Umelogwa weeeeh chumvi ngarisha kamera hyo inawaunguza na mulivyo weusi bc daaah fanyeni mpango wa kubadili kamera ili mvuto uzidi pia nawapenda sana ❤❤
Mwanamke huna haya wew mtoto wa mwenzio umemuiba na akisha ukamtupa leo mungu kamjaalia kumpat mtoto wake unajitia kifuwa mbele kama mfuko wa shati kwenda kumshataki kwa mkwewe usonahaya wala usojuw vibaya chefuuu
Nawakubarii sana chumvi nyingii Gang...hapo kwenye pete nimewaelewa kinoma..nakubarii bro chumvi nyingii hapo uongo uongo uongo huo...halfu nyau aje apo tushammisi..halfu jitahidinii kwa siku muwe mnatoa hata mbilii tunakubalii kitu kikali hichi...halfu napataje link yako bro chumvi nyingii nina idea na uigizaji napenda sana kazi iyo nisaidie link yako nikupate bro
Kazi nzuri sana chumvi
Chendu kwenye usirias yupo vzr👏🏻👏🏻
Chumvi nyingi geng njooeni basi na uku utete mje kuinua vipaji, maana mko vizuri Sana aisee daaah
Shami WW unadhambi
Chuvi mtu wa. Maana kabisa
kibisa nilimmis❤
Mh! Ila uyu shami
Chumvinyng gang 4rever
Dada kaka, chumvi iyo sin upo, kwa chendu mnapata Pete umecheza kaka,👍
Tupo pamoja na wewe chumvi nyingi pambana utuletee episode mfululizo🙌🥰🔥🔥
Chumvinying gang 👍
From Congo 🇨🇩🥰💯🎉
Chumvi uakika mwanangu huna baya
Nice
Hamuna baaya chumv nying gang..😂❤❤
Back to back🎉
Mambo
Kwaiyo uyo dada hamkumbuki nesi alomzalisha kwel jaman.
Anamkumbka ndo mana kampokea ila ye alikwambia mumeo ndo kazika mtoto ndo mana hamliz
Maana chumvi nyingi geng amunaga kazi mbovu nyinyi
Nyau aje sasa
Mambo ni moto🔥🔥
Kungwi uliamniwa usiseme kuhusu iyo dawa jamani
Tamaa zitawaponza😂😂😂 chumvi
😂😂😂
Nawakubali wanangu, nawapenda pia sababu munatuletea vipande haraka iwezekanavyo
Kisofa😂😂😂😂😂kabadili nguo jamanii apokee maua yake😂😂😂
😂😂😂😂😂jmn
Yooooo!!!leo mi niwamwisho Aki yamungu.
Duuuuuuuh chumvinyingii unachekeshaaa😂😂😂😂
🎉🎉🎉
Shami yani umeamua kumfunguliya kesi mwenzako unasahau kwamba mme wake akikuona utakudai maiti ya mtoto wake
Kivumbi na jasho
Kisofa na mtoto wa nyangemba usiende huko kuna kazi kwenye kazi yako
Saa hii nimeiyanza kuiyelewa ss chumvi kazi nzuri san😂😂😂
MWAKOLONGWA KUSILE LENO😂
Chumvi na kisofa mtakuja kujiponza kwa tamaa mbaya
Kisofa nakubali sana
nyau yupo wap😂
❤❤❤🎉🎉🎉
Dahh nafirahi kumuona kibisa ❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂 namkubali sanaaaaa huyu mwamba 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
23😂😂😂
Mzee wa kaz chendu boy we ni mwamba
Umelogwa weeeeh chumvi ngarisha kamera hyo inawaunguza na mulivyo weusi bc daaah fanyeni mpango wa kubadili kamera ili mvuto uzidi pia nawapenda sana ❤❤
unatumia sim gan?😅 vip ushajaribu kuangalia kwenye mfumo wa HD au 4k?
@@denisimarteen1509 natumia kitochi
Umelogwa weweee@@chikumuhibu5982
Eti na mlivyo weusi 😂😂😂
@@KuluthumuMsuwakollo lakini we mgomv
Chapombe yu wapi wakuu
Wale walio act kwenye kisiki asilimia flan waliwakuta huk huk walipoend kushoot ile KISIKI 🤍 angalia epsod ya mwisho kabisa mwishoni kule wanaelezea
Yule ni wa kahama kule
Ila tungehomba wamsajili chapombe
Give like---------
Jamani toeni hatakwasiku hata mbilituu
Mimi leo wa kwanza naomben like zenu
Me ndo wakwanza Leo kam unamkubal chumvi nying weka ❤❤❤❤
Nawapata sana kutoka kagongwa
🇨🇩🎉🎉🎉😅😅
Kwakweliii
Mwanamke huna haya wew mtoto wa mwenzio umemuiba na akisha ukamtupa leo mungu kamjaalia kumpat mtoto wake unajitia kifuwa mbele kama mfuko wa shati kwenda kumshataki kwa mkwewe usonahaya wala usojuw vibaya chefuuu
❤❤❤
Kweli kipaji akifi tangu Wii Waaa😂😂Sasha umeweza 👋
Kibisa is back.
Nimefurai sana kumuona kibisa🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Aweee hpn chezea chachanduuuuu❤😂😂
Nimesoma😂😂😂😂😂kisofa me stakii
Chumvi mdomo utakuponza ohooo
Umerogwa weeeee😂😂😂😂
Nawapenda sana imilya ap 😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤
Chachanduuu 7 eeeee tuendeleee mpka kieleweke
😅😅😅chendu chendu....wewe tena kwa mara nyingine😂😂😂😂😂
Kwa mara nyengine tenaaa kipaji hakirogeki
@@PuritySalama-yv6to banae😅😅😅ila chendu kiboko
Piga kazi kaka
Chumvi 😂😂😂hongera
Wanangu nawakubari sana mnajuwa mungu awafanyie wepesi mzidi kutomboa
Kazi nzuli chumvi geng na mageng yake
Kaka chumvi humo humo usimuwache kisofa 😂😂😂😂😂😂😂😂mzaramu
Kisofaaaaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂 ety nyama hizi makongoro tupu😂😂😂😂😂😂😂 ila wewe chumviiiiiii 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉 unajua unajua unajua tenaaaaaaaaaaa
Chumvi nyingi gang na mageng yake
😂😂😂uyu kisofa nae mbona hafikiriyi lakini upewe utajiri n uku wafany shuhuli
Nyau uko wap ww mbn unakuwa wa mwisho mwisho ebu njoo bhna 😂😂😂
Mnajitahidi Sana kuku kubabek zenu
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
et wa2 wanangombania like makubwa mm taratimbu2 nafatilia move Wala Sina haraka sana
Chumvi huyo kisofa anatama atakuponza chende unatisha ❤❤❤
Boss unajua🎉
😂😂chumvi una nifurahisha sana Eti umeshika mkono wa mtu
Ameshika goti😂😂
Chendu upu vzuri kwenye usiliasi salut chunvinyingi
Chumv utaweza kubishana na kisofa hy mzalamo alisi maneno yalipozalwa
❤❤❤🎉
Nawakubarii sana chumvi nyingii Gang...hapo kwenye pete nimewaelewa kinoma..nakubarii bro chumvi nyingii hapo uongo uongo uongo huo...halfu nyau aje apo tushammisi..halfu jitahidinii kwa siku muwe mnatoa hata mbilii tunakubalii kitu kikali hichi...halfu napataje link yako bro chumvi nyingii nina idea na uigizaji napenda sana kazi iyo nisaidie link yako nikupate bro
Sasha simuoni umu ndani 😂😂
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Mini yanga
Kisofa mbixhi xan duuh😂😂😂😂
🙏🙏❤️❤️🇧🇮🇧🇮
Mbona sijamuona chambombe wa kibuyu
Chumvi kiraka kiraka tunaiombq
Ila kungwi mzuri
Kazi tamu
Nyau wap sasa
leo vp ya7
CHENDU NI MTU HATARI SANA
KWENYE HILE MOVIE YA KISKI
PASIPO KUWA NA BEHIND THE CINE
NILIKUWA NAMUONA MTU MCHAWI
SANA NA HASIE KUWA NA ULUMA
KABISA DU!
Yuko wapii mwanangu
Shami umeyakanyanga
Chendu nayey
❤❤❤❤❤❤❤
Njau yupo wapi
😂😂😂😂😂😂😂😂
Wajinga kweli ati wakifa inakuaje nyie akili hamna 😂😂
Nice
❤❤❤