Project kama hizo si za kuchukua Engineer Bara. Renovation of such old and delicate buildings need a lot of experience and technical know how. Pesa ishaliwa na walaji was haki Mia. Lakini pakitafutwa wataalamu linaweza kufanyiwa Restoration na kujengwa kama lilivyokua lakini si wataalamu wa hapo Bongo.
Hilo nyumba lilijegwa na Engineers kutoka SCOTLAND UK siku HIZO! Siyo watu wa MASKANI AU WAZEMBE lakini hao MAFUNDI hawajuwi kitu chochooote wamepachikwa tuuu kula PESA hamuwasikii MANENO YAO YA KIJINGA WANAYO YAJIBU...MSHAONA DALILI ZOOOTE zilikuwa za HATARI lakini... mmedharau. Hapo akamatwe huyo alojifanya yeye ndiye Mkubwa wa hiyo kazi, ndie alosababisha kuuwa wenzake . Na ujinga mwengine hakuna MATIBABU.LOOOOH. OMANI NI JUMBA LAO WAMEIPA SEREKALI YA ZANZIBAR 5 Million Dollars US. WAMEZIFANYA NINI... ??????
MH waziri wa habari namuombea huyu kijana ripota wa hili tukio pamoja na camera man wapeleke, zbc wanaweza hawa kufanya kazi hawako kimazoea nice kabisa
Tuweni pole subhanaallah kitu ukishapangiwaa lazima kikufike ila hili jumba ni bovu na so hili tuu majumbwa ya mji mkongwe mingi mabovu allah awape uzima wenu nyote muloumiya
Ekeni majumba mabovu tu siku litakapomuangukia mzungu mkalipishwa mamilioni ya mapesa ndio mtakaposoma. Mana roho za wa Tnz maisha yote mnaziona siroho na hua Mungu kaandika.
Mahmoud Thabit kombo hilo ni jukumu lako wewe na wengine unaowafaham wewe kwenye milioni mia tano us dollar umezipeleka wapi? Na zilikuwa kwa ajili ya ujenzi huo zilizotolewa na warabu? Mzee!! Inabidi ufukuwe makaburi ili aliekufa tujuwe DNA Nani aliekufa
*Nisichokielewa ni kazi kustopishwa kisha wengine wakaruhusiwa waende nyumbani na wengine waendelee na kazi wakati ufa ulishaonekana.. duuuh ajali haina kinga kweli lakini pia uzembe nao huchangia kwa serikal na wasimamizi wenye dhamana*
Wanawake Wacheni mabichwa ya ngamia Mbona mko wakaidi Mtume SAWA kakataza hamupendezi wacheni ukaidi na nyie waume au mababa yapigine vita Wanawake wengi motoni kwa kiburi vyetu hebu msione sifa
😂😂😂 Mafundi walikuwepo wanasema... Lakini siyo kujenga... THE HOUSE OF WONDER... HAA HAHAHA AIBU... BOSI ALIKUWA ANAJUWA KAMA KUNA MASHAKA.*(HATARI) LAKINI WAMEENDELEA NA KAZI.. WATU WA TV... BORA MSIWAULIZE MASUWALI HAO VIJANA... MAANA WASHAMPONZA HUYO MZEMBE BOSI WAO.....
Hapana injinia apo, kilichopo hapo ni unafiki tu, uzembe wa serikali ndio umesababisha hayo yatokee, miaka 2 saiv hapana ujenz ilofanywa apo, ujinga tu
Waswahili tunasema, ngombe hanenepeshwi mnadani, miaka yote hiyo hamjalifanyia marekebisho hilo jumba mpaka mlipo ona lile paa limeporomoka. Mkajidai kuanza marakebisho wakati jumba lipo kwenye hali ya sakaratul mauti, mnategemea nini?
😇🇹🇿🇮🇱🇹🇿😇🇹🇿😇🇹🇿😇🇹🇿😇🇹🇿😇🇹🇿😇🇹🇿😇🇹🇿😇🇹🇿😇🇹🇿😇🇹🇿😇🇹🇿😇🇹🇿😇🇹🇿😇🇹🇿🇹🇿😇🇹🇿👹😇🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿😇🇹🇿🇮🇱🇹🇿😇 CCM AU MCC MADIKTETA JUU YAO KUIHARIBIYA UCHUMIWAKE ZNZ NA KUIIBIYA MATRILIONI YAKE KWA KUIONEYA NA KUTAKA KUENDELEA NA MAISHA YA NCHI YAKE KINACHO BAKIYA NI POROJO POROJO JINGI
Waswahili husema skio la kufa haliskii dawa na waislam tunaamini kifo hakiepukiki mda ulifika Allah akatoa dalili lakin hazikuleta muamko ikabaki story Kwa walio hai hili Lina mazingatio ndani yake wawe Pole wote na Allah awasameh waliotangulia asante Kwa rais wetu Allah ampe moyo wa huruma Sasa znz Ina rais
Ni jukumu LA kwetu sote acheni ujinga mana ww huon kitu kiharibike halafu umsngzie Mtu ambae anahisika au hahusiki kwa namna nyngne lazima tukae chn na kujitathmn sie wnyewe na sio kulaumiana ndgu zangu ww ukiona kitu kimeharibika hata sio cha kwako basi weka sawa na kuchukua hatua
@@juliascherehani2330 ww unasema haihusiki vp na ndo inoongoza miaka yote .hilo jumba Mh Jaku na Nadri walipiga kelele sana wakisrma mnasema wapinzani athari yk ndo hy sasa na yapo na mengine
Poleni sana sana kwa mtihani ulio tokea..na khasa kwa wale..wte walio athirika, tunawaombea Mola awape shufaa waendelee na hrkti zao..amin
Project kama hizo si za kuchukua Engineer Bara. Renovation of such old and delicate buildings need a lot of experience and technical know how.
Pesa ishaliwa na walaji was haki Mia.
Lakini pakitafutwa wataalamu linaweza kufanyiwa Restoration na kujengwa kama lilivyokua lakini si wataalamu wa hapo Bongo.
Very true I agree with you
Hilo nyumba lilijegwa na Engineers kutoka SCOTLAND UK siku HIZO! Siyo watu wa MASKANI AU WAZEMBE lakini hao MAFUNDI hawajuwi kitu chochooote wamepachikwa tuuu kula PESA hamuwasikii MANENO YAO YA KIJINGA WANAYO YAJIBU...MSHAONA DALILI ZOOOTE zilikuwa za HATARI lakini... mmedharau. Hapo akamatwe huyo alojifanya yeye ndiye Mkubwa wa hiyo kazi, ndie alosababisha kuuwa wenzake . Na ujinga mwengine hakuna MATIBABU.LOOOOH. OMANI NI JUMBA LAO WAMEIPA SEREKALI YA ZANZIBAR 5 Million Dollars US. WAMEZIFANYA NINI... ??????
Very true. Ni kweli.....
Kaka umenena
Polen sana ndg zetu tz bara na Zanzibar mwezi wa kuanguka majumba mtihan huu
Hongereni zinbr tv kwa kazi nzuri
Leo tumeuona umuhimu wa MAJESHI!
Reporter Maasha_Allah uko vizuri, Allah awajaalie wapone haraka majeruhi wote
Maumivu kwa watanzania wote sio kwa wazanzibari pekee. Tuzidi kuomba nusra
MH waziri wa habari namuombea huyu kijana ripota wa hili tukio pamoja na camera man wapeleke, zbc wanaweza hawa kufanya kazi hawako kimazoea nice kabisa
Mwenyez Mungu awafanyie wepes wapone wagonywa wapoe na walokufa mwenyez Mungu awajalie kaul thabit amsamehe makosa
Tuweni pole subhanaallah kitu ukishapangiwaa lazima kikufike ila hili jumba ni bovu na so hili tuu majumbwa ya mji mkongwe mingi mabovu allah awape uzima wenu nyote muloumiya
Mungu atustiri Serekali ya Zanzibar.. kuweni makini hayo Majumba ya MICHENZANI...
Daaah mtikhan sn jomoni
Kwanihilojengo linafaidagani siukoloni umeisha kwaninbado linajemgwa nawakati linahatarisha maisha jumba linaka karne
SubhanaAllah. Innallillahi wainnaillaihi rajiun. Poleni wahusika.
Nipo oman huku nawapata vizuri bila ya chenga
Nashauri ni Bora jengo lote livunjwe na lijengwe jengine kwa ramani hyo hyo Kwan hakuna uzima Tena hapo
Tz viongozi wajitasimin wabomoe majengo ya zamani wajenge tena
Ekeni majumba mabovu tu siku litakapomuangukia mzungu mkalipishwa mamilioni ya mapesa ndio mtakaposoma. Mana roho za wa Tnz maisha yote mnaziona siroho na hua Mungu kaandika.
Mhh Mahmoud thabit kombo pesa kazipeleka wapi
Ndo hivo mwisho WA siku Oman ndio inatoa mabilion kujenga na bad a
Mahmoud Thabit kombo hilo ni jukumu lako wewe na wengine unaowafaham wewe kwenye milioni mia tano us dollar umezipeleka wapi? Na zilikuwa kwa ajili ya ujenzi huo zilizotolewa na warabu? Mzee!! Inabidi ufukuwe makaburi ili aliekufa tujuwe DNA Nani aliekufa
Kashakula na mkewe kwan wanalijali ilo jengo wala bs two
Poleni Inallaha maswabilin
Maumivu ni kuuliwa watu wetu, kunajisiwa, kutiwa ulemavu, kuwafunga mashehe wetu na kutunyang;anya UHURU wetu wazanzibari na sio kuanguka jengo hilo.
Subhannallah
*Nisichokielewa ni kazi kustopishwa kisha wengine wakaruhusiwa waende nyumbani na wengine waendelee na kazi wakati ufa ulishaonekana.. duuuh ajali haina kinga kweli lakini pia uzembe nao huchangia kwa serikal na wasimamizi wenye dhamana*
Jamani pesa sheni na balozi mumekula mumewa na warabu munaowatukana
Heee pazitoo
Poleni sana
Alla ibarik 🇴🇲 0man
Leyo tumeona majeshi kama yanafanya kazi
Huo unaitwa uzembe hawajali maisha ya watu
Insha Allah amiiin
Poleni wahanga lkn jumba libomolewe lote lijengwe upya kuanzia fondesheni
Wanawake Wacheni mabichwa ya ngamia Mbona mko wakaidi Mtume SAWA kakataza hamupendezi wacheni ukaidi na nyie waume au mababa yapigine vita Wanawake wengi motoni kwa kiburi vyetu hebu msione sifa
Serikali ipo haja kwa hatua ya kwanza kumuweka kizuizini mkandarasi wa hilo jengo kutokana uzembe alio ufanya .
😂😂😂 Mafundi walikuwepo wanasema... Lakini siyo kujenga... THE HOUSE OF WONDER... HAA HAHAHA AIBU... BOSI ALIKUWA ANAJUWA KAMA KUNA MASHAKA.*(HATARI) LAKINI WAMEENDELEA NA KAZI.. WATU WA TV... BORA MSIWAULIZE MASUWALI HAO VIJANA... MAANA WASHAMPONZA HUYO MZEMBE BOSI WAO.....
Bora walivyo mlipua ilina wengine wajifunze kuwa makini nakazi zao
Kujielezea bado huyu
Hao mafundi ndio hawana ufanisi
Duuh jamani kwani hili jengo ni jipya kabisa au lilikua linalekebiswa daah noma
Lazamani sana hilo
Jipya kabisa kenda kuifungua
Kuidharau ufaa utajenga ukuta
Hapana injinia apo, kilichopo hapo ni unafiki tu, uzembe wa serikali ndio umesababisha hayo yatokee, miaka 2 saiv hapana ujenz ilofanywa apo, ujinga tu
Waswahili tunasema, ngombe hanenepeshwi mnadani, miaka yote hiyo hamjalifanyia marekebisho hilo jumba mpaka mlipo ona lile paa limeporomoka. Mkajidai kuanza marakebisho wakati jumba lipo kwenye hali ya sakaratul mauti, mnategemea nini?
😇🇹🇿🇮🇱🇹🇿😇🇹🇿😇🇹🇿😇🇹🇿😇🇹🇿😇🇹🇿😇🇹🇿😇🇹🇿😇🇹🇿😇🇹🇿😇🇹🇿😇🇹🇿😇🇹🇿😇🇹🇿😇🇹🇿🇹🇿😇🇹🇿👹😇🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿😇🇹🇿🇮🇱🇹🇿😇 CCM AU MCC MADIKTETA JUU YAO KUIHARIBIYA UCHUMIWAKE ZNZ NA KUIIBIYA MATRILIONI YAKE KWA KUIONEYA NA KUTAKA KUENDELEA NA MAISHA YA NCHI YAKE KINACHO BAKIYA NI POROJO POROJO JINGI
Unasumbuliwa husda na roho mbaya asa chama kinaingia vp tena kwenye hilo jumbe? 😏😏😏
Huyo injinia atafutwe na ashtakiwe coz alijua ila akawaweka wenzake yeye akakimbia
Sio kwani leo haya dharau na ulafi
Waswahili husema skio la kufa haliskii dawa na waislam tunaamini kifo hakiepukiki mda ulifika Allah akatoa dalili lakin hazikuleta muamko ikabaki story Kwa walio hai hili Lina mazingatio ndani yake wawe Pole wote na Allah awasameh waliotangulia asante Kwa rais wetu Allah ampe moyo wa huruma Sasa znz Ina rais
Ni jukumu LA kwetu sote acheni ujinga mana ww huon kitu kiharibike halafu umsngzie Mtu ambae anahisika au hahusiki kwa namna nyngne lazima tukae chn na kujitathmn sie wnyewe na sio kulaumiana ndgu zangu ww ukiona kitu kimeharibika hata sio cha kwako basi weka sawa na kuchukua hatua
Wenyewe nyie ndo waharibifu
Tunaiomba serikali iangalie majumba hasa mji mkongwe na huku pande za maduka I Kuna majumba yamejaa ufa tunaiomba misaada yenu
Serekali yenu hao viongoz wote mandondocha
Boss kakimbia.
Hata na mie ningekimbia.
Sasa plan gani ya ujenzi mliokuwa nayo.
Hata hayafahamiki.
Msaada umetolewa mwaka gani?
Hao mafundi wasembe.
mafundi walikuwepo ila engineer hakuwepo amesafiri hhhhhhh dah
😂😂 mafundi walikuwepo lakini siyo wa kujenga. The house of wonder..
Hiyo chama lao ccm inasoma nba yenyew
matako yako ccm hapo inausika nn
Mpaka leo bado Upo na chama tu tuna mseto sasa akiwemo baba yako seif sharif
@@juliascherehani2330 inahusika miaka mingapi inaongoza haiifanyii ukarabati .kazi kuiba pesa tu wanazopewa na wafadhili washenzi
@@juliascherehani2330 ww unasema haihusiki vp na ndo inoongoza miaka yote .hilo jumba Mh Jaku na Nadri walipiga kelele sana wakisrma mnasema wapinzani athari yk ndo hy sasa na yapo na mengine
Engenear mzembe
Poleni sana wazanzibar
Mungu alishaandika kwani wangapi tunaishi na nyufa tele majumban kwetu wala hatujali
@@dazuujuma1211 ushasema Hamujali Siku Likiwaporomokea Usiseme Mungu Ka Andika
😂🤣😅
@@salimsaid7200 wewe umo unamoishi hamuna nyufa au unajifanya mkamilifu au KILA unachofanya kipo sahihi unajuwa maana ya binaadamu
Poleni sana