EBITOKE ALINIIBIA MUME / NILIUMIA SANA / SITAKI KUONGEA NAE - MAMA ASHURA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 101

  • @angelageofrey9756
    @angelageofrey9756 3 ปีที่แล้ว +11

    Tende wema nenda zako Mama Ashura 😘

  • @salomemchewa5187
    @salomemchewa5187 3 ปีที่แล้ว +10

    Huda dada mjinga sana, toka lini mwaume wa kiswahili toka lini anakubali kama kachepuka, kuna wanawake wajinga kumbe, wazungu wenyewe wakati mwingine wanakataa sembuse mswahili, kwani alikuoa mpaka akubali , unakichwa kizito we dada,

  • @ameenasur656
    @ameenasur656 3 ปีที่แล้ว +1

    Niliwahi kumkuta mme wangu chumban kwangu na mchepuko eti akasema dada yake sasa anae mwita dadaake kavaa kanga 1 kuanzia apo siwez amin mme wangu

  • @saudahassan6667
    @saudahassan6667 3 ปีที่แล้ว +11

    Mama ashura hakuna mwanaume anaekubali wanaume nyooooookoooloooooo kwa uongooo

  • @zawadilutufyo231
    @zawadilutufyo231 3 ปีที่แล้ว +7

    I like diva!! She is forward straightful!!

  • @rukiarashid3669
    @rukiarashid3669 3 ปีที่แล้ว +13

    Wewe usikatae wanaume uwa hawakubali kosa hata siku moja ..mie wa kwangu alioa ndoa kabisa ya kiislam na picha nikatumiwa za harusi ila bado mwanaume alikataa sio yeye pole wewe unaamin ajafanya

    • @rajabdibwa6415
      @rajabdibwa6415 3 ปีที่แล้ว

      Jamaa alifanya kweli ila bado anampenda yeye hiyo utokea

    • @khadijatanzania8040
      @khadijatanzania8040 3 ปีที่แล้ว

      Rukia Rashid mumeo noma kweli🤣kwakuwa ushajuwa akili kichwan mwako dear

    • @deborangura2712
      @deborangura2712 3 ปีที่แล้ว +2

      😂😂ad picha na bado anakana..huyo kiboko ajengewe sanamu

  • @aminakipande5645
    @aminakipande5645 3 ปีที่แล้ว +3

    Mama ashura acha kabisa wanaume ni mbwa mm niko na mwanaume miaka mine sasa namvumilia ila ni Malaya mbwa nahata akifanya hakubali ww ninani wakumsemea huyo mumeo chamsingi acha yaende tu hakuna mwanaume sahihi waweza shikwa hasira ukaua maana mtu wamfulia wampkia bado haoni yuaenda fanya ukahaba usionafaida tena kula makombo hawa viumbe mungu atupe alosahihi 🙏🏻

    • @mwangimnyawi7504
      @mwangimnyawi7504 3 ปีที่แล้ว +2

      Amina Kipande
      Sema mwanaume wako ndio mbwa usiseme wanaume wote.
      Maana mme wangu sijaona mkia huo wa mbwa.
      Pole sana wewe kwa kuolewa na mbwa,

    • @didahb2865
      @didahb2865 3 ปีที่แล้ว

      @@mwangimnyawi7504 😂😂😂😂umeua daah

    • @deborangura2712
      @deborangura2712 3 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂 cjaona mkia..

    • @marryndecky7884
      @marryndecky7884 3 ปีที่แล้ว

      @Mwangi Nkungu 😂😂😂😂😂

  • @haniphajerome1753
    @haniphajerome1753 2 ปีที่แล้ว

    Huyu mama ashura naona hawajui wanaume vizuri mwanaume anaweza tembea na wanawake wawili na wote anawachanganya akija kwako anamkana yule mwingine na akienda kwa mwingine anakukana wewe na anakukandia kabisa

  • @ireraaudrine2516
    @ireraaudrine2516 3 ปีที่แล้ว +1

    Sivizuri kuweka rohombaya ndani ya mwoyo wako , jifungue umusameee utakuwa umejifungua na byako vitafunguriwa lakini ukirefuse kusameee maana naweybutabaki kwahiyo hiyo level watu wengi hawajuii hilooo....

  • @pudensianalyimo228
    @pudensianalyimo228 3 ปีที่แล้ว +3

    Funika manyonyo mama Ashura

  • @agnessherman6864
    @agnessherman6864 3 ปีที่แล้ว +2

    We mdada unamtetea mwanaume heeee poleee

  • @ItsHusna528
    @ItsHusna528 3 ปีที่แล้ว +2

    Mume haibiwi anajipeleka yeye
    Mwenyewee

  • @hapinesphilimon8127
    @hapinesphilimon8127 3 ปีที่แล้ว +3

    Wanaume hawakubaligi kabisaaaa ata umfumanie iv hawez

  • @evachuwa116
    @evachuwa116 3 ปีที่แล้ว +7

    Wanaume ndivyo walivyo mama Ashura usimtetee mume wako aliogpa tu kukubali

  • @rabrab8073
    @rabrab8073 3 ปีที่แล้ว +1

    Wanaume wako hivyo labda umuendee kienyeji atakuwa wako milele lakini hivi hivi wanaume huchepuka mbaya sana ndoa ni kuvumilia dada Ashura

    • @zawadirafael5921
      @zawadirafael5921 3 ปีที่แล้ว

      mwambie huyo

    • @rabrab8073
      @rabrab8073 3 ปีที่แล้ว

      @@zawadirafael5921 aki na asome comments apate kujua

    • @zawadirafael5921
      @zawadirafael5921 3 ปีที่แล้ว

      @@rabrab8073 awe muelewa hakuna mwanaume anaekubali huo ujinga

  • @ummimohammed9359
    @ummimohammed9359 3 ปีที่แล้ว +3

    Mwanamme anakupenda na amekuheshimu sana uyo ametamani tu hakumpenda uyo. Ebitoke just alimtamani na akafanya lake kisha akasepa

    • @careensamuel9789
      @careensamuel9789 3 ปีที่แล้ว

      Mama ashura wanaume hauwajui wewe🤣

  • @billionairef897
    @billionairef897 3 ปีที่แล้ว +1

    Team mukorogoooo,mupooo???

  • @thomasiswila4012
    @thomasiswila4012 3 ปีที่แล้ว +4

    Diva unataka haribu mahusiano ya mwenxio, unarazimisha

  • @agriparose3942
    @agriparose3942 3 ปีที่แล้ว +5

    Kumbe mama ashura ni zezeta...unaamini mwanaume kumbe dishi huyu dada

  • @zennahmtoto1867
    @zennahmtoto1867 3 ปีที่แล้ว +7

    Mama Ashura Usiwahii Kumuaminii Mwanaume Wako..Unadhani Mume Wako Ni Mjinga Akubalii Ety Nikweli Mke Wangu Nimelalla na Ebitoke Wacha Ujinga😏😏Mwanaume Hata Umkutee Kwa Kitandaa Na Mwanamke Mwengine Bado Atakanaa Tu

  • @evakiwia1052
    @evakiwia1052 3 ปีที่แล้ว

    Jaman mbona hayo manyonyo sijayaelewa,wanawake hebu tujiheshimu ili tuheshimiwe khaa

  • @fatmaali4921
    @fatmaali4921 3 ปีที่แล้ว

    Watu bna unakataa nn?bibi ww mwanaume unamkuta uchi na mwanamke bado anakataa dear pole sana

  • @evakiwia1052
    @evakiwia1052 3 ปีที่แล้ว

    Hayo manyonyo yk hayana mvuto kwa kweli uwage unauliza ushaur kabla ya kuvaa bhana

  • @jamilajamila4572
    @jamilajamila4572 3 ปีที่แล้ว +1

    Mama ashura usimtetee mwanaume

  • @estermathias8354
    @estermathias8354 3 ปีที่แล้ว +5

    Ila inauma jmn.ebitoke ipo siku yatakurudia

  • @barakatabdul3212
    @barakatabdul3212 3 ปีที่แล้ว +7

    Ashura Ustuchezee hakuna mwanamume anae tembea Nje" akakubali, ww huamini vipi kwani Ebitoke ana tofauti gani na ww? Ulicho nacho anacho🤣🤣🤣🤣🤸‍♂️

  • @OfficialA83640
    @OfficialA83640 3 ปีที่แล้ว +2

    We dada unawajua wanaume au unawasikia jiangalie ww mie mume wangu nilikuta sms na alikuwa anakataa hd nimekuja kuwakuta na bado anakataa mwisho wa siku kaja kumuoa kabisa unasema nn ww hao viumbe waone hivyo hivyo

  • @zakzak6502
    @zakzak6502 3 ปีที่แล้ว +1

    Ni kweli hamnaume anaye kubali kama nimedeti

  • @augeniamsofe5328
    @augeniamsofe5328 3 ปีที่แล้ว +3

    Huyu Dada kavurugwa kweli

  • @bahatirngulika4493
    @bahatirngulika4493 3 ปีที่แล้ว +1

    Kumbe huyu dada ni mjinga sn aiseeee,kumbe bado hajawajua wanaume mpka kufikia umri huo👺👺👺👺,nakuhurumia sn huyo mumeo usipomjua atakisumbua sn!!!!

  • @sarahmcharo1548
    @sarahmcharo1548 3 ปีที่แล้ว +1

    diva yuko right

  • @ummukulthummohd5403
    @ummukulthummohd5403 3 ปีที่แล้ว +7

    Mama ashura km hana akili mbona!! Kwa io huamini km uyo mumeo katoka na ebitoke kisa tu amekataa!

  • @paulomwalimu6731
    @paulomwalimu6731 3 ปีที่แล้ว

    Jaman sauti IPO chini Sana wewe divaaaaaaaa

  • @zuwenaalamin8985
    @zuwenaalamin8985 3 ปีที่แล้ว

    Pole sanaaa mama ashura

  • @Dalaman10
    @Dalaman10 3 ปีที่แล้ว +5

    Mama Ashura wigi umejitwika hukulivaa. Kioo kimevunjika nini

  • @munaahmed8499
    @munaahmed8499 3 ปีที่แล้ว +3

    Ebitoke alisema ameiba maan nyie mlikuw comedy so huyo mume alikataa na amekuw mkweli? Lkn ww bibi si ulikuw na mzungu? Umempeleka wp? Halafu anaongea ana tetema vp waumwaaa?

  • @nellyrehani593
    @nellyrehani593 3 ปีที่แล้ว +1

    Ndo ivyo tu auwezi kuishi na mwanamke ndani ao binti mkubwa kama ebitoke alafu ayo yakose kutokea

  • @siloomar7699
    @siloomar7699 3 ปีที่แล้ว +1

    Sio Siri lakn diva linajua juhoji

  • @wisemelodytz589
    @wisemelodytz589 2 ปีที่แล้ว

    Kwa hiyo semeni kumbe kweli unaibiwa mume kama kwenye juakali 😂

  • @mzalendomzalendo2567
    @mzalendomzalendo2567 3 ปีที่แล้ว +1

    Amka wewe mwanamke toka kwenye ujinga mwanaume ni mbwa unasubiri akuambie katoka na mtu,

  • @jacquilinemakundi1841
    @jacquilinemakundi1841 2 ปีที่แล้ว

    Hamna mwanaume anayekubali hata umfumanie live anakataa usijidanganye asilimia 90 wanaume wanakataa

  • @angelageofrey9756
    @angelageofrey9756 3 ปีที่แล้ว +10

    Mama Ashura move on acha kutetema si ulikua na mzungu au 😳

  • @liciouscharles3370
    @liciouscharles3370 3 ปีที่แล้ว +10

    Anavyomsemea huyo mwanamume utafkir ni baba ake mzazi...nani anaekubalig amecheat....???

  • @kazkaz1943
    @kazkaz1943 3 ปีที่แล้ว +3

    Why mmeweka iyo picha ya ebitoke yenye wnja kama mganga😀😀😀😀😀😀😀

  • @siyaleoharuna6145
    @siyaleoharuna6145 3 ปีที่แล้ว +2

    Ni hulka yao wanaume kukata kwasababu wawo ndivyo walivyo

  • @mrs2918
    @mrs2918 3 ปีที่แล้ว +2

    toka lini mtu mzima akaibiwa kwanini mnakwepaga ukweli kulaumu wasio husika

  • @dayanafelly1488
    @dayanafelly1488 3 ปีที่แล้ว +1

    Hiv kwann wanawake tukichitiwa na wanaume zetu huwa tunawaona wanawake wenzetu ndo wabaya na kutetea wanume zetu??
    Tuna tabu kwel walah

  • @fredrickmatiku7783
    @fredrickmatiku7783 3 ปีที่แล้ว +2

    One night stand husemi kawaida sio cheat hit n run just enjoying

  • @RandB_Channel
    @RandB_Channel 3 ปีที่แล้ว +5

    Acha urofa mwana umme hawezi kukili kwamba alitoka na fulani hawaitikagi

  • @edinachami4318
    @edinachami4318 3 ปีที่แล้ว +3

    Mbona Kama mume wako ndo alimuiba ebitoke

  • @mallemaOg
    @mallemaOg 3 ปีที่แล้ว +1

    Diva hiki kipindi ni kujenga au kubomoa mbona kama unagombanisha

  • @waltakelly4376
    @waltakelly4376 3 ปีที่แล้ว +4

    Diva wigi hilo vepeee🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @ishaomari2232
      @ishaomari2232 3 ปีที่แล้ว

      😂😂😂atakuwa hajajiangalia leo kabla hajatoka

  • @spaice995
    @spaice995 3 ปีที่แล้ว +4

    Huyu mama asha ndo wale chizi mapenzi 😂 mwanaume nani anaekubali kuwa kazini 😁😁😁

    • @hadijamandanje6189
      @hadijamandanje6189 3 ปีที่แล้ว

      Hakuna Tena atamponda lakini akienda kule anakuponda wewe Tena Ila huyu amependa Sana na hivi ndio tunavyopata strook ukijua ukweli ambao hautaka kuwa upo

    • @zennahmtoto1867
      @zennahmtoto1867 3 ปีที่แล้ว

      Hadi namshangaa anavyo ng'a ng'ana ety akutoka na ebitoke anadhani wapi atatokea mwanaume msema kweli kwa kuzini

  • @ruqayaruqaya4283
    @ruqayaruqaya4283 3 ปีที่แล้ว +2

    Kumbe ma ashuu mjinga hivyo unamuamin mwanamume? Km baba yako mzazi 😏

  • @Zainab-sq1tc
    @Zainab-sq1tc 3 ปีที่แล้ว +1

    Kwan huyo mumeo mtt mdg

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 3 ปีที่แล้ว +1

    😣😣

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 3 ปีที่แล้ว +3

    Ebitoke anaona kutombwa ni sifa umalaya tuu 🤣 dem mwenyewe wa ovyo hana mvuto

    • @whimsymaverick3057
      @whimsymaverick3057 3 ปีที่แล้ว +2

      Huko kukosa mvuto ndio kunakomsukuma ili aonekane naye yumo. Ni saikolojia ya kawaida kuwa wenye mapungufu hufanya ya ziada waonekane wa juu.

    • @ilynpayne7491
      @ilynpayne7491 3 ปีที่แล้ว

      @@whimsymaverick3057 kabisa yani ana jiaibisha mwanamke kujisifu uzinifu aibu

  • @bernardjustine6524
    @bernardjustine6524 3 ปีที่แล้ว +1

    Wa kwanza

  • @berthamwakalebela7604
    @berthamwakalebela7604 3 ปีที่แล้ว

    Huwajui wanaume

  • @rehemaomary6631
    @rehemaomary6631 3 ปีที่แล้ว +1

    Wanakataa hata umkute anakataa

  • @luluwhite3818
    @luluwhite3818 3 ปีที่แล้ว +2

    Diva wigi lake kama mwamvuli

  • @zuheorsalim7759
    @zuheorsalim7759 3 ปีที่แล้ว +1

    Mume wake ni nani ?

  • @jescakonyanza2726
    @jescakonyanza2726 3 ปีที่แล้ว +2

    Sasa kama alikuficha c anakuheshimu,cha kumsema ebitoke n nn?#03

  • @GoDannyKE
    @GoDannyKE 3 ปีที่แล้ว +1

    Ebitoke

  • @safinamalero3971
    @safinamalero3971 3 ปีที่แล้ว +1

    Kwaiyo unamtetea??
    Looh umeshikwa Maskio au unaona aibu unais ana 7bu gan ya kukili alitoka nae hali yakuwa ni uongo??!
    Kaa tulia ayo Maisha tuu yatapita ni yakawaida yan mwache atumumike km Condom still wee n Mama Mwenye Mume wako

  • @mtanzaniatz3346
    @mtanzaniatz3346 3 ปีที่แล้ว +1

    Dada hakuna mwanaume anaeweza kusema eti leo nimelala na fulani sahau kuhusu hilo we amini tu wameshalalana hao na hiyo ndiyo hasira yako kwa ebitoke

  • @lareineminah1353
    @lareineminah1353 3 ปีที่แล้ว +1

    😅😅😅😅 make up😎😎😎😎

  • @rahelimuhehe7068
    @rahelimuhehe7068 3 ปีที่แล้ว

    Tumechoka kuona izo nyonyo zenu wamama khaaa😒

  • @kingf.j2877
    @kingf.j2877 3 ปีที่แล้ว +1

    Wa pili

  • @ayoanite4011
    @ayoanite4011 3 ปีที่แล้ว +1

    Kwani mwanaume anaibwa??? Unjinga jmn jifunza kusema mwanaume hawezi kubali kitu

  • @itsjkamolabeatz
    @itsjkamolabeatz 3 ปีที่แล้ว

    😂😂Rayvanny chuii🐯 majibu yake ku husu Paula yana chekesha jionee apa utoe maoni yako 😂👀
    👇👇👇👇👇👇👇👇👇
    th-cam.com/video/OHTWe6oh4Qo/w-d-xo.html

  • @suzzybae2355
    @suzzybae2355 3 ปีที่แล้ว

    th-cam.com/video/65KZBc_vp2E/w-d-xo.html. Usiipite bila kuweka baraka zakoooo

  • @janemapoz6360
    @janemapoz6360 3 ปีที่แล้ว

    th-cam.com/video/wxfTfu0_S6U/w-d-xo.html safi sana ashura