Napokea harusi 2023 July, napokea biashara, napokea uponyaji wa mtoto wangu 😢bubu, napokea financial breakthrough, napokea amaani woooow MUNGU asante Sanaa bishop wangu Kwa hii neno from mathare to be millionaire 👏👏👏🙏💪🙌
AMINA. Wakristo tusiogope vile watu wanaongea juu yetu, huo ni ushuhuda kwa sababu wakati tutatendewa wataongea. Ukiona unapigwa, unapigwa juu umebarikiwa. Ni heri tubarikiwe maadui watupigange kama tumebarikiwa. Mungu Atatembea kwetu leo, Atafanya jambo na maadui watajua kuna Mungu tunaombanga. Kile tuliahidiwa, wale tulikuja nao JWM na tukaona wakishuhudia, wakati njia zao zimefunguka hata zetu zinafunguka. Hata sisi tunaenda kubarikiwa, kile Mungu Amewatendea hata sisi tutatendewa na tutakuwa na Ushuhuda. 2023 Mungu Alisema ni Mwaka Wa Kukumbukwa, tuwache kuona hizo shida tunaona, tuanze kuona Mungu Akitenda na bila shaka Baraka Yake Itashuka leo.
AMINA. Wakristo tumekuwa wa mwisho, wengine walitupita lakini mwaka huu wale tuko nyuma Mungu Ametumana. Malaika Ameambiwa Aje kwetu kwa maana tumesemwa, tumedharauliwa na tumechekwa ya kutosha. Mungu Anatuchomoa kwa vijiji vyetu na huko mahali tunaishi tutang'aa. Chochote kilichukuliwa na adui zetu kinarejeshwa. Kule walituweka, walituwacha na walitutupa Mungu Anatutoa leo. Kuna watu watakosa usingizi na amani leo mpaka tutendewe, tuinuliwe na tufunguliwe. Kile kilifunika maisha yetu na kile tuliwekelewa Mungu Anakiondoa. Tuinuke kutoka kwa hayo mavumbi, shida na madharau kwa maana Mwanga Wetu umekuja na tunaenda kuangaza.
AMINA. Wakristo hata kama tulifunikwa Mungu Atatuchomoa na Atafanya tung'ae. Hata kama kwetu kuna shida gani na hata kama tulitoka kwa familia zimelaaniwa lazima tutang'aa na Mungu Akisema tutabarikiwa ni lazima tutabarikiwa. Hata wale wamedharauliwa na wale watu wanaongea mabaya juu yao Mungu Atafungua njia. Haijalishi watu wanasema nini. Mwangaza uking'aa mahali tumewekwa hata kama tuko huko nyuma Mungu Atatuleta mbele kwa maana Yeye Hana haja na wale wamefika bali yuko na haja na wale wameshindwa. Wale wako nyuma, walisahaulika, walikataliwa na wako nyuma ule mlango ulifungwa Wakati Wa Mungu Ukifika Akisema "Yes" hakuna atasema "No."
Mwaka huu 2024 maadui watajua hawa jui I will Shine by fire by force 😊
Napokea harusi 2023 July, napokea biashara, napokea uponyaji wa mtoto wangu 😢bubu, napokea financial breakthrough, napokea amaani woooow MUNGU asante Sanaa bishop wangu Kwa hii neno from mathare to be millionaire 👏👏👏🙏💪🙌
Barikiwa Sana mtumishi wa mungu, nimejua mengi kupitia wewe, mungu akubariki na akuongezee miaka mingi uendelee kutufundisha.
Mashida na maginjwa ziishe katika jina la Yesu
Mungu wetu tunapokea manyumba na Prado new model
AMINA. Wakristo tusiogope vile watu wanaongea juu yetu, huo ni ushuhuda kwa sababu wakati tutatendewa wataongea. Ukiona unapigwa, unapigwa juu umebarikiwa. Ni heri tubarikiwe maadui watupigange kama tumebarikiwa. Mungu Atatembea kwetu leo, Atafanya jambo na maadui watajua kuna Mungu tunaombanga. Kile tuliahidiwa, wale tulikuja nao JWM na tukaona wakishuhudia, wakati njia zao zimefunguka hata zetu zinafunguka. Hata sisi tunaenda kubarikiwa, kile Mungu Amewatendea hata sisi tutatendewa na tutakuwa na Ushuhuda. 2023 Mungu Alisema ni Mwaka Wa Kukumbukwa, tuwache kuona hizo shida tunaona, tuanze kuona Mungu Akitenda na bila shaka Baraka Yake Itashuka leo.
Very wonderful watching from malindi
I receive deliverance now from my dad bishop Mwai napokea uhuru kila altar contrary inaanguka
Thank you God I'm going far
Following from Kabarnet Baringo County.
Thank you holy spirit
Amen 🙏🙏🙏
I receive job n Jesus name....I receive t
Very soon I will shine
Thank you Lord.
What Sunday, jina la Baba litukuzwe
Thank you jesu
I will shine.... Amen Amen
Glory and honour to our God
The word was powerfully truelly I will shine
AMINA. Wakristo tumekuwa wa mwisho, wengine walitupita lakini mwaka huu wale tuko nyuma Mungu Ametumana. Malaika Ameambiwa Aje kwetu kwa maana tumesemwa, tumedharauliwa na tumechekwa ya kutosha. Mungu Anatuchomoa kwa vijiji vyetu na huko mahali tunaishi tutang'aa. Chochote kilichukuliwa na adui zetu kinarejeshwa. Kule walituweka, walituwacha na walitutupa Mungu Anatutoa leo. Kuna watu watakosa usingizi na amani leo mpaka tutendewe, tuinuliwe na tufunguliwe. Kile kilifunika maisha yetu na kile tuliwekelewa Mungu Anakiondoa. Tuinuke kutoka kwa hayo mavumbi, shida na madharau kwa maana Mwanga Wetu umekuja na tunaenda kuangaza.
Very soon iwill shine
Nitaishia huyu mungu😢😢😢😢ulitusamehea Dhabi zetu
AMINA. Wakristo hata kama tulifunikwa Mungu Atatuchomoa na Atafanya tung'ae. Hata kama kwetu kuna shida gani na hata kama tulitoka kwa familia zimelaaniwa lazima tutang'aa na Mungu Akisema tutabarikiwa ni lazima tutabarikiwa. Hata wale wamedharauliwa na wale watu wanaongea mabaya juu yao Mungu Atafungua njia. Haijalishi watu wanasema nini. Mwangaza uking'aa mahali tumewekwa hata kama tuko huko nyuma Mungu Atatuleta mbele kwa maana Yeye Hana haja na wale wamefika bali yuko na haja na wale wameshindwa. Wale wako nyuma, walisahaulika, walikataliwa na wako nyuma ule mlango ulifungwa Wakati Wa Mungu Ukifika Akisema "Yes" hakuna atasema "No."
Financial breakthrough
Amen. Very powerful indeed. I will shine, I will go far, God will open up my doors and windows to my success. Thank You Jesus.
🙏🙏🙏🙏 thank you King Jesus
Thank you jesus
When you go on your knees Before God, he stands for you.
I will shine
Amen, thank you Jesus for your salvation
Glory be to God for such a powerful word .. Am ready for a testimony on Sunday
Amen Glory Be to GOD.
Amen this year be with me oh lord
Yeeeess
Amen ad Amen 🙏
Amen, Amen 🙌🙌
😊amen
Thank you Jesus for reveration
Dad niombee niende Dubai
Amen I receive 🙏
Amen Amen
Amen...am witness to this church...God does miracles...
I received
Amen
Financial breakthrough/contracts
Halleluyah
Powerful
Amen Glory to GOD.
Amen Amen
Amen Amen I receive it
I Will shine
Amen
I will shine
Amen Amen
Amen
Amen Amen
Amen
Amen Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen