AMEMTAJA TENA BWANA/RAIS SAMIA AMTAJA TUNDU LISSU ALIPOKUWA AKIFUNGA MAONESHO KIZIMKAZI/SIKILIZA...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 30

  • @EMAPLUSTV
    @EMAPLUSTV 2 หลายเดือนก่อน +8

    KAKA YETU TUNDU LISSU UMEPEWA HESHIMA KUBWA KUWA SIMBA SIO JAMBO DOGO.

    • @hilalhamad-h5l
      @hilalhamad-h5l 2 หลายเดือนก่อน +1

      Alitaka aitwe nyani ndio ashukuru

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji 2 หลายเดือนก่อน +1

      DUME AU JIKE😢

    • @EMAPLUSTV
      @EMAPLUSTV 2 หลายเดือนก่อน

      @@OmmyJames-xn7ji DUME NDUGU YANGU YAAN KAHESHIMIWA SANA LISSU

  • @OnesmoSanga-j2f
    @OnesmoSanga-j2f 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mama ni mama wa kila mtanzania yeye ndio raia namba moja maana yake yeye ndio kila kitu kwa nchi haitaji elimu kubwa kujua hii muombeni tu mungu atusaidie amani tu iwepo basi mengine yatajiseti

  • @YoabuChengula
    @YoabuChengula 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hahahahaha penda sana rais wangu kazi iendeleee

  • @melch3097
    @melch3097 2 หลายเดือนก่อน +6

    Tundu lissu. Next president, mpaka ccm wamekubali

  • @Richforever66
    @Richforever66 2 หลายเดือนก่อน

    Katika mtu akifanya kitu chochote nchni hapa rais hahofii ni tundulisu 😅😅😅 basi saw vipi yule kijan aliye tekwa

  • @faustinebahenobi3412
    @faustinebahenobi3412 2 หลายเดือนก่อน

    Tundu lissu simba wa nyika umempa jina zuri sana ngoja ss subiri majibu yake

  • @Theironrod9373
    @Theironrod9373 2 หลายเดือนก่อน

    Ngoja asikie umemwita mwanangu!! Ngoja tujiandae na majibu yake!!! Maana mwano ni mtataa sana!!! 😂😂😂

  • @rasnchimbi
    @rasnchimbi 2 หลายเดือนก่อน +1

    TUNDU LISU Simba wa Yuda!💪🏿

    • @milcahkapan7941
      @milcahkapan7941 2 หลายเดือนก่อน +1

      Umekosea,Simba wa Yuda ni Yesu.Siyo Tundu Lisu,anaweza kuwa Simba ila usimwite Simba wa Yuda.

  • @happymrema7487
    @happymrema7487 2 หลายเดือนก่อน

    Hahaaaa

  • @andrewkissava9184
    @andrewkissava9184 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ivi tundu lisu ni mwanao kweli siyo kaka yako ? Mbona umri wa tundu lisu haulinganii na maneno yako ,basi mama yetu tunajia ni utani tu

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kwahivyo ww umempa utulivu gani ..? Umempa hela zake ..?
    Alishakataa ww sio mama yake kujipendekeza

    • @AlbinMsechu
      @AlbinMsechu 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

  • @josephmallya5525
    @josephmallya5525 2 หลายเดือนก่อน +1

    Anataka kumnunua😂😂

  • @yordanyona1234
    @yordanyona1234 2 หลายเดือนก่อน

    Simba huyo ndio kiongozi

  • @zengomikomangwa9264
    @zengomikomangwa9264 2 หลายเดือนก่อน

    Hivi Tundu Lissu nasiyo Ivi tundu lisu.

  • @donardmathiaskahindidonard4143
    @donardmathiaskahindidonard4143 2 หลายเดือนก่อน +1

    Haya tumesikia

  • @pendaelmollel1847
    @pendaelmollel1847 2 หลายเดือนก่อน +1

    Sitaona ajabu lisu kwenda CCM hivi karibuni

  • @donardmathiaskahindidonard4143
    @donardmathiaskahindidonard4143 2 หลายเดือนก่อน

    Kumbe

  • @JacobMaganga-re9ji
    @JacobMaganga-re9ji 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂

  • @DiwaniMwafongo
    @DiwaniMwafongo 2 หลายเดือนก่อน

    Tundu ni man and a half, huna uwezo wa kUMZaa wewe zezeta!!

    • @mkurangacnajemasabatochane4626
      @mkurangacnajemasabatochane4626 2 หลายเดือนก่อน +4

      Sio busara kumuita RAIS wa inch zezeta matusi haya tatui matatzo, ya jumuia au binasf Bali uondoa utu na ustarabu wetu awe mpole au katili Bado utu wake una thamani kubwa kupita huo uraisi si vyema kutumia lugha kama hizo kijana badilika

    • @AlbinMsechu
      @AlbinMsechu 2 หลายเดือนก่อน +1

      Ni kweli Tundu Lissu hawezi kua mtoto wa mama ila Mama pia siyo Zezeta....tupunguze ukali wa maneno kidogo hata kama hatukubaliani na namna mama anavotupeleka

    • @mpendamema3694
      @mpendamema3694 2 หลายเดือนก่อน

      ALIMAANISHA MWANANG KAMA JINSI UNAVYOMWITA MSHKAJI

    • @pierinamduda3552
      @pierinamduda3552 2 หลายเดือนก่อน

      Sizani kama wewe ulizaliwa na mwanamke kwa lugha zako hizo mbovu

    • @AlbinMsechu
      @AlbinMsechu 2 หลายเดือนก่อน

      @@pierinamduda3552 ni kuwekana sawa tu kuna wakati tuna-slip off