Pesa mnayoipata itengenezeni unguja na pemba mji mkongwe majumba ya kizamani wenzetu wanayatengeneza hio ni mali ya zanzibar nyinyi mnawacha majumba kuanguka au mnasubiri nini mali msiitupe wenzetu wanaitafuta
Wanga wakubwa pesa zinazo ingia munakula . Mji mkongwe majumba ya mji mkongwe munashindwa hata kuyakarabat .na kuyapaka jApo chokaa mpaka waje wazungu ndio wayatunze
Hiyo biach ni cha mtoto kabisa mbele ya Vumawimbi Pemba.
ww nnjo kendw bich nzuri lakini balaa nyingi sana
Pesa mnayoipata itengenezeni unguja na pemba mji mkongwe majumba ya kizamani wenzetu wanayatengeneza hio ni mali ya zanzibar nyinyi mnawacha majumba kuanguka au mnasubiri nini mali msiitupe wenzetu wanaitafuta
Wanga wakubwa pesa zinazo ingia munakula . Mji mkongwe majumba ya mji mkongwe munashindwa hata kuyakarabat .na kuyapaka jApo chokaa mpaka waje wazungu ndio wayatunze
😁😁😁😁jamani mtuekee na wakali mani mana duhhh
Insha Allah kila LA kher
Zanzibar paradise iraland mashallah
Alhamdulillah
Alhamdulilah au Inalilah wainailayhi raajiuun?
Labda kufanya machafu.ndo wajuayo hapo
Wageni hawana barakoa ila wafanya kazi wanazo"
pumba tupu yani mm nilizaniahuyu anazungumza la mana yani
Pesa zinaenda wapi?
Pesa tukose na adhabu ya Allah tupate
hahahahahaha
Najiona mm