Gunia - Juma Bhalo Song (Audio)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 41

  • @omarsaidmote7092
    @omarsaidmote7092 ปีที่แล้ว +1

    Mungu amraham,amueke pema. Daima tutamkumbuka profesor Bhalo.

  • @sellamwani7300
    @sellamwani7300 3 ปีที่แล้ว +4

    Memories za mombasa ambayo sio sasa!

  • @BiashaAli-w6o
    @BiashaAli-w6o 7 หลายเดือนก่อน +3

    Mashaallah

  • @faizaswaleh8648
    @faizaswaleh8648 2 ปีที่แล้ว +3

    Nani kama balo hakuna wala hatotokea Ah Balooo wanitumaliza Allah akulaze pema

  • @abudimuddy517
    @abudimuddy517 3 ปีที่แล้ว +4

    Wallahi ngoma ya jana mno ilinipendeza.......

  • @wenge4x423
    @wenge4x423 3 ปีที่แล้ว +4

    Ahmed huu wimbo wa Gunia jaribu uje uupate kamili utuwekee,
    Mwishoni anasema ,
    Jana nalitaka kwenda ngomani kwenda kucheza,
    Jambo lilonishinda nchi ilifunga kiza ,

  • @awadhahmed6534
    @awadhahmed6534 3 ปีที่แล้ว +3

    Sina lakusema illa Mungu amrehemu. Sisikizi illa nyimbo zake marehemu. Bado sijasahau nyimbo zake zamani shkran.

  • @leylaahmed8635
    @leylaahmed8635 2 ปีที่แล้ว

    Mungu amrehemu amueke pema peponi ameen yarabby

  • @rehemamohamed7944
    @rehemamohamed7944 2 ปีที่แล้ว

    Old is gold na enukia mama yuaskiza hizi na mm akaniambukiza wallah mungu amrehemu ballo

  • @abubakarkhamis6342
    @abubakarkhamis6342 5 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri sana ni vyema na wengine makaiga idea hii Muda mfupi imetangazwa nane imeibua vipaji na kuipaisha wakala wa usajili wa matukio ya Kijamii ❤

  • @hawaramadhani6420
    @hawaramadhani6420 2 ปีที่แล้ว +1

    Penda Sana nyimbo za juma

  • @FrancisMurung
    @FrancisMurung ปีที่แล้ว +2

    Now im a Ugandan but these taarab songs remind me a lot of a place i call home thats mombasa

  • @MA-ht7po
    @MA-ht7po หลายเดือนก่อน

    Time zimepita kweli

  • @Shakila-t3c
    @Shakila-t3c 2 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @allyspices4715
    @allyspices4715 8 หลายเดือนก่อน +2

    Me and my mom listening after cooking chips love you mom from habit ❤❤❤

  • @fatumachai8595
    @fatumachai8595 2 ปีที่แล้ว +2

    Tuleteeni wimbo wote musitupe nusu tafadhali ndio utaleta maana

  • @SaidRahma-z5c
    @SaidRahma-z5c ปีที่แล้ว

    Hapo chachaa Alibebeki

  • @mohamedhussein4868
    @mohamedhussein4868 3 ปีที่แล้ว

    Hapo umenena kaka 💯

  • @mazrui1948
    @mazrui1948 2 ปีที่แล้ว

    Kaka twaomba full song ya hii nyimbo.Gunia,,Chembe.Moyo.

  • @mamuchijarady2713
    @mamuchijarady2713 3 ปีที่แล้ว +3

    Old is gold proffessor

  • @Bamwenga_Mural_Brother
    @Bamwenga_Mural_Brother ปีที่แล้ว

    Juma Bhalo alikuwa mtaalamu wa kuchezea maneno 😂

  • @jorgettemwajuma5428
    @jorgettemwajuma5428 3 ปีที่แล้ว

    Zilizopedwa yani hazi ishi utam hadi vizazi na vizazi aya ndolakuwa mashairi yakweli from 🇸🇦🇸🇦2021 7

  • @salimkarama4554
    @salimkarama4554 3 ปีที่แล้ว

    Ya salaaam

  • @hajitony2776
    @hajitony2776 3 ปีที่แล้ว

    Ama kwahakik juma bhalo n zaid y wasanii cjuw nsemj...Ila Pete tumeimis zaid na mumuonapo muhibu Salam zangu mpani

    • @AhmedJumaBhalo
      @AhmedJumaBhalo  3 ปีที่แล้ว

      Shukran sana Kakangu Haji. Hizo nitakuwekea kama special request.

    • @salimkadenge3231
      @salimkadenge3231 3 ปีที่แล้ว

      Bora auche hiya watu hu faana hii naipenda sana na I tafuta lkn hazipatikani kabisa

    • @AhmedJumaBhalo
      @AhmedJumaBhalo  3 ปีที่แล้ว

      Brother Haji Tony nimekuwekea request yako 'Pete.'

  • @preetynunu3643
    @preetynunu3643 3 ปีที่แล้ว

    Kichinjwa sina jaraha kipowa sina kovu.

  • @mohamedally7498
    @mohamedally7498 2 ปีที่แล้ว

    Juma balo

  • @rahmatahmad8603
    @rahmatahmad8603 2 ปีที่แล้ว

    Nakumbuka 1989 matukio fulani

    • @swalehemrombo9301
      @swalehemrombo9301 ปีที่แล้ว

      Matukio Gani.!? tueleze visa ambao atukuvipata wakati huo kwa umri wetu

  • @mwendeyeye3383
    @mwendeyeye3383 2 ปีที่แล้ว

    Mchukuaji nnani

  • @babachele8266
    @babachele8266 3 ปีที่แล้ว

    Nani zaide

  • @SaidaMohamed-l3b
    @SaidaMohamed-l3b 29 วันที่ผ่านมา

    Haziishi.hizi.tamu

  • @BiodhaKhamis
    @BiodhaKhamis ปีที่แล้ว

    Mashallah.alaamrekhem