IBADA TAKATIFU KULE KATINA KAWANGWARE.REST IN PEACE MAMA PERES

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 11

  • @NancyShisia-g4s
    @NancyShisia-g4s 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nilikuwa napenda hii church but what i sow in this church kile nimepitia i can go back hii kanisa makuhani wengi wamefanya ionekane mbaya the pain i go through sitawai sahau

  • @angelamalande4470
    @angelamalande4470 หลายเดือนก่อน +2

    Mimi hiyo church siwezi enda mara wanaomba mababu walio kufa mara kupiga ngoma hahieleweki mara kudance afazali Divine church mara mia

    • @pastorelijahdumusi8058
      @pastorelijahdumusi8058  หลายเดือนก่อน

      As you can see my dear sister, this is church as the same as your church the different is you don't understand what they are doing or saying, usihukumu uje ukahukumiwa God bless and same God I pray him to change your attitude for me Amen

    • @angelamalande4470
      @angelamalande4470 หลายเดือนก่อน

      @@pastorelijahdumusi8058 Amen but hiyo Mimi ni no kwangu

  • @duncankegode7867
    @duncankegode7867 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hii ni kelele ndugu zangu.
    Avandu vitu kwenye umuhonyi vurahi.

    • @pastorelijahdumusi8058
      @pastorelijahdumusi8058  3 หลายเดือนก่อน +1

      @@duncankegode7867 Dunia Mungu kaiumba kwa mapenzi yake dungu yangu, ila kumtafuta mwenyezi Mungu bana we kwaitaji msaada. Na msaada wa kwanza Yesu kristo ambae alitufia msalabani, pia msaada mwingine ni ambapo the same Jesus crist, alituachia roho mtakatifu katika makanisa atuongoze ila tukamsahau tukamkimbilia yesu tukamwacha roho mtakatifu wa yesu, ambapo alisema huyo roho atuongoze kufika kwake, niseme hivi dungu, tunamfahamu Mungu kupitia njia ya ukweli ila labda niseme like formula ya hesabu ndio tofauti, twatumia njia ambayo inampendeza yesu kristo kuliko wale ambao walimfata yesu nao wakamkana roho mtakatifu ambaye tuliachiwa na yesu kristo,,,,,una dini yako niko na yangu, abudu Mungu wako usione kama ya mwenzio ni kelele, asante

  • @IrineAwuor-mq7ii
    @IrineAwuor-mq7ii 2 หลายเดือนก่อน

    Wanaimba roho wa bianga au masikio yangu ndio mbaya?

  • @shalomshalom4703
    @shalomshalom4703 2 หลายเดือนก่อน

    Hii Church inaitwaje

  • @sarahmuhadia8510
    @sarahmuhadia8510 ปีที่แล้ว

    I just seee abasi

  • @susansiligoi6155
    @susansiligoi6155 7 หลายเดือนก่อน

    Hi everyone
    What happened to the faith 🤔I left one faith, one church 🤔😳