Katai | Vileja | Jinsi yakutengeneza katai / vileja bila yakutumia oven | Kuoka vileja bila oven.
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 20 ก.ย. 2024
- Website:rukiaskitchen.com
Instagram: rukias _kitchen
Facebook: Rukias kitchen
Cookpad: Rukias kitchen
English recipe follow the link➡️ • Eggless cookies | How ...
For more swahili videos follow ➡️ / @villagelife2024-g3r
➡️ / @eastafricanfoodsrecip...
#kuokabilaoven #kuokavilejabilaoven #katai
Napenda recipe zako zote nzr mashaAllah jazakaAllah
I love your recipes much love from Kenya. Hizo bakuli ni zuri sana naweza pata wapi
Asante kwa recipe nzuri dear😋😋😋
B's Magic Kitchen shukran mpenzi😘
@@RukiaLaltia 🥰🥰🥰
Kwenye mapishi yako 😘😘😘😍daima niko na wewe mamii😘gud !
Hellow asha
@@munieshiswai7861 Hello Muniesh
Masha allah.may allah bless ur hands kwa kazi yako
Ameen yarabi inshallah 🙏 Shukran habibty
Mashaallah. You're my favorite napenda recipes zako zote
Nimependa,mapishi
Nipo,ZANZIBAR
Mola akupe maisha marefu habbity
Thanks nilikuwa natafuta sana hii mapishi ya katai
Maa shaa Allah Allah akubariki
Asalam aleykum mashAllah niemjaribu recipe yako ila sjui kwa nn katai zangu zinamumunyukaa baada ya kuzichoma
Ws ukishatoa kwa oven or jiko ziwache zipowe kabsa ndio zipate kushikana vizuri huwa ziko hivyo mpaka uwache zishikane
Asante nimejifunza nitajifunza
Jamani uu unga ndio wa dizain gn
Vibaniani kimombasa... Asante sn
Kama unga wangu ni nusu... Nitumie mafuta na sukari kiasi gani?
Shukran nimependa
Kwa nini mafuta na sio siagi au margarine
Hua zina tofauti gani za mafuta na margarine? Ahsante
Asalaam aleikum dear where did you get the wooden bowls
Asalaam aleikum, ukitumia makaa utafunika na makaa juu?
Ndio
shukrani nimeangalia leo na leoleo nimejaribu na nimeipatia
Hongera Sanaa
Unawezbkutumia sukar ya kawaida?
@@fahimashamte1296 sukari nzuri nyeupe ya kawaida yafanya kuwa nyeusii
Km cn stend iyo wakati wa kuoka nafanyaje
170 degrees Fahrenheit or Celsius? Because 170 celcius is the temperature I bake my chicken at. Its pretty high. I wanna try this recipe tonight but I'm unsure of the temperature. If you live in America I assume your oven is in Fahrenheit please advise!
Mine is Celsius 160/170 degres c
@@RukiaLaltia for 40 minutes?
sukari ya kusaga inaitwaje kwa kiingereza?i cant seem to find it😢
I think ni icing sugar that's the name
Shukrn kipenz
Habari dada mbona nikiweka tichu inaganda pamoja na vireja natoaje au nifanyeje
ufai kutumia tissue.kuna karatasi maalum ya kubake tafuta baking paper
I tried it its goof
Asante. I liked it
Mashaallah swali da ayo mafuta ni ya moto au baridi?
Baridi
Je kama hauna huo unga, waeza tumia unga ngano Kisha ukaeka baking powder?
Ndio
Wow nice 👍
Masha Allah yummy yummy😋😋😋
Iyo n karatasi gani?
Nimejifunza
Mashallah zinavutia 👌
Shukran habibty 😘
Ukowapi,Habib
Naweza kutumia unga ngano Kisha nkaueka baking powder?
Ndio
Mi natak nkuuliz mamy hupikii kwa mkaa iv
Nice rukia
Bakingi poda ndo nini kwa rugha nyi gine
Look yummy
Salam habbty naweza kutumia samli asel baada ya mafuta
Yes u can
👌👌
Wat if hauna oven
Sukari ya kusaga ni icing sugar ?
Yes
Je vileja haviitaji maji wakat wa kukanda?
Hapana
Kwa oven pia moto uwe wa chini
Is that food colour?unaweza tumia sugar ya kawaida kama?
Yes it's food colour
❤❤❤❤❤
Hiyo aroma nitapata wapi ruks kitchen
Aroma ipi ???
hakutiwi Amira
Umeambiwa baking poweder hamiraa waeka ya nn😄😄😄
Good in oven moto pia wakiac ama mwingi
Is that food colour
Yes
Habiba
Naomba kimoja jamani na kahawa apo
Kama ni oven Moto uwe kiac gani juu na chini kiac gani
170 degres
Jina ingine ya sukari wa kusanga?
Icing sugar
Na ukipikia mkaa je juu hutii moto
Je naweza oka kwa meco
Ndio
Mbona aviko yellow
Oven nitumie moto wa chini only ama
Ukiongeza maziwa ya unga inakuaje
Huu unga unaitwaje
Ni lazima kutumia icing sugar
Yes cz sukari itanywea ndani
Nakama huzifaa hivyo, unaweza tuma sufuria ya kawaida, aje?
Sharon Hainja waeka kwa sufuria kisha weka moto wa nchini kiasi hakikisha umeeka karatasi ama sinia ili ishishike chini
@@RukiaLaltia ok shida huku kupata hizo kartasi
@@RukiaLaltia ঋচ
Asante dear je huwezi kutumia sukari ya kawaida ambay hijasangwa
Mbona hukujibu anauliza kwanini za kwake zinamung'unyuka
Sishindi TH-cam Nina family na nina kazi, nikipata tym ndio naingia kujibu watu, so siku nyengne uliza kiupole shukran .
Ruki mwalimu wangu nipo ulipo🙇
BEandr
Kwasababu gani. Vileja vinapasuka?
Bakingpowder nyingi
Kwahiyo unaweka baking power kidogo
@@tausimussa934 kidogo sanaa
Unga klo moja mafuta lta ngp
Kama ni kwa oven moto wa juu au chini
Chini
Ok shukran daa
Unaongea kwa haraka mamy
M
Mafita ama samli
Yoyote
Na ukipikia mkaa je juu hutii moto