Wakenya wajionea ubunifu wa fani mbalimbali za kilimo

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024
  • Maonyesho ya Kimataifa ya Kilimo ya Nairobi yalikuwa kivutio wiki hapa Nairobi, yakiwavutia wageni kujionea ubunifu katika fani ya kilimo. Kuanzia teknolojia bora za kilimo hadi mbegu zinazostahimili ukame, maonyesho haya yalifana kwa maelfu ya waliohudhuria.

ความคิดเห็น •