GIGY MONEY ATOA USHUHUDA KANISANI MAMBO AMBAYO AMEWAHI KUPITIA | KAAMUA KUMRUDIA MUNGU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ส.ค. 2023
  • GIGY MONEY ATOA USHUHUDA KANISANI MAMBO AMBAYO AMEWAHI KUPITIA | KAAMUA KUMRUDIA MUNGU
    Fuatilia matukio yote ya Burudani hapa kwenye channel hii; AVmediatz kisha Subscribe, Like, Comment na Share video hii popote.
    Habari za Burudani, Interviews za moto na matukio yote makubwa ya kila siku unayapata hapa! Subscribe sasa.
    Instagram: avmediatz
    Facebook: web. AVmediaTZ
    Twitter: AVmediaTZ
    TikTok: www.tiktok.com/@avmediatz
    Website: www.avmediatz.com/
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 42

  • @user-ve9tb5ns7d
    @user-ve9tb5ns7d 11 หลายเดือนก่อน +6

    Yesu alikuja kwa ajili ya wenye dhambi ili awakomboe na dhambi zao,hakuja kwa ajili ya wenye haki,safi sana gigy pamoja na Jack na ninyi Mungu anawaona na anawawazia mambo mazuri

  • @rayanndizeyes3161
    @rayanndizeyes3161 11 หลายเดือนก่อน +6

    Gigi kweli anajitabuwa sana ni maisha tu

  • @SamwelMaige-st9sg
    @SamwelMaige-st9sg 11 หลายเดือนก่อน

    Ongela sana mpenzi mungu akujalie

  • @samiramawby1257
    @samiramawby1257 11 หลายเดือนก่อน +2

    Giggy you dont lie thats the good of you😭😭😭I LOVE you more sis wachafueee tu ukweli wao wanauchukulia kama uchafu🙏🙏🙏nyieeee heshimuni watu jamani

  • @joycenangonga8399
    @joycenangonga8399 11 หลายเดือนก่อน

    Mungu akuokoe gigy una sauti ya kiinjilist mungu anakupenda wakati ni sasa uje umtumikie mungu

  • @itikamlagalila1911
    @itikamlagalila1911 11 หลายเดือนก่อน +4

    Gigy is soft hearted,such a sweetheart ❤

  • @user-ut7yy5uv1b
    @user-ut7yy5uv1b 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu ni mwema kwetu haijalishi njia ipi

  • @user-qx6dp5nb4n
    @user-qx6dp5nb4n 11 หลายเดือนก่อน

    Love u gigy

  • @outsideclass9799
    @outsideclass9799 11 หลายเดือนก่อน +1

    Sauti yangu haina ushirikiano but i get the message 😭😭😭😭

  • @salvinahassan8778
    @salvinahassan8778 11 หลายเดือนก่อน +1

    Gigy, I cry with you,

  • @chimbuyaofficial79
    @chimbuyaofficial79 11 หลายเดือนก่อน

    ❤good my Sister Gigy carry on your fun and walk on Gods favorite

  • @Tg.7_7
    @Tg.7_7 11 หลายเดือนก่อน +1

    For sure!!

  • @michaelmymy1307
    @michaelmymy1307 11 หลายเดือนก่อน +1

    Barikiwa gigy

  • @user-kp7ru7bp6o
    @user-kp7ru7bp6o 11 หลายเดือนก่อน +1

    She has no body to look at Mungu msaidie Gigy jamani nampendaga toka zamani

  • @SharifaHayatta
    @SharifaHayatta 11 หลายเดือนก่อน

    Nampenda gigy. She is the true self

  • @mariamkadio8402
    @mariamkadio8402 11 หลายเดือนก่อน +2

    Nampendaga Tu huyu binti

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib 7 หลายเดือนก่อน

    Hiyo nyimbo nilikuwa naipendaga sana nilipokuwa mascat kipindi flan nilikuwa najifarij nayo

  • @IANA2030
    @IANA2030 11 หลายเดือนก่อน +1

    She is cute❤

  • @sarahmcharo1548
    @sarahmcharo1548 11 หลายเดือนก่อน +1

    hahahaha giggy jmn ungeigiza na comedy eti banange banange lets go

  • @christowelugyimbi2878
    @christowelugyimbi2878 11 หลายเดือนก่อน +3

    Hongera gigy uko vizuri mungu kwanza.

  • @jacklinelyimo7407
    @jacklinelyimo7407 11 หลายเดือนก่อน +1

    Siku nyingine ukialikwa kwenye kazi nchi za watu lazima uone na booking hotel unapofikia kila kutu,ulipitia wakati mgumu sana ulivyoenda london

  • @AMINASAIDI-mx7rs
    @AMINASAIDI-mx7rs 11 หลายเดือนก่อน

    Na amina mimi .

  • @mariamkadio8402
    @mariamkadio8402 11 หลายเดือนก่อน

    Mm muislam Ila huu mwimbo nakupenda sana

  • @jamilahabibu9299
    @jamilahabibu9299 11 หลายเดือนก่อน +1

    Shidauyu m2 anachanganyaga hbr lk nampenda😂😂😂😂

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 11 หลายเดือนก่อน

    😭😭😭

  • @bellaohoi-nz8ck
    @bellaohoi-nz8ck 11 หลายเดือนก่อน +2

    Nakupenda sana Gigi wangu kwanza UK mkweri hauna Mambo mengi

  • @SharifaHayatta
    @SharifaHayatta 11 หลายเดือนก่อน

    Yah. Mungu kamtendea Nandy miujiza mingi mda I ya muda mfupi. Tie delete kujifunza

  • @user-qm6xs9zm3s
    @user-qm6xs9zm3s 11 หลายเดือนก่อน

    Ananikumbusha nandy

  • @gracemahugi4380
    @gracemahugi4380 11 หลายเดือนก่อน

    Gigy ukiokoka kweli wengi watamfuta yesu kwa maana naona kama comedy jamani

  • @roseneemamassawe-gv7oq
    @roseneemamassawe-gv7oq 11 หลายเดือนก่อน

    That why Kila cku nasema Mungu n Kwa ajil ya wadhambi tuogope kujiona wakamilifu, nakupenda gigie 😓😓wangu

    • @ELLYJ24
      @ELLYJ24 11 หลายเดือนก่อน

      Mungu ni kwa ajili ya wadhambi na mungu hataki mtu ambaye ameshikilia mambo yake ya kidunia huku anasema amerudi kwake

  • @rtam3150
    @rtam3150 11 หลายเดือนก่อน

    🤣🤣🤣🤣🥰

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 11 หลายเดือนก่อน

    Chaajabu nn sasa si madahabahu zenu hzo mnatumika madhabahu moja

  • @marthamngao923
    @marthamngao923 11 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu ajawai muacha kwa kila matumainir

    • @rosemneney3244
      @rosemneney3244 11 หลายเดือนก่อน

      Kwani hana jina Lake halisi ila nakupongeza sana binti kumpa Yesu Maisha yako

    • @birusidesmond3245
      @birusidesmond3245 11 หลายเดือนก่อน

      ​@@rosemneney3244anaitwa zawadi Yaani gift

  • @saidali-xv8yh
    @saidali-xv8yh 11 หลายเดือนก่อน

    Na hapo nao waliolala kwenye kristo wamepotea, biblia 1 wakorinto 15 18 soma hiyo.

  • @saidali-xv8yh
    @saidali-xv8yh 11 หลายเดือนก่อน

    Huyo malaya ati mtume wacheni kudanganywa wakristo.

    • @joycesamwely7896
      @joycesamwely7896 11 หลายเดือนก่อน +1

      Zuia kinywa chako kumnenea binadam ubaya ukiona anakosea muombe abadilike na awe wa mungu kweli 🙏

  • @merythomasminja298
    @merythomasminja298 11 หลายเดือนก่อน

    nilishasali apo ilokanisa linaupko wahatari

  • @helenalema3401
    @helenalema3401 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ila gigy eti mbna pasta hendisamuiuu 😂😂😂😊