Hongera Nicole. Maisha bhaana ukiangalia umri wako na WA Nicole mpo sawa lakin mwenzio anamiliki mjengo wa b Moja lakin mwenzangu na mm kodi ya 40000 inakutoa jasho🤣🤣 na unapambana kinyama sa unajiuliza wengine wanapambana VP kweli maisha hayaitaji hasira
Nakushangaeni sana ndugu zng wa Bongo. Mkiwa na pesa kidogo. Mnajifanya hamjui kiswahili vizuri. Mnajifanya wazungu. Ni ushamba tu. Kuiga lugha za watu. Mimi nipo nje ya Tz miaka 40 sasa. Na naongea kiswahili vizuri, Km nipo Tz. Ni uongo mtupu, kujifanya kuisahau lugha ilio kukuza. Mimi naji proud sana kuongea kiswahili vizuri. Na naipenda sana nchi nilyozaliwa. Na nakuja Tz kwa mwaka mara mbili. I ❤️ Tanzania. 💕
Kuchanganya kiswahili na kingereza si kwamba kujifanya mzungu ndugu. She is Code_Mixing. Ni okay kukodimix. Hivyo si kujifanya mzungu. By the way in Tanzania tuna lugha mbili zinazokubalika na ambazo zilikwenda process of standardization. She is right nami sioni shida. Don't judge
Hahahha we nawe Asa si ni wewe endelea kuongea kiswahili na kinachokufanya ukae huko Kwa watu miaka yote hiyo ni nini we mwenyewe huna uzalendo na nchi yako ilitakiwa urudi nchini kwako kukuza nchini kwako acha kuwasema watu na huoni na wewe unachokosea na Nicole hajifanyi kama unavyomuhukumu jinga wewe rudi nchini kwako na wewe uendeleze nchi yako kama ni kuexplore Kwa miaka 40 unatakiwa uwe usharudi nchini kwako
Hamna pesa hapo amevaa gold coted sio original nyumba ya Billion anaeza wapi kuijenga ????? Uliskia wapi nyumba ya gorofa mbili ikajengwa na billion bac aaah hebu wakae watafute pesa waache kuenda mahotelini wakisema ni majumba wamejenga upuuzi
Eti kajenga ghorofa ya bilioni moja sie wenyewe huku uzunguni pamoja na wazungu wenyewe hatuna uwezo huo na tuna kazi nzuri sasa yeye kwa kazi gani anayoifanya aweze kujenga ghorofa wasanii acheni kufeki maisha yalimkuta wema sepetu aliposena kanunua nyumba ya milioni 400 baadaye akafukuzwa na mwenye nyumba
Mzurii Tajiri mhangaikaji anaatako la kuongeza na alicho niudhi kuongeza ziwa tu. Azae sasa sio kubeba vimbwa tu! Aolewe au aoe maana ukiwa napesa unamuoa mwanaume
Mimi nampenda sana sijui kwann, Yan kazuri alafu kanashushua alafu kapo kazungu Yan nampenda tu huyu dada😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍Alafu kalevi🤗🤗🤗🤗
Leo kamelewa haswa alafu kamejishauwa sana
Nampenda sana me pia
Mi nikajuwa wolper
😂😂😂😂katakuwa kalizoea komoni😂😂😂😂
Mhehe og kutoka iringa
Guys nicole ana hela toka yupo iringa ana miliki ekari nyingi za mazao na anajua sana kusimamia vitu vyake
Nicole is such a vibe..so eloquent and sharp na hana drama, something majority of Tanzanian female celebrities lack,much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hongera Nicole. Maisha bhaana ukiangalia umri wako na WA Nicole mpo sawa lakin mwenzio anamiliki mjengo wa b Moja lakin mwenzangu na mm kodi ya 40000 inakutoa jasho🤣🤣 na unapambana kinyama sa unajiuliza wengine wanapambana VP kweli maisha hayaitaji hasira
Achà ufaka wwe
Nakushangaeni sana ndugu zng wa Bongo. Mkiwa na pesa kidogo. Mnajifanya hamjui kiswahili vizuri. Mnajifanya wazungu. Ni ushamba tu. Kuiga lugha za watu. Mimi nipo nje ya Tz miaka 40 sasa. Na naongea kiswahili vizuri, Km nipo Tz. Ni uongo mtupu, kujifanya kuisahau lugha ilio kukuza. Mimi naji proud sana kuongea kiswahili vizuri. Na naipenda sana nchi nilyozaliwa. Na nakuja Tz kwa mwaka mara mbili. I ❤️ Tanzania. 💕
Nice nice
Kuchanganya kiswahili na kingereza si kwamba kujifanya mzungu ndugu. She is Code_Mixing. Ni okay kukodimix. Hivyo si kujifanya mzungu. By the way in Tanzania tuna lugha mbili zinazokubalika na ambazo zilikwenda process of standardization. She is right nami sioni shida. Don't judge
Hahahha we nawe Asa si ni wewe endelea kuongea kiswahili na kinachokufanya ukae huko Kwa watu miaka yote hiyo ni nini we mwenyewe huna uzalendo na nchi yako ilitakiwa urudi nchini kwako kukuza nchini kwako acha kuwasema watu na huoni na wewe unachokosea na Nicole hajifanyi kama unavyomuhukumu jinga wewe rudi nchini kwako na wewe uendeleze nchi yako kama ni kuexplore Kwa miaka 40 unatakiwa uwe usharudi nchini kwako
Hongera sana,,,,hawa wanajivuna tu
Hamna pesa hapo amevaa gold coted sio original nyumba ya Billion anaeza wapi kuijenga ????? Uliskia wapi nyumba ya gorofa mbili ikajengwa na billion bac aaah hebu wakae watafute pesa waache kuenda mahotelini wakisema ni majumba wamejenga upuuzi
Nicole kafanana na wolper jmn 👌👌👌👌
Huyu dada mi anani inspire sana
Anafanana na wolper lkn
I really appreciate u Nicole😍
Uyu dda ndoo star wa kwanza bongo anapesa afu ni mkweli
I like how authentic she is😊
Nakupenda sana sana nikole ubarkiwe zaidi
Haka kadada kazuri nampenda saaana,❤️❤️❤️❤️🌹 harafu anaga maringo pesa nyingi lakini anaishi kawaida saaana
Sanaaaa
😍😍😍😍😍😍🔥
She's cute and kind too
Nice work nicoll ,,,big up
Baadhi yawatanzania mko nawivu mmm Wolper nidada nzuri anajiheshim mm hongera mno❤
Kweli kabisaaaa
Huyo ni wolper au nicole
@@lulually5209 ndio hpo kasahau kma Nicole
Tatazo face zao Wana fanana kwa mbali
@@queenkyelula3975 Nicole anagezea sauti ya wolper
Nakupenda sana Nico wangu💕
Honguera sana Nicole
Nimetokea kumpenda huyu dada❤❤❤
Kafanana sana Jacklin
Hadi kuongea
@@nigamo9645 ndio jamani mpaka setery ya nywele mm nawapenda jamani
beshi kigodoro
Ilaa nagupenda sana nicole
Nakupenda sana Nicole 😍😍😍😍😚😚😚🔥
Nimelipenda hii
Madam uko vizuri sana
Mashallah umbo had sauti.
Sijui roho. Yake 💕💕💕💙❤️Nicole
Mtu mwenyewe upendo anajulikana jamani inaonyesha anaroho nzuri napia sijawahi kusikia mambo mabaya kwakweli mungu Amlinde
Ana moyo huyu mtu acha tu
I love Nikole❤❤❤
I uv yuur nicole😂😂😂bwana Nicole ety ana interview iyo kazi imempendeza
Ameshalewa
Kujituma ni vizur
Nakupenda bure,, nalomba tuu milioni kumi Nina shida sna Mimi mwananmke mwenzako, Niko seriously kweli,, naamini utanipa
Pambana na hali yako😂😂😂😂
Acha namba
Tafuta kazi
Kalime shost 😅😅😅
Hongera dada usisahaw wewe nim africa wacha kijidai hujui kiswahili hamjiwi vile tunapatashida watoto wao potea luga huku inchi za nje
I love you my sis Nickole
We catty milaya achana na kingereza 😂😂😂 hujawah kuhojiwa umevurugwa
🤣🤣🤣🤣mbinguni utapasikia ww
😂😂😂😂😂😂😂
Nimegundua wolper kaiga sauti ya mama white
Hata wanafanana pia sura
WASANI WA TANZANIA BORA WAJIONYESHE .NA HAWANA LOLOTE. NICE 1 NICOLE. WOLPA JENGA KWAKO MYAKA YOTE HII UNAISHI MMANYUMBA YAKUPANGA MMM🤔🤔
Napenda mwanamke ambae anajielewa na nitamfatilia mwanzo mwisho
Hata mm nakapenda
Ishi maisha yako,ukiiga maisha ya watu utajikuta unaingia pabaya
Amekwambiaaa anaigaaaa
Anamshauri tu!
Uyu dada nampenda
Yan I really love nicole
Kingereza ajui uyo demu😅😅😅
Yesu yuwaja jmn tubuni
Jaman yesu alikataza watu kutafuta pesa na kupendeza 🤣🤣
Yan mnachezea pesa wakati kuna watu hawana hata pakula wa pakulala dah
❤❤ nicole
Na kaburi lako je umeliandaa vp Nicole Mana hio ndio ya milele
Yani huyu dada mwenye nguo nyeusi kama jini anajichekesha kama chizi kuna watu wanajua kukera jamn
Mm napendaga kasauti kake etiiiiiii 💞vile anaongea
Mjini kuna pilika sana 🙌🙌🙌
Zaid ya sana wallah☺
😂😂😂😂😂
Mbona kama comedy 🤣 😂 😆 😄
Bado unadanganya peupe beste yako kasema ni shule hhhhhhh woooiye
Huyu dada napenda skendo zake 😂😂😂😂😂
Umeona Eeh 😂😂
❤️hongera dada
nakupenda san ninashida unisaidie mimi mwanamke mwenzako
kwa kweli ni ujinga sana
Nice 👏 mashallah
Nawapenda wadada wa aina hiii wa ndoto kubwa na wasio jali KBS
Hahahaaaa bongo raha kweli kwrlii
Raha ya uyu dada akitaja ela inaendana naee kabisa sijui kwannn
Kabisa yan mi akitajaga uwaga namwamini sijui kwann ila zuena na milion Saba zake🤣🤣🤣
Nicole nigaiye aftatu😂😂
Watu kama hawa? We kaka tokea lini mbwa wakaitwa watu?
bilioni unaijua wewe dada 🤣 ila nakupenda nicole
Nicole hujuhi kuringa alafu ni mzuri
NAMPENDAGA NICOLE SANA HASA SAUTI YAKE
Nicole is so charming
Nicole mzungu mtu na roho yake jamaniiiii nampenda sana huyu dada bhana
mie nakapenda hata kanavoongea kanaleta Raha mno
Jamani mbona Nyumba hatuja ona
Nzuriiii
Muhehe ana hekaheka sana
I like you so much coz u like smiling Everytime but karibuni ata Pete haita kuwa hummmm yote hawa mapambo hummm kweli dunia si kitu
Jaman huyu ni nicola wa akunaga au
M mbona nmepata mashaka au anauza watu uyu dada m
Dada uwope mshike uyo dada vzr utoke
Saana
mbna kiswahil chako kibovu😂
Uyu dada aliyepanda juu sijui kafata nn😂kashindwa kusema😂😂eeeh jamaniii😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
hahahaha duh jaman maisha hay wengine wanaishi halaf wengine wanaisha
Hongera dada
Nampenda huyu dada jamani
Nicole ni wetu waTanzania ee😮
🔥🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Tena mkinga huyo
Nicole in Tessa's voice😅😅
huyu kweli kichuna
Duu nicole utadhan sio mzaliwa wa iringa watu wanatoka mbal jaman
Nicolle posi kama zote😆😆😆😆😆😂😂😂😂😂😂😂
Kazi yakuuza mwili
Kumbe na mm ni slay queen namiliki nyumba na hamsemi 🤣🤣🤣 tatizo sina tako
😂😂😂😂 nenda uturuki
Hahahaha Benadeta huyoooo 😂😂😂😂 ndio na wewe ni slay queen bwana. Chezea kuitwa mama mwenye nyumba wewe.
Kwani hao mbwa hawatii kinyaa,maana naona unakunywa bila kinawa wakati ilimshika mbwa
Nikweer anafana san worper had saut
Nicole hanaga roho mbaya
Ukiwa unaish na watu kma hawa🤣🤣🤣🤣 mbwa ni watu heheheheee
Hivi huyu ni mtanzania au?
Nampenda uyu dada
Huyo mumeo ajipange aloo awe kakuzidiii jaman
Huyu dada Hanaambo mengi ana hakili nyingi muno
Hahaha na wewe hakili ndo nini sasa
Inamana hujuwi manaake ya kuwa na akili?
@@Hahaha-yf4ug jinga wewe sio hakili ni akili unavyojishauwa sasa utafkiri umeandika kwa usahihi hahaha eti hakili 😹😂
Jinga niww mumbwa ww
Eti kajenga ghorofa ya bilioni moja sie wenyewe huku uzunguni pamoja na wazungu wenyewe hatuna uwezo huo na tuna kazi nzuri sasa yeye kwa kazi gani anayoifanya aweze kujenga ghorofa wasanii acheni kufeki maisha yalimkuta wema sepetu aliposena kanunua nyumba ya milioni 400 baadaye akafukuzwa na mwenye nyumba
Punguza makasiriko, we na kazi yako nzuri mtu mambo yakimnyokea usijifananishe nae just look at her na biashara zake 😂 wabongo bhana
@@dianadavis955 punguza makasiriko wewe mwenyewe hapo tu njaa inakuuma
@@dianadavis955 tafuta hela
@@dianadavis955😂😂😂😂😂Kwan wew kaz yako mbaya?😂😂😂😂😂ila watu
@@dianadavis955ninong'oneze asisikie mtu😂😂😂😂😂😂😂😂
Alilima mbunga na mchere😂
Ila swaleh duuh chumba Cha kupumzikia madiva😂😂😂😂
Lov you Nicole
Mzurii Tajiri mhangaikaji anaatako la kuongeza na alicho niudhi kuongeza ziwa tu. Azae sasa sio kubeba vimbwa tu! Aolewe au aoe maana ukiwa napesa unamuoa mwanaume
Ana mtoto wa kiume hb hatar
Mtihani yarabi tusamehe waja wako hatujui tuyatendayo
Kweli ,wengine wame Yana kawaida binti kushikilia umbwa km mtoto, Mungu atupe neema 🙏
Sasa kafanya nn kibaya
Huyo dada mwngne alievaa black mbona km anaforce english jaman🤣🤣
hata kakiwa kanafoka kanavutia
Tuonyeshe vizur ayo madini utakuja kupigwa risasi bure