WAZIRI WA ZAMANI (ABOUD) AHIMIZA UMOJA KWA WANANCHI WA ZANZIBAR

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 12

  • @RidhwanfakiRifa2020
    @RidhwanfakiRifa2020 3 วันที่ผ่านมา +8

    Uzungumzie haki kawaida yenu maccm mukiwa sehemu kama hizi munakuwa watu WA maneno mazuri ila hamna utu Ni watu makatili Sana sanaa

  • @YahayaKiobya
    @YahayaKiobya 2 วันที่ผ่านมา

    Katiba mpyaaaaaa Tanganyika Tanganyika ❤❤

  • @Zivago12
    @Zivago12 3 วันที่ผ่านมา +4

    Yaani mnawafanya wazanzibari wapoooofu. Labda ni hao uvccm wenu mnao wafuga Amani mkoana Hanyigwa mchana. Wazanzibari tolewengi tuna jua tusemalo na tutakalo.

  • @muhammedbakari2867
    @muhammedbakari2867 2 วันที่ผ่านมา +3

    Huyu mzee shoga nn kwan nan anae fanya wanachi watofautiane..nikesi ndogo anaeshinda apewe ushindi mbona hayo hamyaonge mnaogopa kufa kila nafsi itaonja umauti hata mkiigopa kuongea ukweli ..mbona wakati wa uchaguzi husemi majeshi yasiongezwe kutoka Tanganyika na kuja kupindua matokeo ya uchagu..mijitu mizima mnawaogopa binaadamu wenzenu kuwaambia ukweli..umnaongea upuuzi tuu..eti wanachi waridhiane..pumnaavu zenu..

  • @amerwelder7786
    @amerwelder7786 3 วันที่ผ่านมา +5

    Maridhiano ya kitu gani

  • @RashidAli-rn3ro
    @RashidAli-rn3ro 3 วันที่ผ่านมา +5

    Tushswazoea kututia chaka la maridhiano lkn nyoyoni mwenu hilo halimo

  • @OmanIbri-hj8ss
    @OmanIbri-hj8ss 3 วันที่ผ่านมา +5

    Maridhiano ni maneno yenu ya kila siku hapa ni gino kwa gino mpka kinaeleweka

  • @AmarOmar-vh9pd
    @AmarOmar-vh9pd 2 วันที่ผ่านมา +2

    Ilikuwaje mkamualika huyo hana ishu mshamba mmoja

  • @ramzsule7678
    @ramzsule7678 2 วันที่ผ่านมา +2

    Huoni haya kusema hivyo

  • @AbrahmanAbrahman-l7h
    @AbrahmanAbrahman-l7h 2 วันที่ผ่านมา +5

    HANA KIPYA HUYO HAO NDIO WANASIASA VIRAKA HAWANA MCHANGO NI MASLAHI KWENDA MBELE,HAO NI MA OPORTUNIST LEO ZANZIBAR ISHAZAMA KWA UPUUZI WAO NDIO WANAMSIFIA MAITI? KAENI PEMBENI WAACHENI WENYE UCHUNGU NA ZANZIBAR WAENDELEE KUPAMBANA PUMBAVU

  • @AslihanKhamis
    @AslihanKhamis 2 วันที่ผ่านมา +2

    Maridhiano hayo ywnywe mara ngpi

    • @isaliisu3408
      @isaliisu3408 2 วันที่ผ่านมา +2

      CCM NI WAONGO SI WAKWELI TUMEFANYA MUAFAKA MARA NGAPI WEWE MOHD ABODU UMEHUSIKA KIKAMILIFU KUHARIBU CHAGUZI