ðŸšĻUchambuzi Crownfm, Mazito yaibuka Ushindi wa Simba vs Singida bs,Mamilion waliohaidiwa Singida bs.

āđāļŠāļĢāđŒ
āļāļąāļ‡
  • āđ€āļœāļĒāđāļžāļĢāđˆāđ€āļĄāļ·āđˆāļ­ 1 āļĄ.āļ„. 2025

āļ„āļ§āļēāļĄāļ„āļīāļ”āđ€āļŦāđ‡āļ™ •

  • @joeljosephat5791
    @joeljosephat5791 2 āļ§āļąāļ™āļ—āļĩāđˆāļœāđˆāļēāļ™āļĄāļē

    Ukweli hizi hela wanatoa ni kwa ajili ya kuiwezesha timu inayoahidiwa kuwanunua wasimamizi

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 3 āļ§āļąāļ™āļ—āļĩāđˆāļœāđˆāļēāļ™āļĄāļē +1

    UBAYA UBWELA Utacheza na hizo sanaaa

  • @mgayan1222
    @mgayan1222 3 āļ§āļąāļ™āļ—āļĩāđˆāļœāđˆāļēāļ™āļĄāļē +2

    Jemedari Saidi, Juma Ayo, Geof Leah na Wachambuzi wengine hapo Studio, TANZANIA TUNATATIZO KUBWA NA SUGUðŸ˜Ē #WedonthaveQualityRefereez

  • @NyasanaTv-ol4ix
    @NyasanaTv-ol4ix 3 āļ§āļąāļ™āļ—āļĩāđˆāļœāđˆāļēāļ™āļĄāļē +8

    hizi ahadi kwa wachezaji ni rushwa au hili hamlioni kama wanafanya hivyo kwa wachezaji wanashindwa nini kuhonga refa aikandamize timu fulani ili wapate matokeo ebu tuweni wasomi waelewa tusiwe wasomi wajinga au ndo mlikua mkiangalizia majibu ya mitihani inaonesha wazi

    • @NyasanaTv-ol4ix
      @NyasanaTv-ol4ix 3 āļ§āļąāļ™āļ—āļĩāđˆāļœāđˆāļēāļ™āļĄāļē

      matukio mwngi yamezid kwa marefa ya kijinga mmenyamaza tu kisingizio mnasema nae nibinadamu mbona hajawahi kosea kuweka chakula kwenye pua badala ya kuweka mdomon haya nimaelekezo leo tim fulani lazima ishinde na kama ni hivyo inamana gani ya kua na ligi si watu wapambane ndo maana tunaona mtu kazamini tim zaid ya moja kwenye ligi moja kama kwel yeye mzamini wa tim kwanini hajaenda kuzamini timu za zanzibar hii ligi tunako elekea tunakwenda kuihalibu zamini tim moja tu waache watu wapambane saiz tim zinashuka dalaja kwa sababu za kijinga kugawa matokeo kijinga

  • @ekimnkande2873
    @ekimnkande2873 3 āļ§āļąāļ™āļ—āļĩāđˆāļœāđˆāļēāļ™āļĄāļē

    Simba hawana huo ujinga bora uwape wachezaji wako pesa za kila wakishinda siyo akifunga simba

  • @abdallahomaryabdallah
    @abdallahomaryabdallah 3 āļ§āļąāļ™āļ—āļĩāđˆāļœāđˆāļēāļ™āļĄāļē +1

    Goli.lilikuwa.lawazi.la.kibu

  • @WandaliJangala
    @WandaliJangala 3 āļ§āļąāļ™āļ—āļĩāđˆāļœāđˆāļēāļ™āļĄāļē

    Mnachoshindwa kuelewa ule mpira wa kona Ahoua aliuproject, ndio maana Metacha ulimchanganya, zamani tulikua tunasema banana chop, huo mpira hata beki huupati unaelea, Ngoma kanufaika kwa kua alikaa mpira ulipokua unashuka, mengine yote ni kujitetea tu!

  • @abdallahomaryabdallah
    @abdallahomaryabdallah 3 āļ§āļąāļ™āļ—āļĩāđˆāļœāđˆāļēāļ™āļĄāļē

    Simba.hafanyi.mafigisu.figusu

  • @obadiaedward1127
    @obadiaedward1127 3 āļ§āļąāļ™āļ—āļĩāđˆāļœāđˆāļēāļ™āļĄāļē

    NACHOTAKA NI KWAMBA HIYO HELA YA AHADI WAPEWE HATA WATOTO YATIMA NA WAJANE

  • @BenjaminiMathayo
    @BenjaminiMathayo 3 āļ§āļąāļ™āļ—āļĩāđˆāļœāđˆāļēāļ™āļĄāļē +3

    kuna baadhi ya wachambuzi ni mizigo kabisa mjitafakari kwenye uchambuzi wenu

    • @kelvinmsyani3913
      @kelvinmsyani3913 3 āļ§āļąāļ™āļ—āļĩāđˆāļœāđˆāļēāļ™āļĄāļē

      Kwel inaonekana umeumia pole ila lile ni goli chukua wachambuzi ulaya

    • @mohamedmuhibu4789
      @mohamedmuhibu4789 3 āļ§āļąāļ™āļ—āļĩāđˆāļœāđˆāļēāļ™āļĄāļē

      Hawa ndio wachambuzi bora kwa sasa Tanzania hawana kuibeba timu wanachambua kiuhalisia

    • @JumaAthumanisheya
      @JumaAthumanisheya 3 āļ§āļąāļ™āļ—āļĩāđˆāļœāđˆāļēāļ™āļĄāļē

      Ingekuw yanga ungewasfia wachambuzi

  • @AdamSaffi211
    @AdamSaffi211 3 āļ§āļąāļ™āļ—āļĩāđˆāļœāđˆāļēāļ™āļĄāļē +3

    Ni corruption kabisa! Na refa huwa anaahiduwa ngapi? Hiyo ni siri?

  • @gabrielnybala2165
    @gabrielnybala2165 3 āļ§āļąāļ™āļ—āļĩāđˆāļœāđˆāļēāļ™āļĄāļē

    Goli la kibu denis lilikuwa goli halali halikuwa na shida yoyote na pia simba sc walinyimwa penalty ambayo yule mchezaji wa singida black stars alimkanyaga kibu makusudi ilifaa apewe red card

  • @juniorjoshua2452
    @juniorjoshua2452 2 āļ§āļąāļ™āļ—āļĩāđˆāļœāđˆāļēāļ™āļĄāļē

    Nyie wachambuzi nimewatoa thamani,hivi kweli mnausaidia mpila wetu kweli,kwann ahadi ni upande wa simba peke yake?

  • @kaundasutikaunda7769
    @kaundasutikaunda7769 3 āļ§āļąāļ™āļ—āļĩāđˆāļœāđˆāļēāļ™āļĄāļē

    KUWENI NA AKILI KIDOGO JAMANI...HII NI LIGI , HUWEZI KUFANANISHA NA MASHINDANO MENGINE.

  • @yugemasanza1008
    @yugemasanza1008 3 āļ§āļąāļ™āļ—āļĩāđˆāļœāđˆāļēāļ™āļĄāļē +1

    Kwa hiyo Simba ni kipimo Cha Black Star?

  • @MohammedJaizan-yf5yt
    @MohammedJaizan-yf5yt 3 āļ§āļąāļ™āļ—āļĩāđˆāļœāđˆāļēāļ™āļĄāļē +1

    Wacheni ujinga hebu sema mechi gani Simba kaweka hela kwenye timu nyingine ili amfunge utopolo? Hii ni redio inasikia Kila hehemu za nchi kuweni makini macho ongea.
    Pumbavu kabisa

  • @paulcharles321
    @paulcharles321 2 āļ§āļąāļ™āļ—āļĩāđˆāļœāđˆāļēāļ™āļĄāļē

    Acha uchambuzi maandaxi wewe hivi kimataifa na ligi ya ndani wapi wapi, kwenye ligi hizo ni hongo za kijanja sio Kwa Simba Wala yanga