Atoa ufafanuzi zaidi kuhusu Vipodozi,kope,nywele,kucha na Dawa za kuondoa Mvi kichwani

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 75

  • @ibrahimmsengi4344
    @ibrahimmsengi4344 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana mwandishi, umetupa kule manywele bandia !
    Sasa unapendeza .

  • @geitandelwa299
    @geitandelwa299 ปีที่แล้ว +1

    Mmmmh Safi Sana kumbe walokole was siku hizo WABISHI Sana kumbe Ni shetani anawabana wasikubali kutubu dhambI za kujipamba

  • @m.m.tvmbebamaono
    @m.m.tvmbebamaono 2 ปีที่แล้ว +13

    Tusaidie kusema sisi tukisema tunaonekana hatuna akili tumepotea

  • @faze_narq6890
    @faze_narq6890 ปีที่แล้ว

    Kijana wangu anapende kutafuna kifiniko ya chupa za maji kabisa. Asante sana mtumishi wa bwana kwa hayo maelezo. Sasa nanjua cha kuo ombea. Bwana yesu kristo akubariki sana

  • @fettyfay2334
    @fettyfay2334 2 ปีที่แล้ว +3

    Ntakutafutaaa. Una hekimaa saana

  • @sayunikasimiri509
    @sayunikasimiri509 2 ปีที่แล้ว +3

    Amina mwana wa MUNGU, Asante tunajirekebisha.

  • @consolatamedard6593
    @consolatamedard6593 ปีที่แล้ว

    Mungu akubarki sana mtumish

  • @nanyamasheilah5695
    @nanyamasheilah5695 ปีที่แล้ว

    Waaaaaaah nimejua sasa

  • @ruciasimeo4431
    @ruciasimeo4431 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubaiki baba, urembo wote ni kuzimu, nimeokoka lakini atujipambi kwa lolote, tunakubali uhubaji wa Mungu.

    • @ruciasimeo4431
      @ruciasimeo4431 2 ปีที่แล้ว

      Mungu akubariki saaana, wambie walokole veki wanao chichubua na kuvaa mawigi twambie baba

    • @geitandelwa299
      @geitandelwa299 ปีที่แล้ว

      Ameni

    • @ramadhanikimweri1240
      @ramadhanikimweri1240 ปีที่แล้ว

      @@ruciasimeo4431 huyompigaramliguyo yesuhajayafanyahayo

  • @inviolatevedasto4230
    @inviolatevedasto4230 2 ปีที่แล้ว +2

    Amen mtumishi wa Mungu , nimejifunza , Mungu naomba Neema ya kuushinda ulimwengu huu

  • @miriamshayou8638
    @miriamshayou8638 2 ปีที่แล้ว

    Nashukuru sana kwaushuuda mzuri baba mchungaji

  • @annagracezomba5228
    @annagracezomba5228 2 ปีที่แล้ว +2

    🙏 BARIKIWA hatukujua

  • @carendeborah5687
    @carendeborah5687 2 ปีที่แล้ว +1

    Very much true..Mungu atufunulie na mengi tusioyajua

  • @naomymose1866
    @naomymose1866 2 ปีที่แล้ว +1

    Asente kwa ufunguo wa macho yetu

  • @gestinabunganiekuya6300
    @gestinabunganiekuya6300 2 ปีที่แล้ว +1

    Amina sana mtumishi wa Bwana

  • @fidemikaeli8145
    @fidemikaeli8145 2 ปีที่แล้ว +5

    Yesu wangu nisaidie mimi

  • @verenaisskimambo5783
    @verenaisskimambo5783 2 ปีที่แล้ว

    Asante mtumishi endelelea kutufundisha

  • @susanwanyoni249
    @susanwanyoni249 ปีที่แล้ว

    Mungu nisaindie sikua na ufahamu aki nimepotea

  • @rashaketsau7015
    @rashaketsau7015 ปีที่แล้ว

    Mungu tusamahe

  • @netholuvanga1040
    @netholuvanga1040 ปีที่แล้ว

    Mungu aturehem

  • @verenaisskimambo5783
    @verenaisskimambo5783 2 ปีที่แล้ว

    Basilica sana mtumishi

  • @oumaoduorydaniel4072
    @oumaoduorydaniel4072 2 ปีที่แล้ว +1

    Karibu huruma ya toba na utakatifu

  • @edinashaurishauri5223
    @edinashaurishauri5223 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu tusaidie tutoe kwenye hayo barkiwa sana mtumishi

  • @marialameck887
    @marialameck887 2 ปีที่แล้ว +2

    Ahsante kwa ujumbe .Mungu atusamehe,

    • @naomymose1866
      @naomymose1866 2 ปีที่แล้ว

      😂 Yeah is better you hear and change

  • @geitandelwa299
    @geitandelwa299 ปีที่แล้ว

    Sio wazee tu wapakao piko na vijana wanapaka hata wakaka na mikologo imejaa kanisani mmmh hapa tumeelewana aaaa walokoke mko wapi YESU AMEAMUA KUWALETA WATU WA MUNGU ILI UKWELI UJITENGE YESU HATAKI UJINGA HUU

  • @makindaagrovet8904
    @makindaagrovet8904 2 ปีที่แล้ว

    mmmh hatari Sana aisee

  • @geitandelwa299
    @geitandelwa299 ปีที่แล้ว

    Mmmh hatali Sana NDO Mana tumemuacha YESU TUMEHAMIA KUABUDU MAJI NA UDONGO NA MAJIVU

  • @Damar1987
    @Damar1987 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen,mungu tuhurumie

  • @maggiesmile8877
    @maggiesmile8877 2 ปีที่แล้ว +1

    Wanawake Mungu atusame

  • @sophiamakani6133
    @sophiamakani6133 ปีที่แล้ว

    Amen and Amen

  • @winfredmundali5441
    @winfredmundali5441 2 ปีที่แล้ว +2

    God saved him to save generations from hell

    • @catherinemutindi5031
      @catherinemutindi5031 2 ปีที่แล้ว

      Kwa kifuvi marembo ni dhambi.asante mtumishi na kundi nzima ya ny tv kwa Kazi ya kuelimisha hiki kizazi Cha nyoka.ambacho hakuna masikio ya rohoni

  • @maggiesmile8877
    @maggiesmile8877 2 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU ATUSAMEEE

  • @nancyisoyi8164
    @nancyisoyi8164 ปีที่แล้ว

    Mchungaji uliteseka

  • @Roseline17ajiambo.
    @Roseline17ajiambo. 2 ปีที่แล้ว

    Huwa sijui kwani maimam pia wako na maini

  • @ngoshajapheth3870
    @ngoshajapheth3870 2 ปีที่แล้ว

    Duuuh!!!!! Unanikumbusha enzi zile miaka ya 2005 pale shinyanga

  • @ramadhanikimweri1240
    @ramadhanikimweri1240 ปีที่แล้ว

    Hebuwachungaji acheniuongo Wamasai mbonawanashanga naniwakirisito wa heniungo

  • @consolatamedard6593
    @consolatamedard6593 ปีที่แล้ว

    Tueleze mtumish tukisema sisi tunaitwa washamba

  • @fabianmihale3715
    @fabianmihale3715 ปีที่แล้ว

    Je,nguo au shati la draft lina maana gani? Athari zake NI zipi?

  • @edsonkumenya5626
    @edsonkumenya5626 2 ปีที่แล้ว +1

    Hayo unayosema ni Mungu amekufunulia au mtazamo wako?

    • @yakobomkristo872
      @yakobomkristo872 ปีที่แล้ว

      Kumuonya Muuza Gongo Aache Kuuza Gongo Kutokana Na Madhara Yake Nayo Inahitaji Mungu Akufunulie?

    • @leahenockmrina5381
      @leahenockmrina5381 ปีที่แล้ว

      Msikilize Astpn Mbaya kny promover tv TH-cam na Nabii Boniface kwenye unyakuo TV utaamua mwenyewe

  • @renatusmtakyawa594
    @renatusmtakyawa594 2 ปีที่แล้ว

    Maimuna ni roho sasa alichuna ngozi gani

  • @danielmburu8013
    @danielmburu8013 2 ปีที่แล้ว +2

    What is shanga please?

    • @jaquelinebaumann9957
      @jaquelinebaumann9957 2 ปีที่แล้ว

      Necklace

    • @Star-bi3gc
      @Star-bi3gc 2 ปีที่แล้ว +2

      Beads,hizi vitu zenye wakenya wanavaa kwa mkono zimetengenezwa bendera,wengine wako nazo kwa viuno.

    • @carendeborah5687
      @carendeborah5687 2 ปีที่แล้ว +2

      Bracelets, Necklaces na zile za kiuno

    • @annngeche2398
      @annngeche2398 2 ปีที่แล้ว

      Necklace

    • @EK-kp2np
      @EK-kp2np 2 ปีที่แล้ว

      Beads, just google it and you will see

  • @rasgwandumikaisi7489
    @rasgwandumikaisi7489 ปีที่แล้ว

    Ndio maana Waafrika ni watumwa

  • @veronicahadhiambo7545
    @veronicahadhiambo7545 2 ปีที่แล้ว +2

    Je kushukaaa?

    • @annthuo8611
      @annthuo8611 2 ปีที่แล้ว +1

      Kushuka pia kuna zile style niza kuzimu.kama rasta,muhok nywele za colour mingi, na pia kunyoa sides na hizi nyongeza zinakaa snails

    • @veronicahadhiambo7545
      @veronicahadhiambo7545 2 ปีที่แล้ว

      @@annthuo8611 waa vile mimi niko na rasta dreadlocks

    • @dadaz4653
      @dadaz4653 ปีที่แล้ว

      Jaman hata kusuka mnyoosho nidhambi inatakiwa ubane tu karibu promover tv utajifunza mengi

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 ปีที่แล้ว

    MBONA WAZUNGU HAWAFUI CHUPI SIKU HIYO HIYO NA SI WACHAWI??

    • @MabelKaaya-hl2je
      @MabelKaaya-hl2je 15 วันที่ผ่านมา +1

      Wachafu sana wazungu wengi, wanakaribisha hizo roho za kichawi

  • @vivicagreco3195
    @vivicagreco3195 2 ปีที่แล้ว

    Mh,,, sasa sijui tutaiahije,,, jaman Mimi natengeneza CULTURE Na nina Shanga aina zote alizotaja,, ko nifanyaje,,, Na bado neno la MUNGU linasema asie Fanya kaz asile na bado neno linasema ntabariki KAZ ya mikono yenu,, kwa hiyo apo inakuwaje?

    • @happinescharlesmabeyo9164
      @happinescharlesmabeyo9164 2 ปีที่แล้ว

      Ujumbe umeshaupata,muombe Mungu akupe kazi nyngn inayompendeza Mungu.

    • @yakobomkristo872
      @yakobomkristo872 ปีที่แล้ว

      Jiulize Ungekuwa Muuza Gongo Je! Kwakuwa Ni Kazi Ya Mikono, Ungeacha Au Usingeacha?

    • @leahenockmrina5381
      @leahenockmrina5381 ปีที่แล้ว

      Hata kazi ya salooni nu dhambi hata wanaopaka rangi wenzao hata kuangalia mpira hata deadlock haitakiwi roho ya rastafara wanaabudu miumgu ya mungu wa ethiopia

  • @faze_narq6890
    @faze_narq6890 ปีที่แล้ว

    Nina swali, mtumishi wa Mungu, hivi
    Meno za mutu zikin’golewa kiungojwa na zikatolewa zote, akawa ni mapengo mudomo wote, akiwekwa dentures ni vibaya?? Shetani aliziiba meno zake ili amtrse huyu mtu. Without dentures hali. Hivi hayo meno ni majini?

  • @maggiesmile8877
    @maggiesmile8877 2 ปีที่แล้ว +1

    Sasa wenye tulifanya kama hatujui tufanye aje baba tusamee

  • @kefavictor5514
    @kefavictor5514 2 ปีที่แล้ว

    Anaitwa mchungaji nani?

  • @venicemamba4795
    @venicemamba4795 2 ปีที่แล้ว

    😳🤭🤭💪🏻✍️😁🙏🙏

  • @faze_narq6890
    @faze_narq6890 ปีที่แล้ว

    Swali nyingine akipaka deodorant ya njasho hiyo ni dhambi?