Verse1 Maisha ya shida,Dhambi pia, Zimekwisha, kwa damu yako, Mtakatifu, nimekuchagua, Uniongoze, kwa hii safari, Verse2 Najua tu, ni ndefu sana, Bila wewe, sitoweza Majaribu, ni mengi sana, Uniongoze, unitakase Chorus Siku moja tu,itafika Wakati, shida zangu zitakwisha Siku moja tu,itafika Wakati, shida zangu zitakwisha Break Verse3 Naomba baba unishikilie, Imani yangu, nisianguke, Madui wangu, ni wengi sana, Nimulikie, nione mbele, Bridge Minyororo ya shida, univunjie Na vita hivi, unipiganie, Magonjwa haya, yasiniangamize Watesi wangu, uangamize Chorus Siku moja tu,itafika Wakati, shida zangu zitakwisha Siku moja tu,itafika Wakati, shida zangu zitakwisha
Verse1
Maisha ya shida,Dhambi pia,
Zimekwisha, kwa damu yako,
Mtakatifu, nimekuchagua,
Uniongoze, kwa hii safari,
Verse2
Najua tu, ni ndefu sana,
Bila wewe, sitoweza
Majaribu, ni mengi sana,
Uniongoze, unitakase
Chorus
Siku moja tu,itafika
Wakati, shida zangu zitakwisha
Siku moja tu,itafika
Wakati, shida zangu zitakwisha
Break
Verse3
Naomba baba unishikilie,
Imani yangu, nisianguke,
Madui wangu, ni wengi sana,
Nimulikie, nione mbele,
Bridge
Minyororo ya shida, univunjie
Na vita hivi, unipiganie,
Magonjwa haya, yasiniangamize
Watesi wangu, uangamize
Chorus
Siku moja tu,itafika
Wakati, shida zangu zitakwisha
Siku moja tu,itafika
Wakati, shida zangu zitakwisha
❤❤❤
Wapi likes za producer jtRAF
Ako juu
Like him
❤❤
Kali
Kali
Unapatikana wap
Who do you want, Artist or producer?
❤❤