MSTAAFU KIKWETE ASHINDWA PAKUANZIA ''AMLIMLIA MZEE MKAPA''

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 53

  • @Mido-eh9vz
    @Mido-eh9vz 4 ปีที่แล้ว +12

    Hongera mstafuu kikwete umetowa maana halisi ya hiyo Aya kikubwa tunatakiwa kujifunza kwamba binadamu sio kitu ni mtihani tu kiukweli kibri dharau na hata jeuri hzifai mfalme ni munguu peake

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 4 ปีที่แล้ว +1

      Hazifai kabisa na sio kwa kufa tu hata kwenye maisha kwa sabbu kila neema uliyonayo si kwa nguvu wala uwezo wako ni Allah na akitaka time yeyote anachukua. Iwe mwili mzuri na rangi wangapi wanapata ajali acid, car n.k na wanaishia vilema. Iwe nyumba na mali kuna kufilisika na mafuriko, kimbunga n.k. iwe watoto wanaeza kuondoka anytime au wakabaki lkn ikawa adhabu kwako.

  • @faithmsangi9333
    @faithmsangi9333 4 ปีที่แล้ว +3

    Mungu amrehemu baba Mkapa
    Mbele yake nyuma yetu
    Raha ya milele ampe ee Bwana na mwanga wa milele amwangazie, apumzike kwa amani, Amina

  • @charlesmulimi1786
    @charlesmulimi1786 4 ปีที่แล้ว +6

    Mzee wa busara kikwete nakupenda Sana

  • @robinsonrespicius2713
    @robinsonrespicius2713 4 ปีที่แล้ว +4

    The best diplomatic figure of Africa jmkikwete , pole mh kwa msiba MUNGU ASHUKURIWE

  • @cheronokemey6638
    @cheronokemey6638 4 ปีที่แล้ว +1

    May his soul rest in eternal peace ,He was a great leader us Kenyans we are mourning for his loss he was a very brilliant leader n I rem him wen he was eulogizing the Late president Moi saying And I quote ,God does it at the right time ,death is a secret we shall dearly miss you Baba

  • @petermsangia3082
    @petermsangia3082 4 ปีที่แล้ว +4

    R.I.P.hakika nitakukumbuja daima Mzee B.W.Mkapa enzi za uongozi wako watumishi wa umma walianza kuheshimika na kuonekana kuwa utumishi wa umma si mateso.

  • @khadijaally207
    @khadijaally207 4 ปีที่แล้ว +4

    Bwana ametwaa na bwana ametoa jina lake lihimidiwe 😭😭😭Hakika wote kwake tutarejea

  • @omarmohd1882
    @omarmohd1882 4 ปีที่แล้ว

    Mh Raisi kikwete, muda umefka mungu alishema mda ukifka hauwengezeki wala kupungu,,haitakiwi kushanga sana, tunatakiwa kumuombea dua,na kuwpa pole na faraja familia ya maarehemu

  • @emmybarama3448
    @emmybarama3448 4 ปีที่แล้ว +1

    Polen sana wanafamili

  • @zainamshana2499
    @zainamshana2499 4 ปีที่แล้ว +1

    Poleni sana wapendwa,Inalillah wainarajiun

  • @hadija846
    @hadija846 4 ปีที่แล้ว +3

    R.I.P.😭
    BABA😭
    M/mungu hailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. Amiin🙏🏼

  • @ramamtetu2327
    @ramamtetu2327 4 ปีที่แล้ว +1

    Sote Ni Waja Wa M/Mungu
    Na Kwake Tutarejea
    Poleni Sana Ndugu na Jamaa
    Ila Huu Msiba ni Wa Watz Wote

  • @highzacknnko4002
    @highzacknnko4002 4 ปีที่แล้ว +5

    Mungu tuongoze tumalize mwendo salama

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ampumzishe!!!!

  • @amosmoses7800
    @amosmoses7800 4 ปีที่แล้ว +1

    Mimi ni MLUTHERI na wala sitetereki wala kuhofia kitu. Lakini tunavyoendeshwa na hii serikali chafu ya kiBaguzi ya ccm ni UONEVU mkubwa wa haki za raia. Serikali ya ccm ya KIKATOLIKI ndio iliochukua Utawala baada tu ya uhuru ( uhuru wa bendera ) hadi ivi sasa ccm ya KIKATOLIKI wanaendelea kutawala inchi.
    Hakukuwepo wala musitegemee kuwepo na Raisi kutoka dhehebu jengine inchini Tanzania. Ata hao waislamu ni mizuzu tu isiojitambua hadi Leo hii. Wengi ndio waliopigania uhuru. Wengi ndio waliouwawa kwenye mapambano. Lakini wengi wao ivi sasa wanatumika kwa ajili ya KURA. idadi yao ni kubwa kwenye visanduku. Kwavile wanajulikana ni Maboya tu. Akili hakuna na Elimu hakuna.
    Tunaelewa agenda ya serikali ya ccm tokea ianzishwe ni KUWAWEKA WAKATOLIKI INCHINI NAFASI ZA JUU KATIKA KILA MAENEO. JESHINI. POLISH. MAGEREZA. WIZARANI.IDARANI. VYUONI. MAENEO NYETI YA IKULU . MAENEO NYETI YA UCHUMI. MAENEO NYETI YA MIHELA .
    Uyo aliefariki tunamjua ni mtu aliekuwa akiendeleza na kusimamia AGENDA na MAAZIMIO ya Mzee kambarage. Hatushangazwi kuona mazishi yake yakigarimu maBilioni ya hela za inchi katika kipindi ichi kigumu cha UCHUMI . Embu tusubiri mazishi ya Mzee ruhsa watamfanyia nini ^^^
    ccm ni chama cha WAKATOLIKI ..kimeasisiwa kwa malengo malumu. Wapumbavu na Wajinga wataendelea tu kukipigia kura ili wapate kofia na sh 20, 000 .huku wakiendelea kula dagaa wakavu na sembe. Nguo zao viraka vitupu. Elimu kwao inaishia darasa la saba. Ili awe tu mjinga Asione mbele.
    Hakuna MLUTHERI aliepo ccm ila atakuwa zezeta hilo.

  • @ildephoncemkama4891
    @ildephoncemkama4891 4 ปีที่แล้ว +1

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Mungu ampumuzishe kwa amani mkapa

    • @kurwijilamalima4012
      @kurwijilamalima4012 4 ปีที่แล้ว

      Mungu ampe pumziko la Amani

    • @samwelikomba2520
      @samwelikomba2520 4 ปีที่แล้ว

      Tuzidi kumuombea baba YETU naamini mungu atampokea ktk ufalme wake

  • @jacklinethomas110
    @jacklinethomas110 4 ปีที่แล้ว +1

    Mtu natababasamu lake,ata akizeeka bado,lipo.

  • @marcokanyama4533
    @marcokanyama4533 4 ปีที่แล้ว +4

    R.I.P BWP naimani na hakika tumepata pengo kubwa mno

  • @rashidiwhite5646
    @rashidiwhite5646 4 ปีที่แล้ว +1

    Mipango ya mungu haina ulinzi mungu smoke tu

  • @CarosKitchen
    @CarosKitchen 4 ปีที่แล้ว +1

    Inaumiza sana

  • @mariamswalehe8629
    @mariamswalehe8629 4 ปีที่แล้ว +2

    Inalillah wainalillah rajiun

  • @goodmarkjulius8806
    @goodmarkjulius8806 4 ปีที่แล้ว +1

    Rest in peace our father

  • @alexjackson9278
    @alexjackson9278 10 หลายเดือนก่อน

    Aliye pigwa Kofi msibani msafara kwa lowasa

  • @kusekwasita1576
    @kusekwasita1576 4 ปีที่แล้ว +1

    Rip baba wa taifa wa III

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 4 ปีที่แล้ว +1

    Rest in Peace Jemedari wetu

  • @tanzaniakwanza9564
    @tanzaniakwanza9564 4 ปีที่แล้ว +1

    Pumzika kwa aman Baba

  • @gemkachar
    @gemkachar 4 ปีที่แล้ว +1

    Amina

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 4 ปีที่แล้ว +4

    Ee bwana tusamehe sisi wakosefu na roho ya marehemu uipumzishe mahala pema peponi

  • @rahimbukutu6866
    @rahimbukutu6866 4 ปีที่แล้ว +3

    Inatamkwa "Inna Lillah waina ILAYH" not "Inna lillah waina LILLAH"

  • @thejackle7038
    @thejackle7038 4 ปีที่แล้ว +2

    R i p BWM

    • @gidotesha6083
      @gidotesha6083 4 ปีที่แล้ว

      The Jackle 😁B M W wew jamaa ninoma

  • @zainabuharid6123
    @zainabuharid6123 4 ปีที่แล้ว +1

    R.I.P

  • @victaryusuph2439
    @victaryusuph2439 4 ปีที่แล้ว

    Rip president wetu tutakukumbka

  • @OmariEtetembaWilondja
    @OmariEtetembaWilondja 4 ปีที่แล้ว +1

    Rip

  • @sniper93999
    @sniper93999 4 ปีที่แล้ว +2

    😭😭😭

  • @saadahsaid9921
    @saadahsaid9921 4 ปีที่แล้ว

    Innillah wainna lillah raj'un

    • @alinadee8207
      @alinadee8207 4 ปีที่แล้ว

      Saada he is not a Muslim to speak such Islamic words

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 4 ปีที่แล้ว +1

      @@alinadee8207, Haina tatizo waisilam tunaruhusika kusema hivyo. Maan sote ni wa Allah na tutarudi kwake ukitaka usitake ukiamini usiamini. Hata hapa duniani ukijitafutia Mungu asiekua yy Allah lkn ukifa huna urejeapo zaidi ya kakwe yy Allah muumba wako na muumba wa kila kitu mpaka unachokiabudu.

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 4 ปีที่แล้ว

      @@alinadee8207, Huezi kumuombea dua
      Qur-an 9:113

    • @amouramour9712
      @amouramour9712 4 ปีที่แล้ว

      naaam

    • @amouramour9712
      @amouramour9712 4 ปีที่แล้ว +1

      @@alhamdulillah5796 yeye hakuomb dua muhim ndug jitahid kuisom dini yako tofautish hayo manen na dua hiy sio dua bal aliyetamk hayo manen huw ni mweny kukir siku ya kiama akhy