabishi nawenye maneno mengi Kama Hawa 😂😂 Masha Allah. Rama from tz.
@@StraightPathDawah mpole Sana wajina wangu ingawa anamawe yauhakika. Style ya ostadhi nimeipenda Sana
Asalaam Aleikum Warahmatulilah Wabarakatuh,
Kwakweli huyu Pastor Kashindwa maswali Hana lolote kama jibu nikelele tu, anajikaanga Kwa mafuta yake Tu naona hawana haya wana muuliza maswali anajibu vitumbua, ndizi, mkate
Hooo huruma saaaana.
Shukran
🤣🤣🤣🤣 Sheikh itabidi uvumilie vitimbi za pastor.chungu acje akakuvunja vidole 🤣🤣🤣
🤣🤣🤣 sawa kabisa
Kaz ipo kweli huyu kama ana gombana mm naona anazuga t huyu maswal mbn anajbu bila maandko
Pia wewe umeona hilo kumbe?
Kwa pasta hawa ah kwamwenye akili sawasawa hawez kumfuata uyu NA ukirsto wake
The pastor is just talking without quoting his bible while the muslim priest keeps opening the bible and proving his point.The muslim sheikh is more of a pastor than the pastor himself.
Hayo majibu hawawezi jibu mpaka wasilimu
Uislamu ndio suluhisho
jangombeboys1999
Duuuuuuuuh wallah cjui hawa ndg zetu vichwa vyao vikoje,na unaweza kuona anatokeza mkristo anawapongeza pastors kwa kaz nzr🤣🤣🤣🤣🤣jmn tuwe wakwel waislam wako vzr ndio maana mm nilitoka huko
Inavyo onekana mchungaji amekariri kuliko kuelewa. Kiasi hata atowe majibu mepesi kwenye masuali mazito😂😂😂
Kweli ndugu
Tumsifu YESU mtumishi,,ni kweli ni maswali mazito,lakini anayeyauliza,anaulizwa kwa njia ya unafiki..(Luka 11:53-53),,,coz hilo swali kutoka wakorinto (1cor14:34),anaulizwa hilo swali kupigwa Vita wanawake halisia kuwakataza wasihubiri,,but hakueleza Paulo alikuwa Rohoni..na hakuwa anamaanisha mwanamke halisia,, Biblia Ni mafumbo (Mathayo 13;10-16),,kwa Yule ambaye macho yake yanaona Mambo ya Rohoni,,ataelewa anayeambiwa anyamaze hapa,si mwanamke mwenye nyonyo,Bali ni kanisa kuwa jumla..Mimi nikiwa mwanamume humuita YESU wangu(Bwana Yesu) vilevile hata wamama humuita (Bwana Yesu)inamaana Yesu ni Bwana wetu sote(mume na mke) mpendwa,Mimi Kama mume nikiwa kanisani,akiteuliwa mtu kuhubiri,Mimi Kama nilikuwa natarajia kuteuliwa,,inanipasa kunyamaza,,ama nikiteuliwa kuongozwa sifa,yoyote ambaye,alitarajia kuongozwa na hakuteuliwa anapaswa kunyamaza.. mpendwa tukishindania karama kwa kiburi tutaleta machafuko (1cori14:32-33),,, mpendwa, ukitaka kufaamu Zaidi maana ya mwanamke hapo,soma hiyo (1cor14:1-34)..hebu tier wepesi wa kuelewa,,, wakorinto (1cor11;5) inasema, mwanamke anapohutubu,je, unaweza kuhutubu kibubu?!(warumi 16:1-3) huyohuyo Paulo aliyesema kuwa Wanawake wanyamaze katika kanisa, ndiye pia anatutajia wahudumu wanawake priska na akila, je,walikuwa wanahutubu vipi wakiwa wamenyamaza??? katika (1timothy2:9-12)hapa Sasa,kuwa Rohoni mpendwa,,,Paulo anamaanisha mwanamke halisia,,,akiwa Nyumbani si kanisani..Yani wanawake wasiwe na kiburi Cha kuwafundisha waume zao,,, kiburi/kiburi.Amina mtumishi barikiwa Sana.
Nafuatilia kwaukaribu Islam ndo dini ya haki
Shukran sana na karibu
Karibu sana tena fanya haraka kwa sababu hakuna ajuae kesho kama ataendelea kuwa hai AMA laa
Mnatafuta mapasta hawajui?mnawauliza maswali tafuta watu kamasisi tuwape majibu nauyo ambaye sipastaa anajua shehe anataka kumkwepa Waite wkina kasina kamaujakimbia shehe
Tunakuhitaji sana njoo kama upo tayari
Porojo tupu... Hawana maandiko ni hadithi za historia tu... Na tunajua mzungu akikuandikia historia... Anasema yeye ndiye aliyegundua mlima Kenya.
Why pastor is yelling? I know the answer to my own question, he is a liar...
Yes
@@StraightPathDawah A/Aleikum, Allah awalipeni kheir. From the Unitrd 🇺🇲