YANGA MBELE KWA MBELE SONG| WACHA WAISOME NAMBA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 60

  • @Baro007
    @Baro007 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +8

    Tuliokarudia haka ka nyimbo tujuane 💛💚

  • @JumaaDeni
    @JumaaDeni 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +19

    hii yanga niatar nawaomba mashabik mkaujaze uwanja naumia nko mbal kampala lkn

    • @AlexNobert-w1l
      @AlexNobert-w1l 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Usihofu tutaujaza

  • @5googleuuu727
    @5googleuuu727 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Congratulations. WIMBO NI MZURI SANA.. YANGA OYEEEEEEEE 💚💛💚💛

  • @shabbirbharmal7876
    @shabbirbharmal7876 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Excelnt hadi machozi yamenitoka kwa furaha nzuri sana YANGA BINGWA MAISHA NZIMA

  • @fatmaomar8335
    @fatmaomar8335 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Daima mbele nyuma mwiko kazi iyendelee 💛💛💚💚🙌🎉🎉

  • @Carolina-sm5zt
    @Carolina-sm5zt 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Jamani raha sana Mungu atujalie ushindi 🙏🙏

  • @PekweIddy
    @PekweIddy 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wow bonge la wimbo inasisimue Sana

  • @AlmachNestory
    @AlmachNestory 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Yanga Sc tuna nyimbo nyingi za wasanii tofauti, wakati umefika lazima klabu yetu iwe na wimbo mmoja uwe unaimbwa na mashabiki wote klabu mchezo kuanza.

  • @myself-T2
    @myself-T2 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    aisee hii nyimbo sio poa vibe lake ni kubwa sana🎉🎉

  • @AminoKhalif
    @AminoKhalif 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Gusa achia twende kuwa bingwa yanga oyeeeeeeeee

  • @saidikomba3120
    @saidikomba3120 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Mungu tujalie jumamosi tupate kushinda

  • @idanysedrc1200
    @idanysedrc1200 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Acha waisome namba!!!💚💛💛💛haka kanyimbo ukikasikia jua Kuna mtu kaliwa kichwa💚💚💚💚💚💚💚

  • @fadhilimkanimkole272
    @fadhilimkanimkole272 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    More love.. 💚💚💚💚

  • @mgenikhalfan7471
    @mgenikhalfan7471 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Duuhh nimeitafuta hii nyimbo mpaka nimeipata nimeipenda sana

  • @Moonlight-m7l4h
    @Moonlight-m7l4h 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Weeeeee💛💛💚💚yanga yetu mbele mbele

  • @charlesbalinda4410
    @charlesbalinda4410 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Nzuri sana! Yanga 🎉🎉🎉🎉❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @aishabakari8040
    @aishabakari8040 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Nimekua wa kwanza 🎉🎉🎉🎉😂

  • @ElitumainGoodwin
    @ElitumainGoodwin ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wimbo umekaa poa sana

  • @RamadhaniOmari-qx7xw
    @RamadhaniOmari-qx7xw 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ila yanga baba lao inawatu wamaana sana watu kwel yan🎉🎉🎉

  • @MartinE..98
    @MartinE..98 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Big up kwa alieimba huu wimbo, nimerudia kuusikiliza mara 721
    Kazi nzuri.......

  • @asifkhanalifkhan6358
    @asifkhanalifkhan6358 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Big up for a song!Cannot feel tired to listen❤

  • @aminahussein4866
    @aminahussein4866 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Yanga yang naipendaaaaaa kuliko ❤❤❤❤

  • @AbelLazaro-y4p
    @AbelLazaro-y4p 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Munguuu ibariki Tanzania 🇹🇿🇹🇿🙏

  • @halimasawa611
    @halimasawa611 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kumanina hii song n kali🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉ringtones hii wallah ....hii nitatoka nayo InshaAllah nxt yrs

    • @frida-oi6kw
      @frida-oi6kw 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ndio utukane dear

  • @Moonlight-m7l4h
    @Moonlight-m7l4h 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hiii imeendaaaaaaa

  • @JaphetJames-w2c
    @JaphetJames-w2c 36 นาทีที่ผ่านมา

    Safiiiiiiii sana

  • @idanysedrc1200
    @idanysedrc1200 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yanga ya kwetu wenyewe tumeipenda wenyewe tumeipenda yenyewe!!

  • @SubiraMohammed-ks6qg
    @SubiraMohammed-ks6qg 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Nimeamini yanga na ccm wanaudugu wanashare rangi hadi nyimbo mana halisi ya wananchiiiii

  • @SharifaAbdulazeez
    @SharifaAbdulazeez 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hii ndo iwe song anthem 🔰🔰🔰

  • @NeemaMpangala
    @NeemaMpangala 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kazi nzuri sana

  • @christianmatosha4283
    @christianmatosha4283 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Please like kwa Chama letu tukutane j.mos 18/01/2025 don't miss

  • @innotzmedia
    @innotzmedia 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    yanga the no 1 sc team in Africa

  • @LeticiaDaniel-p1p
    @LeticiaDaniel-p1p 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mbele kwa mbele💛💚😜👈👈

  • @fredmakombe2504
    @fredmakombe2504 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Siyo mzuri, haina ubunifu

  • @EvaNdayishimiye-n5o
    @EvaNdayishimiye-n5o 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yani nimeamuwa kuka darlody

  • @josephkoiumba2094
    @josephkoiumba2094 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nomaaa

  • @diehansi
    @diehansi 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hivi kuna amemuona Kibu Dennis akilia kama nilivyomuona😅

  • @MichaelMkwele
    @MichaelMkwele 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Tawi😂😂 vipi hapo 😂😂😂kolo inawauma ila basi 😢😢😢😢

  • @EvaNdayishimiye-n5o
    @EvaNdayishimiye-n5o 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Waoo nice song

  • @mahenamwandele9727
    @mahenamwandele9727 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    We are the best ❤❤❤❤❤

  • @MaarufuAmani-bq6qc
    @MaarufuAmani-bq6qc 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Nice

  • @TunuIssa
    @TunuIssa 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😅😅hata aya mauno nnayo katika peke angu kisa hii yanga ita niuwa wallah

  • @treyvissy9854
    @treyvissy9854 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sijapenda 😢

  • @Ladhasol
    @Ladhasol 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    WANANCHI MBELE KWA MBELE

  • @SaidiNdambachia
    @SaidiNdambachia 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    YANGAAAAAAAAAAAAH

  • @UwesuMkiji
    @UwesuMkiji 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Rudia kile kipande cha makolo wakilia 😂😂😂

  • @DoryGeorge
    @DoryGeorge 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Dah had naona imeisha mapema

  • @AbelLazaro-y4p
    @AbelLazaro-y4p 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    👏👏👏👏👏👏🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @shaibusaady2420
    @shaibusaady2420 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Allaah Akbar

  • @Eng2460
    @Eng2460 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    🔥🔥🔥🔥🔥

  • @DizodaBoy
    @DizodaBoy 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yanga bingwa

  • @AlexNobert-w1l
    @AlexNobert-w1l 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tutaimba iyo pale kwa mkapa tukijumlisha na gusa achia twende kwao apo kesho kutwa

  • @PaschalMwandonanga
    @PaschalMwandonanga 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hii nyimbo ni nzuri ila nashauri watengeneze uwe mrefu halafu wauweke kwenye platform to download

  • @MalinoKadwame-u1c
    @MalinoKadwame-u1c 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Song letu

  • @irenegeophrey5650
    @irenegeophrey5650 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    🎉🎉🎉🎉🎉

  • @TaffiDollars
    @TaffiDollars 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huku ni kufilisika kiubunifu, idara ya habari inaona hizi nyimbo za hamasa za ccm ndiyo nyimbo za kutumia kwa timu ya yango, akili mbovu kabisa.

  • @robertchazya2351
    @robertchazya2351 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nyimbo ya hovyo kabisa ya Yanga kuwahi kuwepo 🚮🚮

  • @Baro007
    @Baro007 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Tuliokarudia haka ka nyimbo tujuane 💛💚